MZUNGMUZO WA ALAN WATT

  USIENDESHE – TENDA INAVYOFAA-- MZINGA

  AMA

  ONGOZO LA KUBADILISHA TABIA KAMA

  UNAHITAJI KUSAFIRI

  MEI 10, 2007

  Maneno yametoka kwa Alan Watt.

  WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

  www.alanwattsentientsentinel.eu

 

 

Hamjambo. Mimi ni Alan Watt na hii ni cuttingthroughthematrix.com na alanwattsentientsentinel.eu leo ni Mei 10, 2007.

 

Leo naenda kusoma kwa gazeti inayoitwa “The Wilsons Quarterly.” Hii inatoka kwa aina ya 2007. Ilikuwa inahusu Pahali pa masomo ya Woodrow Wilson. Hapa mbele inaitwa,”Wanaogeuza Hali ya Hewa.”

 

Nafaa kusema, kwanza, hii gazeti ilichapishwa kimataifa. Ilikuwa pahali ya masomo ya Woodrow Wilson, Washington, D.C. Iliandikwa na James R. Fleming. Nathani inaongea juu ya mahusiano zake tofauti pia. Hizo zinapendelea kuangalia. Mahusiano zinakuambia mingi kuhusu nani ni nani na nani anaandika nini.

 

Jame R. Fleming, mwandishi wa hii makala ni msomi wa sera ya umma. Yeye ni “msomi wa sera ya umma”, ya kupendelea kwa kituo cha Wilson na mwenye Chama cha Marekani wa Kuendeleza Sayansi uhusiano wa Roger Revelle kuongoza mazingira wa dunia, yeye ni profesa wa sayansi, teknolojia kwa jamii ya chuo cha elimu cha Colby kwa Waterville, Maine. Anakupatia orodha ya vitabu vyake vingine. Iliandikwa na mmoja WAO, “hao watu” hawa watu wanaojua” wanaojua uongo zinazoendelea kwa hivyo hawawezi kukuelezea vitu vizuri. Hii makala imeandikwa kwa njia ya Kiingereza ambapo watakupa kweli kidogo imeyochanganyishwa na machekesho na tishio pamoja, inayowacha anayesoma kwa dunia ingine, amabapo tishio inakufikia. Utathani, “Mungu wangu! Kuna watu wazimu wanaotawala huu mfumo!” Inaongezea tishio. Wanakupatia maarifa uongo kuenda nayo hapa ni Ongezeka la Joto Duniani.

 

Makala inasema:

          Wageuza Hali ya Hewa.”

 

Tishio la ongezeko joto duniani inaponea, fikra za kiradikali inapata nguvu. Sahau kukata hewa ya nyumba ya kioo, wanasayansi wengine wanajadili. Tafuta rekebisho ya teknolojia. Rukisha taa ya jua kurusi kwa anga na kuweka teknolojia ndogo ndogo kwa hewa. Weka vioo kwa kuzunguka dunia. Tengeneza cha kupima joto la dunia. Lakini kinacho kaa kama uongo wa sayansi ni hadithi ya kitambo. Kwa miaka mia na kushinda, wanasayansi, jeshi na waongo wako na mipango za kuongoza hali ya hewa. Kama hao, wale wanaotaka kuongoza hali ya hewa wanaongeza iliyo kweli na wanaothani ni ya siasa, kijeshi na athari za kujaribu kuongoza hali ya hewa na athari kubwa kushinda waliokuja mbele wao walipitia”

 

Alan: Nitachosema ni. Hivyo ndiyo wangeitoa kwa Uingereza, ili isiangalie kweli yoyote inayokataa ongezeka la joto duniani. Haisemi kuanza, ati tunapitia mzunguko kila saa kama umri wa barafu ndogo na umri wa ongezeko la joto, mbele na nyuma na zingine kubwa. Kwa hivyo ati hii ni msomo mpya kwa historia, kwasababu ati rekodi nzuri hazikuchukuliwa kitambo, maarifa gani hapo inaweza ata kuchukuliwa kama kweli? Haiongei juu ya hiyo, jadilio imeisha. Inaanza na jadilio imeisha na kweli ni kweli na hivyo ndiyo inawekwa kwa akili yako.

 

          “Kupita pahali pa usalama wa kimataifa cha ndege na utawalaji wa anga wa utafutaji kwa kusini wa San Franscisco, kikundi ndogo ilikutana Novemba kwa mada ya kutawala rediesheni wa jua.” Mada ya kweli ilikuwa kubwa kushinda hiyo; kusaidia dunia kwasababu ya athari za ongezeka la joto duniani.

 

Alan: Tena, jadili imeisha. Haijaisha, “Kuna Ongezeka la Joto Duniani?” lakini, “Jadili imeisha.”

 

          “Kulikuwa na zungmuzo ndogo na wanasayansi kumi na mbili na mabingwa wengine kuhusu kulipa kodi ya hewa, nguvu zinazotoka kwengine ama zile rekebisho za kawaida”

 

Alan: “Marekebisho”  Tena hiyo imezamishwa ilivyofaa, marekebisho.

         

          “Wengi wa mabingwa hawakuwa na utulivu kwa hizi mipango. Wengine hawakupenda, pigio la ushirikano wa mataifa na sheria na mabadilisho ya njia ya kuishi inayotakikana kukabiliana na hewa ya nyumba ya kioo, wengine waliamua ati wanasiasa wa dunia na warasimu hawakuwa juu ya kazi ya kukubali ama kukataa hizi mabadilisho ama ongezeko la joto itakuja haraka zaidi na athari za msiba mkuu, na mifano mingi. Wanaamini sasa ni saa ya kitu radikali: tibu haraka ya kiteknolojia kwa ongezeko la joto duniani.

 

          “Makabiliano haifanyiki na haitafanyika,” mwanafizikia Lowell Wood alitangaza kwa mkutano wa NASA. Wood, nyota wa mkutano,walichukua muongo nne kwa Chuo kuu cha California Lawrence Livermore Chumba cha Majaribio ya Taifa, alipokuwa mmoja wa wakuu wa watengenezaji wa silaha za Pentagon.”

 

Alan:: Unaweza amini huyu mtu akuambie ukweli(kutoka Pentagon).

