ALAN WATT(BLURB)

MAMA USIWACHE WANA WAKO WAWE WAVULANA

WA VIAPO

NJIA ZA KUFUNZA JESHI ZINAFUNULIWA

July 6, 2007

Maneno yametoka kwa Alan Watt.

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu

Hamjambo, mimi ni Alan watt na hii ni cuttingthroughthematrix.com, utanipata pia kwa alanwattsentientsentinel.eu ni Julai 6 2007.

Ukiangalia historia ya vitu zimezotuleta hapa hadi sahi utapata matayarisho kuu sana ya kutengeneza hii enzi tunayoishi – enzi ya mabadiliko. Enzi ya mabadiliko ambayo ingetingisha dunia.

Kwa 1950s na 60s na katika 70s, na nikona vitabu zee kushinda hiyo muda – wengi wa waandishi waliyokubaliwa kutoka mashirika kubwa za kufikiria; misingi kubwa yaliyoungana – utapata ukirudi kwa jiwe kuu la msingi ya piramidi walitoa vitabu nyingi kuhusu ajenda yao na utengenezaji wa wa jamii mpya. Walikuwa wanaifanya kabla ya Vita ya Pili ya Dunia na kifalme taasisi ya masuala ya kimataifa(Royal Institute of International Affairs). Baada ya Vita ya Pili ya Dunia waliongeza mbio wa mchakato, kwasababu walithani wanaweza kukimbiza jamii kasi wakifikiria ati kila mtu amechoka na vita ambayo ilikuwa kweli, ati sote tungeangukia serikali ya dunia.

Waliandika juu ya utengenezaji wa kabila kuu ya dunia. Walileta masalfalsa kwa mikutano zao fikira. Walileta mabingwa kutoka masayansi zote, ili wawape historia na ushauri juu ya kutengeneza hii kabila kuu ya dunia. Kwa sababu mfumo huu ilikubaliwa kutoka juu kama watawalaji wa kitambo ilikuwa kiasili hati waliangalia njia za kutawala watu za jamii ambazo ingekuwa lazima zifanye kwao tukipitia mabadiliko tukienda kwa hii kabila kuu ya jamii.

Walijua vizuri juu ya vita vya utamaduni. Walijua vizuri tatizo ambazo uhamiaji wa watu wengi ungeleta na wananchi wa utamaduni tofauti. Lakini walithani ni ya thamani. Ilikuwa lazima ifanywe kwa hivyo wangeifanya. Wangekimbiza michakato ya asili jina iliyotoka kwa enzi zilizopita na jamii zilizofichwa (occult) kutoka enzi za mbali sana. Kwa maneno mengine wangejaribu kutatabiri mahali asili ingepeleka jamii kwa mamilioni ya miaka ili wakimbize hiyo mwendo. Tofauti ilikuwa walithani wangeweza kutawala shida ambazo zingetokea na wazipite. Njia tofauti za kushinda hizi shida zilizungmziwa sana na bila shaka ugaidi ilifikiriwa kuwa ya maana sana kwasababu walijua kutoka kwa mafalme zilizopita, kama hakuna watu wengine wakupigana nao wanatafuta adui kati kati yao alafu wanatengeneza hii kitu inachoitwa ugaidi. Wanawapa fedha hawa wagaidi ambao saa zingine hao si wagaidi wenyewe na saa zingine ambao hawana ubinadamu(psychopaths) wanaowafanyia kazi na hawatapatwa lakini bora adui amepata lawama ama mtu mwingine imefanya kazi yake ya kutengeneza uoga kwa jamii. Hiyo jamii itarudi kwa serikali ili iwasaidie na maserikali wanakubali bila neno. Haya yote yaliongelewa.

Waliongea pia juu ya utawalaji wa jeshi na polisi kwa jamii, kwasababu hapo lazimi ulipe mapolisi – polisi kubwa sana vizuri. Wanazoeshwa kama majeshi alafu pia ukona jeshi. Ndani ya hii kabila kuu walichoongelea. Kwa mafunzo ya utamaduni kwa dunia yote wangechukua waliyotaka ili watengeneze jeshi la hii kabila kubwa.-- undugu mpya. Yote yametolewa kwa silika za ukabila, ukielewa silika za ukabila na vile watu wata kuja pamoja saa zile vitu zinaenda vibaya na itakuwa ya nguvu sana hadi watajiona kama aina ingine na umma.

