ALAN WATT (BLURB)

MASAYANSI YA CHAKULA

NA

AKILI UCHOVU

Desemba 7, 2006

Maneno yametoka kwa Alan Watt – Desemba 7, 2006

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu

Hamjambo. Huyu ni Alan Watt na leo ni Desemba 7 2006. Nilikuwa nje nikirelebisha injini, ilikuwa ilikuwa chini ya digrii. Haikuwa mzuri lakini saa zingine hizo ndizo vitu lazima upitie kama wewe ni mimi.

Kulikuwa na mandege zikifukiza makemikali asubuhi.. Mawingu yalikuwa rahisi rahisi zilionekana. Hiyo inamaanisha wameuwa wakifukiza na upepo inaileta. Hii ndiyo jia inayotumiwa sahi kwasababu walikuwa wanaonekana wakifukiza juu ya kila mtu.. Wakifanya hivi inaathiri hali ya hewa na kulingana na fukizo wanazotumia italeta joto nyingi ama baridi zaidi. Leo asubuhi, mawingu zingine zilipopita chini ya jua, zilikuwa zinabadilisha rangi kama upinde wa mvua. Hiyo ndiyo kidokezo. Zile vidogo zinazobaki sekundi thelathini ama dakika moja. Saa zingine utapata nne ama tano kando ya jua. Ingekuwa mzuri kama ni asili lakini si ya kiasili. Shida leo ni hati kila mtu hana saa ya kuangaliaj juu, kwa maisha yao. Watu wanaoishi leo hasa wanamji – hakuna haja ya kuangalia juu kwasababu ya hizo vijengo refu. Wanasahau vile anga inafaa kukaa.

Tuko kwa njia ya kubadilisha njia yetu yote ya kuishi. Hiyo ndiyo itakuwa wito wa mwaka unaokuja maendelozo endelevu ( “sustainable development”). Lazima wasababishe shida ndiyo walete ufumbuzi na lazima tukubali wanachosema, hati sisi ndiye shida. Sii ya kawaida, kwasababu wanasayansi, sii kitambo vile walitoka na mkutano ya Kyoto, ilisemwa hati hali ya hewa ililkuwa inabadilika huko Mars na kwa masayari zingine joto ilikuwa inaongezeka kwasababu ya jua.

Kwa hivyo hawawezi kulaumu gari zetu hapa chini kwa dunia, sina shaka. Kama wangeweza wangeifanya, lakini hiyo ni ngumu sana hata sisi tukubali na hiyo inasema mingi. Lakini baridi hapa haijakuwa ya kiasili kwa muda huu wa hii mwaka. Theluji kama mara nne ama tano zimeshaanguka. Ni mapema hiyo ibaki lakini itabaki kwasababu ya baridi. Kila kitu inabadilishwa pole pole. Kama sauti yangu ni nzito kidogo ni kwasababu nimekuwa nje na ndani ya jua na baridi mara mingi ili nimalize kazi. Bado haijamalizika, natarajia kuimaliza kesho.

Usiku wa leo ningependa kuongea juu ya mada tumekuwa ambayo tukiongea kuhusu, kudhibiti akili; ambapo kila mtu atakuwa na kompyuta kwa akili. Hiyo ndiyo maana waandishi wa masayansi za uongo wamekuwa wakileta hizi vitu kuhusu wanaye makomputa kwa akili kutoka 1950. Waandishi waliochaguliwa walipatiwa hii kazi, kuweka hii fikira kwa akili za watu hati lazima ikuje siku moja ili tuikubali.

Kudhibiti akili ni kitu ya kitambo sana. Tunapata ati chakula imekuwa silaha na bado ni hivyo. Tulipata hati kwa vita ya Ghuba ya kwanza kwa kikwazo ya UN na mataifa yakaungana ndani ya umoja ya mataifa( UN inamaanisha moja kwa kifaransa), kikwazo ya madawa na chakula kwa Iraq. Maelfu na maelfu ya watu walikufa, watu wakubwa na watoto haikujalisha, na hata Madeline Albright, alipoulizwa kama hizo vifo zina thamani na alichotaka. Alisema “Ndio” hiyo peke “ndiyo” hakuieleza na hauitaji kama hauna ubinadamu(Psychopaths). Kwa mtu kama huyu hii yote ina maana.

Kwa enzi iliyopita wanamisri walifanya majiribio na sina shaka hata kabla ya hawa enzi zilizopita hizi walifanya majaribio watumwa walidhibiti chakula ambazo wangeeza kula. Walijaribu kurudisha wingi wa chakula wanaokula chini na pia hawakuwapea mboga zingine ili waone kitachofanyika.

Mapadri waliandika kilichokuwa kinafanyika na watu hadi ikawa sayansi. Wangezalisha kizazi ya watumwa kizazi baada ya kizazi ya watumwa. Kumbuka Misri iliendelea kwa maelfu ya miaka hawakupoteza nguvu kwasababu WALIZALISHA WATUMWA.