 

          “(Anafurahia “Daktari Ubaya” jina ambayo alipatiwa na wakosoaji wake.) Muda umefika wa, alisema  “ni muda wa kutoa joto isiyotakikana kwa hewa na teknolojia,” ambayo, alisema inaweza kufanywa na bei ndogo sana kulingana na ukandamizo wa hewa na urasimu.” Njia yake ya uhandisi utaleta alisema “tibu ya hali ya hewa ya saa hii.”

 

Alan: Huyu mtu kumbuka alifuata Teller. Alifundishwa na Teller, wa mapema; alikuwa Daktari Ubaya, Sehemu ya Kwanza. Wood ni ya Pili. Ilikuwa Teller ndiyo alitoa hiyo fikra ya kutumia chuma ndogo ndogo kuongeza ama kuleta chini, kulingana na walichotumia, vita kutumia hali ya hewa, lakini saa hii hao ni wasaidizi wenu. Watu wa vita ni wasaidizi wenu sasa, kumbuka, na Pentagon. Unaweza amini Pentagon

 

   Kuendelea:

          “Wood aliendelezafikra nyingi za “kurekebisha” hali ya hewa ya dunia pia kutengeneza bahari la Arctic kuifanya iwe kama uongozi wa hewa ya sayari  ku “nyonya joto kutoka kwa kati ya joto la dunia.” Njia ya ajabu inayowezekana ni kutumia mzinga mkubwa  kupiga hizi teknolojia na chuma ndogo ndogo zilizo kama kioo kwa hewa ya Arctic kudhbiti taa ya jua.

 

Alan: Hapa wako, tunavyosema “chini kwa dunia,” kujaribu kutoa gari zenu kwasababu ya moshi tofauti inayotoa; lakini wanataka kuzifukiza juu ya vichwa vyenu eh?

 

           “Kutoa milioni ya tani ya vifaa itahitaji kuijaza kila saa – ni vita na hali ya hewa. Na ingine, ndege za B-747 “za mazao” zinaweza kutoa hizi vitu ndogo ndogo na kuruka bila kusimama katika kila pande za Arctic. Ama mpira wa maji kubwa inayoweza kuwekwa kwa ndege kubwa ya jeshi juu ya anga kuweka hizi vioo kwa hewa.”

 

Alan: Tunafukizwa tayari na imekuwa hivyo kwa miaka, kwa hivyo hii hadithi yote ni kitu ya kando na sababu ingine. Kumbuka, miaka kidogo zilizopita, kuna kitabu iliyotoka inayoitwa” Ripoti kutoka Mlima wa Chuma” iliyokuwa shirika kubwa la fikra iliyokuwa kwa binafsi ya Pentagon, na miaka zilizopita, kuhusu vile dunia inawekwa pamoja na inatawalwa. Walisema” inawekwa pamoja na tishio la vita” na kwa jamii ya dunia wangehitaji kupata adui mpya” Wameipata unaona, wameitengeneza  na kama adui wote, wameipatia jina mbaya.

 

Hii makala hapa ni sehemu ya mchezo wa uongo, hii mchezo wa uongo inaendelea bila shida.

 

         “Fikra za Woods zinaweza kaa ni  kama zimetoka mbali, zake hazikuwa peke kwa kisio chaa Rube Goldberg kwa mkutano. Hata walipotoa mzaha kuhusu mfanyikazi wa NASA aliyeomba msamaha kwasababu hakuweza kutawala temperecha ya chumba cha mkutano, wengine walieleza mipango zao za kuongoza hali ya hewa ya dunia. Falaki J. Roger Angel alipendekeza kuweka vioo vingi kwa mzunguko kupeleka pali pengine rediesheni ya jua, kwa bei ya matrilioni peke.”

 

Alan: Vita lazima iwe na faida, unaona.

 

         “Mwanasayansi wa hali ya hewa John Latham na mhandisi Stephen Salter alitoa fikra yao ya kutengeneza mawingu baharini nene na vioo zaidi kwa kutumia maji ya bahari na mapampu kubwa. Iliyotishia sana ilikuwa mwandishi wa sayansi wa uongo Gregory Benford alitangaza ati anataka “ kukata katika urasimu wingi na kuonyesha kinacho weza kufanywa” na kupata wafadhili binafsi wa mpango wake kuingiza kemikali kwa dunia – iliyo kama chaki inayotumiwa kwa pahali pa kusafisha maji na kwa mapala – kwa hewa ya Arctic. Yeye kama wageuza hewa wenzake, alikuwa kimya kuhusu athari za huu mpango ambazo hazikupangiwa.”

 

Alan: Oh! Hapo unaona, hizo ndizo vitu wanazopatia umma ili watutishie ati kuna watu wazimu wanaotawala na hawajui wanachofanya. Sasa, hawa watu wanaishi kwa maruhusa kubwa maisha yao yote, na hawa watu wanafanya wanachoambiwa. Wanafanya wanachoambiwa. Ni ukweli hapo juu wanahakikisha kila kitu imeangaliwa, kwa hivyo kila mmoja anapatiwa eneo lake la kufuata. Hivyo ndiyo unaweka nguvu, kwa enzi zote. Unahakikisha umeangalia kila kinachoweza fanyika, na kila shida kwa kila uwezo na athari, na unatoka na uamuzi mbeleni.

 

          “Kukosa kujua iliyo ndani ya kitacho fanyika tukicheza na mfumo tata wa hewa ya dunia ni sababu moja ambayo kuigeuza imekuwa ikiongelewa na sauti ya chini kwa jamii ya sayansi. Watafiti wengi wanagundua ata wale mabingwa werevu sana wana historia ya upofu kwa athari ya kazi yao. Fikiria kwa mfano, ati mpango wa Wood kunonesha barafu ya Arctic ifanyike. Wingi wa dunia itataka kuiwacha hivyo ama kuongeza barafu ya bahari, Urusi na taifa zingine kwa historia zimetaka Arctic isiyo na barafu, itayowachilia mameli na pengine itafungua njia ya kunyonya mafuta na madini kwa wingi. Na barafu ya Arctic iliyoongozwa italeta misimu fupi za kua na winta zaidi kwa Alaska, Siberia, Greenland na pengine, na zinaweza kutengeneza winta kubwa sana kwa kati ya dunia. Lakini Woods anaita hii fikira yake “mpango wa utulivu wa hali ya hewa” na anatumaini kutengeneza “Pima Hali ya Hewa ya Dunia” kuongoza hali ya hewa ya dunia.”