Baada ya umri la kati na vita zingine kwa mataifa ya uarabu na vita vya msalaba. Walienda katika Ulaya wakiharibu na wakichukua. Wengi wa hao waongozi wakuu walikuwa majeshi wa heshima alafu wakawa mabwana kwasababu ya viyu waliyoiba.

Sababu hii ilifanya vile ilivyofanya, ninavyosema ni kwasababu walikuwa pamoja. Walipoteza maathiriaya kiasili katika umma, walijiona kama undugu tofauti na hii ilitumiwa kwa jeshii kwa saa za vita na utulivu. Kitu ya kwanza jeshi mpya anaambiwa ni ati hao ni maalum sasa “maalum.” Hao si moja wa umma. Hao ni binafsi na familia yao mpya ni hao walio karibu naye. Familia zinaweza kuja pamoja wakisaidiana kwa saa za tatizo na kwa jeshi mtu aliye mbele au nyuma yako ana wajibika kwa maisha yako na wewe kwa yake. Hivyo ndiyo inafanya. Rahisi sana. Imeeleweka na imekuwa hivyo kwa miaka maelfu.

Kwa hivyo waliongea kuhusu utengenezaji wa hii jeshi katika kabila kuu ambayo ingetawala jamii tukipitia mabadiliko makubwa. Hata masomo ya karibuni kuhusu udikteta zimeonyesha madikteta wenyewe walielewa hizi sayansi, na kwasababu mara mingi kabla ya udikteta uanze upinduzi huwa inafanyika alafu inashinda na inatawala. Kuna muda wa mafunzi inayofanyika kwa wanaoanza. Muda wa matatizo ndiyo saa mzuri wa kuajiri jeshi ama mapolisi. Wengi wa vijana walioajiriwa walikuwa wanaishi chini ya watu wa kawaida kwa tabaka za chini na ndio kuna matabaka tusijidanganye hapa. Kwa hivyo wanapatiwa nafasi ya kuwa maalum na kuwa na nguvu juu ya wengine, mtu anayehisi hana saada anaweza kuwa shida kwa jamii wakipatiwa nguvu. Watafanya kitu chochote wamechoambiwa kufanya kwa umma bila kujali juu ya kawaida ya jamii wanayotawala.

Wadikteta wanajua ati lazima wawe na mafunzo kwa mashule. Tuliona hii na vijana wa chama cha kikomunisti, na vile hao walishtaki wazazi wao. Bila shaka wangeua wazazi wao pia wengi wao wangeambiwa. Mafunzo tofauti sana na ya wazazi yao na hizi sayansi zinaeleweka vizuri.

Kitu sawa ilifanyika kabla ya vita ya dunia ya pili, Nazi walipotengeneza vijana wa Hitler. Kwa kweli, ilitengenezwa kutoka kwa ile ya kikomunisti na kwa sehemu kutoka maskauti wavulana. Kwa 1900s kutoka London hii mwendo ilianza kupata watu wadogo kwa miaka ya 12 ama ndogo kushinda hiyo ili wawkwe kwa sare kwa ile inayokuja – kuwafanya wazoeshwe kuvaa sare. Ukivaa sare, unapoteza utambulisho wako. Unakua mtu anayefikiria kwa vikundi, kikundi imeyokubaliwa. Kikundi inayonidhamu, inayofanya wanachoambiwa na mwongozi. Masayansi zote zimeeleweka vizuri sana.

Niliongea siku moja na mtu aliyekuwa kwa vijana wa Hitler na alitoka Poland na alisema kitu ya kiasili na kweli. Alisema alikua kwa umaskini. Watu wanasahau virahisi sana kwasababu waliambiwa juu ya hiyo, saha wadogo, huzuni kubwa( The Great Depression) haikiuisha hadi vita ya dunia la pili ilipoanza, kwote kwa Ulaya na sehemu za Canada na Marekani. Huyu mtu alikua kwa familia ya kawaida hapo chini na alipatiwa nguo zake za kwanza si zilizotumiwa, mpya, na hiyo kikundi. Kwa hivyo alikuwa na upendezewaji kwa hawa watu waliojali juu yake kwasababu kwa jamii ambayo kila mtu anapambana kuishi na magombano yanatokea katika mafamilia kuhusu pesa na zingine, kuingia kwa shirika za nidhamu ambayo madikteta wote wanajua. Shirika la nidhamu inayowapatia muda kama watu pia na wanapata heshima ambayo wameuziwa. Wananunuliwa na wanauzwa. Wanauziwa fikra ya kikundi na maadili ambazo zinazoingizwa kwao kwa kikundi. Miaka tano ama kumi zikishapita unapata kikundi la nguvu iliyofunzwa itayokuwa jeshi. Kikundi ambayo ongea nayo kwasababu mafunzo yao na na uaminifu kamili kwa sare wanayovaa. Hii inatuiwa tena.

