MZUNGMUZO WA ALAN WATT
“TUOGOPE MGEUZA BIOLOJIA
KI TEKNOLOJIA”
Agosti 3, 2014
Maneno yametoka kwa Alan Watt
WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM
www.alanwattsentientsentinel.eu

 

Hamjambo, mimi ni Alan Watt na hii ni Cutting Through The Matrix kwa Agosti 3, 2014. Nimefikiria mara mingi juu ya kuchukua vitu vilivyo. Tumefunzwakuchukua vitu vilivyo tangu tuzalishwe na hatuulizi mbali kutoka wale wanaotuongoza kutoka shule kuendelea. Hata kabla ya hiyo wazazi wako wanakupa maoni yao ya vitu na uliza kwa nini, kwa nini, kwa nini kama wewe ni mtoto hadi wanaenda wazimu. Alafu inaenda kwa shule, na kwa mara moja shule zilikuwa na nidhamu na mahudhubuti zaidi na ulikuwa unafanya kile mwalimu alichotaka ufanye na ungepita. Kama ulikuwa mjuvi, walivyosema, ukiuliza swali zilizokuwa za udadisi mara mingi, ungeadhibiwa.

Kwa hivyo, vitu zimebadilika sasa hadi imeenda njia ingine, hadi kuna nidhamu ndogo kwa mashule leo. Kwasababu kutoka kwa kita cha Daktari Spock “Outwards”, haufunzi mtu yoyote nidhamu. Kwa hivyo tumekosa ujuaji wa kujidhibiti. Lakini uongozi inachukua, alafu vyombo vya habari inachukua baada, ukitoka shule na chuo kuu, inaenda kwa maisha yako yote. Inakupatia kweli yako. Hivi ndiyo vitu ziko, hizi ndizo vitu za kuongea kuhusu, hizi ndizo vitu haufai kuongelea kulingana na enzi la siasa ambayo na zinazofaa za huo muda na mafuzo yanaendelea. Lakini tunachukua vitu vilivyo. Watu wengi hawaulizi juu ya kitu chochote, wanathani yote tu iko hivyo kwasababu tunaambiwa ni kawaida. Brezinski alisema pia kwa kitabu chake Between Two Ages aliposema, KWA MUDA MDOGO HAWATAKUWA NA KITU CHA KUSEMA KWA WENYEWE, ISIPOKUWA HABARI YA USIKU ILIYOPITA na kuendelea. Imekuwa hivyo kwa muda mrefu, mrefu sana.

Kwa maneno mengine, tumefundishwa kuwa kama watoto. Tunawekwa kwa aina ya utoto. Mafilosofa wengi waliopita juu ya kutumia hii, pengine silika ya kiasili kwa sehemu, kuwa mwaminifu, dhidi ya watu kukamilisha binadamu na kuongoza binadamu bila wewe kujua ati unaongozwa. Na bila shaka hapo ndiyo iko leo. Kwasababu mapinduzi mengi yamefanyika, kwa teknolojia ya biolojia na sayansi zote na saikolojia na sayansi ya ubongo na kuendelea, umeeleweka vizuri sana leo ni ya ajabu. Kama ungefanyia NSA ama moja ya hizi shirika, MI6, yoyote ya hizi tata, ungekuwa na upatikanaji wa data ya watu. Ungekuwa na kontua za watu zilizotayarishwa, na kompyuta na wanakuweka mara moja kwa makundi tofauti wakivunja na kueleza wewe ni nini, kamili hadi vile utaitika kwa hali tofauti. Kama kuweka wewe wa kompyuta kwa video, kwa mchezo wa zoezi, wanajua vile utaitika kwa kinachofanyika. Na wamekuwa wakifanya hizi uzoefu kwa muda mrefu sana leo.