 

Alan: Hiyo inamaanisha mtu anaidhibiti, na unathani nani anailipia?

        

          “Nani ataongoza “pima hewa” kama hii itayobadilisha maisha ya watu mabilioni  wa hii dunia?”

 

Alan: “Wale wasio na ubinadamu wakuu, hao ndiyo itakuwa”

 

            “Nini ni ya kufanya wengine kukosa kuchukua geuza hewa ya njia moja? Marekani haina nguvu kwa tamaa kama hizi. Kwa Novemba 2005 kwa mfano, Yuri Izrael, mwongozi wa taasisi ya kusoma Hali ya Hewa na Taasisi, aliandika kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin kutengeneza kesi ya kuchoma makemikali(sulfur) kwa hewa kurudisha chini joto ya dunia “digrii moja ama mbili”-- rekebisho kubwa tangu kabla ya enzi cha kiwanda.

 

          Kuna lakini kinachosumbua kwa historia, kutumia hali ya hewa kama silaha. Waongozi wa jeshi wamefikiria, Marekani na taifa zingine kuhusu uwezo wa hali ya hewa kuongozwa kama silaha. Lowell Wood mwenyewe anasimamia waliopita pendeleo za jeshi na umma. Sasa zinazouhusiano na taasisi ya Hoover...”

 

Alan: Kumbuka hizi mizinga za fikra na taasisi na misingi?

 

            “... mzinga wa kufikiria kwa chuo kikuu cha Stanford, Wood alishirikiana na Edward Teller, mwanasayansi wa silaha aliyetambuliwa kama aliyeendeleza bomu ya hidrojeni na alikuwa mtengenezaji wa makombora za ulinzi kwa enzi ya Reagan(ambayo Wood alifanyia pia).”

 

Alan: Kuna kazi mingi ya kufanywa kwa hiyo eneo, na hawa watu, kama wasiye na ubinadamu(psychopaths) wazuri, wana mapua mzuri wa kuinusa na kuingia ili walipwe kama wote wasiye na ubinadamu.

 

                  “Kama Wood, Teller alijulikana kwa kutoka na uamuzi za jeshi na teknolojia zilizo za utata kwa mashida ngumu, kama utumizi wa silaha za nuklia kwa utulivu.” Mpango wa Teller kutengeneza bandari bandia Alaska kutumia mabomu za joto ya nuklia ilikuwa karibu ipate ruhusa ya serikali. Kabla kifo yake 2003, Teller alikuwa anatetea udhibiti wa hali ya hewa inayofanana na  ile ambayo Wood alitoa.

 

            “Licha ya maswali zisizo na jibu kuhusu athari ya kucheza mungu na maelementi, kugeuza hali ya hewa inazungmuziwa sana sasa kwa jamii ya wanasayansi na ni kitu zito kwa serikali ya Marekani. Utawala wa Bush imeshauri ongezo wa hii “strateji muhimu” kwa ripoti ya kikundi ya maserikali kuhusu kugeuza hali ya  hewa,...”

 

Alan: Kumbuka walichosema ili UN(Umoja wa Mtaifa) ilete dunia yote pamoja chini serikali moja ya dunia wangeleta hizi vikundi kubwa za kimataifa baada ya mgogoro na mgororo , wakileta sote pamoja.”Sisi ndiyo dunia. Sisi ndiyo watoto.” Hivyo ndiyo inaenda.

 

          “... kikundi ya kugeuza hali ya hewa, shirika inayofadhiliwa na UN ambayo msomo wa Februari ilikaa kushawishi ata nyumba nyeupe ya Bush...”

 

Alan: Ha, ha, ha. Walimshawishi.

 

          “kupeleka ongezeko la joto duniani kwa uzito zaidi. Na wateteaji ugeuzaji ya hali ya hewa ili kikundi ndogo iliyokutana California peke. Mwaka jana, kwa mfano Paul J Crutzen, mkemia wa hali ya hewa alitoa mpango iliyofanana na ya Wood na kuna masomo mingi zaidi za hali ya hewa na ubadilisho wake zimezofanywa na Pentagon na ajenti zingine za serikali. Kama mwanahistoria mmoja kwa mkutano wa NASA...”

 

Alan: NASA ni sehemu ya jeshi, kumbuka, Ndio. Unathani walikuwa wanapeleka buibui ndogo kwa anga ili waone kama wangezaa peke, hivyo pia kwa dunia, wakati wako na uhuru, eh?

 

          “... pengine nilikuwa peke yangu kwa shukrani ati walikuwa wanakutana pahali iliyokuwa ya jeshi la maji la Marekani, kwa kivuli ya banda la ndege iliyoweka kwa wakati moja U.S.S.”

 

Alan: Ni M-A-C-O-N nathani wanatumia lugha ya kifaransia ama kuandika MASON. Hivyo ndiyo inakaa kwangu. Hivyo ndiyo iko, M-A-C-O-N. U.S.S. Macon(wana wa taa). Hiyo ndiyo hiyo ilihusu kwa kifaransia.

 

            “Hiyo Macon iliyo miguu 785, ajabu ya teknoloia kwa wakati wake, na uwezo wa kuenda maili 87 kwa saa moja na kurusha ndege 5, inalala kwa chini ya bahari la Pacific, ililetwa chini kwa 1935 na upepo za nguvu.”

 

Alan: Ndiyo maana wako kwa vita hali ya hewa, baada ya kupoteza hiyo pesa yote; lakini hakuna shida kuna walipa kodi wengi kuirekebisha.

 

             “ Programu ya ndege la jeshi la maji yote ilienda chini naye. Kuja kwa miguu ya ajali ya meli dada yake, Akron, uharibiko wa Macon ilionyesha utengenezaji wa hizi ajabu za teknolojia ulikuwa mbaya.  Hiyo banda la ndege, ilitenegeneza na jeshi la maji kwa 1932, ni saa hii pahali pa historia na pahali pa mafadhili kwasababu ati galbestos zake zinamwaga PCBs kwa bomba la kutoa maji. Nilipofikiria juu ya hii programu, wageuza hewa kwa meza walikuwa wanatetea kwa shauku mbinu za kugeuza hali ya hewa ambazo zilipita kwa wingi zile kuu za serikali, na athari di kwa wale kwa ndege peke lakini kwa kila mtu aliye kwa dunia.

