RED ICE na Henrik Palmgren kutoka Sweden na Alan Watt kama Mgeni

Kipindi: Africa, Rasilimali, Ukandamizo, Watawalaji, Utoaji wa Umma.

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu

Vitabu na video za Alan Watt ziko kwa cuttingthroughthematrix.com

Machi 25, 2007

Henrik Palmgren : Leo na sisi kwa laini ni, tukona rafiki wetu mzuri na mgeni wetu wa kila mwezi. Na tutakuwa tukifunua uwongo kwa hii saa. Na kwa wenu wote ambao ni wapya kwa hii programu, angalia programu zetu zilizopita na Alan Watt kwa tovuti letu. Unaweza pia, enda kwa tovuti la Alan Watt, cuttingthroughthematrix.com, na angalia zilizo hapo, DVDs, CDs, books na maarifa muhimu. Pia fuata mazungmuzo zake anazotoa kwa kawaida. Na kama nakumbuka kwa kweli mara ya mwisho tulikuwa na Alan hapa tuliwacha tukiongea kuhusu Africa. Na hii ni kitu nataka kuendelea leo na Alan tukiendelea tulipoiwacha, mara ya mwisho tuliongea. Na unajua kwa hii ukandamizo wa hii bara na historia yake na pengine tutaingia kwa hiyo baadaye kidogo, kwa mwanzo, bila shaka lazima tukaribishe Alan Watt kwa programu. Na ni mzuri kuwa nawe tena. Unajua ukiangalia mara yetu ya mwisho na shida ndogo ndogo zilizotokea natumaini yote iko nzuri kwa cuttingthroughthematrix.com

Alan Watt: Nathani tulikasirisha wengine. Na walitujulisha kwa njia yao.

Henrik : Ndio, ndio. Nimeona ukona tovuti saba sawa hapa sasa. Hautaenda chini rahisi eh?

Alan: Hiyo ni kweli, ili iwe salama.

Henrik: Unajua pia wacha niseme asante tena Alan, kwa kutusaidia unajua, kujulisha watu na hivyo kwa mwanzo wa mwezi, tovuti letu ilipoenda chini. Asante kwako na hivyo.

Alan Watt: Hakuna shida.

Henrik: Na unavyojua kitu ikifanyika tuko hapa kujulisha watu.

Alan: Nathani hiyo itakuwa kitu ya mbeleni kusaidina. Nathani itaendelea kufanyika, kulingana na vitu unavyochagua kuongelea.

Henrik: Ndio, hivyo, hiyo ni fikra nzuri sana. Kuna gari za moshi mzuri kwa usuli hapo.

Alan: Hiyo ni “Canadian National” inachukua vitu kutoka China katika Canada, pwani kwa pwani.

Henrik: Mungu wangu, kweli , katika hapo. Na vitu zinaendelea aje hapo kuhusu hiyo.

Alan: Kila siku zinazipata na mizigo za ndefu. Na zote zimetengenezwa China. Kila kitu imetengenezwa China. Kila kitu leo inayotengenezwa kwa kitu yoyote inatengenezwa China.

Henrik: Ajabu. Taifa mpya la sekta ya toleo kwa dunia nathani.

Alan: Ndiyo. Inaleta matata.

Henrik: Ajabu. Unajua, kurudi kwa kitu tulichotaka kuongea kuhusu leo, unajua kuhusu Africa. Nimekuwa na udadisi, kujua sababu ya vita zote zimezokuwa zikiendelea Africa kwa muda mingi na kwangu inakaa kama hilo bara imewekwa nyuma na haijakubalishwa kuenada mbele. Ukandamizo ni ya ajabu sana. Kwa hivyo ni nini unathani inaendelea hapo? Nasoma juu ya Cecil Rhodes, na kidogo juu ya uhusiano wake na biashara wa almasi kwa karne la kumi na tisa, lakini sijui kama yunataka kurudi nyuma kushinda hapo. Unaona hivi hapa? Kwa nini Africa imekandamizwa?

Alan: Utapata ati Africa imenyonywa kwa miaka maelfu na taifa zilizotajiri hata kwa enzi zilizopita. Africa ilikuwa chanzo la utumwa. Na watu wa kaskazini Africa hawakuwa na shida kwa mika mamia kuzalisha watumwa. Wanamisri walikuwa na watumwa wanubi, walivyowaita. Na walikuwa na majeshi walizotengeneza nao, waliyopigania Misri. Walitunzwa vizuri kidogo kushinda. Kwa hivyo ilitumiwa kama chanzo na pia chanzo kwa enzi zilizopita kwa bidhaa kigeni, pia pembe za ndovu za sigha na vitu kama hivyo. Na kwa huu mfumo ambao ni mfumo sawa leo bado ni rasimali. Africa imekalia madini nyingi na aina mingi sana. Na dhahabu bila shaka, fedha na dhahabu. Na vile Uingereza ilianza kuongoza himaya la Uingereza, ilipowekwa mwongozi, na watawalaji wa pesa sawa alafu wakatuma wanamisionari kwa Africa. Walilipwa utapata, Livingstone alikuwa moja wa wale waliojuikana vizuri waliofanya machunguzi kwa hilo bara. Alifadhiliwa na “Jamii Kifalme ya Uingereza”(royal society of england). Ilikuwa jamii ya kifrimesoni (freemasonic), masayansi pamoja na chuo cha kifalme na walimfadhili ati aende atafute aina ya madini fulani, aina ya mbao na kitu chochote kinachohusu wanabiashara hapo. Kwa hivyo wamekuwa wakitumia mamisionari kwa muda mrefu kwa mamisioni ya utafutaji. Na hivyo waligundua nini ilikuwa wapi. Bila shaka wengi wa hawa mamisionari walifunzwa utafutaji wa madini. Walikuwa wanaweza kutambua madini, dhahabu, fedha na zingine na maarifa kuhusu eneo.

Na utapata, Uingereza kama sehemu ya kutengeneza himaya sababu mpya, ambayo italeta mfumo wa Uingereza kama kitu nzuri kwa watu wengine saha Africa. Na waliweka mafadhilio kubwa sana kwa kutengeneza mahali Africa, ili wainyonye lakini walikuwa na shida tena kwasababu kulikuwa na makabila kubwa zingine ambazo hazikupenda huu mfumo. Kwa hivyo walileta jeshi la Uingereza ndani. Walipakodi waliifadhili vita kwa Africa kama kawaida. Walipakodi walifadhili reli za jeshi na bila shaka na biashara za bidhaa zingeendelea. Walichukua rasilimali zote kutoka huko alafu wakazi wakazibinafsisha. Hii ndiyo njia ya kawaida kwa historia. Jamii ilianzishwa kwa chuo kikuu cha Oxford iliyokubaliwa na taji la mfalme wa Uingereza, ili itume wau Africa kuchukua rasilimali yote saha almasi, dhahabu na fedha. Na walitengeneza idara maalum ndani ya chuo kikuu cha Oxford, iliyochukua watu fulani na ikawafunza kama Cecil Rhodes na alienda huko mwanzoni kukutana na ndugu yake aliyekuwa huko tayari akitafuta almasi. Alafu wakaungana na kampuni ya De Beers. Na wakatengeneza jamii ya siri huko Oxford iliyokuwa ya kufunza vizazi zinazokuja kuchukua baada yao, si kuchukua rasilimali za Africa peke yake, lakini ya taifa zote duniani.