Kama Plato alivyosema juu ya watu, unaweza kuwazilisha kama wanyama, ili wawe unavyotaka na kwa majaribio ya chakula walipata wanaweza leta watu wanofanya kazi siku yote sii na nguvu mingi lakini wanaimaliza. Walikuwa wamechoka sana kutembea kuenda na hawakuwa werevu sana kwasababu unahitaji chakula za afya ukiwa mdogo. Hiyo ndiyo njia ya afya. Sii juu ya kuwa na chakula mingi peke. Ni chakula tofauti zinazofaa kwa wingi kinachofaa saa zile unakuwa mkubwa. Inakutengeneza kwa maisha yako yote. Kama vitu zingine zimekuwa haziko utakuwa na matatizo baadaye maishani. Hiyo ni lazima. Hauwezi kuzichukuwa zote ukisha kuwa mkubwa na utoe tatizo. Haiwezi fanyika. Inaweza rudishwa chini kidogo lakini haiwezi tolewa. Mafupa zako zikisha kuwa zimekuwa.

Ukiangalia wakulima wazee wameotoka kwa vizazi va wakulima utapata wana mafupa kubwa, wako warefu na wana misuli. Wako wakubwa kwasababu walikula chakula zinazofaa walipokua wadogo.

Hakuna kitu mpya na nimechokuwa nikisema. Ninavyosema wameifanya kwa enzi zilizopita kwa Babylon, Sumeria, Egypt na enzi zingine. Kwa Ulaya katika mapinduzi ya viwanda, walipotupa mahindi na zingine kwa mataifa kama Uingereza na wakaweka wakulima chini( sana sana wadogo) ili wapelekwe kwa viji alafu wapate wafanyikazi wa viwanda. Urefu ya kila kizazi ilianza kurudi chini, pia uwerevu, waliotawala walikuwa na mizaha mingi ya watu wadogo( little people) walivyo waita. Hiyo ndiyo inachomaanisha. Ni zaha za watu wadogo wasiyo na afya mzuri waliyo kuwa wengi na walifanya kazi yote.Walifanya kazi. Hiyo ndiyo inamaanisha. Watu wadogo wanafanya kazi na waheshimiwa na waliotawala na pesa walikuwa warefu kwasababu walikula vizuri.

Malthus aliyeandika kitabu kuhusu utawalaji wa wananchi kwa 1700s, na aliandika nyingi kuhusu vile chakula inavyotumiwa hivi – kwa watumwa katika mashamba yalikuwa ya Uingereza, Ufaransa, Uholanzi na mataifa mengine. Waliamua juu ya chakula za watumwa. Hawakuwataka wakuwe na nguvu ya kutembea kutoka kwa shamba. Walitaka wawe na nguvu ya kufanya kazi kwa siku na wachoke kabisa usiku. Walikuwa na maagano na wenye mashamba kuhusu umbali wa mashamba ili watumwa wasiweze kutembea kutoka moja kuenda kwa ingine. Walivyotoa utumwa, hawakutoa huo mfumo. Bado mtumwa ilikuwa lazima anunue chakula yake , chakula na viatu. Tena hakuna kitu iliye baki na alikuwa amechoka kama kawaida. Hakuweza kutembea aende, kwasababu chakula ilibaki ilivyokuwa. Akili yao haikufanya vizuri. Malthus aliandika juu ya hii kwasababu ilisaidia waliotawala kama hakukua na wapinduzi na watu hawakujua kinachoendelea na hakuna kitu iliyebadilika.

Ukiangalia vitabu zingine – zingine ni nzuri sana . Moja ilifanywa na daktari wa meno kwa 1930s. Alisafiri dunia yeye na bibi yake na walipiga picha ya midomo ya watu asili waliyo kutana na watu weupe. Waliyoishi mbali na watu weupe hakuwa na meno zilizoaribika. Midomo ndogo. Mapua ndogo na zingine. Alipiga picha ya watoto karibu na wazazi wao , aliona tofauti ya mifupa yao katika watoto waliokula chakula ya watu weupe na wazazi amabao hawakuikula. Hata kama wazazi walikuwa kwa saa hiyo kwa chakula ya weupe ilikuwa miaka zao za mapema, walipokuwa wadogo walipokula chakula yao ya kiasili kila siku.

Chakula ya mchakato ya mtu mweupe haijachakatwa ili watu wakule peke au utengenezaji. Si hio. Uzuri wake unatolewa kwa sababu zingine. Haijalishi kitu ambayo wanajaribu kukuambia hii ni sayansi ya enzi za kitambo sana. Wameitumia kwa mboga na si mboga peke wameitumia kwa vitu ambazo watu wanatumia kila siku vitu kama kahawa.