Nilijua miaka ishirini zilizopita ati michezo ya video ilipokuwa ikisukumwa kwa vijana ili zishike, lakini muhimu kushinda zilitengenezwa kwa sababu za jeshi ili iwafanye waue bila kufikiria. Hiyo ndiyo maana zilitengenezwa kwa mwanzo ilikuwa ya jeshi.

Nilijiua miaka ishirini zilizopita ati kizazi kingekua na walipofika ishirini na kungekua na matatizo kubwa, kwasababu alafu kitu ilikuwa lazima ifanyike kwasababu kama watu juu hawangetaka kizazi ambayo haina na kuua iwe haingefanyika. Kama wangetaka kuirudisha nyuma kwa sababu yoyote hata kwa umri la kati wangefanya hivyo. Hiyo ni kweli kwa kila kitu ya utamaduni, wangekupa hiyo utamaduni. Lakini wangekupa utamaduni tofauti, utamaduni ambayo watu wametawalwa na michezo za video. Muda mingi sana wanayotumia ya maisha kwa michezo na wanafunzwa. Walipatiwa muziki ya aina mbaya, inayoendelea kuwa mbaya, kuwapatia juamii ya ukaidi. Hii yote ilifanywa kwa makusudi kwasababu hizi vitu zote ni sehemu ya kutengeneza utamaduni na utawalaji. Wana mabingwa wanaosomea hizi zote na wamekewa nao kwa miaka ya mamia kama si maelfu. Hawa kubali chochote kifanyike ambayo inaweza fanya wapoteze nguvu.

Vijana wa Hitler na vijana wa kikomunisti hao vijana waliokua baada ya hiyo upinduzi –hata kama ni ya Hitler, upinduzi wa kinazi ama ule wa kikomunisti – hawakujua juu ya maisha kabla yao. Hii ilikuwa saa yao. Kila mtoto anayezaliwa anafikiria kuishi wao kama muda wao, kwa hivyo hawakujua vile vitu vilivyokuwa. Hawakujua zilivyokua miaka kidogo zilizopita, watu walichukua haki zao. Hawakujua ati mwananchi wa kawaida alikua na haki na si hiyo peke yake mafunzo yao iliwafanya wasijali. Nguvu inakuwa haki. Wanapatiwa kanuni za kufuata. Wanapatiwa utamaduni za kufuata, jeshi

kabila kuu na vizuri sana, na yote imetengenezwa na mabingwa. Anayechaguliwa haelewi nini inawafanyikia lakini watahisi vizuri juu yake, kwasababu imetengenezwa kufanya mtu ahisi vizuri sana juu yake.

Mtu wa kawaida anayeingia kwa jeshi kwa 2010 wa miaka 18 alikuwa miaka tisa saa zile minara biashara pacha zilipolipuka. Amekua na michezo za video kwa utamaduni ambaya umoja umeharibiwa lakini kila mtu anatamani kuwa na mwenzake. Hiyo ndiyo maana jeshi itawapa umoja na wenzake – kitu ambacho tena madikteta wote wamejua. Anayechaguliwa hawatajua kulikuwa na muda na hawatakumbuka kulikuwa na muda kabla ugaidi iwe kawaida na utafutaji wa polisi iwe kawaida ama kulikuwa na kitu inayoitwa (hata kama ilikuwa uwongo) demokrasia ama kitu ingine. Haijalishi inavyoitwa. Hawatajua na hawataifundishwa pia. Kutakuwa na wakati ule na sasa. Wakuu wao watawapa kanuni na hawataelewa enzi zilizopita na zitakuwa vitu za kitambo kwao.

Imesemwa mara mingi, “Unaweza chukua miungu ya watu lakini asili itashinda na kupata wapya”. Kwa mataifa kubwa, mwongozi huwa anaangaliwa kama mungu na watu wengi. Kwa taifa ya dunia, hii itafanyika pia, kwasababu matatizo na mgogoro (inayoendelewa) lazima ikimbizwe hadi iwe kitu ya kila siku, hadi watu wanaishi na uoga kwa mkobozi wao aje. Hiyo ni sababu moja katika kati kati enzi ama mifumo, mabadilisho ( ama kuifanya bora kushinda) tuna dini ya aina zote zinazotokea na ahadi ya ukombozi kwa mabaya yanayokuja. Hii inafanyika tena na tena kwa historia, kwa utamaduni zote kwasababu fikira ya binadamu ikifika mwisho wa utafutaji wake haiwezi tafuta pengine kwa majibu, inarudia sehemu ya ubongo ambayo haijaamka(Unconscious part of the brain). Haimanishi imelala kabisa. Inamaanisha hiyo ndiyo bahari kubwa ambayo fikira zote na maarifa yote yako : ndoto zako zote zinatoka, vitu zote ambayo hauwezi fanya kwa maisha kwa ndoto, zitatoka. Hapo ndipo pali zinatoka.

