(ALAN WATT Blurb ( Uzungmuzaji wa Elimu)

UMRI LA KATI ULINGANO

HADI

UHODHI WA KIBEPARI

TATIZO LA UTU WAKO KATIKA BAHARI LA TUFANI

Julai 27, 2007

Maneno yametoka kwa Alan Watt – Julai 27, 2007

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu


Hamjambo huyu ni Alan Watt na hii ni cuttingthroughthematrix.com na alanwattsentientsentinel.eu siku ni Julai 27 2007, masiku zinaenda haraka.

Kila mahali ndani ya Canada,Marekani na sehemu za Ulaya hali ya hewa imekuwa isiyo ya kawaida na hiyo ilikuwa lazima ifanyike ili ilingane na uongo wa ongezeko la joto duniani (Global Warming). Tumekuwa na mafuriko katika sehemu za Ulaya. Mafuriko katika sehemu za Quebec, mvua mingi na kila mtu bila shaka anafaa kuongea kuhusu eneo hili kwasababu vyombo vya habari haijawacha kuongea juu ya eneo hili na Al Gore anaendelea kuleta kesi juu ya eneo hili kwasababu hiyo ndiyo kazi yake. Hiyo ndiyo alivyofundishwa kufanya. Al Gore huyu mtu kutoka makampuni makubwa ya mafuta anahusiana na watu maarufu waliyoshiriki kwa usimamizi wa dunia zamani. Tunaonyeshwa vile madhara ya ongezeko la joto duniani inafaa kuwa. Majioni yamekuwa baridi kidogo hata Julai mwezi huu mimi na watu wengine tumelazimishwa kutumia jiko la kuni usiku ambayo ni mara ya kwanza kwangu. Niliuwa nikiitumia zamani pengine mara moja kila miaka tano unaiwasha mwanzo wa julai katika asubuhi chache za kwanza ili itoe baridi kidogo.

Lakini hii ni mpya kwasababu tumefunzwa pole kwa pole ati “Mungu wangu anga linaanguka” lakini hawajanoa kabisa kwasababu ndege zinaeza onekana zikikufukiza na hizo kemikali zinaanguka kila siku ndiyo maana kuna Ongezeko la joto Duniani pamoja na mfukizo HAARP( High Frequency Active Auroral Research Program) inatumika pia. Ni sayansi na sayansi hutumiwa kututawala katika kona zote za maisha. Naenda kuongea kuhusu hiyo sehemu ya maisha zetu na kuhusu vile tunavyo ona dunia. Tunavyoona dunia ipo kwa kile tunachokubali kama kawaida. Dunia una upande mbili kiasili yanayoathiri sisi sote kibinafsi kama taifa ama kama mataifa. Kwa kitu chochote kinachofanyika kwa hii dunia kuna tofauti yake. Hii ni kitu huufanyika kwa maisha ya sisi wote lakini hatujui ni nini. Ni sharia la asili.

Kwa historia katika umri wa kati watu wengi katika mfumo wa siku hizo. Mfumo ambao ulikuwa na Wafalme, Malkia, watu maarufu, Wadosi, katika hii mfumo waliyosoma ndiyo walifundisha wadosi na walitawala kama urasimu wa leo , kila mtu anafanya kazi pamoja kusaidia huo mfumo. Mfumo ambao watu wengi walikuwa hawajasoma. Watu hawa walifanya kwa mashamba na kama majeshi wa wafalme ili waende kuaribu kwengine na dunia ilikuwa inatawalwa na mungu ambao hakuweza kuonekana. Hiyo ndiyo waliambiwa peke. Mungu amabaye alijua kila kitu na fikira zako zote na angeweza kukukataza kuingia mbiguni. Mbiguni ni pahali ya usalama. Hii ni uongo ambayo watu wanaoishi kwa hali mbaya kufanya maisha ikuwe raisi kidogo wakifikiria watapata zawadi mbeleni hali mbaya ya maisha ikiisha.

Kwa mfumo huu watu wengi walijihisi nikama hawakuwa muhimu. Walijihisi wadogo kwa dunia kubwa ambayo hawakueza elewa. Haikuwa hadi mapindizi ya kiprotestanti ambayo ilikuwa mapinduzi ya kidini. Ilichukuwa fomu ya kidini kwasababu madini ndiyo yalikinga mfumo wa siku hizo. Watu maarufu walipata uamifu kutoka kwa watu vitu waliofanya kwasababu hivyo ndivyo Mungu alitaka na ili ondolea hatia kwa vitu valivyofanya kama vita, kuaribu, uizi na vitu vingine. Upinduzi wa protestanti ulikuwa upinduzi wa kihegeli(Hegelian) kama kila kitu hata kabla ya Hegel alikuja akaiita “Hegelian Dialectic”. Watu wakale waliijua vizuri. Walijua kiyu chochote kinachofanyika inaleta utofauti alafu kutoka kwa hiyo mapambano uamuzi mpya unatokea alafu tena inafanyika kutoka kwa huo uamzi mpya ni mwendo unaoendelea. Watu wengine wanaita maendeleo.

Leo tunaishi kwa mfumo tofauti kwasababu wale wanaotawala wanaelewa maendeleo huu vizuri sana. Inafudishwa kwa watu kidodgo waliochaguliwa katika msimamo wa juu. Wanaleta maprofesa kuwafundisha vitu kama hizi alafu wanajaribu kuchukua uamuzi mpya inayoenda kuwa mapambano ili waielekeze. Wanaelewa utofauti utatoka, wanaitengeneza ili waielekeze ndiyo maana unapatiwa upande zote ili wakuingize kwa ajenda yenye imeshatayarishwa.