Kwa hivyo tunaichukua ilivyo kwasababu kinyume cha hiyo tuko na hii kitu inayoitwa fikira mbili ambayo George Orwell alieleza kwa kitabu yake 1984, ambapo unaweza kuwa na maoni mbili vinyume kwa kichwa yako kuhusu mada moja na ujifanye uziamini zote ambapo hiyo ni wazimu kama ni kweli. Lakini watu wanafanya hivyo. Kwasababu ukiwaingiza kwa mada za sema mafukizo ama wanasayansi wanavyosema kurekebisha hali ya hewa, ambayo ni kitu cha upande ukiangalia hiyo jina, alafu utasema, nawaona ukiifanya... kama ukikuwa nazo kwa mazungmuzo, nawaona ndiyo , lakini sehemu ingine inasema, hawawezi kutufanyia kitu kibaya..., bila kuuliza hao ni kina nani ama kuwa na udadisi kuhusu hao ni kina nani... kwasababu hakuna serikali inayokubali kutumia ndege ama jeshi za ndege kufnaya hivi. Ni jshi gani? Makubaliano gani zimesainiwa? Na kuna historia kubwa kuhusu hiyo ambayo sitaingilia hapa.

Lakini tunachukua vitu vilivyo. Na watu wengi wana hii fikira mbili kwa akili yao. Utapata kwa hadithi, sinema na kuendelea ambapo wanaweza kuonyesha hali ambazo ni hali za kibuni, saha za ngono ambayo ndiyo kubwa bila shaka una silika ya ngono na wanaweza tumia hiyo na waitumie kwa sinema zao ili wakushike uendele kuangalia hadithi yote na upate mafunzo yanayofuata ambayo inaingia kwako wakati unajiburudisha. Hiyo ndiyo maana watu wanapendelea hadithi za uuaji. Sikuweza elewa hiyo, kwa nini watu wanazipenda. Nilisoma pahali pengine kwasababu watu wako na matakio za siri za kuua watu kwa maisha yao, ambayo siwezi kuamini ni kweli. Lakini lazima hizi vitabu na sinema zinazotolewa kuhusu uuaji, ni ajabu, zinauza vizuri sana. Naweza kumbuka vipindi vya “Hannibal anaye kula watu”(Hannibal The Cannibal) iliuza vizuri zaidi haraka sana, watu walirukia hii hadithi ya mtu fulani anayeua alafu anakula aliyeua, lakini alikuwa mwerevu kwa hivyo walimpatia heshima kidogo, saha alipoweza kufaulu, na pengine hiyo ni sehemu ya pendeleo yao.

Lakini tunajazwa na mada za ubaya na hali ambazo zinafaa kukaa kwa nyuma ya akili si kwa kati, kama kitu kama ndoto ama isikuwe hapo kabisa. Kwasababu inaathari... Watu wazima wanathani wako na uwezo wa kukosa kuathiriwa na vitu ambayo ni kosa kubwa saba. Kwasababu mbinu zinazotumiwa na viwanda vya burudani na masaikolojia ambao wanafanya nao na kuendelea, zimekamilika kuhakikisha ati kila mtu ataathiriwa na hizi hadithi wanazokuonyesha.

Ukienda kwa historia za ata sherehe za kikomunisti Marekani, iliyechapisha vitabu vingi, unaweza pata zile za kitamb kutoka... zote zimechapishwa New York City. Utapata walikuwa wazi na mipango zao za kutokomeza utamaduni wa Magharibi, kabisa. Shule ya Frankfurt ilitoka na hiyo pia, walisema ati shida za Magharibi zilikuwa kwasababu ya utu wa mamlaka, baba yako alikuwa, unakuwa hivyo pia, na unakuwa kama mashine. Kama wewe ni mtu amejishikilia sana ukifuata sheria na kanuni za kizazi kilizopita, badala ya kuwa na uhuru na ueende yote. Kwa hivyo hii programu imefaulu vizuri sana.