Wahindi wa Marekani na ngoma yao ya pepo walitumaini ati mashujaa waliokufa kwa vizazi zilizopita watarudi kuwasaidia kama “Lord Of the Rings” kwa mwonyesho wa mwisho, waliokufa walirudi kupigana vita na wakashinda. Kuna maana ya mesoni (masonic) kwa hii kwasababu waliokufaa ni wengi wa umma kwa waficha wa kuu(occultists). Wanatumia watu wa kawaida kuwapigania na wanawatambua kama waliokufa.

Udikteta zote, kwa jukwaa huu, walitumia mapicha ya hawa waongozi, waliweka kwa mitaa na viji kukumbusha watu ati mungu wao mkubwa wa mbadala anawaangalia. Atajua fikira zao zote. Kwa Udikteta nyingi wangeweka mapicha mbele ya hoteli ama kwa chumba chako. Ungewaona pahali popote uliopenda. Picha ya ndugu mkubwa na picha kubwa kwa mitaa na vijengo refu. Leo ni hivyo pia, tofauti ni wanatujulisha kuna makamera kila mahali. Inakufanya uhisi mdogo sana, unaangaliwa na wakuu wako ambao pengine wanajua fikira zako. Hivyo ndivyo wanatala ufikiries,

Haubadilishi fomyula kama inafanya. Hiyo ndiyo maana wanatumia fomyula zile zile tofauti idogo kwasababu ya teknolijia. Lakini ni sawa na masaini kwasababu taifa na taifa la dunia haiwezi kupata nguvu kamili, hadi imetenganisha kila mtu na mwengine. Hiyo ndiyo pahai kwa taifa la nguvu kamili. Wanataka mfumo ambayo wanfanyikazi wa serikali wanaweza kupata wewe peke yako bila mtu kusimama kwa njia yao. Utenganisho wa watu inahitajika ili hii ifanyike. Hiyo ndiyo maana watoto wanafunzwa kwa shule kufuata kikundi. Chochote kikundi kinachofanya imekubaliwa kutoka juu. Yoyote imeyokubaliwa kwa huo muda inatoka juu na kila mtu kwa kikundi lazima akubali ama utatenganishwa na wengine. Wewe ni tofauti na wengine. Tuliona hii miaka zilizopita, walipoanza kuongea kuhusu wagaidi wanaweza kuwa watu wasiye na marafiki mungu wangu pengine wanaweza kuwa watu wa fikira, anaye fikira za aina ya kipekee na hatuwezi kuwa na hii?

Dini za kitambo zilifanya vizuri sana, nguvu ya utawalaji chini kwa maelfu ya miaka kwa mfumo wa umri la kati. Huu huwa ilikuwa hapo, na haijalishi kilichofanyika kama taifa ama kanisa iliamua kukuchoma kulikuwa na padri wa kupa faraja unapokufa, hata mapadri waliikubali – fikira mbili tofauti tena.

Tuliona kitu sawa na mfumo wa Urusi na ilifanyika kwa mfumo wa kikomunisti ya kichina ambayo bado iko. Hizo nguvu mbili kutoka US na London, New York na Washington, wangechukua waliokuwa waongozi wakaanguka ili wa waweke kwa majaribio, majaribio ya umma. Majaribio za kuonyesha na hawa watu wangesema kila kitu kama vile George Orwell alivyoandika kwa kitabu yake “1984.” Wangesema vitu hafifu sana kwa umma na kilichokuwa kuu ni vile tabia yao ilivyokuwa tofauti na ya kawaida. Na hiyo hapo ndipo inarudi chini na hiyo ndiyo maana wale wanaoweza kumbuka miaka kidogo zilizopita kulipokuwa na mfanano hata ndogo ya haki – mzunguko wa mila wa haki. Ilikuwa lazima tuende kwa mizunguko wa mila wa sheria ili uweke haki zako, kama ulikuwa nazo, lakini lazima watumie hizi fomyula kufurahisha umma.