Tukirudi kwa ma upinduzi. Upinduzi wa kiprotestanti ulikuwa jibu dhidi ya mfumo huu wa zamani ambayo ilikandamiza ubinafsi. Haikuwa hadi tabaka wa kati walianza kuongezeka kwa nambari na umuhimu hadi wakaanza kuongoza upinduzi wa kiprotestanti, kisehemu kwasababu mfumo wa zamani haiku tengenezwa kuwashugulikia ama kuwaingiza kwa utawalaji. Kwahivyo walijitengenezea nafasi kwa upinduzi. Kulikuwa na uhusiano na Warosikrushiano (Rosicrucians) bila shaka lakini huo nduo ulikuwa saa mzuri wa kutoa huo mfumo wa ukandamizaji. Ulikuwa ukandamizaji wa tabaka la kati na wafanyikazi. Watu wengi wa umma wa Ulaya walijua tu walichoambiwa na madini. Hiyo ndiyo elimu yao, elimu ambayo ilipewa kila jumapili alafu walienda nyumbani kuongea uu ya kanisa kwasababu wengi wao hawakuweza kusoma. Hawakuwa na historian a hawakujua kitu yoyote iliopita walipoishi.

Mapinduzi kwa enzi zilizopita ziliongozwa na tabaka la kati, sazingine waligharamiwa na mabepari wakubwa waliyotumia tabaka la kati kushindana na wengine. Katika mfumo wa siku hizo mafundi walikuwa na vyama. (Freemasons) wanapatikana wakiiongea juu ya hadithi zao na zilivyoanzishwa na wote wanafundishwa hadithi zinazofanana. Kuna ukweli kidogo ati vyama za mafundi na wafanyabiashara ambao viji zote ziilishi zilikuwa mahodhi ndogo. Waliweka mshahara na bei juu. Walifany pamoja kama mandugu. Hata London ilikuwa lazima wakuwe na sheria kwasababu vyama za samaki waliharibu bei hadi watu wakawaida hawakuweza kununua samaki. Walikuwa wanaharibu bei na makubaliano pamoja.

Baada ya Macrusedi (The Crusades) utapata watu wa pesa waliingia kwa nchi za Ulaya pesa zilitolewa kwa vita mingi yake kwa nchi za waislamu. Vyama vingine vilienda zikawa mahodhi kubwa zilizoenda kwa biashara za kutengeneza na kupatiana fedha za mikopo. Sote tunajua, wale waliosomea historia kidogo wanajua kuhusu waliofanya na dhahabu, walianza mfumo wao na kukopa dhahabu iliokuwa pahali na walipata wanaeza patiana noti badala ya dhahabu walioweka. Walipati hakuna saa ambayo pesa zilizowekwa kwa benki ziliuliziwa kwa hiyo saa. Leo badi inafanyika nawanaweza kupiga noti mingi chapa kushinda dhahabu walioweka, ujuzi wa kitambo. Ujuzi zilizotumika kwa ustaarabu wa enzi zilizopita kitambo sana.

Lakini mapinduzi hizi na upinduzi wa kilutheri(Lutheran Revolution) kulikuwa pia na upinduzi kwa mfum wa siki hizo wa kikatoliki ambayo watu waliishi maisha ambayo haikubadilika. Hakuna kupata maisha bora. Hakuna mtu wako. KIla mtu alikuwa kwa kikundi. Dunia ilikuwa rahisi sana kwasababu kitu ulichojua peke yake ni dini. Mchezi ulizoona zilikuwa mchezo wa kiadili zilizotoka kwa biblia ili uishi vile mfumo huo ilitaka waishi. Ili ujue kile kizuri na kibaya alafu ungethani ilikuwa ya mungu. Lkini ilikuwa ya mfumo.

Mapinduzi yakitokea kila saa huwa kunakuwa na upinzano kutoka kwa mfumo was unaoendelea, ilibaki vita na mfumo wa enzi hizo za kitatoliki iliotaka mfumo wa siku hizo ya walioheshimiwa na waliokuwa na pesa na maisha ambayo haikubadilika kuliko mfumo iliokuwa inakuja ya tabaka la kati kubwa na elimu yake ilikuwa inavuma kwa tabaka za chini kuhusu uwokovu wa kila mtu kama mwenyewe. Uwasiliano na mungu wewe peke yako kushinda mungu alioona kila kitu lakini alikuwa mbali na hakuna uwasiliano na yeye kwa hivyo mtu hakuwa muhimu. Kila mtu alihisi hakuwa muhimu kwa dunia. Ilikuwa ajabu kubwa.

Upinduzi wa kiprotestanti ulileta uhisia wa kuwa mtu wako na huo ulitoka kwa awali wa mfumo mpya uliotumia maadili ya kazi ya waprotestanti, ilipelekwa mbali sana kwa ulafi na usanyaji na giyo ilikuwa jamii ya watu waliojifikiria peke yao. Yangu na mimi, peke yangu. Kuna upingano kwa upinduzi zote, wanaiita maendeleo, kwa sehemu kupati mtu uhuru lakini huwa anajipata alipoanza na njia ambayo haukuona. Lakini kuna watu wanaoelewa hii sayansi nan a wanajua saa ambayo na vile inayoenda kufanyika.

