CUTTING THROUGH THE MATRIX

KUTOKA RBN

NDIZI ZA NIRVANA NA UDANGANYIFU WA NGUVU”.

UJINGA WA MIUNGU NA WANAOTAKA KUWA”.

Desemba 26, 2007

Maneno yametoka kwa Alan Watt.

Hamjabo mimi ni Alan Watt na hii ni Cutting Through The Matrix kwa Desemba 26, 2007. Huwa naambia watu wapya waangalie tovuti langu cuttingthroughthematrix.com na waangalie sentientsentinel.eu kwa nakala ambazo unaweza kuangalia zimezoandikwa kwa malugha za Uingereza. Tuko hapa, tukishatoka tu kwa mgogoro wa muda wa baridi la kati tunavyoiita. Huu ni muda ambapo unaangalia yaliyopita na huzuni na yanayokuja kwa sikitiko, vile Othello angesema kwasababu si mara mingi huwa tunajaribu kwa kweli kumaliza tunachopangia. Unapozeeka bila shaka unasikitika kwasababu unakuwa mzee sana kujaribu kumalizia unayotaka kufanya. Hiyo ndiyo maana ni bora ni kuifanya kwa saa hiyo. Usiisongeshe mbele. Haujui itachofanyika kesho.

Kwa bahati mbaya, katika yale makubwa tunajua itachofanyika kesho kwasababu wamekuwa wakituambia watachotufanyia. Wanachotufanyia ni wanatengeneza hii jamii kubwa inayotawalwa na masayansi, sisi tu ni wanyama na lazima tuagizwe katika mstari na wametufunza, watu wengi, kuamini ati wewe tu ni mnyama, kosa la asili na wabora wako, wabora wa kisayansi watakuchunga kwasababu hauwezi kujichunga na hiyo ndiyo kawaida leo. Inasukumwa kutoka njia elfu. Ni msemo na tumekuwa tukipitia hii kwa maisha yetu yote. Iko tu zaidi kwa wazi na hii kitu yote ya 9/11 ilikuwa tu kuanzisha vitu. Huwa unahitaji kitu kwa upande wa vita kusukuma ajenda kubwa ya dunia.

Tulikuwa tunashangaa, marafiki wangu wengine, miaka zilizopita, vile wangefaulu. Ilikuwa rahisi kuona vile ambayo wangefanya Ulaya iwe moja; na US ., wamekuwa wakitoa ubaya wowote kwa wenyewe na pia Mexico kwa mamiaka wakiitayarisha yote, lakini tulishangaa vile wangefaulu. Wanatumia huu upuuzi wa ugaidi kusukuma umoja wa Marekani, Ngome ya America wanaiita na mbali masharikini wanafanya hivyo pia. Kila nchi duniani zime tia saini kwa sheria za kupinga ugaidi.

Hii haikuwai fanyika katika vita za dunia, huu umoja na sababu ni ati hawakuwa na mpanga wa aina kuu na marasimu zinazfanya pamoja kupita serikali na kufanya wanacholeta. Unajua inachukua miaka mingi. Miaka mingi kwa warasimu kutoa kitu chochote kwa akili yao na waiweke kwa maandishi wachana ata na kuipanga yote na kujaribu kuipitisha kwa serikali. Nitarusi na zaidi baada ya hizi ujumbe.

Hamjambo mimi ni Alan Watt na tumerudi kwa Cutting Through the Matrix na naonyesha tu watu zile vitu wanazochukua zilivyo. Watu wengi hawafikiri kwa kweli kabisa saha wakishafunzwa ati habari iko hapo kufikiria binafsi yao, na hiyo imefaulu na watu wengi. Marasimu na serikali hawasongi haraka kwa vitu. Ni wakubwa na wazito sana. Kuna idara na magawanyo nyingi sana zinazopitana na zinazokanyagana. Inachukua mpango nyingi sana inapokuja kwa yahaoyuhusu mataifa na sababu ambayo wanawezafanya hivi leo kuleta huu mfumo wa dunia ni kwasbabu waliipanga kitambo sana na wakaweka marasimu, ambazo ni kama jamii za siri katika serikai. Hizi idara za juu na idara za ofisi ya kigeni, kama zile za nchi za jamii ya Uingereza. Wafanya kisiri na katika vizazi.

H.G. Wells aliongea juu ya ligi ya mataifa ambapo(iliyokuwa mwanzo wa umoja wa mataifa) ilikuja kuwa na alisema kwa mara ya kwanza sasa urasimu kutoka nchi moja inaweza pita serikali ya nchi ingine na iende mara moja wa mwenzake katika nchi ingine ama ligi ya mataifa na kwa hivyo, serikali zinakuwa vitu za zamani. Hakukosea kwasababu hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya kuianzisha. Onyesho la Punch na Judy ambayo tuko nayo, vituko vya kulia na kushoto ambazo tunapata mara mingi, haingehitajika tena kwasababu wangefunza umma ati wanachungwa na hapo ndipo dunia inayoongozwa na mabingwa ingeingilia. Hiyo ndiyo ilikuwa msemo katika 1930, 40, 50, 60, dunia inayoongozwa na mabingwa hadi hatujui kuamka kutoka kwa kitanda kila asubuhi na kujivaa bila bingwa kutuambia cha kuvaa na hali ya hewa itakuwa niaje. Hivyo ndiyo imekuwa.