Utapata watu wengi wamesahau tayari. Hawakumbuki mingi. Hiyo ndiyo maana watu ambao na kitu hawakumbuki wana shida kuongea na wanaokumbuka. Si tofauti na kompyuta tunayobora kila saa. Inabadilisha programu. Inatoa vitu vya kitambo na inaleta mpya na watu wanajazishwa na data. Data inayotoka kwa kwa umeme(electricity = trick of the elect) redio kwa asubuhi, mawasiliano kwa siku, runinga na kompyuta kwa usiku. Data, data, data, inayotoka hasa kwa vyombo vya habari. Kama si vyombo vya habari na uwaambie kitu ambayo ni kweli hata kama iko kwa uso yao – haiwezi kuwa kweli kwao kwasababu vyombo vya habari haijasema hivyo. Vyombo vya habari kweli inafikiria kwa ajili yao vile Brzezinski alisema itafanya.

Dini na njia zao za utawalaji zote zimezoeleweka vizuri na zinatumiwa na hao wanayoielewa lakini pia ina shida kwa watawalaji ambayo bila shaka wanaijua na hiyo ni : ukipatia watu dini inayosheria kutoka kwa mungu wao hapo watu wataamua kama wafuate taifa ama mungu wao na hiyo italeta matatizo. Hiyo ndiyo maana unabaki kwa taifa la dunia ya kisayansi ambapo sayansi inakuwa mungu na mwanasayansi anakuwa padri, uoga wa mungu inabadilishwa na uoga na hofu wa taifa.

Aldous Huxley alipotoa hotuba yake kwa chuo kikiuu cha Berkeley kwa 60s kuhusu Udikteta wa masayansi, aliposema hakuona “kwa nini udikteta ina ongozwa na sayansi haiwezi kuwa kwa milele” na alijua mingi. Alielewa masayansi zinazoenda kwa utengenezaji wa utamaduni kwa mwanzo ili hii ifanyike. Alijua kwasababu alikuwa moja wao. Alikuwa moja wa maprofesa na mabingwa waliyeshirikiana kwa hii. Alikua na fursa ya kufikia masomo ya maarifa ya enzi zilizopita, mafomyula na saikolojia yake yote, sosholojia pia. Alijua matayarisho zilizokuwa zikiendelea kwa siku yake, walivyoangalia jamii kutoka utamaduni ya kitambo hadi mwendo wa kihippy( Hippy movement) – “rock and roll”, dawa za kulevya na uhuru wa mapenzi( free love) ilivyoitwa. Hii jina ilitoka kwa H.G Wells kwa moja vitabu zake za kwanza kwa 1800s ilipokuwa ikiisha alipofanya na hizo viwanda. Huxley alijua hii inaweza fanywa, kwasababu lazima ujitoe kwa ya kitambo ili uchuke mapya. Hao wata kubali zaidi na watoto zaidi yao, saha kwa jamii ambayo walijua watatenganisha ufamilia. Kama hakuna ufamilia kama mmetengana taifa inakuwa na nguvu zaidi.

Watu wengi wanaishi maisha yao na fikira ambazo si zao. Vitu wanazoamini na kuelewa si zao. Wamepatiwa na zimeingizwa ndani yao na hawajui. Kama michezo ya tabia kwa umri la kati, ambapo jeshi wa kusafiri walienda mji na mji na ruhusa ya mfalme, hawakuweza kutoa michezo sisizo za biblia. Mfalme bila shaka, alitaka watu wafuate sheria unaona, ya mtu wa mbele – huyu mungu ambaye angesaidia mfalme mwenyewe na abakishe nguvu yake kwa dunia. Michezo ya tabia ndiyo zilichezwa peke yake kwa mamia ya miaka.

Watu wananakili wanachoona. Angalia vijana na angalia mtoto wa miaka mbili au tatu mziki ikicheza, utaona wakidansi vile walio kwa televisheni wanadansi. Watajaribu kunakili dansi yoyote wanayoona haijalishi kama ni ya ujinga. NI kunakili. Wanakua wakinakili, kufauta na kukubali bila kuamua kwasababu wana kidogo wanayoweza kuamua. Hawagundui hiyo ndiyo sababu ya utamaduni wanayoishi, kuwapatia vikomo vya uchaguzi kwa kila kitu, hata wakithani wanapata zaidi. Hakuna kitu kama mpya ikija kwa utengenezaji wa utamaduni. Inarudi nyuma hadi kwa siku za kina plato: Mziki, drama, sanaa, maandiko. Hizi vitu zote zinakupa utamaduni unayoishi na fikira za dini ya hizo siku.