Miaka nane au tisa zilizopita ilikuwa kwa magazeti za Canada, kwa sehemu ndogo ilisema hati wanunuaji kahawa ndiye waliokuwa na nguvu, walihitaji waliyotengeneza kahawa waibadlishe kwa kahawa iliyogeuzwa( Modified Coffee)ama hawangeinunua. Kwa nini hyo ilikuwa muhimu, kama waliyointengeneza wanaweza kutengeneza inayotosha? Hawakuwa wanaishiwa na kahawa. Hawakuongeza bei yake, nini ilifanya wakunywa kahawa watoe hii agizo?

Sababu ilikuwa tukirudi kwa kitabu ya Carroll Quigley “Tragedy and Hope” na “The Anglo-American Establishment”, kwa hizi vitabu mbili anakuambia ati mashirika kwa huu mfumo watakuja kutawala hii dunia. Wanaitawala tayari! Wanaambia wanashamba vitu watazonunua na vitu hawatanunua. Pesa inafanya dunia izunguke. Fedha ndio njia kuu ya usaliti.

Kuhodhi pesa ndiyo njia ya haraka ya ku ua watu na njaa kwa huu mfumo kwasababu hakuna mtu ambaye amewachwa awe na huru kwa kitu chochote na hiyo ndiyo kutegemeana ina maanisha.

Si tu mataifa kutegemeana, wamefungwa pamoja, ambapo hakuna taifa moja inayoweza kutengeneza kitu kutoka chini hadi juu hadi waimalize. Wote wanategemeana na wameshikana. Ni hivyo pia na watu.

Si mbali kwa unaokuja itakuwa uhalifu kumea mboga bila leseni kwa hatua ya kwanza. Alafu uhalifu kuzimea peke yake. Mabingwa watakuja watuambie kwa nini hatuwezi kuzimea. Mabingwa wengi watakuja kwa televisheni, duniani kwote na redio wakiongea pia na watazamaji na “Unathani nini? Umekubali gani na umekata gani?” na wataingia kwa huu mwendo kama wanyama walofanyishwa zoezi kwanza, na walete hisia alafu wasahau mantiki ama sababu. Rahisi sana, na sisi sote tumezoeshwa hivi kwa huu mfumo.

Watu huwa wananiuliza, “Nini inafauta?”

Wanathani wanaelewa mwendo lakini bado kuna mingi kwake. Si mambo tu na kuelewa. Lazima ujielewe. Hiyo ndiyo sehemu ngumu.

Wanasema hati jibu za kila kitu, shida zote, ziko ndani ya kila mtu. Na hiyo ni ukweli, hadi ugundue maarifa iliyo kwa akili yako, mingi wake hauna maana, lakini kuna zile muhimu sana, ambayo ni ngumu kukumbuka inayotoka mara moja kwa wakati, peke yake – lazima pia ufanye kazi kwako. Nini ndiyo sababu yako ya kutaka kufanya ama kubadlisha njia tunayoenda? Ni kwasababu umeogopa madiliko zilivyo? Umezoea dunia uliyozaliwa ndani na unaona inabadilika ama ni kwasababu kubwa kushinda hiyo? Ni kwasababu ya wale wanaoishi pande zingine duniani? Ni ya wale wataozaliwa kama watapata nafasi ya kuzaliwa.

Lazima upite uoga wa madiliko wa huu mfum, kwasababu huu mfumo haukuwa wako kwa mwanzo. Haukusaidia kuitengeneza, wazazi wako pia ama mababu wako. Tumedanganywa kwa muda mingi sana na wataalam walioelimika kwa hii sanaa. Wakona maarifa ya enzi zote.

Hauta zipata kwa maktaba ya umma. Sanaa hizi zote, hizi njia za utawalaji, lakini zimewekwa na hazijawahi potezwa. Kwa wale wanaothani hivyo soma “Machiaveli: The Prince” kitabu muhimu ya kusoma. Na Machiavelli alianguka kutoka mtu wa makahama, mshauri. Yeye na wengine kama Francis Bacon wangeandika hizi vitabu na misemo ya kufurahisha mfalme ama aliyetawala kuhusu ujuaji wao wa kutawala watu na kuelewa akili ya kila mtu kwasababu kila mtu huwa anapitia mwendo sawa na wako kama wengine. Elewa mtu mmoja kwa tabaka yoyote na umewaelewa wote ni hivyo na mwanamke pia.

Watu kama Machiavelli, Bacon na wengine walikuwa wakuu kwa hizi. Walifundishwa hii sana, vile ya kuwa mwerevu, kupeleka watu kwa njia waliyotaka. Wakitumia propaganda iliyotolewa kama ukweli. Si tofauti, inafanywa tu kwa watu wengi zaidi leo ni kama pangilio la hesabu. Unajua ukifanya mwanzo vizuri na zinazofuata pia utakua na mwisho unayotaka. Imesomewa kwa maelfu ya miaka, imekamilika. Huwa tunakuja kwa uamuzi tukiyotarajia, tumeongozwa kwa hizo aamuzi. Tunathani ati tunazifikia peke yetu lakini si hivyo.