Akili ya kawaida iko nje ya dirisha na hakuna anye imani kwa wenyewe siku hizi. Tumeogopa kufikiria na kufanya tunachofikiria. Hiyo si kwa kosa pia, kwasababu utu wako ndiye adui wa huu mfumo wa kiimla. Ilisemwa kitambo ati mtu ni mmoja na mtu aliye na uelewaji na uwezo wa kuambia watu kinchofanyika kwa kweli, hiyo ndiyo hatari kuu. Umma sio hatari kwa hao huwa wamelala. Wanachkua utamaduni wameyopatiwa bila kufikiria na watathani kwa wenyewe ati wanachagua lakini hiyo si kweli. Wanapatiwa zile za kuchagua na madini pia ata Enzi Mpya(New Age). Kuna aina nyingi hapo za watu tofauti, lakini kwa kweli chaguo zako zina kikomo na watu wengi wanaelea tu maishani wakirudia msemo na wakifuata utaratibu zinavyoitwa ambazo wanathani ni njia ya kuwa, utu wao. Lakini kwa kweli, ni tu aina ya suti ambayo wamenunua kutoka kipimo moja inatosha kila mtu na hiyo ndiyo unapenda. Umechagua kile ambacho umepatiwa na hivyo ndivyo watu wengi wako.

Watu wao ndiye adui wa huu mfumo. Yote ni fikira kwa kikundi na hii ilisukumwa na uzito kutumia njia ambzo Carroll Quigley aliongea kuhusu aliongea juu ya mfumo mpya inayotawalwa na wenye mashirika na mashirika za kimataifa. Mashirika kubwa ndiyo walikuwa wakwanza kutoa huu msema wa “roho ya timu” hadi ikawa ya kawaida. Tena kingine kilikuwa mchezea timu. Wewe ni mchezea wa timu? Kila mtu mara moja ilikuwa lazima awe mchezea timu na walitumwa nje kuchukua vikosi na majina mengi ya kitu moja kwa kweli, kuwapatia uwezo zaidi kupata walichotaka. Kuwa na fujo zaidi kwa uuzaji wao kama wanafanya hapo. Lakini kitu cha kwanza ambacho walifunzwa ni kuwachana na uwezo wao wa kufanya kazi peke yao. Wangeambiwa ati kuna watu wawili nyuma yao, funga tu macho na uanguke nyuma na fikra kuwa ati hawa watu wangekushika na hiyo ingekuzoesha kwa fikra ya kuwa katika timu. Haukuhitaji uhuru wako tena na wangeimarisha hii na kila hila ndogo walichopatia wafunzea waliokuwa kwa hizi programu. Walitoka wakiwa wachezea timu, lakini wote wakifikiria ni watu wao, wangeweza pata walichotaka, fikiria tu na uwe mdosi na vitu kama hizo.

Nathani ati kama ungeuliza Donald Trump inachukua zaidi ya kufikiria kuwa mdosi. Lazima uwe na marafiki wanaofaa; watu wanaofaa na lazima uhodhi watu wengi. Hivyo ndivyo unafika mbele kwa hii dunia na hata wewe hauwezi fika hapa isipokuwa wakuu wakufungulie mlango na wakuingize. Hivyo ndiyo iko. Ni kama tu biashara wa uhuru. Hakuna kitu kama biashara wa uhuru. Ni tu biashara rahisi kwa mashirika kuu. Mabiashara ndogo ziko nje ya picha. Hawawezi pata ruhusa ya kuuza vitu zao chini ya huu udanganyifu wa biashara wa uhuru. Ni kutengeneza soko kwa wale kidogo waliochaguliwa. Hiyo ndiyo kweli na wanatumia uongo kila saa ili wafaulu.

Tuko kwa mfumo mkubwa inayokuimbia mbele ikitumia hila za Pavlov na ikitufunza sote kwa njia za kisayansi kutoka utotoni. Naelewa pia ati mtu alikua ananiambia kabla ya wikendi sasa kuna watoto wanaopelekwa kwa vikosi za kabla chekechea. Ni kabla kitalu kwa miaka wa wiki sita na huu ndiyo hatua mpya, ambayo ni na hatua ambayo Huxley na wengine waliongea kuhusu na Bertrand Russell pia kwa siku zake za mbeleni. Walikuwa wakifuata mpango wa kitambo ya Plato ambapo kwa dunia kamili watu wa kawaida wangetunzwa bila kujua wazazi wao. Wangetolewa kwa wakishazaliwa. Huu ungekuwa mfumo kamili ambayo wangeleta kwasababu hawakutaka wazazi wachafue kichwa ya mtoto na fikra za kitambo, kama upenzi na hizo. Unajua upenzi wa kifamilia ilifaa kuwa nje ya picha na taifa la dunia ingekuwa mkuu wako. Ungeomba ndugu mkubwa.