Africa ilikuwa moja wa malengo kuu, na waliinyonya. Ilikuwa lazima wapate mali, lazima wajenge misingi, kwasababu utapata hati maserikali na misingi kubwa zinavyoitwa, misingi ya hisani ni kwa kweli sehemu ya shirika sawa. Misingi kubwa kama Rockefeller, Carnegie, Rhodes trust na zingine. Na hata kuna uaminifu za Rothschild pia(Rothschild Trust) kwa jina zingine. Wanafadhili mwendo zote za kisiasa kwa mataifa zote. Wanafadhili vikundi zote zinazopingana kwa mataifa na wanafadhili pia mabadiliko za utamaduni na wanalipa wanaoziongoza na wanahakikisha itukuzwa kwa vyombo vya habari wanavyohitaji.

Kwa hivy tunaish kwa mfumo iliyofungwa, inayotayarishwa na watu wanajiona kama watawalaji wa kiasili. Na unaweza fuata historia yao hata kama walikuwa hapo kabla, hadi kwa upinduzi wa kifaransia. Ilipomaliziwa, waandishi walioandika propaganda ya upinduzi kwa miaka na miaka kabla, walitengeneza jamii ya kimesoni(Masonic) iliyoitwa “Encyclopedists” na waliamua elimu ambayo watoto watapewa kutoka hapo kuendelea. Na waliamua maarifa yote itakuwa kwa mikono yao. Na kitu chochote ambayo mtu yoyote atajua itatoka kwao. Na bado inaendelea leo. Wanaongoza vyama vyote vya elimu katika ulimwwengu.

Henrik: Ndiyo bila shaka kitu moja inayokuja kwa akili kwa vile inayoshirikana kwa watu wanaotawala hii dunia ni “Rhodes Scholarship”. Na ilianzwa na Cecil Rhodes mwenyewe sindio?

Alan: Alikuwa mtu wa mbele. Rothschild aliunga mkono naye. Hivyo pia familia nyingine iliyoshirikana na De Beers kwa Africa, aliyeishi kwa Uingereza aliitwa Boers pia B O E R, kwa hivyo walishirikiana na kutengeneza hiyo jamii.

Rothschilds walifadhili nyingi yake. Na walichagua washauri wa siasa kuchukua kutoka Cecil Rhodes. Na waliweka watu wa kwa nguvu pia hapo South Africa. Kwa hivyo waliongoza sehemu zote. Hata zilizokaa ni kama zinapingana. Na bwana Alfred Milner, aliongoza shirika sawa kwa taji la Uingereza waliokuwa na walichoita kikundi cha pande zote kwa meza “Round Table Group” ikaungana na kikundi cha Jamii ya Rhodes. Na hizi vikundi mbili bado utaziona leo. Wakona kikundi cha meza pande zote katika ulimwengu. Wanachagua kutoka vyuo vikuu, urasimu na mashika vikuu zote pamoja. Wanashirikana kwa hivyo wako kwa njia moja na kwa saa sawa.

Henrik: Unathani hati wana hii njia ya kujiona ya kiuongo kuhusiana na kutumia hiyo jina, Jamii ya meza pande zote, kurudi nyuma kwa mfalme Arthur? Unathani wanajiona hivyo?

Alan: Ndiyo ni wenye kujisifu sana. Wale wa juu bila shaka wanachaguliwa. Walitumia machaguo ziada kwa mabibi wao. Hawachagui mabibi wao, wanachaguliliwa. Hao ni utawalaji inayotoka kwa familia. Na kama wanavyoiona, kama uko juu unaitwa kizalisho kuu. Na hivyo ndiyo wanajiona hao si wajinga. Wakona ubongo. Hao ni werevu sana. Lakini pia wakona nguvu, nguvu ya gharamio, kwenye benki na wengi wao ni wenye hizo benki. Na wanaongoza viwanda vya gharamia, zile kubwa kwa dunia. Sote tumefunzwa kufannya kazi kupata pesa yao, ambazo tena zinarudi na kodi kwa serikali ambayo wanateua. Ni mfumo wao unaona.

Henrik: Ndiyo ni hivyo kabisa. Unajua kuhusu almasi tukirudi hapo. Siwezi kuimkumbuka sahi lakini ilikuwa video niliona, ilisema hati almasi ni nusu thamani kwa hivyo kuna bohari kubwa zimezojaa almasi. Ili thamani yao ibaki juu lazima waziweke.

Alan: Kandamiza soko.

Henrik: Ndiyo hivyo. Kidogo. Ni kama haziko mingi. Lakini unathani ni hivyo? Kama vitu vingine ni uongo na kuna almasi kila mahali.

Alan: Kuna Almasi kila mahali. Lakini imeshinda hiyo unajua. Ukielewa ati hata kiwangogezi ya dhahabu kwa mfano imewekwa kwa hizi miaka 150 zimezopita na Rothschilds kutoka London. Na kila asubuhi masoko za hisa na kila mtu anakaa akingoja na pumzi iliyo kimya wakingojea mfalme aje na mavzi za kulala kwa dirisha lake ili aweke kidole chake nje ya dirisha aambie watu bei ya dhahabu itakuwa nini hiyo siku. Kwasababu hivyo ndiyo inafanywa. Vyovyote anavyotaka iwe itawa. Inasemwa ili iwe na kila mtu anaenda kuifanyia kazi. Kwa hivyo mara moja, hapa ndiyo watu wenye chimbuko ya dhahabu kila mahali wakiweka bei ya dhahabu. Ni kazi mzuri, ni kazi mzuri kama unaweza kuipata. Kwa hivyo hii ndiyo uwongo na kila kitu. Hivyo na almasi. Ninapoishi karibu na mimi kuna mji wa chimbuko, Sudbury, bado ni mji wa chimbuko leo. Inajulikana vizuri kwa Nickel, lakini ina chuma zingine hapo kama pesa ya dhahabu wanayopata kila mara moja. Na niliangalia kwa kitabu ya kitambo kwa maktaba, maktaba ya mji, Sudbury ya kitambo ya 1800s. Na mjengo iliyekubwa kubwa zaidi ya zingine iliitwa Mraba wa Rothschild na mjengo iliyekuwa kwake iliitwa nyumba ya Rothschild maneno makuu. Haiko hapo siku hizi walikuwa kila mahali Canada kulipokuwa na rasilimali na walikuwa wenyewe.