 

          “Utawalaji wa hewa inatoa fikra zetu za mbali sana na tishio pia. Ni ile ya hadithi za enzi zilizopita. Kwa historia, sisi binadamu tumejaribu kujilinda kutoka asira ya hali ya hewa. Lakini utawalaji wake ulikuwa wa miungu wa anga. Sasa hiyo nguvu imefikia wakuu wa leo. Bila shaka tunaangalia siku za mbele ambazo hatujui kitachofanyika.”

 

Alan: Kuna mteguko mdogo hapo, unaona. “Bila shaka tunaangalia siku za mbele amabazo hatujui kitachofanyika.” Ona, kinachokuja huwa hakina hakika, ata kuishi, kwa enzi zote, lakini anaongea juu ya data ambazo haziwezi semwa kuwa kweli kuhusu ongezeko la joto duniani, wachana na mafukizo yote ambayo wamekuwa wakifanya kwa miaka kuongeza temprecha, ambayo inafanyika. Haisemi hiyo ata kidogo. Wakati wataanza kuongea juu ya mafukizo ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka, kila siku duniani, joto ikiongezeka, nitaanza kufikiria pengine wakona kweli wanachosema. Kama si hivyo, tunazungushwa, njia isiyokutana ya kufikiria na kuangalia vitu.

 

Alafu Inaendelea:

 

          “Na temprecha zinazopanda, ongezeko ya utoaji wa gesi za vyumba vya vioo kutoka umma inaongezeka...”

 

Alan Tishio zile zile ambazo watawalaji wasio na ubinadamu wamekuwa nazo.

 

          “Pengine tuko karibu na mgogoro wa dunia.”

 

Alan: “Pengine.”

 

          “Tutafanya nini? Tusipo fanya kitu ama kufanya kidogo ni mbaya kwa wazi, pia kufanya sana. Bila kujua historia ndefu ya hali ya hewa na utawalaji wake na shida za kisiasa na tabia inayoleta, wakuu wa leo wanajiona kama mashujaa waanzilishi, kizazi ya kwanza inayo uwezo wa kuongeza ama kutoa maafa ya kiasili. Hawajui historia ya waongo na wanasayansi waliokuja mbele yao. Kama hatutaona somo la historia na tukose kuzileta kwa kufikiria juu ya sheria za umma, tuna hatari ya kurudia makosa zilizofanywa, kwa mchezo ulio na athari kubwa.

 

Alan: Alafu inaendelea kuhusu historia ya wanasayansi waliopita waliyejaribu kucheza na hali ya hewa, na ni sayansi ya kitambo. Ni ya kitambo kwa kweli yote. Hii ni ya umma. Haiongei juu ya mafukizo imeyokuwa ikiendelea ata kabala ya umma wasikie juu ya “ongezeko la joto duniani.” Haisemi kuna sheria ya UN kupata adui mkubwa wa dunia kutuleta sote pamoja tupigane. Haiongei juu ya kweli ati si mpya, si mpya. Mapadri wa enzi zilizopita walitumia jua kwa anga kama mungu waliyeomba. Bila shaka, kama mapadri, waliongea kwa binafsi ya mungu. Huwa wako na miungu na wazungmuzaji ao kwa dunia, kwasababu watu wengine wanakaa wajinga sana kuongea na mungu. Tunahitaji hawa wakalimani wanaojivaa kwa nguo zisizo za kawaida, na wawe na mila wanapo wimbi, ubani na wanachoma ubani na wana vitu wanavyosema na saa zingine wana dansi.

 

Leo, wanavaa masuti na koti nyeupe na wanasmama mbele ya mbao za kufundisha na wanaandika malaini, kutupatia fomyula ya uchawi, ambayo hakuna anayeweza elewa kwasababu yote ni nadaharia-- ambayo ni fomyula ya uchawi. Hii ndiyo mbinu imeyokuwa ikiendelea kwa muda. Mapadri wa enzi zilizopita, pia, walidhibiti umma, saha baada ya kizazi cha kwanza ikishaoshwa akili, kizazi cha pili waliamini kwa kweli mapadri waliongea na jua. Wangeweza kufurahisha jua. Wangepatia jua asante. Bila shaka, kama haukupatiana zawadi na haukufanyia mapadri ama haukufanyia mfalme amabaye ati aliwasimamia nyinyi wote, kwa binafsi ya mapadri walioongoza huo mfumo, jua haingetokea asubuhi. Hiyo ilikuwa mzuri. Hiyo ilifanya vizuri sana. Ilileta faida nyingi kwa wachache hapo juu.

 

Hakuna kimechobadilika. Tunatawalwa na uongo. Ni sayansi ya uongo, ambayo ina uso nyingi na jina. Hakuna kinachobadilika. Lazima utishe umma ili uwatawale, saha kama hauna ubinadamu na unapenda kuishi kwa kiwango fulani, hali ya hewa juu ya watu wa kawaida, na unataka anayekufuata, kama mkuu bila shaka, atachukua baada yako na ukishaenda atawale kama wewe.

 

Misri walikuwa wanasema Firauni alisimamia jua. Alikuwa kwa dunia mwili wa Ra, jua. Hiyo ndiyo maana leo, ufalme bado inatutawala, kwasababu utawala uliwekwa hapo kwa maandishi , kwa enzi zilizopita, kuwa kama mbolea, mbolea wa dunia na jua.(Mbegu) Jua ilitutawala. Walitutawala. Tawala. Nini imebadilika.

 

Sasa nitakuambia kitu kingine pia. Unathani wale ambao wana pesa kwa dunia, hapo juu , wanaotengeneza, wanaotengeneza marais na mawaziri wakuu na kuwavunja(ikihitajika) wangekubali wanasayansi, wanaolipwa, wanaoishi kwa ruhusa za misingi ambazo pia zinafanya wamechoambiwa kutoka juu. Unathani wangewacha hatari ya hawa watu kufanya vitu ambazo zingewaumiza? Hapana. Haingefanyika. Kwa hivyo tunaweza ona hii ajenda inatawala kila kitu kwa hii dunia, kuiitawala ili waitawale kabisa, ambapo maisha yako yote kutoka uzazi hadi kifo( kizazi moja ama hivyo) itaongozwa na mabingwa. Wanaokuja baada bila shaka, tunajua watafanya vizazi zinazokuja kuja kuwa watumwa bora, bora kushinda, wale wakitambo wakikufa.