Watu kama Bacon, Machiavelli, Moore na wengine; na “dunia zao zinazofaa”, Atlantis Mpya(New Atlantis) na, Mkuu(The Prince) hawa hawakuwa na shida kwasababu walikuwa wanaandikia waliongoza dunia. Hawakuwa na shida kuisema ilivyokuwa. Hawakujaribu kuificha kama leo wanajifanya ati sisi sote tuko sawa. Hawakuja karibu na hiyo hata kidogo. Walisema vitu zilivyokuwa. Waliita watu wa kawaida “watu wa kawaida” na mamaneja “mamaneja” na wanotawala “wanaotawala.” Hawakuwa na tatizo yoyote kupatiana ushauri ama kuandika juu ya hizi vitu, vile ya kufanya watu waungane kama jeshi ili waende vita alafu wachukue cha wengine kwa niaba ya wanaotawala. Hawa washauri wangetoka na njia nzuri za propaganda kupatiana sababu tofauti ili watu

waingie kwa majeshi waende wapigane wakithani wanasaidia taifa yao. Lakini ni vita ya unyonyaji.

Kuna sinema nzuri sana inayokuonyesha mfumo wa tabaka kwa mwanzo wake na inatoka kwa hadithi ya kweli. Hadithi mingi zinazosema ni za kweli zinachukua uhuru kubwa sana na huwa mingi zao zimepinduliwa kisiasa zinazokuongoza kwa njia mpya ya kufikiria ama njia mpya ya kufikiria unavyotarajiwa.

Lakini, zingine zinaleta ukweli yote kama “Ghost in the Darkness.” Inahusu jeshi la Uingereza ilipowekwa Afrika na kodi za umma, kufaida viwanda zilivyokuwa zinachukua madini, dhahabu na almasi. Lakini walipakodi walilipia misafara zote za jeshi – utafiti na kujenga reli. Waliajiri watu asili na watu kutoka nchi zingine kuwafanyia kazi. Haishangazi ati Uingereza pali popote wameenda kunyonya wangechukua wengine huko wa tabaka la chini ili wawapeleke kwa nchi zingine kama Africa alafu wawatumie kama waangalizi wa waafrika wa kiasili na hiyo iko kwa hiyo sinema.

Kitu ambayo iko kwa hiyo sinema ni injia mmoja alipo pelekwa kwa ofisi ya mwongoza jeshi aliyekuwa anakaa vizuri na alikuwa mzuri kwa huyu injinia kwa dakika mbili au tatu alafu alimwambia yeye ni wa nini. Huyu injia akasema “Nitafanya yote yangu na nitafanya hiyo kwa sababu nataka kurudi nyumbani ili nikafunge ndoa, niwe na watoto pia kwasababu nikona bibi sasa. Na huyu mwongozi akasema “Sijali juu ya maisha yako,” akasema “Nataka umalize hii kazi na bora uimalize.”

Jeshi zinatumiwa kama sehemu ya biashara na wanaotawala pamoja na bunge na hakuna kimechobadilika hapa. Karl Marx hakuwa wa kwanza kuisema lakini anajulikana vizuri kuisema, “Vita zote ni vita za uchumi.” Hakuna kimechobadilika. Zimeungana na propaganda kwa sababu ingine. Kwa sababu ya kibinadamu ama kuleta ustaarabu kwa wengine vile Warumi walivyosema wakipiga vita na wakichukua Ulaya. Ama huko Iraq kuwapatia amani na utulivu kwa hiyo taifa ambayo wametoa utulivu na kuipiga vita alafu wameutoa mfumo wao. Usijidanganye ati wako kwa shida usiskie propaganda inayotoka ati “wanaongea peke yao kuhusu kuwa kwa shida na kuwa huko miaka mingi”

Uingereza ilikuwa Iraq kwa miaka arobaini baada ya kuichora kwasababu ni Uingereza ndiyo walichora mipaka. Winston Churchill alisadia kuifanya baada ya vita ya dunia ya kwanza. Walichora laini kwa mchanga wakasema “hii itakuwa Iran na hii itakuwa Iraq,” kwasababu hivyo ndiyo walifanya ili wanyonye hizo taifa. Lazima uwafanye wapigane ukibadilisha unayosaada kila mara, lakini lazima uwawache wakichukiana. Hivyo ndiyo unawatawala. Uingereza walifanya hivyo na Ireland. Unahitaji mtu – Canada ilikuwa Quebec, ili ungekuwa na tishio kila mara ya uasi kutoka Quebec ambayo ingekasirisha wanaCanada alafu serikali ingetoka na uamuzi, ambayo ingekuwa ya mabilioni alafu ingekufa tena. Huwa una watu ambao wako tayari kuenda kupigana na watu wengine. Hiyo ni ya kawaida. Kugawanya na kushinda.