Henrik: Kuhusu ulichosema mbeleni. Jeshi la Uingereza ilikuwa huko Africa ikijenga reli za gari la moshi hapo. Inahisi ni kama walikuwa huko wakaweka mfumo na vile waliingia wakatoka, lakini ulikuwa unasema hata mashirikano huko ilikuwa kuhusu ubinafsi wa viwanda, sasa wanaweza fanya wanavyotaka, si lazima wawe huko kufanya hizo kazi.

Alan: Hapana si lazima.Walikuwa wakisema wataleta uhuru na demokrasia kwa waafrika, na njia ya kuishi ya Uingereza unaona. Kwa hivyo walichukua watu waliokuwa na uhuru na ukabila na wakafanya waishi nusu ya maisha yao chini ya ardhi, wakifanyia hii kitu mpya inayoitwa pesa ambayo ilikuwa lazima watumie kwa maduka ya viji, wenye makampuni zilizomiliki machimbuko zilizoichukua kutoka kwao. Kila kitu inafanywa chini ya uongo wa kusidia watu, hiyo ndiyo zaha ya kitambo sana kwa historia. Ndio tunanyonywa mara moja. Noana hata sahi South Africa ilipatia De Beers ruhusa maalum. Bado iko hapo. Na wakona ruhusa maalum, hata ruhusa bora na Mandela kushinda waliyokuwa nayo kabla ya South Afrikaans.

Henrik: Hiyo ni ya kupendelea.

Alan: Malipo inafanya Ajabu unajua.

Henrik: Hawa watu wamewekwa kwa nyota, tunapatiwa hawa mashujaa hiyo ndiyo unasema.

Alan: Ndiyo tunapatiwa, watu wanasahau. Unaona mantiki lazima iwe sawa, ukiitumia kwa hali sawa na shida sawa. Kama ni mantiki ya kweli unabaki na jibu sawa. Tukienda tubomu mabasi huko Israel kuna kelele ati ugaidi. Na minara zikibomuliwa New York kuna kelele ati ugaidi. Nelson Mandela ukiangalia rekodi zake hakuwekwa gerezani kwasababu alikuwa mwongozi wa kikomunisti. Aliwekwa gerezani kwasababu alilipua basi za watoto na bomu za mikono. Na sahi huyu mtu ni shujaa. Niaje yeye ni shujaa na wengine si hivyo?

Henrik: Ndiyo. Mungu wangu tena ni ajabu unajua, ukanadamizo inayoendelea Africa kuhusu hizo vita zote, waongozi wa rushwa na inahisi ni kama mtuu mpya anachaguliwa na mbaya tu kama aliyepita na wakona mapinduzi na mapinduzi lakini tena hakuna kinachofanyika. Lakini hivyo kuna mkona yoyote nyuma ya hii, mkono inayeonekana na jina tunayoweza kupointi? Nani aliweka hawa watu kwa nguvu? Ama hawa watu wanafanya mapinduzi ya kijeshi, lakini wanapatiwa silaha za kufanya hivyo.

Alan: Wanapatiwa silaha na bomu. Wenye wako nyuma ya hii, kuna shirika mojja la dunia na imekuwa hivyo kwa muda mrefu. Na vile nasema, ni ya mafamilia tajiri, ambao ni familia za benki za benki la dunia. Hao ndiyo Benki la Dunia. Wanafadhili nchi zote, taasisi zote. Misingi kubwa hazijashirikana na hao peke ni sehemu yao na ni sehemu ya dini ya nadni iliyo ya sayansi. Na kwa muda mrefu wametumia njia za kunyonya mataifa. Vile na sema moja wa sinema bora kuona ni sinema ya Marlon Brando inayoitwa “Burn” ambapo wanakuonyeha virahisi sana, vile ajenti wa Uingereza alitumwa kwa kisiwa cha Caribbean na anatumia kila mtu, weupe, weusi ili wapindue wanaportugal alafu waingereza wakaingia. Lakini wanakuonyesha vile kila mtu anatumiwa. Na hiyo ilikuwa sayansi iliyofunzwa kwa hawa ajenti kwa miaka mamia kidogo.

Henrik: Lakini IMF inaenda kuandika dini kwa Africa kwa hivyo itakuwa sawa? Ama si kweli?

Alan: Oh, najua, ni ajabu sana. Ati tangu 50s ama 40s kila taifa iliyo tia saini uamuzi wa UN walikubalia pia kutengeneza waliyoita benki ya maendeleo ya kiuchumi nje ya nchi. Utapata kwa kila taifa, wanasiasa wengine wale wanaofanya vitu vya kushoto za serikali watawa wanauhuru ama ata zaidi kushoto, hao ndio wanapata kazi za kuchunga pahali pesa zinaenda nje ya nchi kusaidia mataifa maskini. Na vitu wanazofanya bila shaka ni kupeleka hizo pesa zinazoenda Africa kwa mashirika zao zillizo za marekani ama ulaya huko Africa. Haiendi kwa watu. Tena hiyo ni sehemu yake. Hawa watu walikuwa kwa siasa na sahi wanafanyia OECD kwa UN, saa zingine wanawacha UN kwa mwaka moja ama hivyo, na watafanya kwa moja ya misingi kubwa. Wanazunguka. Siasa, misingi, UN. Na kila kitu iko pamoja kwa huu mfumo. Hakuna ajenda tofauti. Kuna ajenda moja peke yake.

Henrik: Unajua kitu moja kinachosongeshwa sahi, kuhusiana na Africa ni, niliona video moja siku iliyopita inaitwa Uongo wa Ongezeko la Joto Duniani, nathani wanaongea juu ya kwa nini Africa haijaweza kuendeleza viwanda. Hawajaweza kuendelea kiviwanda kwasababu ya uoga wa athari za mazingira kuendelea. Na unathani ati tena wanaweza kuwa wakichezesha hii ngoma kwa sababu. Walipatiwa bila shaka, teknolojia mbaya kuhusu nguvu za jua na njia salama ya mazingira ninazoamini ziko, lakini hatujazipatiwa. Lakini hii ndiyo inakaa kama sababu sahi. Unaweza kubali na hiyo?