Nyuma kwa 1800s, walipotoa theosofia ilikubaliwa kuwa hapo na Blavatsky alitolewa kuiongoza. Walijua itachukua miaka miaka mia ili ishike. Ilikuwa mwanzo unaona wa dini mpya kwasababu huwa wanakupa dini mpya ya enzi mpya. Theosofia ilikuwa ya na alisema mwenyewe “ kuchanganya dini za mashariki na za magharibi alafu wavushe roho na sayansi. Sayansi ilikuwa sehemu kubwa ya hii. Sayansi, na walijua kwa hizo siku – hawa watu hawaishi kwa matumaini. Wanajua vitu kwasababu wana uvumbuzi nyingi, mbele ya zile ambazo umma wanaambiwa kuhusu kwa huo muda. Hivyo ndiyo haupotezi nguvu.

Lakini alijua ati sayansi ingechukua kwa sehemu jukumu ya dini. Hiyo ndiyo maana masayansi leo wanaweza fanya kitu yoyote iliyokuwa ikisemwa kwa dini ama kuingiwa na mapepo na vitu kama hizo. Ndiyo maana nasema vitu kama hizo zikikufanyia lazima uichunguze, kama ni zoezi wanayokufanyia, kwasababu wenye nguvu wamekubali wametumia watu kwa kila jamii kuwa zoesha, bila ujuaji wao kuwafanyia hizi zoezi kwa miaka mingi. Wanaweza weka fikira kwa akili yako ama maono. Wanaweza kubadilisha unavyohisi ama vile taifa yote inavyohisi wakitumia HAARP, na wakibadilisha marudio(frequencies) juu na chini kidogo, kukufanya ufurahi ama huzuni ama uchovu. Nguvu za hewa eeh?

Kurudi kwa kitu nilichotaka kusema kwa mwanzo kuhusu vijana wakikua bila kujua utamaduni iliyokuja mbele yao na makawaida zilizokuwa kwa hizo muda. Wanachukua kila kitu kama kawaida, kutoka uzazi. Wamezaliwa nayo kwa hivyo lazima iwe kawaida, iko hapa, ni rahisi hivyo. Hawakumbuki kitu chochote kingine, saha kama mafunzo imetoa data yote muhimu kuhusu mapambano na haki za watu na vitu kama hiz kwa vitabu za historia, kama vile John Dewey alisema kitambo itafanyika. Hiyo ndiyo ilikuwa lengo lao. Kwa hivyo una wasiye jua mingi wakithani imekuwa hivi kwa namna fulani. Hapo ndiyo kijana wa kawaida atafika kwa fikira.

Rumsfeld, alipoulizwa na wengine hapo juu walipoulizwa walisema kitu sawa, hii itakuwa vita ya miaka mia. Miaka mia za vita – tumesikia hiyo wapi kabla? Inafananiko na kitu kilichofanyika kabla si ndiyo? Miaka mia za vita imebadilisha jamii kwa ajabu sana imeifanya ikawa juu chini. Ukona hii tabaka la chini na hii mfumo inayotoka kwa mwisho wake wa kuckua na kuharibu na umma iliyowekwa chini. Wanajua wanachofanya hapo juu . Mwisho ina ondoa hatia kwa njia imeyotumiwa na njia yoyote itatumiwa kuileta. Hiyo ndiyo sehemu yake ya huzuni. Wakona siasa kwa mikono yao, silaha zote, hata zile siziso onekana na pia zile za akili. Si picha mzuri.

Usitafute kama wahindi wa marekani kwa nguvu isiyo ya kawaida kama waliokufa warudi wakusaidie. Usitafute shujaa aje akufanyie yote. Ni kama tu asili. Hauwezi chukua miungu bila kuzibadlisha na zingine. Asili ya binadamu imekuwa ya kutafuta mtu wa kumfanyia, mwokozi.

Mtu wa kikundi atajirudisha kwa vikundi, lakini jamii kwa kweli, inahusu mtu. Haki za mtu zikienda, hakuna haki popote. Hiyo inamaanisha hauna haki tu, pia hitaji ya kubishana bila kukosana. Ilimaanisha kwa maenzi, lazima uchunge wale wabaya ambao watajaribu kuchukua dunia.

Kama tungepitia hata vita ya miaka hamsini, vizazi zingekua zikifikiria ati ni asili kuwa na watu wa sare za nyeusi zilizotumiwa na wahalifu – sahi watu wanayeitwa wazuri wanazitumia kuficha uso zao kwa umma. Kukosa ni sawa. Sawa ni kukosa. Kila kitu inaweza geuzwa na wengi wataikubali bila kuona. Ajabu sio?