Vyama za biashara, zingine ziliungana zikawa bepari wa mikopo, wakawa na faida kubwa, nguvu mingi na saa zingine watu waliojulikana vizuri kwa historia waliziongoza. Zilikuwa mahodhi na kwa mfumo mpya uliotokea hakuwa na kitu kilichoandikwa ambapo mtu angeweza kuwa na nguvu mingi, pesa na utajiri(mali) kushinda nchi ama kikundi ya ma nchi. Hikuwa mda kabla ya hawa watu waliokuwa na pesa, raslimali na uweko wa vitegauchumi baada ya vita vidogo na saa zingine vita vkubwa na jeshi ya kibinafsi, waliungana wakatengeneza vikundi viliyoshinda waliyoacha na ziko hadi sahi. Hao ndiyo wanatawala hii dunia. Wanoatawala biashara tena na mwendo wa kihegeli (Hegelian Dialectic) wakawa uamuzi. Inayoanza kama utofauti mpya kwasababu wakona upingano sasa wako kama mfumo wa enzi iliyopita na mfumo wa mpya uliotokea. Wanashikilia mfumo wao bila huruma na wana umiliki ya masayansi yanayotangulia zote. Kitu tunachoona leo ni ajenda yao ikimaliziwa kabla waipoteze hyo ndiyo maana ya matishio na hawa wasomi wa kifashisti. Familia za kitambo zilizopita za vyama na za wakopo, biashara na uhodhi wana umiliki wa mali mingi ya dunia, madini, wachimbaji, mafuta na zingine.

Kupigania uhuru wa mtu na haki zake inakuleta kwa njia yake ya kihegeli (Hegelian Dialectic) kwasababu kuna watu wengi wanaotofautiana na wana hitaji tofauti, hadi wanatengeneza vikundi ili wapate nguvu Zaidi alafu wanaweka masheria hadi mtu anapoteza haki zake kama mtu anakuwa tu moja wa kikundi inayoongezeka. Tuliona hii mabepari walipotokea wakaianzisha. Wengi wao walikuwa maharamia. Mabakio mengi yanarudi kwa siku za maharamia,(buccaneers), walipora na wakanyara alafu walitumia jamii za siri kuwasaidia kwasababu ilikuwa lazima waiweke siri iliwapate heshima kuhusu njia waliyopata mali yao.

Tunaona watu waliyokuwa walima waliingizwa kwa siku za viwanda na hawa mabepari walioahidi hawa walima uhuru yao alfu wakawajaaza ndani za viji vya viwanda vilivyoaribika, waliishi na mashida kwa hali mbaya walifanya kazi kwa masaa kumi na sita katika mamashini. Walikuwa na maisha madogo. Kutoka hapo kulitokea watu waliofundisha juu ya uhuru uliokuwa mpya. Uhuru ya watu wadogo, haki za kiasili, uhuru ya kiasili. Lakini kuipata walikuwa watu wadogo kwa vikundi vikubwa zilizotaka pesa. Nguvu hata ya kusaliti watu wengine na kushikilia chakula, makaa ama vitu vingine lakini ilikuwa rahisi kuona vitu na njia zote mbili.

Kila kitu inaleta shida ya kihegeli(Dialectical Problem) itayoleta uamuzi. Uamuzi huu utajaribu kushikilia nguvu yake wakati watu wengine wanataka kitu mpya. Watu wanaoshikilia uamuzi huu watajaribu kupingana na kushikilia wanachothani ni kawaida, hii imeendelea enzi zilizopita hadi leo, Inatuleta kwa shida hii, inamaanisha nini kuwa mtu wako?

Ni kitu moja kuwa na uhuru kwa akili yako. Ni kitu kingine kuthani uko na uhuru kwa akili yako, ukiangalia kitu mtu wa kawaida anachofanya tangu wazaliwe hiyo ni kuwa mtu wako kweli? Kila kitu karibu nawe kutoka kwa ujumbe kwa mabango hadi kwa elimu yako, hadi kwa matarajio za wazazi wako hadi kwa matarajio za darasa lako, hadi kwa matarajio za watu waliokaribu nawe hizo zote ni kukufanya ulingane na watu watu wengine. Ili mzaha wa kitambo kuwa tofauti vaa suruali(jeans) ni kweli.Ukiangalia watoto, sanasana wanaothani wanaofanya wanachotaka na mtindo wowote wanaotumia. Huwa hawawezi hata kufikiria ni nani aliwapatia mtindo wanaofanya hizo vitu nazo kwasababu hawazitengenezi kama wanamuziki kwasababu si hao waifikria kuvaa suruali zao chini. KItu wanaonyesha ni wanataka wanataka kulingala na hiyo kikundi iliyo na kawaida na sare yake. Umoja ni Ulingano.

Kwa enzi hii ya vikundi za nguvu, kufikiria kama kikundi, harakati iliyoanza kwa sababu mzuri enzi ya viwanda ilipoenda kuisha ili ipatie nguvu kwa mtu ikitumia madai za vikundi. Tunapata vikundi hizi zinachukuliwa polepole na watu wa nia mbaya(psychopaths) wanaojua kuongoza vikundi vikubwa. Hiyo ni kipaji wakonayo. NI hatua moja tu kuwa mtoto chini ya huyu mwongozi kwasababu hatuwazi toa ishara ya baba mkubwa kwa akili yetu. Ishara ambayo wakati moja ilikuwa mungu. Kila saa tunajipata kwa shida tukiweka binadamu hapo.