Alan: Watatumia kila udhuru kusema kinachofanyika Africa ni kwa sababu tofauti. Lakini hawafiki kwa kweli ya hiyo jambo. Kwa 1700s ulikuwa na baba ya John Stuart Mill aliyekuwa mchumi wa siasa kwa Uingereza. Mwana alikuwa pia. Wote waliandika vitabu za uchumi. Na hawa watu walikuwa kwa ukoo sawa na Bertrand Rusell aliyechukua kwa 1800s na aliishi kwa hadi 1970s akifuata baba yake. Hawa watu waliamini kuta watu wa chini engi sana wanazaa na watashinda binamu wao waliyo kaskazini kwao unaweza sema. Kwa hivyo wataanza kuua watu tofauti. John Stuart Mill aliandika orodha ya watu ambao wangekubaliwa kuishi. Lakini Africa alisema na ilisemwa kwa maandishi ya H.G Wells pia na wengine waliokuwa kwa hizi jamii. Lakini walijua kwa 1700s na 1800s ati Africa, walisema haiwezi kuishi kulingana uchumi ya mtu mweupe na wale ambao hawakuifuta wangekufa kwasababu wangekua mzigo kwa zile jamii zilizo jaribu kusonga mbele. Walisema wale wanoweza kunakili mtu mweupe wangekubaliwa kuishi. Na hivyo, kitambo hawa watu walikuwa wa misingi yanayotawala hii dunia ata leo.

Kwa hivyo hapana, wanaweza tengeneza sababu zozote na waweke maprogramu za huzuni kwa runinga kuhusu vile wanavyojali. Lakini kweli ni, kwa juu ya ajenda ni kurudisha nambari ya watu Africa chini. Unaona hauwezi chukua kutoka kwa watu pahali historia yao yote ni tofauti na yako, kwasababu hawawezi kuruka kwa njia tofauti ya kuangalia vitu kama wewe. Hawawezi kufanya hivyo. Na kama hawawezi kufanya hivyo, wanaangukia madawa, pombe na kuendelea, tabia zinazoharibu. Ama kama bahatika kwa njia moja wakona eneo wameyobaki nayo wanaweza kujaribu kuendeleza njia yao ya kuishi, njia zilizo wapatia sababu ya kuishi. Na hii ni sosholojia ya kawaida, wanaielewa. Hawajawai jaribu kukubalisha, kwa kweli wamefanya kila kitu lakini kukubalisha waafrika waendeleze utamaduni yao ya asili.

Henrik: Ni ajabu kwangu kwasababu ya hii fikra ama hii wazo ya filosofia ya kulingana, kuleta amri alafu vurugu vile wanavyoiona. Na nastaajabu ni nini inaendesha hawa watu wanaotaka kutoa utamaduni zote na waibadilishe kwa hii serikali moja ya dunia. Inakaa kama kitu ingine kwa binadamu.

Alan: Umeikaribia hivyo, tukifananusha binadamu na kuwa na fikra za binadamu ni nini. Kwasababu kitu wanajua kwa sosholojia kuu na saikolojia ni ati kutakuwa na watu wanaoongoza kila kizazi. Shida ni wale wanaochaguliwa watalingana kwa waongozi ambao ni madikteta. Hiyo ni kawaida pia. Lakini wale ambao wana uwerevu kuu na wanayechaguliwa kusaidia kuongoza jamii na hata kama wakona uwerevu kuu kuhusu vitu vingine, kuna bei yake na hiyo ni hisia kwa watu wengine. Na hiyo imekubaliwa na vitabu vya vyuo vikuu. Leo ukona qatu ambao wamepita hiyo na hata kabla darwin aje na “Origin Of Species” familia ya Darwin vile ninavyosema walikkuwa wanaoana. Na haikuwa familia yake peke yake. Tabaka lake ndogo ilikuwa inaifanya kwasababu walikuwa na dini ya ndani. Ni dini ya kitambo. Imechukuliwa kutoka kwa Uhindu. Uhindu wa kitambo sana.

Henrik: Kwa hivyo kuhusu Uhindu, hii ni neno iliyopakia lakini kuna uhusiano na Arya kwa hii mwanzo wa Uhindu.

Alan: Wanaleta kila mara kwa historia hii kitu ya Arya. Hitler alijaribu kuirudisha pia. Bila shaka, alituma matimu huko India na Tibet kwa wale maarya waliobaki. Na Madam Blavatsky aliyewekwa hapo kuanza mesoni(freemasonry) ya wanawake waliziita digrii za upande. Si zilizokamilika ama za kweli lakini digrii za upande. Vitabu vyake zilijaa hizi vitu zilizo husu waarya, na walikuwa wanaongea juu ya arya ya aina ya tano. Kumaanisha ati kulikuwa na nne kabla ya hiyo, ambapo jamii ilienda kwa mabadiliko kubwa, waliokuwa hawafai waliuliwa na waliofaa waliishi kuendelea kuzalisha. Hii ni sehemu ya filosofia yao.

Henrik: Inakaa kama hiyo filosofia iko kwa wazi kwasababu hakuna kukataa ati kuna tabaka ta utawalaji ambao wanatawala sahi. Sindio?

Alan: Ndio naweza sema kabisa. Nimekutana na watu wazuri sana, wazuri sana, wangeongea na wewe wengine ambao wanajulikana vizuri wanakuambia kwa njia mzuri sana kwa nini dunia lazima ianze kuua walaji ambao hawana maana na wanaiamini kabisa.

Henrik: Ndio na tena wanasukuma hii kitu ati kuna watu wengi sana duniani, vile naiona kutengeneza usuli ya kisayansi, tukona tena maprofesa na walimu na wanasayansi wakisema njia ya kusaidia dunia ni kuua binadamu wote. Na hii, sana nathani inahusina na umanyeto ya mazingira imeyokuwa ikiendelea kwa miezi kidogo zimezopita. Ungekubali na hiyo?

Alan: Ni mbaya zaidi. Kwa 1800s na kati kati ya 1800s, vitabu zilitoka kutoka hizi taasisi na misingi ikieleza hii yote, hitaji ya kuua walaji ambao hawana maana tena, usafi, chakula iliongezeka kwa tabaka za chini. Kungekuwa na wengi wao na ugonjwa za kiasili hazingewaua haraka sana. Alafu, bila shaka walianza kupatiana madawa kuu zilizofanya kwa mabadiliko, walilalamika zaidi. Kwa hivyo walisema lazima watafute njia ya kuzuia watu kuzaa. Hiyo imekuwa ikiendelea hata kabla nizaliwe kutumia dawa za kuchanja kwasababu hapo ndipo utapata tangu chanjo cha Salk, mbegu ya wavulana magharibi ilirudi chini 75% kutoka kiwango ya 1950. Na UN inatoa hii data kila mwaka bila neno. Kwa hivyo tuko kwa hii mwendo wa kuzuia watu kuzaa.