Walipata na mazoezi ati wangeweza fanya kitu sawa kama wangeweza pata mtoto kwa chekechea. Haingejalisha kile ambacho wazazi wangesema jioni ama usiku kwa mtoto. Ingepita tu kwa kichwa yao na serikali ndiyo ingepatia watoto tabia zao. Imeshafanyika. Haijafanyika tu lakini kwa miaka ishirini peke na serikali ikilipa chekechea kwa nchi kama Canada, ambapo wanachekechea wakigoma ama waende polepole ama chochote, wanawake wanaofanya kazi wako nje kwa mitaa na saini zao wakidai serikali ifanye kitu. Wameshakubali ati kwa njia fulani serikali ndiyo bwana yao. Amechukua kazi ya bwana na anafaa kuwatunzia watoto. Wanaamini hiyo kwa kweli.

Naweza kumbuka walipokuwa na majadiliano kuamua kama serikali inafaa kuwa uhusiano wowote na maisha ya watu ilipokuja kwa watoto, lakini leo hiyo ni kitu inayotarajiwa. Imefaulu, kwa hivyo ni kwa muda tu hadi serikali ianze kuamua nani anaweza kuwa na mtoto na ni kwa njia gani atakuwa mjamzito kwa muda mdogo hadi waanze kuchapisha watu. Hiyo inakuja pia. Saa hii kinachofanyika na wale wote katika tabaka la kati na wale wanaothani wako na elimu bora? Wamepitia hizi programu zote za kujisidia na ni wenye Enzi Mpya kabisa na wanakataa kuangalia habari mbaya kwasababu hayo ni mbaya na wamefunzwa kuangalia yale mazuri peke. Vitu zingine kama kuuliwa kwasababu mko wengi sana ni ngumu sana kufurahia – saha kama wewe pengine ndiyo utauliwa katika wengi.

Namna fulani bado wako na uwezo wa kuamini ati watanikosa. Hawamaanishi mimi. Wanamaanisha hao wote lakini si mimi. Mimi ni maalum. Mimi ni mtu maalum sana. Mimi ni mkuu na nathani hivyo ndivyo wote wanafikiria wakielea na wakirindima chakra zao na wakiimba na wakiongea juu ya – wako na njia za kidini za kuongea kwa Enzi Mpya. Hakuna tofauti na madini zingime na wanathani namna fulani waliitengeneza, lakini hawakutengeneza sehemu yoyote yake. Yote walitengenezwa kwasababu Enzi Mpya ilifaa kuwaleta kwa dunia kwa kikundi kubwa tena. Hakuna watu wao. Nyote ni wanachama wa kikundi fulani, wanaEnzi Mpya, na nyote mtakuwa moja. Wanawafunza katika hizi programu zote, zinazoongozwa na ajenti za habari, hao ndio waliwaleta Magharibini na wakawasukuma na misingi kubwa zikawafadhili.

Wanafunza ati wanaenda kwa hii Nirvana rembo ya aina mpya na wale wanaofaa peke ndiyo wataingia. Hii yote imetoka kwa Uhindi, unaona. Hiyo yote ilichapishwa kutoka Uhindu na kila moja wao ambao wamelipa vikozi zao zote na wakasimama kwa vichwa zao na wakaimba misemo zao na kuendelea na wakagundua ni maisha ngapi za nyuma walizokuwa nazo na ni deni ngapi bado wako nayo kwa karma. Kila moja wao anathani ati atapita na aokolewe kwa hii nirvana mpya, lakini wengine, unajua takataka, wanapotea na wauawe. Hiyo ndiyo wanafundishwa kutoka chanzo zote za Enzi Mpya. Hiyo ndiyo msemo. Narudi na zaidi baada ya hizi ujumbe.

Hamjambo watu mimi ni Alan Watt kutoka “Cutting Through the Matrix.” Naongea tu kuhusu kila kitu kinachoongoza dunia na watu duniani katika hii “kitu ya ajabu.” Hiyo ndiyo jina wanayotumia “kitu ya ajabu inaenda kufanyika.” Hiyo ndiyo jina Arthur C Clarke alitumia kwa “2001” na “2010.” Kitu ya ajabu imaenda kufanyika na hiyo ndiyo jina wanaEnzi Mpya wamepatiwa pia. Hawana hakika ni nini, isipokuwa kila mmoja wao amelipia hizi vikozi zote na ni ya ajabu kutohusiana wa kitabaka ndani yao pia, kwasababu wale wanaolipa pesa zaidi wanathani ni kama kununua njia yako kwa nirvana. Hakuna tofauti na mfumo wa kanisa wa kitambo, ambapo ungelipa mbeleni na upate maombi zaidi ili uweze kufika mbinguni kwa haraka zaidi.

Ni mbinu sawa zinazotumiwa kwasababu yote yametolewa kwa uoga na wanaoenda kwa hizi dini huwa wanaishi kwa aina ya uoga, uoga wa isiyojulikana. Fikra kuwa unaweza kushinda uoga wa isiyojulikana kwa kupata nguvu maalum na kuwa mungu. Kuwa ungu unaona. Unaweza kuwa mungu, mungu aliye ndani, na kama wewe ni mzuri kabisa kabisa na upate wafunza wazuri unaweza chukua njia za mkato na uwe mungu kwa haraka zaidi, alafu uende kuona daktari wa meno wako na kuendelea – kama wewe ni mungu na hauwezi kujitibu, kwa hivyo madaktari wako ni nini? Lazima wawe mamungu wakuu. Haina uhusiano na mantiki. Haifai kuwa ya mantiki. Inafaa kufikia wale ambao hawataki kanuni. Inachekesha kwasababu hao ndiyo watu rahisi sana kutawala na nguvu za juu, kwasababu hawataangalia kile ambacho wanafanyiwa. Haufai kungalia yale mabaya, hizi zote zinazotuleta chini. Angalia yale mazuri na utabasamu sana na watumie lugha yao ya Enzi Mpya kama vile wanadini wote wanapenda kufanya.