Tamaduni zote zinataka ulinagano, ulingano ni nini ukithai una uhuru ukitoa mavazi na njia ya kuishi? Unafundishwa tangu uzaliwe kuficha hisia hiari. Hisia hiari na kuzionyesha ni sehemu ya mtu halisi lakini wazazi wanazificha kwa mtoto. Tabia zingine lazima zitolewe ili kila mtu awe na Amani hata watoto wengine, lakini kuna tabia zingine za watoto amabayo wazazi wanajaribu kutoa kwasababu ya ulingano. Sheria za kikundi ama dini na vitu cingine vinavyosaidia hiyo kikundi.

Kitu kingine kitachoaribu uharia na ubunifu nii elimu, kwasababu imeshatayarishwa na wanaotawal elimu itakuwa nini.Kitu itakuwa ni njia ya kuweka na kushikilia huu mfumo, kikundi na utamaduni. Kwa muhimu ni ya kuweka wanaoongoza mashule ili waamue nini itafundishwa na nini haita fundishwa. Hisia kwa watoto zikifichwa utabaki sanasana na hisia za uadui kama uepukaji ya wazazi na utaskia ”usijifanye hivi mbele ya huyu au huyu, yeye ni mti mzuri” lakini mtoto kutoka kwa hisia ndani yake anatoka karibu naye. Hawapendi kitu kwake hawajui kwa nini lakini wanahisi kitu. Watoto wote watakuwa na matatizo.

Sisi sote tumekuwa nazo ndani ya dunia yenye ina kanunu nyingi, vitu za kufanya na vitu haukubaliwi kufanya, matarajio kwa tabia yako na hata kwa kazi inaitwa kazi la nyumbani na hizi vitu zote zimeshikana. Kwa hivyo watoto wanaambiwa lazima wakuwe wanavyoambiwa. Lazima wafanye inavyotakikana, mataraji ambayo wameekelewa. Wanakuwa wausi wanaionyesha kwa manjia tofauti sa zingine kwa njia isiyo mbaya. Kitu wanajaribu kufanya ni ku uasi ukosekano wa uwezo wao ambayo wanahisi kwa jamii ambayo hawaelewi. Hiyo ndiyo maana dini zimetumiwa kusaidia elimu iwapatie hizo kanuni zote na kuwaambia kwa nini vitu viko vilivyo. Elimu isiyo fika mbali. Wakati moja ilifanya. Leo na masayasi katika mahali ya dini, ni ngumu kuitumia kupatiana kanuni – si eti kanunu zote ni mbaya.

Ni kwa nini inatikana mtu alingane na wengine?

Watoto wanafundishwa hisia ambao si zao kama, kupenda watu wengine na kuwa wazuri kwao, usiwahakiki, na kutabasamu nao. Unawafundisha kuwa bandia. Tabasamu na huyu au huyu hiyo inafanyishwa na msukumo wa kijamii. Usipotabasamu na mtu, hata wasipotabasamu na wewe kama wafanyikazi kwa maduka kubwa wanayesema,”kuwa na siku mzuri”, kuwa na siku mzuri” kama mashine hizi ni vitu za kijamii lakini matarajio pia. Usipowatabasamia wewe si mtu wa kijamii. Una ainishwa mara moja. Hata kama unajua mtu anaye kutabasamia hajali juu yako ankuona tu ka moja wa watu wengi wanayepita kwa duka lakini lazima atabasamu ili asionekane vibaya. Tunafundishwa kuwa bandia ili tusaidie uchumi, inarudikwa maisha yako lazima ujifanye ilifutwe na mwenye kazi.

Ni mbaya Zaidi ukienda juu. Kama wewe ni mfanyikazi wa chini, hao hawajali, wanafanya pole pole na hawajali kama waneweza kukufanya uende kazi, lkini wanakujaribu kwanza. Lakini kama unajiuza hiyo ni kitu kingine. Lazimi uwe mzuri na ujidanganyishe una furaha. Unafaa kuwasha na kuzima tabasamu kama taa, hiyo si asili. Kila mtu leo anafanya sehemu yao kwa jamii ambayo hawaelewi na kwasababu hawawezi kuielewa wakona matatizo ndani yao, wakona matarajio ambaye jamii imewafundisha kutarajia na zimeharibiwa – wanataka kulaumu watu wengine saasana kikundi. Watu wengi wanafikiria kama kikundi na wanajitambua na hiyo kikundi, tamaduni, watu ama dini. Kwa hivyo wanataka watu wakulaumu na mashida zao. “Kama haingekuwa hawa tungekuwa hawa tungekuwa tukiishi vizuri. Ni kiyu ya kutoka kitambo sana.

Bila shaka utaifa, makabila ambazo zina nguvu huwa zinatumiwa na watu werevu sana kujaribu kutawala wengine. Tena hii ni kitu ya kitambo sana, huwa kuna ukweli kidogo hapa na pale kwa vikundi vinazo pingani kwa historia. Huwa wanafanyina vitu vibaya sana. Hii ni endelezo tu ya wanandoa wanaoishi pamoja ambao hawafai kuwa pamoja, wanafanyiana vitu vibaya pia na wanalaumiana kwa shida zote za maisha yao.

Kama hatuwezi pita ile ndogo tunwezaje pita ile kubwa ya mataifa na watu waopigania nguvu. Hiyo ndiyo maana kwa enzi zilizopita walikuwa na mithili ya fashia(fasci) na mithili ya adui wetu. Moja ilisimamaia wanataowala, mfumo wa nguvu, fedha, biashara. Ingine ilisimamia watu pamoja wakijifanyia, nji ya kihegeli(Dialectical Process) vinyume. Lakini moja ikishinda ingine inakuwa dunia mbovu sana hata kwa walieshinda mwishowe. Hiyo ni asili ya binadamu.