Yote ni habari mbaya?

Sahi ni kubaya sana kwasababu hii ajenda ni ya lazima. Wakona ratiba. Dunia inatawalwa kama biashara moja kubwa na ratiba zake za miaka 5,10,15, 20,100 year plans. UN iko hivyo pia. Mfumo wa kikomunisti ilikuwa hivyo na hizi ratiba za miaka 5,10,15,100 na zingine kwasababu ni mfumo moja. Ni tayarisho ya biashara inayochukua miaka mingi na wako sasa karibu kuimaliza na hawatawacha kitu yoyote iwasimamishe.

Wasipomaliza vitu kwa muda unaotakikana watapoteza nguvu. Ndio maana kuna hii vita kwa hofu wakikimbia kubalisha njia ya kuishi ya watu mabilioni pole kwa pole, kizazi kwa kizazi hadi wakona dunia wanayotaka iliyo na wananchi waliyopunguzwa na wana furaha kila wakati hadi hawawezi kufikiria kuwa bila furaha – watakuwa na kompyuta kwa ubongo. Pengine watameeshwa kufanya kazi yao. Hawahitaji vyombo va habari kutawala akili za watu. Hawatahitaji viwanada vya burudani na maelfu kama si mamilioni ya vituo vya redio na vipindi zao za kuongea za kila siku kwa dunia yote ili wafanye sisi sote tuonge kuhusu mada wanayotupatia. Hiyo ndiyo wanaelekea.

Na vitu ya hofu itaenedelea kuwa kubwa, vile sheria huwa zinafanya ukishaziweka kwa vitabu. Huwa hazitumiwi vile tunavyoambiwa zinatumiwa. Itapanulika hadi ifike kwa kile kitu hadi ukijaribu kurekebisha sheria ya serikali, ambayo ikokaribu kufika kama bado haijafika utaainishwa kama asiyetaka serikali(anti-government) jina ambayo walitoa kutoka umoja wa kisovyeti.

Wengi ambao wako chonjo kwasababu wamesoma vitabu yakini mara mingi huwa wanaanguka kwa mtego wa Enzi Mpya(New Age) ambayo bila shaka si mpya. Ni marudio ya dini za kitambo alfu wakaiita Enzi Mpya(New Age) – ni mpya kila saa. Inatolewa kila mara moja kwa wakati inapotakikana. Inadanganya watu hadi wanakaa wakiangalia bila kujua kinachofanyika kwa dunia. Wanaambiwa usiaangalie yale mabaya kwa maisha. Angalia yale mazuri na kama mtu analeta utatizo, toka uende na kwa hivyo utabaki haujui kinachoendelea. Kitu kizuri sana kwa wanaotawala kuwa na watu kama hao na wamefundishwa kujali juu yao peke yake. Wanatafuta furaha na wanatoroka maumivu hata ingawa maumivu lazima yaende pamoja na furaha. Hisia zote lazima ziende pamoja na tofauti yao. Ili uwe mtu aliyekamilika, mtu anayefikiria kama aliyekomaa lazima upitie hisia zote. Bila hio – wanayoogopa hiyo wanaisha kwa utoto isiyeisha kama Peter Pan, ugonjwa wa Peter Pan( Peter Pan Syndrome) na madaktari wengine. Enzi Mpya(New Age) inatengeneza watu kama hao. Hiyo ndiyo sehemu ya kazi yao. Hizo shule zote kwa dunia zinazokuahidi siri, siri za furaha na zingine. Zote ni sehemu za mfumo sawa. Usiangalie yake mabaya fanya yanayokupatia furaha na kwa hivyo hii ajenda inaezaenda mbele bila yanayoipinga.

Haimaanishi kila kitu ndani ya Enzi Mpya(New Age) ni uongo. Lazima uwe na ukweli kwa dini yoyote kwa enzi yoyote kama ndoano ya kushika watu na kwasababu sisi sote tunapitia vitu sawa saa zile tunakua kwa maisha. Alafu tunaanza kuwa tofauti tunapokomaa. Hiyo ndiyo ilikuwa uzuri wa maisha – kukutana na watu tofauti sana na vile wanavyongalia dunia na zinazofanyika kwasababu hawakuishi na yote uliyoishi nayo.

Kitambo kulikuwa na watu, tena, watu wa mashamba, saa zingine walithaniwa kuwa wazimu lakini waliishi peke yao na ilikuwa furaha kuwatembelea kwasababu ungepata hatua ya maoni tofauti ambayo hayakutoka kwa vyombo vya habari. Wangepita ujinga mara alafu wakupatie mantiki bila hata kujaribu. Kama unapata propaganda kila siku, ni ngumu kuivunja uongo wa huu mfumo peke yako.