 

Saa hii, sisi wa kitambo lazima tuamini tuko chini ya mgogoro kubwa na kutoweka iko karibu tusipoweka amani yetu na maisha kwa mabingwa, watu wa mbele, kwasababu njia ya kitambo ya kuishi itaharibiwa, kwisha, imemaliziwa, Hakutakuwa ndoa, hakuna kua kutafuta kazi, hakuna uamuzi ya kuwa nayo kama mtu. Hiyo ndiyo mwisho wa utu wako kwa watu wa umma. Walitangaza vita kwa hiyo kitabo sana. Wengi wa hawa maprofesa sawa na maprofesa wengine wameandika vitabu kuhusu kifo ya utu wako na kwa nini lazima iwe hivyo. Wanaongea juu ya umma, unaona.

 

Utu wako kwa watu wa kawaida huwa imekuwa shida kwao, kwa enzi zote. Bado ni hivyo, saa hii, lakini si kwa muda mrefu tusipo chukua haki zetu na tuwaambie, “hatutaendelea kudanganywa.” Lazima tuifanye karibuni, kwasababu wameshapanga na miaka mamia zinazokuja, kama miaka mamia zilizopita. Tunaishi katika mpango wa biashara, mwandiko na badiliko ypyote kubwa kwa maisha yako na yale ndogo unazopitia,, unazothani ni ya utamaduni asili imeyozalishwa, zilipangwa hata kabla tuzaliwe kwa huu mpango wa biashara ndefu.

 

Sisi sote tutawekwa kwa hizi mazingira nzuri ambapo “wabora” wetu watatulinda kwasababu wanatupenda. Wanatupenda sana. Hata hawawezi kulala bila kuwa na wasiwasi juu yetu – wasi wa kila saa. Kwa hivyo wako na “Ajenda 21” imeyomalizwa kusongesha kikundi kubwa cha kondoo kwa chumba chao mpya, ambapo watafanyiwa kila kitu na haitakuwa lazima tuamue hata kitu moja kwa maisha yetu yote. Hii ndiyo yote inahusu. Anga inaanguka, ambapo kwa njia moja ni kweli, na mafukizo yote yanayoendelea. Hali ya hewa inaenda wazimu kwasababu ya teknolojia ya HAARP wanavyoitumia. Mchawi kuu, mchawi wa Oz anatingisha kijiti chake juu ya vichwa vyetu na kwa hewa na watu wanaamini habari ambao hawaongei kuhusu kinachoendelea juu ya vichwa vyao ama mtu mdogo nyuma ya pazia, mwanasayansi anayekokota wenzo zote.

 

Hatufikiri wenyewe . Vile Brezinski alivyosema,  “Kwa muda mdogo umma hawatakuwa na uwezo wa kufikiria wenyewe. Watatarajia vyombo vya habari iwafanyie hivyo.” Na unaona hiyo kila mahali.

 

Kwa hii laini ni nakala wa wiki huu kutoka “Parallel Normal.wordpress.com”. Mada ni “Jitayarishe kubadilishwa kwa mazingira yako mpya” na “Ndugu ni ndugu.”

 

Inaendelea. Hii ni ya mei,7 2007.

      

          “Panda basi : mtandao usiyo na waya kuleta wasafiri.”

 

Alan: Napenda picha ambayo iko hapo ya watu wengi, nathani kwa India, ambapo wanawajaza kwa mabasi na juu ya mabasi na gari la moshi pia, kutupatia fikra ya kweli wake kutoka kwa uwezo wa kibuni.

 

Inasema:

  

         “Mabasi kwa Boston ni chafu na hazifanyi vizuri. Ajali na vita vya risasi ni kawaidi, lakini polisi wako haraka kuhakishia abiria ambao hawakuumia kama hawakulengwa wa hizi vita za wakora.

 

Alan: Nani aliwapatia utamaduni wao, eh?

 

        “ Lakini kwasababu mabasi ndizo zitakuwa njia kuu ya kusafiri kwa mazingira za U.N, afisa na habari wanajaribu kuweka sukari kwa huu uzoefu kwa wanaishi kwa viji. Motorola, MIT na msaada Boston Globe( Mark ni mfanya ripoti wa hii Globe) wiki huu walitengeneza kesi ya kuongeza mtandao usio na waya na televisheni kwa mabasi, kuvutia watu kutoka kwa gari zao. Wanasema shirikiano katika wanaotumia basi itasaidia uendelezo za hizi mazingira ama shamba za “mijijini” vile sosholojia Federico Casalegno aliziita kwa Boston Globe Jumapili.(jina la tovuti iko hapa chini). Casalegno alikuwa ametenegeneza mfano wa stesheni wa basi ya mbeleni kwa MIT, anashrikiana na chuo huu kikundi cha “Smart Cities” anayoongozwa na mbunifu na mpanga viji William J. Mitchell.”

 

Alan: MIT ni wachezaji wakubwa na serikali pamoja na CIA. Wako na mijengo zaidi za serikali hapo, na wanafadhiliwa na walipa kodi kwa hizi operesheni za siri, na hata chini kwa kufuatilia mtandao. Hao ni wachezaji wakubwa kufanya hivyo.  Wako na haki mingi maalum ambazo hakuna mwingine ako nazo. Najua kwasababu linda mtandao wangu inagongwa nazo kila saa.

 

          “Lakini kweli ya kazi la Casalegno(ambayo nakala ya Globe haikusema)...”