Wakomunisti wakuu walikuwa walikuwa wanamilioni, na saa zingine wanabilioni na bado ni hivyo, ambayo ni kitu mbali sana kwa fikira a mtu kawaida anayefanya na sare yake na mwanashamba na jembe akipinduza serikali yake. Watu wakuu waliyoipanga walipanga kutumia mataifa na wafanyikazi na kuendelea kupinduza waongozi wa wakati huo alafu wachukue... alafu wawe na umma ya watumwa... Wangekuwa na waongozi wa watumwa hapo. Na hiyo ndiyo ilifanyika kwa taifa wakomunsti kwa sehemu. Lakini magharibini ilikuwa Vita Baridi(Cold War) iliyofichwa zaidi na mrefu. Vita Baridi. Ilikuwa zaidi vita ya utamaduni. Yuri Bezmenov, hiyo haikuwa jina yake kweli bila shaka, aliyejitoa kwa KGB alisema katika miaka za 1970 Marekani, HAKUWEZA AMINI MPANGO WAO WA KUTOKOMEZA UTAMADUNI ILIKUWA IMEFAULU VIZURI SANA. Ilikuwa kutoka miaka za 1960 mapema kuendelea, ikaendelea kuwa mapenzi huru, ngono, madawa za kulevya na hiyo kitu yote, uharibu wa familia na utoaji mimba. Vitu zote ambazo walitaka kupitisha zilikuwa zimeshafanyika kwa njia kuu.

Lakini kuangalia nyuma, watu kwa hizo siku, watu wa kawaida hawakujua kwa kweli, kilichokuwa kinaendelea. Bado walithani ilikuwa hao ndiyo ... hao watakuwa na sare, kitu kama hiyo. Hawakudhani watu wakikaa chini na kuandika maandishi ya televisheni yako ama za sinema kubwa na vitu kama hizo. Haikufikia watu wengi, kwasababu baada yote, hao, serikali yao, wakuu wao hawangeikubali walithani. Na si hadi ufike kwa mwisho wa hadithi yote ndiyo unapata walikuwa wanafanya pamoja, pande mbili na kusudi moja ya kutumia sayansi saha kutawala dunia, sayansi zote zikifnya pamoja. Na hapo ndiyo tuko leo.

Lakini ninavyosema watu wengi kwa kila kizazi wanachukua vitu vilivyo. Saa zingine wanathani vitu ziko vibaya tu kama haziendi vizuri kwao. Kuenda vizuri kwao kulingana na Freud ni kufanya kazi, kulipwa, kufanaya ngono na kuendelea alafu wewe ni mwanchi wa afya. Na watu wengi wamefunzwa ati hiyo ndiyo kawaida, hiyo iko kuihusu peke yake. Viji zimejaa vijana wanazijaza kutafuta maisha mzuri. Ilikuwa kama nondo, nilikuwa naziita vutia za nondo ama sumaku, ambapo taa zote ziko, hiyo ndiyo vijana wanaona kwa televisheni na hapo ndiyo maisha moto itakuwa na wanavutiwa na taa zinazong'aa za viji, ambapo wengi wao wananyonywa na mapapa, haraka, kwa faida mara mingi na wananyaswa. Wengine wanaingia huko na wanapata hawawezi toka kwasababu wanacholipwa ni sawa na wanachotumia , saha saa za kulipia nyumba ikifika, bei za juu sana vijijini na umekwama. Unapata inayotosha kuendelea, kuwa na sherehe zako na kuendelea, inavyofaa, hadi ufike miaka ambayo umechoka na masherehe lakini umekwama kwa mji, hauwezi kuweka ili utoke, Na hiyo imefanyikia mamilioni kwa dunia na bado inafanyika kila mwaka, zaidi wanaingia na inawafanyikia pia, mzunguko sawa.