Kwa huu mfumo(Mfumo wa fedha, faida na ibada ya wale wanao pesa na umaarufu) tuna unyonyaji kutoka chini hadi juu. Inasikitisha sana kwasababu hakuna mtu ambaye haja potoshwa hata kidogo na huu mfumo, ambao watu kidogo sana kwa hii kidogo pengine makabila ya msitu wa amazon na kwengine ndiyo wanaeza ka nje yake bila kupotoshwa. Fedha ndiyo kitu cha utawalaji ambacho sisi sote tumekwamia. Hatujapatiwa chaguo yoyote na kwasababu ya hiyo watu watanyonyana. Hkuna anayetaka kurudisha wanavyoishi chini na bei zikipanda vile huwa zinapanda kila mwaka, mtu chini yako kama ako hapo atanyonywa na kuendelea.

Si mfumo wa binadamu hata kidogo. Iko inje ya ubinadamu.(Deviancy)

Hiyo ni kile kinachofanywa na watu kidogo, na inaleta madhara mbaya.

Niaje kuna watu kidogo wanaotawala hii dunia, wana pesa nyingi sana, na hawana shida kufanya vitu zisiyo za kibinadamu kwa watu wengine ama mataifa. Wana historia kamili ya kufanya hizi vitu ma mababu wao walipotawala wakileta vita kwa watu. Kufanya mataifa waliyotawala ziende kuwapigania hao wakijaza mifuko zao na walichopata kwa vita ili wabaki kwa utawalaji. Vifo wanayoleta kwa dunia huwa haiwasumbui. Haifiki kwa moyo yao kwasababu moyo yao haijashikana na ubongo wao.

Lakini watu wa kawaida, watu unaokutana na kila siku hawawezi kufikiria kufanya vitu kama hizo kwa watu wengine ili wafaidi. Hawawezi kuifikiria. Hawawezi kufikria watavyoishi wenyewe wakizijaribu. Lakini wanaotawala hawachukui madawa za kulala ama kuenda kwa madaktari kwasababu ya vitu abzo wamefanyama, kwasababu ya mali yao ya damu. Kwa hivyo una watu wasiyo kibinadamu wakitawala huu mfumo na nimeongea na wengine wao. Nimeongea na wengine wao. Nimeongea nao hasa Uingereza na katika Ulaya nilipokuwa kwa biashara ya muziki, unakutana na wanasiasa waliojuu ama watendaji wa serikali. Watendaji wa serikali ndiyo muhimu kwasababu hawajibu kwa umma na hawajachaguliwa na umma. Wanafanya hizo kazi hadi watapokufa. Kila sehemu ya watendaji serikali wanaambiwa kazi yao na ajenda na wanaifanya bila swali na wanafunga midomo yao kutoka kwa umma. Wakona dunia ndani ya dunia ambao wako hao wenyewe.

Walikuwa wanakuambiwa kinachokuja mbeleni. Ungejua na vile walivyosema vitu kama watetezi. Wangesema vitu kwa njia ambayo lazima ufikirie juu ya maana nyuma ya maana, lakini si kitu ambayo wanaweza shikiwa kama itabidi waiseme tena kwa mahamaka. Hivyo ndivyo wakona werevu na udanganyifu wa lugha.

Lakini watawalaji nimeokutana nayo, wameniambia juu ya vita, vita za faida na wata pingana hadi walete hisia kwasababu kwa hao ni za umantiki sana, hati kama yeye ama kampuni yake ama rafiki zake wanahitaji, chini ya udanganyifu ya mataifa, wataenda tu waichukue. Ni ya umantiki kwao, haijalishi juu ya maisha ama uharibu ya watu wanaishi kwa hiyo taifa ama kitu kingine. Alafu pia wakona hisa kwa makampuni za bunduki wakishatengeneza pande zao. Wanauwauzia hizo bunduki. Uingereza walifanya hivyo huko India ili kwanza wawafanye wapigane alafu waunganishe India. Hiyo ndiyo ulikuwa sababu, ili waunge India.

Na kwa Ajenda iliyoandikwa hata na John Dee, aliyeanza Dola ya Uingereza, biashara huria na taifa upendeleo kwa 1500s. Tunapata hati alisema wakienda kwa taifa na hii ilisemwa na waandishi kwa ma miaka hadi leo na Carroll Quigley aliisema kwa kitabu yake “Tragedy and Hope” “taifa iliyoingia kwa ingine na nguvu haitatoka hadi imefanya mfumo wa huo taifa uwe sawa na wake.” Hadi hapo wakishaweka taasisi zao za kimesoni(Masonic) – lakini hivyo ndiyo inatawalwa. Kwa siri na viapo, undugu wao. Hadi hapo ndiyo watafikiria kutoka na watatoka polepole.