Wote wamekuwa na uzoefu zao na wanaongea juu ya ndoto zao na mara mingi ni kahawa mingi, na sichzei juu ya hiyo. Nimekuwa na watu ambao wamenipigia simu mbeleni ambao wamekuwa na mandoto mabaya zikifuatana na ninawauliza kama wanakunywa kahawa jioni, na wanafanya hivyo. Niliwaambia, unajua waligeuza maharage za kahawa miaka 10 zilizopita? Ilikuwa moja ya vitu za kwanza walizogeuza, na kwa nini sivyo? Kwasababu waliendea vitu ambazo zinatumiwa kila siku na watu wengi, chai na kahawa, na waliendea chakula zote mnazokula.

Naweza kumbuka nikisoma kwa gazeti na nathani ilikuwa Toronto Sun kwa makurasa za biashara, nilikuwa naipitia tu kwasababu sikuwa na kitu ingine ya kufanya hiyo siku, na ilisema ati wanaonunua, ambao wako na nguvu ya kweli kufanya chochote na chakula, wanunuaji walikuja pamoja na wakadai ati wanazozipanda watumie miti zilizogeuzwa ama hawangenunua kahawa yao. Na nikathani, kwa nini? Kwasababu wanaozipanda hawakuwa na wanalalamika juu ya mavuno mbaya ama mazao mabaya ama ata bei. Hawakuwa wanalalamika kwa hivyo lazima iwe sababu ingine. Waligeuza kahawa na watu kwa kweli wanakuwa na ndoto za ajabu kwake. Wengine wanazipenda. Wako na masafiri wanaziita. Hawaziiti ndoto. Wako na ndoto wengine wako na zinazosisimua na wengine wako na jinamizi.

Ni ajabu sana vile wanaEnzi Mpya wanaanguka kwa hizi vitu zote na huwa naambia watu kuenda kwa hotuba ya Huxley amabayo iko kwa tovuti langu. Unaweza ipata hapo kwa sehemu ya manakala., ambapo Huxley aliiongea kwa Berkely kuhusu asilimia 60 ya umma kwa enzi zote wataamini kitu yoyote mara moja, na asilimia 20 zaidi wanaweza kuletwa chini kwa hiyo kiwango na kazi zaidi na 20 ingine iliyobaki ni ngumu zaidi kuweka chini. Hivyo ndiyo vitu vingi zinafanya kwa dini, pamoja na Enzi Mpya, Ni kutumia propaganda mingi sana na matakwa, hitaji ya kuiamini; hivyo ndivyo vitu vingi zinafanyika ni hitaji ya kuamnini kitu iliyo kuu kukushinda na lengo la kuwa mungu mwenyewe. Ni ya kupendelea lakini hawa watu si wajuaji wa chanzo za dini. Hawajui nguvu ambazo zilienda nyuma za vitu kutengeneza dini kama hii na mwendo kama huu katika ma 1800 huko London. Hapo ndiyo ilianza na ata walioweka huko nje, wachezaji filamu walioandikwa na wakafunza kuenda huko nje kuleta hii dini kwa watu, iliyochukua miaka 100 kuanza kusonga na sasa inafadhiliwa kwa wingi na watu wa kawaida, misingi kubwa. Wanalipia magazeti na kila kitu.

Historia ya kupendelea unapoenda kwa Blavatsky na usome vitabu vya dada yake na wengine na maripota wa kuchunguza kwa muda huo walioingilia Blavatsky. Ata dada yake alisema alikuwa mchezaji wa asili. Alikuwa ana sihiri waliyekuwa rika yake na kutoka utotoni na kuendelea akiwaambia mahadithi. Alikuwa mchezaji wa kike mzuri sana na hao ndiyo waliandika kuileta mbele, Blavatsky. Ndiyo sisi hapa, miaka 100 baada, tukiiona kila mahali. Iko kila mahali. Iko kila mahali na yote inakuja na ukijani pia – ukijani wa dunia. Kwa muda moja ulipokuwa kijani, ulikuwa mgonjwa vibaya. Nitarudi na zaidi baada ya hizi ujumbe.

Hamjambo watu. Nimerudi na Cutting Through the Matrix na tuko na Gary kutoka Canada kwa simu. Uko hapo Gary?

Gary: Haujambo Alan. Unaendelea aje?

Alan: Si vibaya sana.

Gary: Asante kwa kutoa nuru kwa hili shimo hapa na kunisaidia kuweka vitu pamoja.

Alan: Ni safari inayopendelea sindio, kupitia huu mfumo hapa ambayo watu walithani ilitokea tu hivyo.

Gary: Picha ya ajabu.

Alan: Uko na swali yoyote?

Gary: Ndiyo. Nilitaka kukuuliza juu ya ishara la buibui. Juzi nilianza kuangalia kazi ya msanii anayoitwa Louise Bourgeois na alitengeneza mabuibui kubwa.