Kwa nini tunakubali hizi vitu zote ni kama ni kawaida tu? Na tunathani ni kwasababu iko, iko... nini iko, ni yote ndiyo iko... hivyo ndiyo tunaifikiria. Hapo ndipo fikira ya watu wengi inafika. Na narudi kwa Brezinski aliyesema, kwa ile kitabu niliyesema mbeleni, ati KWA MUDA KIDOGO UMMA ITATARAJIA VYOMBO VYA HABARI IFIKIRIE KWA BINAFSI YAO. Hakuwa anaongea tu kutoka kwa akili yake na haikuwa tu kusema umma ni wajinga na wako tu. Alijua ajenda kwasababu alikuwa kwa mikutano kuu zilizohusu mbinu za kudhibiti akili za watu na maisha kwa mamilioni hata mabilioni. Alikuwa anajuana na wanasayansi wakuu waliyohusiana na eneo tofauti zilizohusu kubadilisha watu, kutubadilisha. Alikuwa anajua pia juu ya mapinduzi za teknolojia ya biolojia, na kuongoza biolojia ya watu, kugeuza binadamu kwa eneo na viwango tofauti. Hii ilikuwa inaendelea nyuma katika miaka za 1970, kwa wale ambao hawajui ilikuwa inafanyika tayari. Simaanishi mapanya za zoezi kwa chumba cha majaribio; hiyo ndiyo kiwango cha chini cha kweli ya dunia-- kuna viwango tatu zake, na saha kwa masayansi. Lakini alijua, kwa mfano, kwa madawa, ilianza kuripotiwa kwa vitabu ati wanawake walikuwa wanapoteza nyonga zao, ghafula; kwa kizazi zilianza kupotea na mifupa ya nyonga yao ilianza kuwa nyembamba pia. Hiyo haifanyiki bila ajenti inayoisababisha ama ajenti zinazofanya pamoja kuifanya. Haifanyaki... ili hiyo ibadilike ghafula. Kwa hivyo alijua vizuri kilichokuwa kinaendelea.

Kwa hivyo tena watu wengi wana wanaelea maisha yao yote. Wamekwama kwa wasi zao ndogo na wanaharakisha wakijaribu kufanya maisha ifanyike na wakijaribu kuweka uso ya furaha. Kwasababu tumekuwa tukifunzwa kutoka enzi ya Disney ati kuishi inafaa kitu ya furaha kila saa, watu hawawezi kuwa mahututi mara mingi na wawe na mazungmuzo za kweli kuhusu wanavyohisi kwa kweli. Ni hali ya huzuni. Lakini hivyo ndiyo iko leo. Hata katika wakristo niligundua kwa kanisa zao, saha “waliozaliwa mara ya pili” fikra ya kuzaliwa tena kwa wengi wao ni ati umebarikiwa na mungu ili uwe na kazi mzuri, na kama haujapata kazi ama vitu zimeenda vibaya kwa maisha yako ni kwasababu umebaki na dhambi. Kwasababu kiprotestanti ilichukua sehemu ya Uyahudi ya kubarikiwa na mungu na hiyo ilikuwa vitu za dunia na maisha ya furaha, wasi kidogo ya pesa na kuendelea.

Kwa hivyo eneo yoyote unayoaangalia inaongozwa kama mfumo, na mifumo za chini ya hiyo yote yakifanya kwa mfumo maalum tunayoita kawaida ya kila mtu, na aina zinayoanguka chini yake bila shaka. Kwa hivyo bado tunachukua vitu zilivyo. Tunachukua vita vilivyo, ambazo haziishi. Kwasababu sasa tuko kwa wakati wa vita zisizoisha. Nimesoma makala kutoka magazeti za jeshi la marekani wenyewe walipoiita vita isiyoisha. Sehemu ya vita, ilikuwa kutumia vitu kama sinema, burudani, muziki, zilizoharibu marekani na wazitumie kwa mataifa walizotaka kuchukua. SI hiyo ni ajabu? Kwa hivyo nani anaongoza taifa yako? Ama nini inaongoza taifa yako?