Bila shaka. Tukienda kwa rekodi za kongomano, ambapo, na yote iko uko nje. Nikona nakala hapa, waliuliza pesa kuwekwa kwa uchunguzi kwa 70s baada ya Kissinger kusema adui kubwa sana wa taifa ilikuwa watu wengi. Na ufadhili ilienda kwa uajenti kadha kujaribu kuirudisha chini. Na walikuwa wanataka kutengeneza ugonjwa ambao ungeharibu kingamaradhi wako, kwa hivyo ata hiyo kitu rahisi ambayo haungeshugulikia ingekuua.

Henrik: Kwa hivyo tuko kwa siku za Ukimwi?

Alan: Niliskia kikundi ya madaktari weusi wakiongea juu ya hii. Na ndiyo walitoka kwa wazo na waliongea wenyewe kuhusu hii shida ya mashoga iliyokuwa inaenea hapo. Lakini walifuata chanjo za kwanza, bure, ilipatiwa na shirika la afya dunia(WHO), daktari nani wa UN. Na walizipatia kwanza huko Haiti bure. Alafu Haiti ikawa binguni ya mashoga walioenda huko kwa wavulana wadogo. Hii ilijuliwa vizuri kwa hizo siku. Na wangewakopa kwa senti kidogo. Lakini UN walienda Africa na walifuata hizi shindano katika Africa na Ukimwi ilitokea nyuma yao kila mahali walienda. Unaona hii ndiyo kitu ya ajabu kwa hii dunia. Kama wewe ama mimi tungepelekwa kwa korti na ulikuwa na mtuhumiwa

na ushaidi wote unapointi kwa mtuhumiwa – hivyo ndivyo unakuja kwa uamuzi wako na hivyo ndiyo uamuzi unafikiwa na ushaidi. Hii iko kila mahali si na 9/11 peke yake lakini pia ukimwi na zingine lakini kuweka uamuzi wazi wa kisheria. Nyundo haianguki kwasababu ni hawa vijana wakubwa wanaofanya hivyo unaona. Lakini ushaidi huwa unapointi pahali uamuzi wako lazima uwe hadi uwe na maarifa yanayoipinga. Lakini tunajua kwa mfano, na hii ilitoka huku Canada, kwa televisheni ya CBC kitaifa, sijui iliingia kwa vyombo vya habari. Bwana Mansbridge, yeye ni daraja kwa watu unaona. Hiyo ndiyo kazi yake, kutupatia habari kila siku, na yeye ndiye ameaniwa zaidi Canada.

Henrik: Oh, Kweli, oh.

Alan: Ndiyo na wanampatia tunzo za kuwa hiyo pia. Kila mtu amekua naye na hangeweza kukudanganya na anasoma bodi ya wajinga pia. Lakini alikuwa anaongea juu ya mada tofauti na sana na kamera ikaenda kwa mhoji mwanamke akiongea na watu wawili kwa ramani ya Africa na India. Na ilikuwa ya kioja kwasabau haikuwa na mwanzo ama kitu yoyote na alikuwa anasema nini iliwapatia ruhusa ya kuzuia hawa wanawake kuzaa. Ilitokea hati hawa watu wawili walifanyia shirika la afya duniani(WHO). Ilipatikana ati walipatiana mamilioni za shindano bure za pepopunda kwa mamilioni ya wanawake India na Africa. Na moja wao alikuwa ugonjwa wa ovari zilizozizuia. Lakini mkao wa hawa watu ilikuwa kawaida ya urasimu wa UN kwasababu hawa watu si lazima wacheze siasa. Wanajua wanaongoza dunia. Wanajua kazi yao ya kweli ni nini. Na walikuwa wanachukizwa na walisema lazima tuifanye, lazima mtu atunze hii fujo.

Henrik: Nathani ati wanaamini hii wenyewe ama hawangekua hapo.

Alan: Nimeongea na moja wa hawa watu binafsi. Ni mwanamke, hapa Canada anayetoka kwa familia ya kitambo sana. Ina mali mingi sana, ina mahusiano kimataifa. Na alikuwa mwalimu wa shule pia, lakini moja wa ajabu sana kwasababu amekubaliwa kuenda China kwa miezi sita na Amerika ya Kusini kwa miezi sita ingine ama mwaka na anasongesha na anaangalia kinachoendelea. Na nilikutana naye nje ya duka. Nikasema unaendeleaje. Na akasema ndio, ndio. Na akasahau anaongea na mimi kwasababu ya vitu najua, nathani. Na aliongea kuhusu vile China ilivyo nzuri na kuendelea na akasema lazima afanye maripoti kuhusu kwasababu akasema vile wanavyoshugulikia shida yao ya watu wengi. Unaona China chini ya UN ni mfano wa dunia. Lazima tuwanakili na UN imesema hivyo. Na aliendelea kuhusu vile wanavyoifanya na wametengeneza ukubali wa kijamii na makatao wa kijamii, kwasababu si lazima walete kuchukua wanawake waliowajazito na mtoto wa pili. Wanafanya watu wa mji kuwaaibisha na kuwafukuza wenyewe. Na kwa hivyo ni Njia ya kipavlov inayofundishwa kwa wavuta sigara. Kila mtu wanaoana wavuta sigara wakiwakisha mitaa na wanaweza hata kukupiga mawe hadi kifo. Hiyo ndiyo mafunzo ya kipavlov. Ni sawa na wajawazito. Majirani watakupeleka na lazima kwa kliniki wa utoaji mimba. Na alithani ni mzuri sana, mzuri sana. Alikuwa ameifurahia. Alafu nikamrudisha kwa kitu alichokua akisema. Nikasema nini inawapatia haki ya kufanya hivi? Na alisema kitu sawa. Alishtuka kwa sekundi moja. Akasema, mtu lazima aifanye. Na hiyo ndiyo unaskia kwa hao wote. Hawaongei juu yake peke yake,wanaifanya.

Henrik: Kabisa, na uaminifu kwa hii kitu imepita majadiliano kwa hawa watu. Na hawataskiza ile ambao haiskizani nao. Hata kama wanasayansi wnyeewe wangetoka waseme, ongezeko la joto duniani ni uongo. Ama dunia ina watu wengi ni uongo, kwasababu akili zao zishaamua na hakuna kurudi kwasababu hii ajenda imeshaamuliwa na wataifuata haijalishi nini.