Alan: Hizo ndizo ambazo wako nazo kwa Hague

Gary: Kabisa

Alan: Kuna moja kwa Hague. Nathani Canada pia ilinunua ingine ya jumba la makumbusho.

Gary: Kwa maonyesho ya kudumu. Iko kwa Canada. Hizi ni maonyesho za kudumu kwa Spain, Korea, Tokyo nje ya nyumba za sanaa za taifa zao. Alitengeneza buibui sita kubwa, moja inayosimama; alikuwa na inayosimama na inayojikunyata. Inayosimama ilikuwa refu mita tisa. Iltengenezwa na shaba, chuma cha pua na gololi, ambayo ni chuma kwa mawe, na iko na gunia ya mayai thelathini na inaitwa Maman. Inaadikwa M-A-M-A-N. Idadi zinazopendelea.

Alan: Inapendelea kwasababu unaona kwa umesoni(Masonry) idadi 8, isipokuwa kuwa juu na chini, duara mbili za milele, ni saini pia ya nguvu na pesa na kwa hivyo 8 ni muhimu sana. Miguu nane za buibui na mjane nyeusi, bila shaka, wote ni “wana wajane.” Hizi kubwa wanazoweka kwa Hague na kuendelea, kuna nguzo za mayai chini yao, kumaanisha mazao na ni saini mfumo mpya kuja kwa mchezo. Mfumo ambao binadamu itageuzwa sana, kwasababu mjane mweusi pia anakula mpenzi wake baada ya kuzaa. Utaona ati wanaume wanakuwa bila maana siku hizi. Kuna manakala kwa magazeti sasa ambapo wanaweza kuchukua seli za shina za wanawake na kuendelea ili watengeneze mbegu, wanasema hivyo, na wengine wamefanya hivi; na unaita hiyo ubatili kuwa na mtoto ambaye ni chapisho wako. Hiyo zawadi kubwa kwa mtu anajipenda yeye mwenyewe kabisa. Iko na saini za kuu kuhusu mfumo mpya na utokomezo wa wanaume pia. Nguvu na pesa. Iko na miguu 8, 8 ni nguvu na pesa na iko na nguzo ya mayai kumaanisha aina ya binadamu ijayo – wana mjane.

Gary: Na mtandao wa buibui mfumo, hiyo inaweza angaliwa kama mtandao wa buibui?

Alan: Ndiyo. Hiyo ndiyo maana tuko na mtandao. Ni njia ya sote kuungana na unakwama kwake kwasbabu hiyo ndiyo mfumo peke imeyokubaliwa kuwa. Kwa muda itatokomeza barua za karatasi kabisa.

Gary: Hiyo ingekuwa yale nata kwa mtandao, ingekuwa upendeleo, ajabu na zingine?

Alan: Hakuna shaka zimetengenezwa kupendelea. Najua watu ambao wametawaliwa kwake, wametawaliwa kabisa. Ata wengine karibu wanajiua usiku na mchana waki kwa mtandao. Ni kama safari moja kubwa kwao na wanasisimka wakiitumia na wameshatawaliwa kwasababu wako tayari, watu wengi waki tayari kuingia kwa huu dunia mbadala. Jina ingine ya Enzi Mpya, dunia mbadala, lakini hawaangali kweli ati mtu mwingine aliitengeneza lakini haikuwa hao.

Gary: Asante sana.

Alan: Asante kwa kupiga. Unashughulika na mfumo ambao inatupatia kila kitu ili itutawale. Hawawezi kupatia chochote kwa faida yako ambayo inaweza kukupatia nguvu, kwa hivyo wanakupatia kitu ambayo kwa muda itakuwa pamoja na mfumo kamili wa kufuatilia dunia. Sasa tuko na Rick kutoka California. Uko hapo Rick?

Rick: Ndiyo, ndiyo. Niko hapa, Alan.

Alan: Unaendelea aje?

Rick: Vizuri. Asante sana kwa kutuchezea gitaa jana usiku ilikuwa rembo sana. Ndiyo, niliipenda sana. Ilikuwa rembo. Naweza kusoma aya mbili kutoka gazeti niliyonunua?

Alan: Ndiyo

Rick: Hii inatoka kwa “American Interest.Sheria na utamaduni zake.” Inahaririwa na Walter Russell na Zbigniew Brezinski. Ni moja ya maandishi za misingi za fiikira na hiii nakala inaitwa “Mtu aliyejitengeneza”( The Self Made Man) imeandikwa na Richard Hayes na anaongea juu ya John Harris wa Uingereza, mwanachama wa kamati ya Uingereza ya ushauri jenii ya binadamyu na kamati ya tabia ya shirika la matibabu ya Uingereza na anasema:

Harris anaendelea kwa kujadili ati uendelezo wa jenii ya binadamu ni kitu mzuri, kwasababu wale ambao watachafua kubaki walivyo watafaida kutoka kwa nguvu ya kiuchumi, kijamii na utamaduni ambacho ongezeko la wananchi wataojiendeleza kijenii wataleta. Anasema ati vile tunashawishi watu kupeleka watoto wao shule na kuwapatia chanjo, hivyo ndiyo tutaweza kushawishi watu wazae watoto ambao wameendelezwa kijenii. Anakubali ati muda wa mazoezi utahitajika ili kukamilisha hizi taratibu. Hivyo anasema ati watu wako na wajibu ya kufanyiwa mazoezi za kijenii inapotakikana. Watoto pia kwasababu kama watoto ni ajenti wa tabia, na hii ni kweli kwa wengi wao, kwa hivyi wako na wajibu na haki, na itakuwa ngumu kupata wajibu msingi sana kushinda ile ya kusaidi wengine. Kwa hivyo kuna shaka kidogo ati watoto wako na wajibu zimezojadiliwa kwa hii sura.