Hisia zikikandamizwa unapoteza hiari kwa maisha na hiyo ndiyo kitu tunaona leo. Tunaona matarajio, tabasamu kama wanyama wengine. Ni ishara inayoenyesha hakuna tishio ama tuko tayari kufanya inayotarajika.Tumefundishwa kurudi kwa tabia za wanyama badala ya kujionyesha vile tuko. Kuwa mtu wa hisia siku hizi inalingana na kuwa mtu asiye sawa au timamu. Hii inatoa nguvu kwa mtu. Hii inanyorosha utu. Inanyorosha uzungumzaji ndani ya watu. Kwa hivyo wamewachwa na vitu hazina maana. Lakini kama kitu yoyote yenye imekandamizwa itatoka na njia ingine. Inatoka kwa jamii na njia elfu moja na hiyo ndiyo maana ukona hizi nyimbo ambazo zinasema vitu ambaye wato hawawezi onyesha kwa maisha zao. Viwanda yote inaenda juu hadi kwa - digrii, ni kitu sawa na sinema. Inaonyesha vitu watu wanacho taka kwa maisha yao na njia ya sinema kwasababu watu hawana hisia kwa maisha yao. Si tu kukubali hisia lakini kupatiana pia. Haionekani vizuri. Utamaduni ikiendelea kuwa ya kisayansi ndiyo inaendelea kuwa muhimu kwa waotawala kukandamiza hisia za watu. Tunakuwa kama mamashine.

Watu wa kigrki kwa enzi zilizopita walikuwa na michezo waliyoita mchezo wa tanzia. Hizi michezo zilipitia matatizo za kila mtu, furaha ya kuwa mtoto, furaha ya kuwa na marafiki. Furaha ya vitu mingi ama kuwa na familia ama watoto ukiwaona wakikuwa wakubwa, ukiwa kwa maisha yao, zilipitia kifo pia. Utamaduni tofauti zinaangalia kifo kwa njia tofauti. Kama kuna uhuru wa kuwa mtu wako kwa utamaduni wata jifanya vitofauti kwa kifo kuliko watu wanaofikiria kama vikundi. Kwa Ugiriki waliweka muhimu kwa maisha tatizo moja maisha na kifo. Waliwea muhimu kwa maisha na wakaonyesha maisha, ishi maisha vizuri, ati kifo ilikuwa kitu kibaya ambaye vivuli zinge enda na hazinge fanya vitu mingi sana, zinge kuwa tu hapo, hawakuongea juu ya kifo sana.

Wamisri walikuwa tofauti. Walikuwa na mafarao na waliyetawala Misri walikuwa na nguvu ya mungu hapa kwa dunia. Walichosema ilikuwa sheria. Walichosema ilifanywa bila swali. Walikuwa mamungu hapa duniani na kwahivyo waliamini mwili ilikuwa bila mwisho diyo maana walijaribu kuiweka hizo mwili kwa milele baada ya kifo na kuipaka dawa. Hawaku amini kitu iliyepita maisha hapa.

Ukristo kwasababu ilifanya na biashara ilipanda juu ya ufalme kutoka siku za Constantine- mfuo wa biashara ya serikali kwa hivyo ilikandamizwa sana. Maisha ilifaa kuwa kwa kisehemu ya mashida na mara mingi ilikuwa ya huzuni, walikupatia mbiguni ili itulize watu na ahidi za maisha bora baada ya kifo, zawadi yako. Leo sisi tuko hapa kwa Jamii ambaye sayansi imekuwa mungu, inatuambia juu ya vitu mpya ambazo zinapingana na walizo tokea nazo kabla ya hizo ama hata ya jana. Hata hivyo Kama mungu wote wanataka kutawala kila kitu, ndiyo maana uniona Sheria zikitolewa zinazotoka kwa sayansi kuhusu sisi na vitu lakini hata kwa hii enzi ya kisayansi watu wanakataa kifo.Unaezathani ni kitu ya kicheko lakini ni ukweli kwa sababu hatufundishwi juu ya Dini mapema kwa maisha yetu. Hatuna kitu chochote lakini sayansi - zinazokandamiza watu. Tumeambiwa sisi tulitokea hivyo tu katika asili. Tunawaangalia wakitengeneza watu na mashindano hata Kama imeshaonyeshwa kuna vitu vibaya sana kwa hizi shindano. Hiyo ni bila Shaka. Kwa neno lingine hakuifanywa na makosa.


Lakini watu wanakataa kifo kwasababu wameiogopa. Hawawezi ongea juu yake na wanaonyesha uoga wao kwa mkia nyingi. Kifo na matatizo inayofanyikia watu wengine, saa zingine kila mtu Mara Moja sana sana matatizo ndiyo inafanyika hivyo. Kifo ya miaka lazima ije. Na hiyo ndiyo ulikuwa sababu ya watu kutaka kuishi maisha. Ulikuwa unapenda maisha kwasababu ya hizo vitu. Ilikuwa sababu ya watu kuja pamoja kwa siku za matatizo.

Bila matatizo kwa maisha hauwezi kuwa na asante kwa vitu vizuri maishani. Kwa hivyo ukikataa kile kibaya maishani hauta furahia kile kizuri pia. Hauta pata kile kizuri. Utakuwa ukiitafuta na kujaribu kuziba hiyo shimo na njia zingine. Ni kula peremende ya bei ndogo ukishakula ya bei kali na haijalshi mara ngapi watu wanakataa kifo, iko hata ukijaribu kuikandamiza.