Alan: Kwa njia yoyote. Bila shaka, kwasababu kitu yoyote ambayo inafanyika kwa hii dunia haipatiwi kwa umma kujadili. Inafanyika kwa viwango za juu na hatuamui kitu chochote. Inamalizika. Wanalipwa vizuria pia. Wakona mafunzo yao ambayo inahakikisha wanachojua na kitu wanachofanya ni lazima. Na wanaiamini.

Henrik: Kabisa, na hangekuwa hapo kama wangefikiria vingine.

Alan: Ndio. Kwa hivyo kwa dunia inayokuja hakuna mtu ambaye atakubaliwa kuishi bila sababu kufanyia hii taifa ya dunia. Utendaji bora itakuwa sheria mpya. Utendaji kamili.

Henrik: Ndiyo. Hiyo ndiyo kutenda imeyotoka kwa mfano wa nyuki. Ajabu. Na mfumo kwa huu muda inakaa ni kama ina fadhila wale wasio na ubinadamu(psychopaths) ambao hawana hisia yoyote kabisa kwa mtu mwingine.

Alan: Hawana yoyote. Na kama asiye na ubinadamu mzuri atakushangaza na uzuri wake. Lakini ukiskia wanachosema hapo ndipo unaanguka, kwasababu wataisema kwa njia mzuri sana kitu ambacho kwao ni ya kawaida, lakini wanaongea juu ya kuua watu, unajua.

Henrik: Ndio, hivyo na wanaweza kuisema kwa njia mzuri na inayoeleweka sana na hivyo ni kitu inawasaidia kujibora. Ni

ni jukumu wanayochukua kuboresha sababu yao ama kuongea na watu wengine ili waheshimiwe.

Alan: Oh kabisa. Unaona asiye na ubinadamu ana kitu kingine. Anasifa kubwa kwake. Na anapenda sifa. Na matunzo ndogo ndogo njiani ama ata kuenda Uingereza kupatiwa heshima na mfalme, hapa Canada wanapatiwa agizo za Himaya ya Uingereza(Orders of the British Empire = OBEs) wanapenda hizi tunzo. Ni saina yao kuwa juu.

Henrik: Kwa hivyo hapo ndiyo medali na diploma zinatoka.

Alan: Vyeo ndio.

Henrik: Vyeo ndio kabisa. Na thani nyoingi za hizi zina asuli ya kimesoni(masonic) ata ukipata digrii bila shaka ukitoka shule na hizo.

Alan: Oh kabisa kabisa, alafu wakona maprofesa kwa vyuo vyote vikuu, wamekuwa nao tangu zianze, tena kutoka kwa hii kikundi ya wanaensiklopidia(encyclopedists) ambao wako kwa hizi ajenti, hii dini ya dunia, hii jamii ya watawalaji na wanachagua watu, wasoma shuleni kwa kazi zao. CIA ni sehemu yake tu inachagua kutoka vyuo vikuu kwasababu maprofesa, maprofesa fulani wanatafuta wale walio na utu wanaotaka.

Henrik: Ndio kabisa imekamilika. Iko hivyo ili huu mfumo uweze kuendelea, unajua ata kama kuna wengine wanatoka hapa na pale, hii mfumo imetengenezwa kwa njia ambayo itajiendeleza.

Alan: Ata na Africa, Africa ilijazwa na siasa ya kulia na kushoto siasa ya kibepari na kikomunisti. Walikuwa nayo kushinda watu wengi. Hawa watu sawa walikuwa wanafadhili sehemu zote kuendeleza vita na hiyo iliuwa mamilioni na nja. Nja iliyo Africa, kwa miaka mingi haikuletwa na hali ya hewa mbaya ama kitu kingine. Ilikuwa kukosa muda wa kulima na kupanda kitu chochote kwasababu ya vita zilizoendelea vijijini.

Henrik: Oh ndio naona.Unajua kuhusu njia wanazotumia kuleta hii serikali ya dunia naona inafanyika kwa bara zingine lakini kuna utengenezaji la umoja wa africa(African Union) na unathani hii itakuwa hatua ya kwanza kwa uamuzi wa huo shida?

Alan: Inaendelea. Mandelea aliletwa juu kufanya hii kwa miaka kumi zilizopita ama hivyo, na sina shaka kutoka mwanzo alijua hiyo ndiyo itakuwa sababu yake.

Henrik: Ajabu. Nani anajua tutakuwa wapi, kuhusu ukimwi na kuendelea. Nathani hiyo ndiyo mpango kuu wa uaji wa kimbari ambayo wametayarisha. Sijasomea hii sana kwa hii stegi lakini nathani iko unajua hii Alan? Ni shida kubwa bado, wanaweza kupigana sehemu yoyote ya hii ama inafanyika?

Alan: Hapana ni kubwa kwasababu utapata ni saha vijana. Wakona kidogo sana huko Africa lakini kitu magharibi wanahakikisha wamepata isipokuwa mtindo na kofia nyuma na mziki sawa, waliwapatia mziki na mashine ya kuzicheza na wanahakikisha madawa fulani zinaingia saha pombe inayotengenezwa nyumbani ata masherehe nje ya vijiji zao na kuendelea. Alafu wanafanya kile magharibi inachofanya. Kila mara wanapata sinema ya magharibi na vijana wanajaribu kufanya ngono za magharibi na chini wanaenda na ukimwi. Hiyo ndiyo shida kuu. Ukiharibu utamaduni na yale yote walioona kama mabaya yaliyofanya ifanye zimeenda na hiyo utamaduni imepotea na lakini inajaribu kunakili wanachoona kama kuu, watainaikili kwa yote. Na kama ukona shida ya ukimwi kuanza, imepigwa shindano ndani ya hapo, umehakikisha ukimwi itaenea. Inatishia. Imeenea kwa vijana wote.

Henrik: Ndio, ndio. Kuhusu mpango, tuseme wanaweza kuendeleza hii hadi mwisho, kuwa na umoja wa africa(African Union) na bila shaka tukona umoja wa ulaya(European Union) na umoja wa marekani(American Union) inaendelea alafu umoja wa Asia. Kuhusu mpango wa muda una fikra yoyote? Najua ziko hapa tayari lakini namaanisha kirasmi.

Alan: ndiyo kirasmi zaidi. Najua ati mpango mingi za UN kwasababu wanatumia mpango za miaka kumi,ishirini na hata hamsini utapata ajenda wanazotoa. Utapata mingi zao kwa ishirini ama thelathini ama hivyo. Lakini tunajua ati bara la marekani itatamkwa kwa wazi hapo 2010. UN itatamkwa kama serikali ya dunia hapo 2012. Kwa hivyo Africa inaweza kaa kidogo ama itakuja chini. Inaendelea kwasababu taifa zingine za Africa ambapo UN imehusiana nayo sana ni za UN. Hiyo ndiyo maana zimeendelea kidogo.