Wanaanza kuwa wazi kuhusu ujenii kwa kila kitu.

Alan: Walitoa sinema fulani miaka zilizopita iliyoitwa “Gattaca,” kuhusu iliyo karibu kuja mbeleni ambapo kungekuwa na aina mbili ya binadamu. Wale walioendelezwa kijenii wangepata kazi zilizokuwa bora zaidi, na wale waliokuwa wa aina ya kitambo, waliozaliwa kwa njia ya kawaida na vile walikuwa wa chini. Yote inahusu hiyo. Ni kutengeneza tabaka mpya katika jamii na hiyo ndiyo lengo lao. Bertrand Russell aliongea juu ya hiyokwa katika miaka za 1930. Alisema “ kwa muda kutakuwa na tabaka mbili za watu na tabaka inayotawala itakuwa na elimu tofauti kabisa kutoka wafanyikazi hapo chini.” Hiyo yote inakuja kwa mchezo. Ata iko hapa tayari, sehemu hiyo yake. Uendelezo wa kijenii ni mpango ulioisha. Wanataka kufanya watu wajinga. Watakuendeleza kwa njia zingine ili uwe mfanyikazi bora, lakini hautakuwa na uwezo wa kufikiria mwenyewe kama binadamu. Watahakikisha hiyo. Utakuwa mzuri, mzuri sana, bora sana kwa kazi umeyopatiwa lakini hautakuwa mfikiria mwenyewe.

Rick: Inarudi kwa ulichokuwa unasema, ulivyosema watafanya Dachau isikike kama Disneyland: na huyu mtu anafanya kile ambacho Mengele alifanya isikike kama Disneyland.

Alan: Mengele alikuwa mtu wa ajabu. Namaanisha alikuwa anakusanya macho za bluu. Na hiyo ndiyo ilikuwa alichopenda kufanya na wote wako hivi. Unaona ni watu sawa hapo juu. Hao ni watu wasio na ubinadamu na wako na pendeleo za ajabu kuhusu ubaya na wanaongoza vitu. Wanalipwa pesa mingi kufanya hizi zoezi zote, na natumaini kwa kweli watu wapitishe hiyo kwa vichwa zao ati watawalaji wameshasema ati hii itatengeneza shida kuu wanayojaribu kuepuka na hiyo ni watu wanaofikiria wenyewe na uerevu wa juu. Kazi yao yote ni kutoa wale walio na akili za juu. Hiyo pia ilikuwa sehemu ya ajenda yao. Russell aliongea juu ya hiyo na niliisoma kwa mzungmuzo wangu jana usiku. Niliiweka kwa mzungo wangu alichosema kuhusu hiyo. Utakuwa fanisi sana, kama mashine zaidi kushinda binadamu anayefikiria.

Rick: Ndio. Nilikuwa tu nataka kuweka hiyo huko nje Alan. Wanaongea pia kuhusu vita la tatu la Kosovo. Tutakuwa na Clinton tena. Tutakuwa na Kosovo tena na itakuwa kama- kuna nakala mingi zinazotoka saa hii. Nilikuwa tu nataka kushiriki hiyo na na wewe Alan. Pengine nitakutumia nikishamaliza kuisoma.

Alan: Ndio, nitashukuru hiyo.

Rick: Sawa. Asante sana na uwe na msimu wa sikukuu mzuri.

Alan: Na wewe pia.

Rick: Sawa.

Alan. Hiyo ndiyo dunia tunayofunzwa kwake na iko kila mahali kando yetu na tutazidiwa na matoleo ndogo ndogo kwa magazeti na habari zote zikionyesha njia moja, kwasababu ninavyosema watu wengi wako na fikira waliyoingiziwa. Hawana amani yao. Ni waliyoingiziwa. Wanaichukua hivyo na wanaanza kuisema na hivyo, na wanakuwa wanachotakikana kuwa bila kuiulizia. Hapo ndipo tunaenda leo. Najua ata miaka 15 zilizopita, wengine huko India walikuwa wanalipa pesa nyingi kwa mageuzo ya jenii ya watoto wao wanaozaa waBrahma wakuu sana, na ilikuwa inafanywa huko tayari; na hiyo ndiyo shida yako tena na binadamu. Ni ama uwawache walivyo na uwache vitu vifanyike vile vilivyo na watoto waliozaliwa kwa njia ya kawaida na ujaribu bahati yako. Unaona watu niwatawaliwa wa ununuzi. Katika ustaarabu wa magharibi hao ni watawaliwa wa ununuzi kwa kweli na haiwezi kuwa ngumu kwa utamaduni kama huo – ambaye ndiye utamaduni kamili kwa kweli, ni utamaduni wa kibiashara – kushawishi wamama ama ata wawapatie chaguo la ungetaka mwana ambaye ni 6'4” na daktari mzuri, ama unataka kujaribu bahati yako ili pengine awe mtu wa takataka? Hiyo ndiyo kitu ambayo itafanya vizuri sana kwa utamaduni iliyotawaliwa kwa ununuzi. Watanunua chochote. Hivyo ndivyo vitu ziko saa hii kwa huu mfumo. Ni mfumo wa huzuni na haikutengenezwa iwe kwa milele ilivyo. Ilitengenezwa kuenda kwa fezi ijayo, lakini jamii imeshatayarishwa. Wengi wao wako tayari na itapendelea kuona, kama sote tutabaki hai tuipitie, kuiona ikifanyika na utasikia watu wakijivunia kuwa na watoto walio kama mungu. Hizi vitu za kama kama mungu inafikia kila mahali leo.