Hiyo ndiyo maana watu hawafurahi maisha yao sana. Wana uoga ambayo haitaki kutoka. Tunaionyesha huku Ulaya ma Marekani, uoga kubwa ya kifo na pesa mingi tunayotumia kwa vita ga za watu ni kama wanawalipa. Ni kama wanajaribu kufurahisha kitu lakini kando ya kupatia wanaoshugulikia matanga pesa, ni Pahali pa kuonyesha hisia zetu hata kama watu wakona aibu kufanya hivyo kwa Jamii yetu. Tunatumia pesa nyingi sana kwa vitanga ni ajabu. Hiyo ndiyo maana (New Age) ilitolewa ili izibe hiyo shimo na kulinganisha watu na ajenda ambaye Hawajui. Ni kuwafundisha ili wakubali Jamii mpya ambaye inatawalwa na watu wanayeelewa vitu ambaye nimesema leo.


Wakona wanasayansi, wanahistoria, wanafilosofia na wanaona wakati ambayo hataweza kutawala vizuri na itawalazimisha wa rudishe chini nambari ya wanaoishi duniani. Hawa ndiyo watu walioharibu mfumo uliopita. Wanaowafuata wameamua kutupeleka kwa mfumo unaokuja ambapo matatizo zote zitatolewa na kutoa wote wanayeweza kufikiria. Hii ni mbiguni yao, na so mzuri kwetu kwasababu sayansi haina roho. Hiyo ndiyo asili yake na ikipatiwa nguvu ya Dini kunakuwa na vibaya vingi sana kwasababu itataka Sheria zitolewe kuhusu kila kitu hata maisha yetu.

Haijalishi hata kama hizo sheria ni wazimu ama sababu yao ya kutoa sheria ni wazimu bado itafanywa. Tuliona hii kisehemu huko Urusi na sheria zilizokuwa huko zilikuwa wazimu sana. Lakini leo hizo sheria zinaletwa hapa na watu wanaofikiria kama hao. Watu wanaotaka kutawala kila kitu hawajali juu ya taifa yoyote. Haiwajalishi kama wote wanaotawala wanasikizana.

Wanaoagalia ungonjwa wa ubongo(Psychiatry) ilitumiwa kwa sababu nzuri ilipoanza, walitoa kandamizo nyingi zilizoleta ugonjwa kwa watu wengi. Lakini kama kawaida walipopata nguvu walianza kujaribu kulingana na wengine. Walionza walienda na waliobaki ni wale waliotka kulingana. Si watu wabunifu wenyewe. Wanaochukua lazima wajaribu kulingana na watawekelea majina wale wasiotaka kulingana.

Unaezi linganisha watu na sisi sote ni tofauti? Kawida ni nini?

Kawaida ni kulingana. Tukichukua watu wa kawaida kwa zile siku za kikomunisti huko Urusi wako tofauti na watu wa kawaida huko Urusi leo. Utamaduni inapatiwa kwa watu ikishakubaliwa na wanaotawala kwa enzi zote. Ni hivyo hata huku Magharibi. Watu kidogo wanaotwala wanahakikisha unapata vile unachofikiria dunia inafaa kuwa kutoka kwa Sinema na runinga, na unafaa kujilinginisha na hiyo lakini haiku kwa hii dunia isiyo ya runinga. Programu yoyote kuhusu nyumba yenu, polisi, hospitali na afya zote ni propaganda ikupatie uongo kuhusu zinazofanywa kwa hizo nilizosema ili uziamini.

Kutoka siku ya kwanza shuleni unafundishwa kulingana. Kufikiria peke yako ni mbaya. Si hadi watu wengine na wanao uwezo maalum wanatolewa kwa mashule ya kawaida wanipita chuo kikuu wanaenda kwa shule iliyopita hiyo alafu wanafundishwa vitu hata maprofesa hawajui kwa chuo vikuu. Wanaingizwa kwa kiwanda cha vita, masayansi yalioshinda fizikia, ni ya mandege ya mbele, virusi na bakteria ya vita na vitu ambazo hatufai kujua kwasababu akili yetu itazimia tukijua vitu zote za kutishia ambazo wanaotawala wakonayo.

Kuna viwango tatu za sayansi. Kutoka maprofesa kuenda chini hizo ni za kawaida hata profesa hajui. Wengin wanagundua baadaye kwa maisha, lakini wale werevu wanao uwezo. Haimanishi eti ni watu wazuri wengi wao si wazuri. Hawajali juu ya wengine (They have Psychopathic traits). Wanatolewa kwa chuo kikuu wakionekana alafu wanafundishwa yale masayansi ya juu, kwasababu wanaotawala hii dunia wameji tayarisha kwa muda wanaotumaini ni milele, lakini hawawezi kuonyesha umma hii panga wanaoshika kwa kichwa yetu.

Vile ninavyosema kunyorosha hisia kwa jamii ni kutaka tu kulinagana. Wanaonyesha vingine watachukuliwa ili “watengenezwe alafu warudishwe kwa hii jamii ya kawaida.” Jmii ambayo kila mtu anahisi vibaya. Familia zinaanguka kwasababu hii ndiyo enzi ya mafamilia kuisha. Ilishafanyika hata kabla hatujazaliwa, kwasababu mahusiano zetu leo hazifanyi, tulikuwa tunafuata njia ambazo zilifanya kwa enzi zingine zilizokuwa na utamaduni tofauti. Hizo zote zimechuuliwa kwa watu lakini bado wanajaribu kufuata iliyopita. Unaona matatizo kila mahali kwasababu mfumo huu ni katili. Mfumo wote wa biashara ni katili sana. Ni mfumo wa kupigania vitu na kama amabpo kila mtu anafundishwa kupigana na wengine na kama unajua vizuri inasemwa umefaulu.

