Alan Watt Sentient Sentinel
DONATE NOW
 SWAHILI
Hujambo, mimi ni Alan Watt na nakukaribisha kwa Sentient Sentinel tovuti la mataifa inayo luga mingi ya Cuttingthroughthematrix.com.

Natumaini kwa muda mdogo kuwa na nakala za maongezi zangu kwa maluga ya Ulaya. Hizi zinaweza kupatwa bure za kuchapa na kuonyesha marafiki. Nataka kuonyesha njia za utamuduni inavyotengenezwa, uwongo, na masayansi ya kuelewa binadamu zimezokuwa zikitumika kutoka kitambo zikiongoza vizazi kwa njia iliyotayarishwa na wanaotawala hii dunia na zikaletwa kwa utumizi na mabingwa.

Nadharia za njama hazihitajiki. Kuna kazi za wanaongoza hii dunia zimezotolewa. Hawatayarishii yanayokuja kwa dunia peke yake wakona nguvu ya kuileta.

Hasi tovuti huu uwe nimevyotayarisha, tafadhali angalia vitu zilvyo kwa tovuti langu la mara kwa mara.

Yote mazuri, Alan........

1 New Transcript
May 17, 2015.