Bila shaka nyinyi wote mtasema ni wanasiasa ama mtalaumu Obama. Lakini Obama ni uso nyingine tu imeyowekwa mbele kwa hii enzi kupita sehemu fulani za ajenda. Kazi yake ni kugongwa na nyanya zilizooza na kuchukua moto na alipwe vizuri na ata bora akishatoka kwa ofisi kwa kuweka hizi sheria zote kama kila Rais aliyekuja mbele yake. Haijalishi juu ya vyama; hazijalishi. Zinajalisha tu peke kama bado unaamini ati ni za kweli na ati kuna tofauti kawa kweli na ati wanaongoza taifa yote. Lakini nimeongea mbeleni juu ya mbinu, yote kuhusu mbinu, mbinu zilichukua kutoka wanasiasa kitambo sana. Urasimi nia za muhimu kushinda, na wanajibu kwa mabingwa ambao hawajachaguliwa na misingi na mawakala nguvu wakubwa wa uchumi. Hao ndiyo wanasikiza alafu wanaweka shria.

Juu kabisa kwa huu mfumo tunayoishi na tena tunachukua ilivyoo hii kitu inayoitwa pesa. Kila mtu atakufa njaa kama hawawezi kuipata, lakini hakuna unayeulizi ni nini na nani ana haki ya kurudisha thamani yake chini kama uko na pesa uliyohifadhi kuanza nayo? Watu ambayo haujawai kutana nao wanarudisha pesa yako chini, ama wainangushe na hauulizi kwa nini. Unayoweza kufikiria ni “natumaini wapate ingine haraka,” kama huzuni kuu(Great Depression) ambapo thamani ya dola ilikatwa kwa nusu, na viyu zitarudi kwa unachothani ni kawaida, unapolipa mara mbili bei saa hii ama bei mara tatu ya uliyolipa kabla.

Leo tunapitia hila za lugha wanazoanzisha kama, kuirusdisha chini kwa wingi(quantitaive easing) mabayo inamaanisha thamani ya pesa yako inaenda chini. Zaha zote na uongo zinatumiwa kwetu. Lakini watu wengi wanasikiza habari sawa na mimi lakini haiingi kwao ama hawako tu sana hadi haiwaathari. Ama tena, wanathani iko mbali kwao na hakuna wanachoweza fanya . Kwa hivyo pamoja tunakubali kutawalwa, utawalaji wetu na tunatawalwa. Tunabiga kelele bei zikienda juu na kuendelea ama upoteze kazi yako kwa china kwasababu viwanda zinafungwa, kwasababu hauwezi kupambana na kazi ya bei kidogo huko, hizi vitu zote, lakini tunaichukua vilivyo.

Ni ajabu, huwa ni jabu sana vile watu wanachukua vitu hivyo, pamoja na vita zisizoisha na sababu zao za kipropaganda kwa nini wako hapo. Tena, fikira mbili unaweza ambiwa ati kutoka habari sawa ati makampuni kubwa za mafuta ziko huko zinaharibu taifa za waislamu na Asia na kwingine na wako na wengine wa mbeleni. Si kwa taifa zenu, taifa zenu zinalipia hizi vita zote na kuendelea, kama mabarabara zitatengenezwa na reli ziwekwe. Kunyonya na kuchukua vitu zote kutoka hizo taifa, lakini ya mashirika kubwa. Sisi sote tunajua hii . Sisi sote tunajua hii kwa hivyo haja gani ya uchaguzi? Kwa nini ujisumbue kuchagua kama mashirika wamekuwa wakifanya wanachofanya kwa miaka mamia? Kwasababu himaya ya uingerza iliongozwa na watu kidogo sana,na mafamilia ambao waliyoweka jamaa wao kama magavana jenerali wa India, kwa huo wakati pia walioongoza Benki ya Uingereza, na walitumia walipa kodi kulipia jeshi na kuwafunza na kuwapatia nguo na viwanda vya ziliwapatia manguo na kuendelea na walipata faida kuu sana. Hakuna imeyobadilik. Hakuna. Ni msemo wa huzuni ati hakuna kimechobadilika.