Wallikuwa wanaita mhalifu ukaya( criminal = hood) kwasababu wangeivaa ama barakoa. Sasa waokozi wetu kwa mavazi nyeusi za wanyongaji wanaenda kutuokoa. Hiyo ni saini inayosumbua sana, saha kwasababu walikua na michezo za video – angalia michezo za video. Michezo za video ni nini? Ni nini?

Kama alama ya siri za Waviking waliokuwa wafalme sita”VI, VI-king, kwa manamba ya Kirumi, walitayarisha ufalme wao wa mbele. VI: vi-deo (deo=god) mungu wa sita. Ni kitu sawa. Imefichwa kwa maenzi lakini haina utu kwasababu wale waliyo ndani ya video si wa kweli , lakini vijana wanapatana nao – hii kitu isiye na utu wala roho na wanataka kuwa hivyo. Tunafaa kufikiria hizi vitu. Hakuna utu kwa hizi vitu zilizotengenezwa. Ni hatari sana kwasababu utabaki na jeshi isiyo na roho kama wale waliyo kwa video, bila hisia yoyote.

Kuwa binadamu, bila shaka, tunataka kuona kila kitu ikifanyika kwa maisha yetu. Tunataka matokeo za sahi, tunafaa kuelewa ati hii imekuwa ikiendelea kwa muda mingi sana. Hii sehemu ya matayarisho, bila shaka ilikuwa inafanyika hata kabla ya sisi wote sahi tuzaliwe na nakubali, na najua, tuko kwa “mwisho wa laini” wanavyosema. Muda wa kupitisha maarifa kutoka kizazi kwa kizazi ikokaribu kuisha lakini mabadiliko kwa mtu(individual) ndiyo inaleta mabadiliko kwa wengine, badala ya kukaa chini na kungoja mtu mwingine akufanyie yote. Ni kama kutupa mawe alafu uangalie vile maji inavyosonga. Kila mtu anaweza athiri waliye kando yao, kutoka wazazi hadi watoto na ata wakiendada kwa chuo vikuu na hizo fikra, pengeine watauliza maswali kwa mwalimu ama wabishane naye wakisema kweli zingine ambazo hatuwezi kataa.

Huwa ni na mtu, mawe ndogo mingi zinazosongesha maji hadi zinaanza kulingana. Hivyo ndiyo unabadilisha jamii na najua muda haiko na sisi lakini bado inaweza fanyika, kama bado kuna matakwa ya kuifanya na wale wanaotaka kutingisha vitu badala ya kuenda na kikundi ili ukubaliwe alafu uwe mashini ukisema vitu vya kimashini ili uweke utulivu wa jamii kwasababu inaisha. Tuko kwa muda ambao hatutawachwa na utulivu.

Lazima tujiangalie na tukubali hakuna mtu kwa hii dunia aliye kamili. Sisi sote tuna asili zetu na vishawishi. Ukiangalia kwa jamii iliyovunjika watua hapo chini wananakili waliye hapo juu kwa maisha yao na utawalaji kwa njia tofauti. Kila mtu hapo chini anatawalwa na wale wanaotawala mfumo wa pesa. Hiyo inaweza fanyika hapo chini pia na yoyote aliye na pesa. Inatawalwa na asira inayofanya watu wengi warudi nyuma. Asira ni njia ya kutawala wengine saha maonyesho yake ya kipori.

Saa zile hao hapo juu wanaonyesha asira yao kwa umma jahanamu yote itapata uhuru. Hitler mwenyewe alisema ati kama watu wa Ujerumani hakuwa wanaweza kutawala dunia, hawafai kuishi kwa hivyo alichukua Ujerumani wote chini na yeye na hiyo pia inaweza jadiliwa.

Iko kutoka kwa mwenyeji hadi kwa wafanyikazi, hadi kwa wale watu wanaokuitsha I.D, wanaotaka kuchunguza gari zenu ama chochote kinachofanya uhisi, uhisi hauna haki. Wewe si kitu. Wewe nambari hivi na hivi. Hawataki uwaangalie kwa macho kwasababu hiyo ni tabia ya wanyama, unaona, hiyo ni athari kwao. Unapinga wenye nguvu ukiangalia kitu iliyo juu yako kwa macho. Hiyo ndiyo kawaida.