Tukiangalia historia ya Umoja wa mataifa(United Nations) hiyo ndiyo kitu wamekuwa wakifanya kwa miaka 50 zimezopita. Njia sawa. Hiyo ndiyo maana jeshi zimekuwa kwa hizi taifa zote, bado wako, kwa hizi miaka zote. Si hadi wakona vizazi moja au mbili, wakiwa kwa mfumo wa kigeni wa UN, inayoleta tabaka la kati inayopanda, amabayo wanafundisha kuichukua pamoja na taasisi za Mesoni(Masonic) na faida za hawa watu saha sehemu ya serikali. Hapo peke ndiyo waliaanza kutoka. Hawakuenda kwa mataifa kumaliza upingano alafu watoke waiwache na utamaduni wake. Wanaenda kuiunga na mfumo ambayo sisi tuko ndani tayari. Ni mfumo wanayoita demokrasia kitu ambayo imekuwa na ufananuzi tofauti. Inabadilika kila saa kwasababu inatakikana hivyo.

Lazima udanganye umma hati wana uchaguzi na haki. Lakini kwa ukweli haziko. Hiyo ndiyo maana tulliona watetezi na majaji kwa majaribio ya Rwanda, watetezi wa kiAfrika na majaji wakivaa nguo refu nyeusi, kola ndogo, nywele bandia nyeupe utazoona kwa sheria ya Uingereza. Wanafanya mataifa ziwe kama yao na uerevu hadi kurudi kwa plato, “hao watu waoni wenyewe, wanoishi ndani yao hawaojui.”

Watu wengi hawatafikira kinachofanyika kwa maisha yao. Wamefundishwa si lazima wafikirie. Wanafanyiwa yote. Hiyo ndiyo wanathani vyombo vya habari ziko hapo kufanya. Wiki iliyopita ilikuwa kipaji kwa Dolly Parton mwanamke wa matiti bandia kwa vyombo vya habari kuu. Kwa habari yenu, habari kuu yenu na haikua kwa stesheni moja ilikuwa kwa zote. Hii ndiyo habari kuu yetu yaliyobaki ni michezo.

Makutano ngapi za shirika zisiyo za serkali zimezopatiwa pesa mingi zilikuwa zinafanyika kwa hiyo siku kwa hiyo wiki ambayo haukisikia kitu chochote kuzihusu? Wacha hata zile za watawalaji. Unaskia juu ya “Bilderbergers.” Wanakubali tuskie hiyo. Tunaambiwa ati hoteli yao Uholanzi ndiyo mkutano wa kwanza ulifanyika kwa 1950s. Lakini gani ilikuja kwanza hiyo kikundi ama hoteli, na jina yake. Bilder(builder)- mjenzi. Unaon hawa ni wajenzi wakuu. Hiyo berg inamaanisha mlima. Wajenzi wa mlima. Mlima gani? Jamii. Jamii ya yanayokuja. Ishari huwa ziko mbele yako. Si lazima – inasikitisha kuona lazima tuambiwe kinachomaanisha. Kama tungekuwa watu wanaofikiria ambao hawajafundishwa kwa huu mfumo, yote yangekuwa yanaonekana kwetu, pengine zile saini za mashirika hizo unaona. Inaonekana.

Albert Pike mwenyewe alisema hati saini ziko kila mahali. Ni lugha y masaini kwa kiwango moja. Hiyo ndiyo maana kutoka mwanzo kwa enzi zilizopita bado ilikuwa lugha kwasababu “mandugu” kwa kila taifa wangetambua saini za hiyo lugha. Usiri huwa inatakikana kwa udanganyifu. Ni sehemu ya kwanza, inamaanisha utamaduni wanayoleta kwa hao watu itakuwa ya udanganyifu. Hawana ukweli ndani yao. Wengine huwa bado wanaongea(waliyo kwa sehemu kuu za kutawala) kuhusu vile ni vizuri sana hao kuwa hapa ili watupatie kazi. Hiyo inakaa msemo isiyo na mingi, lakini ina mingi kushinda nimeyosema, kwasababu kwa dini yao wanasema “Mtu lazima afanye kazi” na wako na ufananuzi tofauti ya kazi. Kazi ni mfumo ambayo lazima watulazimishe nayo.

Ukiangalia mifumo ya kiasili, hawaendi kuwinda ama kufanya wanachohitaji kufanya wakiita kazi. Inaaitwa “kuishi” lakini kwa huu mfum lazima tufanye kazi. Hiko hata kwa Agano la Kale. Kwa hadithi ya mifano kwa sababu hiyo ndiyo Agano la Kale imejaa na hizo. Ni mfumo kamili wa sheria. Baada ya mwanamme na mwanamke kuumbwa kwa usawa, kwa hiyo hadithi, utapata anayeumba aliangalia chini na bado hakuwa na mtu wa kulima udongo, alienda akaumba Adamu na Eva. Adamu na Eva walifaa kufanya kazi, inayomaanisha mwanamme na mwanamke hawakufaa kufanya kazi . Ni mfumo uliofichwa.