 

Alan: Si inapendelea pia ati huyu Casalegno, ambayo anatetea hii, “anafanyia Motorola ambapo yeye ni maneja.” Yeye ni maneja wa makampuni ambazo zitafanya na mtandao usio na waya na vitu za masimu kwa mabasi. Hakuna mgogoro wa pendeleo hapa. Ni uongozi wa umma/binafsi sindio? Ni kiasi cha umma/binafsi: mfumo mpya ambao Caroll Quigley alizungmzia . Ilikuwa inaendelea tayari nyuma katika 1960, vizuri. Bila shaka Quigley alisema kule nyuma ilikuwa inaendelea, huu muundo wa serikali za kimataifa, kupita miaka 50 kwa huo wakati.

 

           “Mipango za Motorola na Mitchell hazikubalii safari za wikendi nje ya nchi, wacha nafasi ya kuishi nje ya mji. Lakini mtandao usio na waya itasaidia Motorola na usafiri wa kisovyeti itasaidia viji kama Boston kufuata ajenda 21 ya U.N. Kwa kitabu yake, “e-topia,” Mitchell anaeleza ijayo vijijini”.

 

Alan: Hiyo inaitwa, kambi watu, “kambi za kazi”

 

          “... na saa 24 kwa wenda miguu,” kulingana na mchapisha wake. Na uangalifu wa Motorola saa hii, kulingana na “Financial Times” ya Jumatatu ni mtandao usioharibika”:

 

Alan: “Mtandao usioharibika.” Ha, ha

 

          “... upatikanaji wa data “saa yoyote, kwa kifaa chochote mahali popote.”

 

Alan: Ndiyo hiyo. Hii inakimbia mbele kwa kweli. Mpango huu uliwekwa chini kabla nizaliwe. Kuna vitabu ziliandikwa kuhusu hii. Sisi sote niyo samaki. Sisi ni samaki kwa mtando mkubwa, na wanavuta kamba saa hii karibu na mdomo wa mtando na sisi sote tuko ndani ya mtando. Hiyo ndiyo inafanyika saa hii; na “pointi elfu za taa,” mashirika makubwa na mashirika yasiyo ya serikali “wanavuta kidwe” jina ya kimesoni(masonic) iliyotumiwa na Franklin na wengine na baba ya George Bush.

 

Sasa, kusoma kwa kitabu cha William J. Mitchell “e-topia”.

 

Unaona wote ni wa u-topia, lakini e-topia inamaanisha(electronic topians) topia ya kiteknolojia. Hii ndiyo wanayoiuza wamesema. Kitabu yote bila shaka waliandikiwa, kwasababu hawa watu hapo juu hawaandiki vitabu vyao, pia Al Gore. Mabingwa, wanaleta vikundi kuwaandikia na hao wako mbele yake ambapo wanalipwa nusu milioni kuongea juu yake kwa umma.

 

Inasema hapa:

 

            “Mtandao wa dunia si tu ya kupeleka ujumbe, tovuti na teevisheni, ni muundo mpya wa viji ambayo itabadilisha aina ya viji kama vile reli, mabarabara na mitandao za simu ziilifanya. Kwa hii kitabu, William J. Mitchell anachunguza huu muundo mpya na athari yake kwa maisha yetu mbeleni.

 

          “Kuchukua pahali kitabu yake “City of Bits” iliyouza zaidi iliwacha, Mitchell anajadili ati lazima tuongeze ufananuzi wa usanifu na mchoro wa viji kuingiza pahali za teknolojia pamoja na za kimwili, shirikiano na mawasilianao ya simu pamoja na waenda miguu na mifumo ya usafiri. Analeta stratejika za kuunda viji ambazo hazitakuwa endelevu tu...”

 

Alan: “Maendeleo Endelevu.” Ndiyo hapo unaenda, “Ajenda 21,” unaona.

 

            “... endelevu  lakini itaeleweka kiuchumi, jamii na utamaduni kwa dunia iliyounganishwa kielektroniki. Chati za ukadiri mpya wa karne ya 21...”

 

Alan: Ni bora ufikirie hii vizuri, “Chati za ukadiri mpya.” Hiyo ndiyo kambi yenu mpya.

 

           “... ya karne ya 21 itakuwa ya kuishi/kazi...”

 

Alan: Ni kama ghorofani juu na chini, unajua, ambapo watumishi wanalala chini ya meza, chini ya mapipa ya sukari na vitu kama hizo pahali wanapfanya.

 

           “Itakuwa na saa 24 za miguu kwa vitongoji ambazo ni dosi kwa mahusiano...”

 

Alan: Ha, ha.

 

            “... na maisha ya kijamii, iliyoongezewa na pahali za makutano za kielektroniki na uzalishi madaraka...”

 

Alan: Hiyo ni kama kazi nyumbani, kwa kiini yako ndogo.

 

           “... mifumo uuzaji na usambazaji, Mitchell anatetea uundaji wa viji za e-topia zinzofanya kwa werevu zaidi, si kwa nguvu zaidi...”

 

Alan: Kama “bomu erevu” zilizokuwa na uharibu kuu. Kwa hivyo nathani unafanya kwa nguvu zaidi si kwa werevu.

 

          “ William J. Mitchell ndiye Alexander W. Dreyfus profesa wa usanifu na sanaa za vyombo vya habari na masayansi na anaongoza kikundi ya uchunguzi wa viji erevu kwa chumba cha majaribi ya MIT. Alikuwa mkuu wa shule ya usanifu na mkuu wa prigramu kwa sanaa ya vyombo vya habari na masayansi MIT.”

 

Alan: Nathani kila mtu ambaye alikuwa profesa MIT pia alikuwa anafanyia CIA. Huyu mtu pia ni maneja wa moja wa makampuni ambazo zitakuwa zikifaida Motorola ama kitu kama hiyo. Hivi ndiyo wanauza yote itakuwa zuri aje, ambapo tutajazana kama mchwa kwa hizi viji za kiorwell. Lakini ha hawatakuwa wakiishi hapo, kwasababu watasamehewa. Watakuwa na gari za kibinafsi, zitazoitwa gari zinazohitajika peke. Hawasemi hiyo kwa hii makala ya kuuza hii fikra, lakini kwa umma hakutakuwa na usafirishaji wa umma, ya kupendelea.

 

Kwa Mei 9, 2007, “Parallel Normal,” tuko na hii picha fulani. Unafaa kuiangalia na inaitwa, “The Brother is a Brother.”(Ndugu ni ndugu)

Huyu ni mtu mweusi na nyororo kubwa kwa shingio yake.