Kiburi cha watu iko nje ya dhibiti. Wote wanaamini hizi vitu. Wote wameloweka hizi vitu zote za Enzi Mpya na mungu na huo ni uwongo kubwa, ujinga kubwa, ata kama kila kitabu takatifu ata Vedas haijaahidi kila mtu atapita. Kama wewe si mtu wako, wewe ni mashuhuri. Elewa? Mtu wake hatakuwa mashuhuri. Watu wa vikundi wanapenda washuhuri. Kama unapenda vitu vya dunia , utaongea juu ya vitu vya dunia na watakupenda kwasababu ya hiyo, lakini hawaoni ati sasa kuna wengi wao ambayo ni wa Enzi Mpya sasa. Wanakuwa dini kuu na kwa hivyo, bila shaka, kama kidogo ndiyo watapita haiwezi kuwa hao kwasababu hao ndiyo wengi zaidi. Haiwafikii.

Haujambo. Tuko na Ben katika Wisconsin. Uko hapo Ben?

Ben: Haujambo Alan.

Alan: Unaendelea aje?

Ben: Nafanya vizuri. Napenda kazi yako. Ningependa kusema kwanza nafurahia ati kuna watu kama wewe uko nje wanaofanya unachofanya. Swali langu kwako ni : Unajua mtu anayeitwa William Reich.

Alan: Ndio

Ben: Unajua chochote kumhusu? Najua aliteswa kwa mataifa mengi ata hapa pia alipokufa gerezani.

Alan: Alisema ati aligundua nguvu ya taa fulani na kuendelea na nguvu ya Orgone na vitu kama hizo. Hiyo ilikuwa inatoka katika miaka za 1930 tayari. Alichukua hiyo fikra kutoka sayansi. Ilikuwa inazungmziwa tayari katika miaka za 1930 na ilitoka na hiyo. Kama alikuwa wa kweli ama hapana hatutawai jua. Binafsi, huwa nachunga hawa watu wanaotoka na hizi teknolojia. Kumbuka ni kitu sawa pia. Kwa siku za Blavatsky walisema ati watachanganyisha sayansi na dini na hiyo ndiyo maana dini za Enzi Mpya wanatuia jina za kisayansi, wakijaribu kuonyesha uhalali wa dini yao. Wanazichanganyisha na ni kitu sawa na uponyaji wote leo. Unaweza ponya chochote tukipata tu hii teknolojia mpya ama ile itayoanzisha yote yameyobaki. Inavutia na iko na sauti mzuri. Tena ni zile vitu za kupumbaza akili. Kama utaamini kwake kwa kweli itafanya kwa muda kidogo, kuna waongo wengi wanaotoka katika mamiaka wakiuza kitu chochote kwa watu wagonjwa ama wanaokufa. Kuna pesa mingi ya kutengenezwa kutoka kwa matatizo kwasababu wanahitaji vitu sana. Unaelewa?

Ben: Ndio

Alan: Kwa hivyo kwasababu wanasema vitu haimaanishi ni kweli. Ni sawa na Reich, shida sawa. Umekwama kwa hili eneo kamwe bila ushahidi.

Ben: Aliandika kitabu ambayo nilithani ilikuwa na kweli kuhusu vitu vingi - saikolojia wingi ya ufashisti

Alan: Jamii zote ni za ufashisti kitaalam. Ata za kikomunisti.

Ben: Hakika. Nathani hiyo ndiyo maana nauliza, kwasababu nyingi ya aliosema aligundua ilikuwa ya kiwazimu kidogo kwangu lakini nyingi za maandishi zake zilikaa za kweli pia.

Alan: Ninavyosema hatutawai jua na huwa ata sipotezi muda na watu wanaowekwa hapo kama ajabu ili watu bahatishe kwasababu hauwezi fika kwa chini yake. Ilikuwa sawa na mashine za kifalme tundu. Zile ambazo tundu walifanya mazoezi nayo na unaweza ona filamu za kitambo kuihusu, walitumia tubu kubwa na ilitoa taa kwa wingi. Ambapo vitu ambazo wanauza leo hazina tubu. Wanaweka tu waya kadha kwa mwili na wanasema ati ukizungusha marudio huu ama ule iliharibu ugonjwa amabayo uko nayo. Lakini ni kwa zaidi mambo ya imani kwa kweli, kwasababu sijawai kutana na mtu yoyoete ambaye amepona kwa kitu chochote.