Sijui kama watu wanajua hii. Hadi kwa Voltaire, hadi kwa mfalme George na mbele ilikuwa hatia kubwa sana kuangalia mfalme kwa macho. Unafaa kuona sinema inayoitwa “The Madness of King George” ilitolewa kwa historia za hizo muda.

Vikosi maalum wanafunzwa ati wakishikwa wasiangalie wanaowachunguza kwa macho. Wanaochunguza wanapenda nguvu na wanashika asira ya kinyama ukiwaangalia kwa macho na upinge nguvu yao na tazama, lakini hawa watu hapo juu wanaongea juu ya vile tumeendelea na bado wanatumia njia sawa na zile zilitumiwa miaka maelfu zilizopita na silika sawa. Wananchi watapindukiana kwa nyakati za matatizo kama walivyo na majaribio za wachawi za Salem, ambapo kila mtu anachepua uangalifu kwa jirani wake anayesema jirani mwingine akitumaini ati korti atamwacha na aangalie anayeonyesha. Hii uoga inayokuja inaletwa na tisho la kuchunguzwa.

Ikikubaliwa iwe kawaida kwa huu muda wa maendeleo wa kisayansi, michezo imeisha kwa kila mtu na kwasababu kizazi ikiwa kwa dunia ambayo kupambana na ugaidi na machunguzo iwe kawaida, hakuna kitu ya kulinganisha maisha yao nayo. Hakuna historia. Hakuna mafanyikio ya kuilinganisha nayo inaendedelea kuwa mbaya ambao watawalaji na viwanda zao za fikira na wakorti wao wote wanajua. Hakuna kitu mpya kwa hii isipokuwa masayansi zinazotumiwa kwa umma kutoka mafukizo za ndege na mashindano, kugeuzwa chakula yako, kuweka madawa kwa maji yako na inaendelea yote ya utawalaji kurudisha uwerevu wa umma chini na kuharibu vile watu wanafikiria. Hiyo ndiyo habari ya huzuni na habari mbaya.

Sisemi usijali. Ka chini na mungu atakusaidia. Wanasema ati “mungu anasaidia wanayejisaidia.” Mbona mungu akupatie hizo uwezo zote unazo alafu akuokoe kwasababu hauzitumii.?

Hizo vitu zinazo athiri jamii na zinabadilisha njia za jamii zinatoka kwa watu(individuals). Wengi hawaonyeshwi kwa vitabu vya historia. Hiyo ni zaha ingine ya mafunzo, kukupatia watu wengine na watu maarufu hadi usiskie mtu yoyote anayeogea asipokuwa maarufu. Ugonjwa wa nyota, na hiyo ndiyo maana walikupa “nyota kwa macho yako” jamii ya mabingwa.

Watu(individuals) wana wanaenea maarifa. Watu(individuals) wanabadilisha maisha ya wale kando yao. Wanabaki kwa akili ya wale wanoathiri. Hiyo ndiyo yote inahusu na lazima iwe haraka na vitu zianze kusonga ma mahitaji lazima zidaiwe. Madai ati wao wanaotaka nguvu kwa watu wengi kutoka kwa shule zenu hadi uko juu kwa UN wanaoongea juu ya demokrasia kila saa na lakini hakuna mtu wa UN aliyechaguliwa na umma yoyote kwa nchi yoyote. Lazima tudai wajaribiwe kama ni watu wasio na ubinadamu(Psychopathic) na matakio yao ya nguvu utawalaji na rushwa.

Tunafaa pia kudai kujua wako ndani ya mashirika gani – za kimataifa zote. Kwa nini wapatiwe nguvu kwa mji, taifa ama kitu kingine kama tayari ahadi utii wao na viapo kwa kimataifa. Si kimataifa tu, lakini sehemu yake ya kiimla. Tunafaa kudai kujua ni jamii za siri (wanavyopenda kujiita) gani wamezoingia, kwasababu wale wanaofaa kufanyia umma kwa wazi hawawezi kukubaliwa kuwa na siri ambazo umma hazijui.

Sisi sote tunafaa kuwacha kujidanganyisha kwasababu hizi vitu ndogo ndogo kwa saa za matatizo ambayo ina sababu. Siku itakuja ambayo hiyo itaisha na hautaweza kununua hizo zawadiz zako ndogo ndogo, utaangukia nini? Lazima tuvunje hii kimya. KIMYA LAZIMA IVUNJWE SASA.

Pole kwa huu zumgmuzo ambao umechoka. Imekua wiki ngumu na kutoka Hamish na mimi, usiku mzuri na mungu au mingu wako waende nawe.

Imeandikwa na Leon.

(Pole kwa hatia ndogo ndogo)