Inapendelea pia ati kwa enzi tofauti za ustaarabu kama tunataka kuiita hivyo, utapata ati watu wanaenda na wanavyoangalia dunia, dunia yao yote kulingana na dini kutoka wakati za kitambo na hadi kwa umri la kati, ambapo kuishi milele, kitu ambayo watu wamekuwa wakitafuta, maisha milele, na kwa kuelewe asili yenyewe kwa maneno mengine masayansi, Lakini ulianza na uchawi na sheria ambapo ilielewka kuchanganya hii na ile alafu itabadilika. Waligundua kuna sheria kama ozoefu sawa na wingi unaofaa wa vitu sawa inaweza kufanya tena na tena, sheria mbazo hazibadiliki. Kitambo kushinda hiyo pia, Wagriki waliongea juu ya sheria za hesabu na hiyo ndiyo ilikuwa kitu ya ajabu ilipotoka ati kuna sheria kwa kila kitu, yote. Kila kitu haikuwa bahati tu, ama matakio ya dikteta ama mdosi fulani, lakini kulikuwa na sheria pia, ambazo zingeweza kueleweka na shule tofauti na dini zilianzishwa kutoka kwao, ninavysema kutoka umri la kati walijaribu kutumia uchawi na sayansi kuendelea. Hiyo iliendelea ikatoa masayansi xhini ya barabara. Na sasa ni syansi ndiyo msaisizi wao.

Lakini kila moja ya hizo muda, ata muda wa (Cartesian) ya ulioonozwa na sheria za hesabu hapo kwa mamiaka ya 1700 na 1600, hiyo ilikuwa kitu ya faraja sana watu wengi kufikiria – na haikukosana na dini ya ukristo, sema, mungu alitengeneza kila kitu na ulizunguka kwa jua, na kila kitu ilikuwa ya mpangilio na ulihisi salama – ingekuwa hivi kila saa, bila kujua hauzunguki kwa kamili kwa jua na kwa kweli unaenda kwa jua alafu unarudi nyuma na kuendelea, na hatuzunguki kwa njia sawa kabisa kama miaka iliyopita na tunatingika pia na vitu kama hivyo. Hiy inakufanya uogope... oh hiyo inaogopesha. Kwa maneno mengine, miujiza wa kuwepo, na ni hivyo, ni miujiza tuko hapa ata, haijalishi unavyoingalia , na vitu kamili kabisa za masha ya binadamu na kuendelea. Lakini watu wanapenda salama. Na bila shaka ilikuwa dini ndiyo iliwapatia hiyo. Ati wewe yote, kwa mfano, wewe wote, kilicho wewe kabisa, id, kama ingeendelea baada ya kifo. Kwasababu inakaa kama ubadhirifu saha kwako, sindio, ati ni hivyo tu mwili yako ikisha kufa, Hivyo ndiyo sisi kama binadamu tunafikiria.

Lakini ndoto ya kuja kwa maisha milele hapa duniani haijawai kupotezwa, saha kwa wale wanaotaka nguvu, na kwa njia yoyote inayowezekana, wale wasio na hisia pia(psychopaths). Kumbuka huwa tunapatiwa kesi za hawa watu amabo ni wale wa chini, wale wa mtaa, wale wanaoenda gerezani kwasababu hataki kufanya kazi na kungojea radhi. Anataka hisia mzuri ya saa hii na anaona johari kwa dirisha, anataka pesa kwao, anavunja dirisha alafu anzichukua. Hao ni wa chin kabisa. Alafu uko na wale wanaosafiri kwa jamii yote , wanaishi kutoka kwa watu wengine na wanawatumia, wacheshi sana, na wanaweza kuwa na utu mia kwa mara moja. Huwa hawasahau ni nani wanafaa kuwa, mbele ya nani.