 

        Inasema:

         

          “Angalia yo, David Johnson anaita fedha yake ya shingo “Ringo ya kimesoni”(Masonic Bling)

 

          “NPR wiki huu waliweka makala mzuri kuhusu mesoni(Freemasonry) na waajiri wake wapya(angalia kiungo hapa chini). Kwa kipaji cha sauti  kwa tovuti la NPR, mesoni mmoja analia kuhusu thamani ya nyundo ambayo ilikuwa ya George Washington. “Kama unapenda historia,” anasema”lazima upende wamesoni(masons). Wacha ati hadithi yake(HIS story) tunazungmuzia hapa(hiyo ni watu weupe). Hii makala ya NPR ina Alan Patterson, 39, afisa wa kwanza wa kiafrika  kwa chumba cha jeshi la majini #4 kwa Washington, D.C.”

 

Alan: Yeye ni miaka mzuri wa kufika hapo, kwasababu, bila shaka wanapenda 3 mara 13.

 

            “Haraka kushangilia shirika ambayo ilikataa weusi, na ambayo wachunguzi wanasema ilitengenezwa kukandamiza umma, Patterson sasa anacheka wananjama.”

 

Alan: Kila mtu ni “wa njama” sasa. Wakifika juu ya ngazi kila mtu chini yao ni wa njama.

 

          “Kila kitu unayoona kwa mtandao – kutoka kuomba shetani na kupatiana bikira kama sadaka – na zaha, “Unajua tuko na zingine New York wanaoshangilia Yankees, lakini hawaonwi kama shetani,” Patterson anambia NPR.”

 

Alan: Ni kwasababu wanaongea juu ya lusifa kwa makutano yao, unaona. Hawaongei juu ya shetani. Kwa hivyo hiyo ni kidogo utapata kwa tovuti la “Parallel Normal” Mei 9, 2007.

 

Ni ajabu vile watu-- tena wasio na ubinadamu, huwa wanakuwa waongozi wa vikundi na dini zote-- hawana shida kulipwa. Unaona kama wewe hauna ubinadamu, unaweza kujidanganya ili ubaki na heshima yako, na nyeusi itakuwa nyeupe na nyeupe itakuwa nyeusi na vinyume zitabadilishana ili ubaki na heshima yako ya upeke. Wanasema “kila mtu ana bei yake.” Msemo wa kitambo sana kwa enzi zilizopita, kutoka Mashariki ya kati, kila mtu alikuwa na bei yake. Ulikuwa unaweza enda popote na ununue mtu, ambaye angefanya machafu kwa watu wake, bila shida kwasababu tunaishi kwa mfumo isiye na ubinadamu ya uchumi na pesa. Kwa asili wale wabaya na wakali ndiyo watapanda juu kwa sehemu yoyote ya huu mfumo alafu wanaogopa wale waliowacha nyuma.

 

Umma inawatisha na watapindukia umma. Hiyo ni kawaida kwa historia na wale wasio na ubinadamu(Psychopaths)

 

Watu wanafaa kujaribu kupata kitabu iliyotole na Klabu ya Rome(“The Club of Rome”) katika 1990. Inaitwa Upinduzi wa kwanza duniani(The first Global Revolution). Imeandikwa na Alexander King pamoja na Bertrand Schneider.

 

Wote walifanyia Klabu ya Rome. Alexander King alikuwa moja wa waanzishi wa Klabu ya Rome. Kwa miaka mingi pia alifanyia U.N kutoka Uingereza na Ufaransa na Shirika la Maendelezo ya Uchumi za Nje, amabapo ni pahali unalipa kodi zako kwa U.N alafu inagawanya kwa shirika kubwa za kimataifa kwa nchi maskini; hiyo inaenda kwa mifuko mingi ya watu walio juu. Kila taifa iko na idara ya hii, na imekuwa hivyo tangu Vita ya Dunia ya Pili.

 

Kwa hiyo kitabu wanaingilia mbinu walizozungmzia , King na Schneider na wengine waliongea juu ya kutengeneza. Kwa kweli inaeleza debe la fikira inayotoa fikira za kuunda dunia, Klabu ya Rome na wanauza hizo fikra kwa misingi za chini zinazozifanya na zinatekelezwa na vyombo vya habari inayoitwa “kupandisha ujuaji”(Consciousness Raising) Wanaunda unavyofaa kufikiria na wanakupatia maoni yako, kwa hivyo unaongozwa kwa njia iliyopangwa ambayo, Klabu ya Rome na zingine zimekuundia.

 

Kwa hiyo kitabu wanaongea juu ya njia za kuunga dunia, na si kiunga peke kuleta huu mfumo wa kisayansi, ambapo wanasayansi wangepita maserikali na wafanye vitu bila kuuliza ruhusa ya watu ama serikali. Itakuwa dunia ya mabingwa kama ile ambaye Bertrand Russell na wengine walizungmuzia. Wale walio na ujuaji lazima watuongoze na watuunde, kwasababu hao ni werevu kutshinda, unaona na ujamii wa kidarwin na kiwangogezi yake, hao ndiyo wa asili ambao wanafaa kuwa watawalaji kutoka wenyewe. Waliongea juu ya njia za, miaka zilizopita, kufanya umma iwachilie tabia zao za kitambo, “tabia zao za kitambo” kama kuchagua mpenzi na kuwa na watoto hivi hivi na vile wale wa chini wanazilisha, wanazalisha isivyotakikana. Kutakuwa na wengi wa chini sana mbeleni, na ilikuwa lazima njia za kuleta nambari ya umma chini, lakini utaifanya aje? Unafanya aje wabadilishe njia zao na waje kwa mazingira mpya, ambapo mabingwa wanaweza kutuongoza wanavyotaka.

 

Kwa hii kitabu, hii kitabu niliyosema, “Upinduzi wa Kwanza wa Dunia,” wanasema walifikia fikra ya “mgogoro wa mazingira” ili hali ya hewa na mazingira iwe adui, na sisi wote tungeogopa kuwacha njia ztu zisizo na maana na tupangwe vizuri vile wabora wetu wanaona sawa.