Ben: Sijachunguza kutosha kujua kwa kweli. Sasa mtu mwingine ambaye nilitaka kukuuliza kuhusu ni, nimekuwa nikiona mchoro wa huyu mtu kwa wingi hivi majuzi. Unajua Alex Grey.

Alan: Ndio

Ben: Nitajaribu lakini hiyo kitabu inakaa ya kiEnzi Mpya kwangu.

Alan: Sanaa zote – chochote ambayo wakuu wanasema ni sanaa mara moja inakuwa mwenendo; mfale hana nguo inafanya ajabu na wafuasi. Nimejua wasanii wakuu ambao walikuwa bora sana. Nimejua pia watu kwa nyumba za sanaa wanaosukuma utamaduni fulani za sanaa na mwenendo kwa sanaa ambazo ni za kiwazimu, lakini wanajua pia wanacheza. Wanaweza kuambia chochote pia sanaa na kila mtu karibu na juu, wadanganyifu wote, wale wanataka kuwa, watasema hivyo na waseme ni ya urembo lakini inaweza kuwa kitu ya kijinamizi kushinda kitu chochote ambayo umeona, lakini hiyo ndiyo ujinga wa binadamu. Wanatumia sanaa kama ishara ya utamaduni ambayo mnaingia. Tunajua pia ati mwendo wa wabatili ya vyote kutoka Picasso kuenda mbele na hawa watu wote walilipwa na Magharibi, kuleta utamaduni wa kubatili yote na sanaa yao. Sanaa ambayo ilikuwa inakushikanisha na jamii na upenzi na kuendelea na hisia za juu, walileta hizi kazi baridi ambazo zilifanya jamii yenu iwe bila umoja.

Ben: Mbatili yote, yeye haamini chochote. Hiyo ni kweli?

Alan: Chochote ambayo ilikuwa karibu ma muhimu kwa binadamu wote kama ilikuwa iharibiwe kuua umoja wa kitambo. Nitarudi na zaidi baada ya hizi ujumbe. Hamjambo watu. Alan Watt na Cutting Through the Matrix na nazungmza kuhusu vile ata sanaa, sanaa zote unazoona zinatumiwa kutengeneza mawazo katika umma wanaoichukua hivyo. Hawaiulizi. Wanazichukua tu. Inajiloweka kwa akili yao, hiyo ambayo itajitokeza kando yao,na lazima uende kwa vipande mingi tofauti kutafuta maana na sijui na wasanii wote. Nimeona vitu zingine lakini lazima niingilie kabisa ili nijue kama kuna ujumbe zingine ambazo zinazokuzwa hapo. Unachoona sasa kwa hizi halisi mbadala ni katuni wanazotumia kuleta halisi mbadala, ambapo hatimaye wote wataunganishwa kwa mtandao na ubongo zao. Wanapatiwa inachokaa kama ukamiliko.

Bila uhalisi na nilishangaa kwa nini mfumo wa kisovyeti nilipokuwa mdogo ilikuwa inatumia katuni nyingi kupatiana ujumbe kwa umma. Nilithani katuni zilikuwa za utoto lakini waliziingilia kabisa kwa njia kubwa, kubwa sana na walifadhili wasanii wengi kuchora na kuendelea. Walikuwa na maadili ya umma kuunda jamii na sasa tunajua ati makatuni zinatumiwa katika hizi michezo za video na uhalisi mbadala. Hiyo ndiyo ilikuwa sababu. Ilianza kitambo sana na wahusika hawana dosira zozote na unaweza tengeneza yako kutoka kwa zingine; kujitengeneza unavyotaka kwasababu kwa hii jamii haufundishwi kupenda vile uko.

Hiyo pande muhimu ya utaaji katika utamduni ambayo tunaishi. Inaendelea ikikufanya uhisi vibaya na vile ulivyo. Hiyo ndiyo pointi yote. Kama una furaha na vile uko, haungekuwa unakimbia kila mahali kununua hizo nguo zote ili ukae tofauti. Yote inafaa kukufanya ukose furaha na vile uko na hawajalenga watu wowote kama wanawake, wakiwaambiwa hii ni ndogo sana, hii ni kubwa sana yah-de-yah-de-yah, na kuja tu na ununue ile na utakuwa sawa. Hivyo ndivyo biashara inafanya. Inanyonya watu. Iko hapo kukunyonya na wanajua vile ya kunyonya wanaume na wanawake. Ni sayansi na inafanya kwasababu hatujabadilisha asili yetu. Kwa jamii ambayo tumekua, hatujafunzwa kujipenda vile tuko isipokuwa wewe ni moja wa kundi, kama pande ndogo ya fumbo ambayo inatosha katika kundi huko nje, fikira ya kikundi.

Ni ya huzuni vile ambavyo wametumia katika enzi zote na tena si mpya. Ukiangalia njia zote za kujiburudisha, ukielewa hizo ni nini katika hadithi za kitambo na vile zinaweza kutumiwa kwa watu na kuanzisha maadili mapya, ata kama si mzuri kwako, na utazichukua na utazifanyia kazi.

Nasikia muziki, ni hivyo ya leo usiku. Kutoka Hamish na mimi, hapa Ontario, Canada, ni usiku mzuri ni mungu ama miungu wako aende nawe.

(Imeandikwa na Leon)