Lakini kila mtu kwa sehemu takuwa na hizi utu kulingana na kazi unayofanya. Mwanaposta ako na yake ya kiposta, ambapo kwa pahali pa kiofisi kidogo, ata kama mwanaposta na vitu kama hizo, kuendelea juu hadi kwa polisi, kwa jeshi, urasimu wenyewe, ambao wako na uangalifu wa dunia tofauti na yako, tena, kwasababu hawako kwa undanganyifu yenye ati watu ndiyo wanatawala serikali. Hawajawai kuwa na hiyo udanganyifu, nathani, bila shaka si leo. Lakini unakuwa kazi yako, hiyo ndiyo ninasema, na inakupa sababu yako ya kila siku ya kuwa, kuishi, inakupa faraja. Hiyo ndiyo maana watu wengi , saha wanaume, kitambo, wangehisi kujiua baada ya kustaafu. Huzuni, wageishiwa, wawe wagonjwa na wakufe, ama wangekua na huzuni ya ndani ambayo wangetaka tu kujiua. Kwasababu walichokua ilikuwa imefungwa, utu wao wote ilikuwa imefungwa kwa walichofanya, na kama haukuwa na cha kunya ,kazi kwa mfano, haukuwa kitu na hawakuwa na pendeleo zingine, wengi wao, inje ya kzi yao. Na dunia yao ndogo, walichofanya baada ya kazi, lakini kama bado walikuwa na kazi iliwapatia sababu ya kuwa. Mimi ni bwana hivi na hivi, mimi ni mhandisi, ama walichokuwa. Kwa hivyo watu wanajipoteza kwa hii.

Nathani kwa binafsi ati ni janga na akili ya binadamu kuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi na kuelewa mengi; tumewekwa kwa wasiwasi na tukizungukakwa uchumi ambayo haitairuhusu ifanyike. Kwasababu watu wanaotamani nguvu na wako na nguvu hawata iwacha hivyo, na kugawa muda bure. Usisahau ambapo jina shule inatoka(school=schola= in greek leisure) kwa ugriki inamaanisha muda bure. Watu wakwanza waliopata elimu tunayojua, ambapo inaonekana ilikuwa, tabaka la juu la Wamisri alafu ikaenda kwa Wagriki, kweli, wanafilososfia wote walikuwa na muda wa kufikiria, kwasababu hawakuwa na wasi ya umaskini ama vitu kama hivyo. Hapo ndiyo wako na muda wa kukaa na kufanya kazi na kujaribu kuelewa vitu na uzoefu kwa vitu tofauti na kuendelea na kupata sheria za asili ambazo saa hii ziko kwa masayansi. Kwa hivyo muda bure, ambayo ni zawadi kwa wengine imekatazwa kwa wengi. Hii zawadu imekatazwa kwa watu wengi. Hawana muda ya kutosha kufikiria wenyewe, na wawe wenyewe. Wamesimamishwa kutoka utotoni kwa kuwa wenyewe na hawapati nafasi ya kuifanya.

Sasa wale ambao wako kwa nguvu na vikundi za hawa watu kwa nguvu, kumuka wote wanafanya pamoja, watu ambaye walikuwa maadui, kwasababu wasio na hisia wa juu saa zile wako kwa mashirika kama waongozi ama wenye chochote, hawapendi mashndano. Kanuni ya kwanza ya biashara ni kutoa washindani. Namaanisha hiyo kwa biashara zote. Hakuna kitu mzuri kuhusu biashara, unajua, hakuna. Ni mfu,o wa mbwa kula mbwa na hila zote zinatumika. Lakini biashara inatawala dunia. Tena na pesa kule juu kabisa, kwasababu biashara zote zinatumia pesa na wanataka zaidi yake na kuendelea. Na mtu wa kawaida ambaye ni mmoja kwa hii mashine yote, mtu wa kawaida kwa kazi yake ndiye anayelipa kodi yote, inayoanzisha mabiashara kuu ama inatengeneza sehemu mpya za biashara zile zile. Kwasababu mashirika yote kuu leo wako kwa mfumo wa usalama ambapo walipa kodi wanafadhili miradi za kubwa kwasababu nii mingi sana wanasema, kwa wao wenyewefanya peke yao na mbia zao kwa hivyo wanaleta serikali iwafanyie. Kwa hivyo hii ujinga ya demokrasia na mtu yoyote anaweza kufaulu ni zaha.