Henrik: Ndio kabisa. Na bila shaka tumekuwa tukiongea juu ya uwezo wa kuwekea kompyuta(microchip) hiyo umma. Lakini ile ya shi kuhusu hii ni VeriChip imeweka RFID kwa wale wanao ugonjwa wa kisukari, nathani.

Alan: Ndio. Hiyo ni kweli. Lakini niliona moja wa hizi vyombo vya habari muda kidogo uliopita. Programu zinazoitwa vizuri kwasababu habari ya umma ni njia ingine ya misingi kuweka sinema za asili na hizo, kutuosha akili. Na ilikuwa juu ya mahali Africa. Nje ya pahali za bantu, bantu ndiyo walikuwa kabila wa kuhamahama wa kweli, walikuwa na kundi la wanyama wakisafiri. Walichukuliwa na UN na sahi wako kwa kambi. Kwasababu hakuna mtu wa kuishi kwa njia za kitambo. Sina shaka wataanza kufa hapo ndani. Lakini kabla ya hiyo hii ndiyo walikuwa wanafanya. Na si hapo tu lakini walikuonyesha. UN ilipatiana uzuiaji wa mbuge bure na upasuaji. Na ungepata nini, kidogo sana, hawangekupatia nguo. Walichokupatia ilikuwa kadi uliovaa kwa shingo yako. Na ungepatiwa mapointi fulani kila mwezi. Na gari la nyeupe ingekuja kila mwezi ulipoishi alafu ungeingia hapo uingize kadi yako kwa mashine alafu ungenunua vitu fulani ulizotaka kwa hiyo gari. Hiyo ndio ilikuwa zawadi yako. Kutoka kwa kitabu ya charles Golton Darwin miaka miliono inayokuja “The Next Million Years” ati watu wangepatina uzaajii wao ili wawe na bidhaa.

Henrik: Ajabu. Unajua tena nashinda nikirudi hapa kwasababu ni kitu muhimu, kuhusu hii habari. Iko haraka kwa mkono yetu ambao wana fikiria hizi swali. Lkini nataka kurudi kwa kweli ati nini ndani ya roho ya binadamu ambayo wameogopa sana? Wanajaribu kutawala kila mtu ambaye ni tofauti. Lazima kuwe na nguvu ya maisha ya kweli ndani ya sisi wote ambayo wameogopa. Unafikiria nini kuhusu hiyo?

Alan: Wameogopa. Wameogopa wale watu na wamesema hii kwa vitabu kadha. Saa zingine imefichwa lakini kitu wanachosema na unaona walitamka vita walipoweka ligi ya mataifa ambayo iligeuka kwa umoja wa mataifa. Ilikuwa ya ajabu kusoma hizi vitu nilipokuwa mdogo kwasababu nilijua vita zilifadhiliwa zikaanzwa na matajiri, watawalaji. Na hapa kulikuwa hizi vitabu zilizosukumwa na ligi ya mataifa na umoja wa mataifa ikisema lazima wapige vita kwa watu kwasababu utu ilikuwa sababu ya shida na matatizo zote kwa historia. Kwa hivyo walishabadilisha uonaji wa dunia na msemo moja. Walichoogopa kwasababu walijua kwa kila kizazi kuna watu ambao hawaanguki kwa mafunzo ya kuosha akili tumechokuwa nayo, saha tangu elimu ya kimataifa tena ilitangaza vikundi za kimesoni(masonic) na wanajivunia kwa hiyo wazi ndani ya vitabu zao. Hiyo ni shirika la kimataifa ya elimu na kiwagongezi ya kuona dunia. Unaona wale ambao hawata kubali maoni ya watu wengi, ambayo ni uongo si kweli ile inayotoka kwa televisheni na kuendelea, Wale ambao hawatakubali mpango wao hatari. Wanajua hiyo. Kwa hivyo lazima watafute njia za kuwajua shuleni. Na kwa hivyo kwa miaka kumi na tano zilizopita wamekuwa wakipatia watoto zoezi za saikolojia za ajabu sana. Na wavulana walio na akili ambao wanauliza maswali na wanakuwa shida kwasababu ya haya maswali. Wanauliza maswali zinazofuata mantiki na wanachoulizwa si mantiki. Na walimu wanakasirika kwasababu hawawezi kuzijibu. Wanawekwa kwa Prozac na madawa zingine. Hiyo ndiyo sababu ya hiyo.

Henrik: Hiyo ni ajabu. Na kwa mara moja inakaa kama wale wa juu, kuongea hivyo, inakaa kama mtu(the individual) ameheshimiwa kwasababu mada, mada wa “promethius” inashinda ikitokea kuhusu watawalaji. Na hii bila shaka kuhusu hadithi, kuhusu mwasi anayepata uhuru alafu ana kuza utu. Namaanisha aje?

Henrik: Kwao wenyewe lakini

Alan: Kabisa hiyo ndiyo pointi, nathani.

Alan: Lakini kuna zaidi kwa dini yao ambaye inapatikana kwa kila kitabu takatifu, kwasababu wahenga wao waliandika kila kitabu takatifu. Hiyo ndiyo maana utapata maana sawa zilizofichwa kama unazielewa kwa zote. Utapata ati vinyume kwa hadithi, vinyume zote ni sehemu ya mtu aliyekamilika. Utapata hadithi ndogo na mwanamme, mwanamke na saa zingine bibi yake ni dada yake, na utapata mwenzi mwingine akiingia na kwa hivyo wako watatu kila saa. Alafu wa nne ni wanayeita Jethro ama mwanaethiopian na huyo ni yule asiyejulikana ambaye mungu anakubali na akona uchawi. Wote wanafundishwa hii kwa hizo jamii za juu. Wanaielewa.

Henrik: Hiyo inapendelea kwasababu namaanisha kuna uhusiano na Ethiopia hivyo?

Alan: Inachomaanisha kwa kweli ni mwanaethiopia ni mchawi. Hiyo ndiyo walimaanisha nayo. Na hivyo ni mfalme ambaye ni baba kwa bibi ambaye ndiye mama, mama wa yote kwa hivyo huwa anagunuliwa mara mingi kama mama, dada na bibi. Kwa kweli mama ni kama aina ya tumbo. Kila kitu inatoka kwa tumbo. Na maisha yote inapitia tumbo. Wanasema ni mtiririko unaotiririka juu, ni maji unajipundua nyuma. Iko ata kwa agano mpya ambapo yesu anafanya maji ya Jordan iende kaskazini. Inaenda kaskazini dhidi ya bubujika ake. Hiyo ndiyo maana iliyofichwa kuhusu chanzo cha umungu. Na unapoungana huo kikindi wa robo(quaternity) wanavyoiita unakamilika unakuwa moja wa hao mamungu. Hii yote imeeleweka ndani ya dini zote, kwa kiwango kilichofichwa. Lakini hiyo ni kidogo yake tu nimeyosema.