Leo kuna kidogo wanaoweza kuunga utu wao, kitu ambayo iliyo semwa sana kwa enzi zilizopita vile vitu hazikuwa na zinatatiza sana. Watu hawakuchukua kutoka wengine sana. Akili haikushambuliziwa sana na ndio kila kitu wa runinga ni ya kushambuliza akili. Imewekwa ili ikufanye usihisi furaha na kile unacho. Bila shaka wanajua hauna furaha kwa hii mfumo inayokutawala. Kwa hivyo wanakupatia vingine vinavyokuahidi furaha.

Kwa enzi zilizopita ‘Jijue” ilkuwa kitu amabayo ilifaa kukupeleka kwa nguve na furaha ndani yako, kwasababu hiyo ndiyo pahali inaweza kuwa peke yake. Hitoki inje ama kwa ktu chochote iliyotengenezwa. Inatoka ndani yako na ni hivyo hata na vile uko na wale unaojua. Hakui na mtu kwasababu huyo mtu atakupa furaha. Hiyo ni fikira ya magharibi iliyokuja na wazo la biashara na unyonyaji. Lazima uwe na furaha ndani yako, tumaini mtu ambyo uko naye ana furaha pia ili kitu ya kweli iwe.

Leo tumewekwa kwa giza na wanotawala. Familia za nguvu sana, nasaba zilizo na mali iliyotoka kwa mfumo kikapitalisti, wa kitambo sana, wamehodhi wakahodhi hadi karibu wawe wenye dunia yote. Lakini na mwandiko hiyo yote inaweza haribiwa. Jibu n rahisi sana ndiyo maana tukona serikali na mabingwa wanatuambia akili zetu ni ndogo sana kuelewa majibu. Hiyo ni mbali na ukweli. Hiyo ndiyo uongo kubwa kwasababu matatizo ya maisha ni rahisi kuona na jibu zao pia. Kuzifanya ndiyo inachukua kujaribu kidogo sana sana na wewe.

Saa zile Betrand Russell na wengine waliongea juu ya kutengeneza dunia ambayo watu hawawezi kufikiria peke yao- lazima wamibiwe na mabingwa cha kufikiria, lazima wawachie mabingwa waamue yanayohusu maisha yao, aliimaanisha wote waliimanisha. Wanatuambiwa mashida ni ngumu sana mabingwa peke ndiyo wanaweza kuzielewa. Hii nikutufanya tusiijamini na uwezo wetu wa kufikria juu yale mashida yanayojambo, ili tusijiamini. Inaleta hisia ya udhaifu katika vurugu vya data. Tunafa kungojea kwa uvumilivu wa ujinga hadi mabingwa wamepata cha kufanya na njia ya kuchukua na sindiyo hatutaelewa uamuzi wao itakuwa ya kioja, mara mingi ni kwasababu ni ya sababu ingine na wanayotuambia.

Tunakuwa kijinga kwa hii mfumo kwasababu tunathani tunadanganywa kila saa na kwasababu ya hiyo hatuna Imani kwa watu wengine na hao sisi. Hii inafanywa kuharibu uwezo wako wa kufikiria peke yenyu. Ilizungmuziwa kitambo na waliotawala na vile wangezifanya na tumezaliwa mfum ambao tumefundishwa tusijiamini. Watu wanapenda programu za televisheni za wanaozungmuza na wengine kwasababu hawajui hawa watu ni watendaji wano watu waliyo tayarisha hiyo programu. Ziko hapo pia zikupatie unachothani ni uamuzi wako kwa kitu inayohusu. Zio hapo ili zikuonyeshe vile hii dunia ni kubwa na ya kutishia na vile wewe si muhimu. Ni hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa enzi za kati, ulipokuwa kitu kidogo kwa dunia kubwa ambayo haukuweza elewa na uliwachia mapadri, walionapesa, walioheshimiwa, wafalme na walkia kila kitu.

Ilikuwa muda ili nafasi ya kuwa mtu wako kuchukuliwa na watu. Kwa watu wa kawaida ilichukuwa mateseko mengi na mapinduzi kutuleta pali tuko hapa. Wanaotawala wanatawala kwasababubu huu ni mfumo wao na pesa. Hauwezi baadilisha kitu kama bado unatumia hiyo shida. Ilitajirudisha kwa pande moja ya kihegeli(Dialectic).

Leo watu wanajaribu kutoroka utu wao ili waribu ndiyo maana unaona vikundi vikubwa vikitokea, wanaoongozwa na wale wanotawala huu mfumo. Ni rahisi kutawala watu wengi na mwongozi moja wanoopewa kushinda kupitia kila mtu peke yake. Kitu ya kitambo sana. Tengeneza kikundi weka mtu wako. Sasa unatawala akili za hao watu. Watu wanaunguna vikundi hapa na pale kujaribu kupata majibu. Mimi huuambia watu kwa kitu chochote umeamua kuna kikundi imetayarishwa ili uungane nao imetengenezwa ili uungane nao na itakuongoza kwa kitu unachotaka kuamini ama kufanyia kazi. Utakuwa mtu anayetaka kuwa mjinga, hajui nani anayemwongoza.