 

Wanatumia na tunavyojua, nimevyosema mara mingi, teknolojia ya HAARP. Wako na stesheni mingi, si moja tu Alaska. Wanafukiza dunia yote saa hii, kila siku na yale chuma ndogo ndogo ambazo Teller alipendekeza katika 1950. Ushahidi iko juu ya kichwa yako . Iko kwote.

'Pointi elfu za taa” ambayo George Bush mkubwa alisema alipoongea juu ya dunia mpya inayoanza kuonekana. Alisema, “pointi elfu za taa zinafanyia hii ajenda wakati huu”

 

Hawa watu wanashikilia masharti ya mtando na wanazivuta zote pamoja, misingi elfu na shirika zisizo za serikali na mingi, mingi chini yao zote zinafanya pamoja kwa mpango huu kuleta kondoo kwa chumba cha mpya – kwa mazingira yetu mapya kwa viji. Hii “Soylent Green” mpya ambapo pengine tutakuwa na suruali za mpira plastiki, kwasababu watapata njia za kutupa bidhha za mafuta na plastiki zilizotengenezwa na bidhaa za kiwanda cha mafuta.

 

Hiyo ndiyo maana walifanya mashuhuri kunywa “maji ya springi” kutoka chupa za plastiki. Haulipii plastiki peke, wanafuta iliyobaki kama “fluoride” amabayo iko kwa dawa ya meno, wanapata njia za kutumia taka yao kwa watu hapa chini na wanakuambia ni mzuri kwako.  Kitu kingine waliongea kuhusu na Charles Galton Darwin vile ya kubadilisha viwanga vya homoni kwa umma.

 

Si ya ajabu vile inakutana pamoja? Mimi sijui watu kwa jamii ya kawaida ambao wanaweza kutengeza orodha ya wanayotaka na kila kitu iwafanyikie wanavyotaka. Hiyo ni bahati mzuri sindio? Bila shaka hakuna bahati hapo. Hii ajenda ilikuwa inaenda kitambo kitambo sana. Ilizungmuziwa kwa wakati wa Upinduzi wa Kifaransia. Watu wanathani ilikuwa upinduzi wa tabaka la kati ya watu, kutumia umma kupata nguvu zaidi. Kwa sehmu moja ihiyo ilikuwa kweli. Lakini kwa sehemu ingine ilikuwa kuhusu jamii iliyopangwa. Hawakuwa wanakata vichwa za wadosi wasiohitajika(wale wa chini), walikuwa wanazamisha mashua kwa mito tofauti ya watu wa kawaida, kwa eneo zingine za mashamba, kwasababu walisema ati ziko mingi sana.

 

Unatoa umaskini aje? Unaua wengi wa maskini. Hiyo haijabadilika, hiyo filosofia. “Ukiwawacha waishi watazalisha, mungu wangu.” H.G. Wells alisema hivyo. Alisema, “Tufanye nini?” Alisema tuwapatie chanjo. Tupatie hii na hile kwa umma, viwango vya kuishi, usafi na wanfanya nini? Mungu wangu wanazaa!” Na hiyo ilikasirisha H.G Wells sana, ambaye alithani ilikuwa yeye peke kwa dunia ndiyo anafaa kukimba kila mahali akizalisha kila mahali. Lakini tena alikuwa na jeni kuu, kutoka kwa jamii ya Fabian na yote na kugusana bega na bwana na bibi Astor, ambao walitumwa Marekani kufadhili mfumo wote wa Fabian.

 

Unaunganisha propangada yote kwetu kutoka programu za televisheni na vyombo vya habari, magazeti na programu za wanyamapori, yote yanatuambia vitu sawa na vile lazima tuende kwa njia fulani. Ifanye kwa kizazi moja na umma itatani ni asili, saha kama unaweza kuvuta swichi kadhaa; na ndiyo hiyo, uko na tufani unapozitaka na unasema, “Angalia hizi tufani. Asili inaenda wazimu. Lazima uwachane na hiyo gari utumie hii basi ambayo ni bei kali na hautakuwa na mali yako kwa hiyo mazingira yako ya kazi na kuishi.

 

Bertrand Russell alisema kwa kitabu yake moja, 1920, ati mfumo wa mbeleni itapatiwa aina ya mikopo, Kila mtu atapatia mikopo X na serikali kwa mwanzo wa wiki kulipa nyumba(hautakuwa na mali yako) na kulipia chakula. Kila kitu itafuatiliwa. Lazima uzitumie zote kwa mwisho ya wiki, kwasababu itaanza tena kwa sufuri, alafu iongezewe Jumatatu. Hauwezi kuziweka kwasababu lazima sisi sote tuwe sawa hapa chini.

 

Alisema pia kama hatungefuata “wabora wetu,” “unajua wale wakuu, mabingwa , watatoa mikopo kwa akaunti yako, hauwezi kulipa nyumba ama hauwezi kununua chakula. Hii itakuwa aina ya adhabu. Si ajabu vile yote imefanyika? Sasa wanaenda kuweka hii teknolojia yote kwa mabasi kuwavutia kutoka gari zenu. Watapita hiyo na utapokuwa nje ukiendesha utaona watu wenngi na simu zao, wakiongea. Wakiongea na wakose kuonyesha na karibu wakukate ama saa zingine wanakukata, kwasababu akili yao iko kwa simu.

 

Unaona vile wote wamefunzwa kwa kompyuta ya akili, hadi watu wengi watataka kushikamana, wakithani itakuwa ya a. “Fikira itanishikamana na Aunt Marge. Fikra tu na nishakamanwa mara moja.” Lakini hawakuambi ile sehemu ingine ya sarafu, kwasababu ukishawekewa kompyuta kwa akili hakutakuwa na wewe tena. Utawekwa kufanya kazi, kazi ya kufayia “wabora wako” wale hapo juu, wale walio wasaidizi wenu(wameji apointi hivyo), walio kama mungu.

 

Ni bora ati umma wasielewe sababu ya kweli nyuma ya serikali, lakini ni bora wathani ati wanaelewa.”

 

Kwa maneno mengine, “Kwa kila kitu kinachofanyika kuna sababu mzuri, lakini huwa kuna sababu ya kweli nyuma yake”

 

Hiyo ndiyo mzungmuzo wangu leo usiku. Kutoka Hamish na kwangu, mungu ama miungu na mazungmuzo yako iende nawe.

 

(Imeandikwa na Leon)