Haikuanza kwa Agano la Kale. Ilitolewa kwa watawalaji waliotawala mifumo yaliyopita. Yameandikwa tu. Sheria na kanuni sawa. Utumwa ni sawa. Udanganyifu ni sawa kama kuna faida. Na baba wa ubatizo unajua Yahweh – anapata faida yake na hiyo ni sehemu yake pia. Hii dini imeshikana kabisa pamoja na mali na pesa. Kabisa. Hiyo ndiyo mfumo. Yasiyofichwa- kila mtu anajua kwa Magharibi. Wote wamefundishwa kubali tu kufanya kubali na kubali kwasababu baba mkubwa anakuona na kitu chochote unachofanya ama fikiria – hiyo ya kufikria ni mzuri. Ni utawalaji wa akili mzuri. Mungu anajua unachofikiria kwa hivyo unadhibiti unachofikiria alafu unakua na matata na uoga. Hiyo ndiyo maana ilifanya vizuri sana kwa muda mrefu. N a ahidi ya watu wote wabaya wanaotamaba na kiburi na mali yao iliyopatwa vibaya watateseka dunia ikiisha na hiyo peke ndiyo umepatiwa kama kinga. Unawezateseska kwa hii maisha na kila kizazi na tabaka lako liteseke lakini wanaotawala wanafaida peke amabayo si ya kawaida. Hao wabaya huwa ni familia zile zile na hata washauri wao wanatoka kwa hizo familia, familia zinazooana, wanazalishwa kwa uerevu. Hiyo ndiyo dunia tumeyokua ndani na vizazivyote vingine pia.

Sasa wameshatoa dini ya kitambo pole kwa pole wamewacha Enzi Mpya(New Age). “Fikiria mazuri. Uzuri wangu ukishawekewa kompyuta kwa akili mtakuwa mmeungana na nyinyi nyte mtakuwa moja. Hiyo itakuwa furaha aje. Udanganyifu unaosikitisha na unajua wengi wa Enzi Mpya( New Agers) wanaiongoja kwasababu hawawezi kuishi na na uoga wa kukosa kujua. Hawawezi kuishi na kukosa kujua ama utu wao ambayo wanafaa kuwa nayo. Hawawewzi kuishi nayo ndiyo maana wameangukia hii fikira ya umoja na yote inayoleta. Kutoroka ya mwisho ni dunia si halisi. Ukiamka kila siku kama wewe na una maumivu na unaihisi kitu ya kwanza asubuhi, hiyo ni halisi sana.

Njia kwa hii jina imeyotumiwa vibaya sana, inayotumiwa kwa kila kiyu leo kiroho – ni kwako. Kua na kutambua wewe ni nani, na yanayokusaidia na yanayokuweka chini, na yale mazuri na mabaya. Ni kujiangalia wewe. Na ni uwezo wa kuhisi na wengine ili hauhitaji kuelezwa ukisema “ningehisi aje kama ningekuwa huyu mtu? Ingekuwa aje? Ni kutoka nje yako baada ya kujiangalia. Kwa wale wa dunia wanao na wale wanaokuja. Yanayotuunga ya kweli na kuhisi na wengine ni mwunganisho.

Tunaweza jiita aje watu wa akili timamu na wastaarabu saa zile kinachofanyika kwa dunia inaendelea watu wanakufa na ugonjwa zimezotengenezwa na binadamu kurudisha nambari ya watu dunia chini na watu wanakufa na njaa pali pengine. Vita zilizotayarishwa, vita ndani ya mataifa zimezotayarishwa. Lakini sisi sote tunafaa kuenda tutoe pesa tununue hizi zawadi zote za Krismasi kwasababu inafaa na huwezi kosa mtu ama utasikia vibaya.

Tunajiita watu wa akili timamu na wastaarabu na tunathani yuna haki ya kulazimisha hii mfumo inayoitwa demokrasia. Kuleta demokrasia kwa dunia. Kujiangalia kama mtu si jambo ya kuchukua madawa ili yote kwa akili yako itoke saa zile unaona iwe kama ndoto ya mtu aliyeamka. Vitu zimevyoshinda hiyo zinawezafanyika. Vitu bora kushinda sana, ukifuata iliye ndani yako na ujijue. “JIJUE” ndiyo sheria yote . Siyo fanya unachotaka hiyo ni ya wanaotawala.

Tuko kwa njia ya kua kwa dunia tukiishi. Vizazi ngapi unatambua sasa, wamezaliwa, wakapigana, wakafa na wakafanya wamechoambiwa kufanya. Wamechagua alafu waka shika kichwa baada ya Uchaguzi, baada ya kuchagua wale waliyethani ni watu wanafaa ili wawaone wakichukua njia nyingine isiye na kitu yoyote kufanya na ahidi za Uchaguzi. Lakini walikufa bila kujua ukweli yoyote – vizazi zisiyo na nambari.

Usiku mzuri. Mungu au Miungu wako aende nawe.

(Imeandikwa na Leon)