Si kwa makosa ati misingi makubwa na misingi zisiyo za serikali ndiyo wale wanyosema haki zenu zichukuliwe kuhusu, mali, nyumba na sehemu zingine za maisha yako. Si kwa makosa wanapata pesa kwa watu wanotawala hii dunia na wanachukua Zaidi na Zaidi kila saa na wanatumia hizi misingi kwa ile pande ingine ili sheria zipite, wanatuambia ati mtu wa kawaida ni kijinga sana kuongoza kitu kidogo kama mali ndogo. Sisi ni wajinga sana inachukua mabingwa kufanya hizo vitu. Hivyo ndiyo wanasema.

Kuwa chonjo na wale wanaopata pesa kwa hizi misingi na wanasema ati wanakuzungmzia na wanataka kukuletea uhuru kwasababu ukiwapatia nguvu utaona marudio ya itu vikundi vikubwa vilifanya kwa historia. Itakuwa jahanamu hata kwa wale waliosaidia kuileta. Kuwa mtu wako kitu ya kutafutwa na ufanyiwa kazi. Inachukua kuelewa yaliopita na kwa muhimu Zaidi kujielewa. Ukijifunza kuwacha kujilinganisha na watu wengine , kama haujivai kama watu wengine ama haujuunganishi kama watu wengine – unajifanyia vizuri. Mtu huwa mtu wake ama wakujiunga na wengine.

Watu wanachanganya mwenendo na utu wako. Wasomi ndiyo wenendo Zaidi kwasababu njia mpya ya kuandika, ujuzi ama shairi ikitokea kabla huujue zinaongezeka na waniingia kwa vikundi alafu wanaongea maneno mazuri wenyeji hadi zinakuwa zisizo na maana wakijaribu kuvutiana na ujuzi wao. Mwenendo ni njia zingine za kutengeneza ulingano. Tukijaribu kuvunja ukuta za gerezani mara mingi tunatengeneza zingine mara moja.

Kitu iliyokuja karibu na utu wako kwa siku zilizopita ni wale ambao hawakutaka kutawalwa na serikali(Anarchy). Siyo yule aliyoenda akilipua kila mahali, lakini(Anarchy) kwa maana yake ya keli ilimaanisha mtu ambaye hakulingani na kawaida ya wengine. Hakuumiza wengine. Aangeenda kila mahali akiskiza kilichosemwa. Angekubali ama akatae hange kubali kulazimishwa kukubali. Angechukua yaliyo na maana na awache yasiyo nayo alafu aende njia yake. Hiyo ndiyo ilikuwa maana yake. Hapa ni sanduku tuanpoishi. Unaona huu ndiyo ule sanduku wa dini. Ahidi kutoka kwa huyo mungu ulikuwa hadi jua iwache kuwaka, hizi sheria zinge tengenezwa na watu wangeishi.Hiyo ndiyo ilikuwa Sanduku la agano, bila shaka. Agano huu ilikuwa ndiyo utakuwa na siku za mawingu na utataka jua. Utakuwa na masiku mbaya na utakuwa na mazuri hiyo ndiyo Unaeza tarajia kwa hii dunia peke yake. Kitu chochote ambayo haikuwa ya hiyo mfumo ilikuwa wasiyotaka kutawalwa na serikali (Anarchy).


Wale ambao hawalingani ama hawi vile inavyotakikana kwasababu hiyo ndiyo ma tarajia wanaitwa wasiyotaka kutawalwa na serikali (anarchists). Ilikuwa njia ya kupinga serikali ikaenda ikaungana na harakati zingine.

Sisi ni viumbe wa kijamii. Tunapenda kuwa na wengine. Shida yetu ni kama bado tunaweza kuwa na wengine na tubaki na utu wetu. Utapata watu hata marafiki wata kugeukia ukiwa na maoni mengi yaliyo tofauti na kile kinachowalinganisha pole pole kama kikundi. Wanaanza kufikiria kama kikundi bila kujua. Ni kitu kinachotishia hati watu wengi lazima wakufanye uone sehemu yao ya jadili na kuzidisha lazima wakufanye ukubali na hao.


Sina shida na kukubali kuwa na maoni tofauti juu ya kitu na kuiwachia hapo bila kukosana utapata watu wengi watakosana kwasababu wanataka ufikirie wanavyofikiria. Tunapata hiyo kila saa kwa maisha yetu hiyo ni sehemu hii mfumo ambayo wanaotawala walitupatia uchumi, biashara na pesa. Tuna shida na utu wetu pia tunaweza nao ama hapana. Hiyo ni swali kubwa sahi.


Watu wengi watependa kisoshalisti. Wanataka kubaki Peter Pan kwa utoto na mchezo.

Mjinga peke ndiyo anaweza kufanya kitu kama hiyo kwasababu usipo kua hauta jua dunia na wale wanaotaka kukutawala na kukufanyia vitu zingine. Watoto hawaambiwi ukweli na uchaguzi wa kukataa kujua ukweli hi huo ni uchaguzi. Ukiona macho za watu zikipotea unapowaambia kitu muhimu itayosaidia maisha yao ama maisha ya wengine wanachagua kubaki Peter Pan ama kudhubutu kujua inayomaanisha pengine watadhutu kufanya kitu. Inamaanisha kuwacha yale yanayokustarehesha, si za kweli lakini hizo ndizo vitu hii Jamii imekupa kuamini.

Ni hivyo leo usiku. Kueni na wikendi mzuri. Kutoka kwa Hamish na mimi, usiku mzuri, Mungu wako ama Miungu wako aende na wewe.