Henrik: Inpendelea sana. Unajua nataka tu kurudi kidogo kwa sehemu mpya kuhusu ufuataji, kupatia vijana madawa na kuendelea. Kulikuwa na makala iliyotokea kwa “Guardian” nyuma kidogo iliitwa “mtoto wako ameshaanza kucheza na vidole? kama sio serikali inataka kujua kwa nini” Na inasema “ watoto watazoeshwa kwa kumeza,kuongea na uwezo wa kucheza na vidole za mguu, wakifika mwezi ya tano chini ya programu iliyo sheria ya watoto taifani kutoka azaliwe hadi miaka tano ilichapwa na serikali jana”Na hii ni, watakuwa na maserikali 69 wakiweka wanachoita lengo za elimu. Unajua, wakirekodiwa inasema hapa dhidi ya mapitio 500 wakienda. Na kama mtoto akui kwa njia wanayotaka watahakikisha wameifuta ili waangalie kama kuna kitu mbaya na mtoto wako na kuendelea. Ama wachukue mtoto wako na waanze matibu yao na vitu kama hizi. Lakini hii ni kama unajua inaletwa kama ni ya usaidizi wako. Ni ajabu inavyoletwa hivyo lakini ni ya kiradikali. Kwangu ni ajabu lakini inakaa itaenda bila mtu kusema kitu inakaa.

Alan: Kabisa, kama hakuna msemo yoyote unajua ni sehemu ya ajenda yao. Na bila shaka chini ya programu ya kutambu watu(Eugenics) wanaziita rekebisho ya asili sahi(Bio-Ethics). Ni kikundi sawa lakini mapango sawa. Wanatak kujua kwasababu ya dunia wanaotengeneza wataamua nani atazaa. Wakiifanya mapema, wanavyoiona ndiyo bora kwao. Kwa hivyo hii yote itafanya waseme wale ambao hawajakua kwa njia yao kwa hivyo hawatakubaliwa kuzaliwa kama njia ya kuenda kwa hatua ingine. Kwasababu wanajua maika mia zinazokuja.

Henrik: Ndiyo na itakuwa mjinga, mtendaji kamili wa nguvu ama kitu kama hiyo.

Alan: Ndiyo itakuwa.

Henrik: Mfanyikazi nyuki(worker bee) nathani. Ajabu

Alan: Kuna tovuti mzuri ya kuangalia. Yeye ni mmoja wa wanayesongesha utambulizo wa watu(eugenics). Na watu wanathani ni mtu mzuri. Anaitwa John Glad. Na ana tovuti inayoitwa whatwemaybe.org. Na hapo anasema kwa sehemu moja, “ Uchaguzi wamageuko imerudi chini kiradikali kwa binadamu kwasababu ya maendeleo ya dunia, sayansi na saha madawa. Hizi maendeleo zimesaidia umma lakini zimeongoza kwa digrii kubwa, zimefungua binadamu kutoka mwendo za kiasili na zinachunga uzuri wake.” Hapa analalamika ati njia za leo za kuishi haiui watu kutosha. Hivyo. Lakini ameisema vitofauti lakini ni kitu sawa. “Kitambo uchaguzi wa kiasili ilifanyika kwasababu ya uwezo wa kushi tofauti. Lakini leo watu wengi wanaisha muda mrefu baada ya kuzaa, uchaguzi inaamuliwa saha na tofauti wa uwezo wa kuzaa. Isipokuwa ugonjwa ambazo unazaliwa nazo huu uchaguzi mpya ina shirikiano mbaya na uwervu na uwezo wa kuzaa” Anamaanisha tabaka za chini ambazo zina zaa. “Wasiwasi kuu wa uchaguo kwa miaka mia na kupita” Watu wanafaa kuangalia mzungmuzo wake kwasabau anaongelea watawalaji UN duniani.

Henrik: Inapendelea. Na hii ni nini, Kile totachokua?

Alan: Kile tunaweza kua.

Henrik: Kile tunawezakua sawa. Naenda kuitafuta na niiweke kando ya hii programu. Ndiyo lakini inakaa kama wanajaribu kushughulikia mwendo za dunia na kujaribu kunakili, si kuzinakili lakini kuzichukua. Na kuwa na uwezo kuamua wenyewe hivyo. Nathani turudi kwa fikra ya kuweza kuwa mungu.

Alan: Wanajiona kama mamungu. Bila shaka. Hakuna shaka juu ya hiyo wakigundua wakona nguvu juu ya maisha na kifo na alafu wako kwa dini ya juu iliyofichwa.

Henrik: Lazima niseme hii kabla tuende leo. Lakini kuhusu video ingine ambayo niliona. Video mingi hapa, lakini hivyo ndiyo iko inaitwa njia tano ya kusaidia dunia. Bila shaka ilikuwa juu ya wanasayansi na fikra tofauti juu ya vile watapigana na ajenda ya ongezeko la joto duniani. Hii haikuwa majadiliano ama kitu kama hiyo. Hii ilikuwa, watu amabaye wanaamini kabisa lazima tutumie njia bandia kubadilika kufanya kitu ya kuzuia jua na kupelea vio kwa cheneo. Lakini hii inaenda kweli ambayo wanajaribu kuchukua mwendo za kiasili ili waifanye kisayansi.

Alan: Wanafanya hivyo. Imekuwa ikifanywa kwa muda mrefu. Hatufai tu kujua juu yake. Tunaongozwa kwa njia ya kisayansi. Tumekuwa tangu chanjo za kwanza.

Henrik: Ndio sawa Alan. Nathani hiyo ni pahali mzuri kumalizia vitu leo. Lakini kama kawaida ningependa utuambie juu ya tovuti lako na vile tunaweza kukusaidia, kama kuna wasikizaji wapya ama watu ambao hawajasikiza kwa muda mrefu. Tupatie tovuti lako na zilizo hapo.

Alan: Angalia cuttingthroughthematrix.com. Kuna tovuti za vioo pia. Na kuna vitu vingi vya bure. Na kidogo ambazo nauza, zinazoenda mbali kidogo. Na kutakuwa na zaidi zikiingia hapo kama kila siku.

Henrik: Sawa, vizuri. Tena Alan hadi mara ingine. Asante kwa kuwa hapa. Na kama kawaida imekuwa vizuri kuwa na wewe hapa. Tutaongea karibuni rafiki yangu.

Alan: Okee-doke.