Kwa asiye na hisia(psychopath) wa juu, aliye elimika vizuri, amezaliwa kwa familia ya mali, ameharibiwa kidogo, hajali juu ya kutia bidii na kujitakia kwa maisha, anaweza kuchukua kampuni na awe mwongozi ama chochote. Hawa ndiye watu unafaa kuchunga. Kwasababu wanatamani maisha milele kwa njia kubwa, kubwa sana. Kwasababu wanaweza angalia maisha yao waseme wameifurahia. Hakuna wanachojuta , wasiye na hisia hawana majuto. Na hawana pole juu ya kitu yoyote. Kwa hivyo wanapenda maisha kabisa, kushinda mtu wa kawaida ambaye lazima afuate sheria na kanuni, ata tu kuweka kazi yao ama wale kando yao. Kama wewe ni mdosi sana na hauna hisia na unatoka kwa failia ya mali, unaenda kwa chuo vikuu bora, milango yako wazi kwako, haijalishi tabia yako, unaitwa tu mtu asiye kawaida ama kingine, na unapita na vitu vingi ambazo hauwezi kuwachwa ufanye kwa tabaka za chini.

Kwa hivyo maisha milele ni kitu kubwa, kubwa kwao na mapinduzi ya teknolojia ya biolojia yakatokea kufanya na mageuzo ya binadamu na kuendelea. Pesa yako ya machunguzi huwa inaongozwa na misingi na kampuni za kibinafsi. Na serikali inaingia, tena, ninavyosema kuendeleza machunguzi. Vyuo vyenu vikuu ambazo zimegharamiwa na kwa nchi zingine ni za taifa, kodi zako kwa maneno mengine zinafadhili machunguzi mengi ya mashirika za kibinafsi zinachukua uwenyewe alafu wanaitumia dhidi ya watu wao, nguvu ya kweli ambayo inayo katika eneo chochote cha sayansi. Inapendelea kuangalia vile kweli ya dunia iko. Lakini watu wengi hawaifikiri hivyo.

Wanatako uamini aina ya disney, ati kila mtu ni mzuri, wasiye na hisia huwa hawazungmuziwi kwa zile za Disney, watu wabaya huwa wanashikwa, na ni wabaya bila shaka. Lakini wasiye na hisia, ama watu wa kola na tai, kule juu kabisa, wanakutana.... kwa mfano wale watu kwa viwanda vya mafuta, mashirika makubwa tunaongea kama Tony Blair, waligawana mashirika gani yatapata viwanja vya mafuta. Lakini unakumbuka yoyote ya hiyo ikisemwa wakati ilikuwa inafanyika? Ulichopta ilikiwa propaganda iliyokubaliwa na serikali.

Lakini dunia imekuwa hivi. Huwa imekuwa hivi. Watu wakiendelea kukubali vitu vilivyo, vijana, saha, wanapendelea jeshi, kwasababu bado... vijana hawakui haraka. Bado wako kwa dunia yao ya ndoto wanapofika 18, 19 na 20. Niamini kama vile jeshi mmoja aliniambia ilikaa kwake aliangalia nyuma ati alikua anacheza polisi na mwizi na marafiki wake, dakika ijayo alikuwa kwa sare anakimbia kwa mitaa ya Belfast, kwa jeshi ya Uingereza. Inachukua muda ili ukomavu ianze. Tumekuwa na utamaduni ya kisilaha sasa na “Hollywood” ikifadhiliwa kwa njia kubwa na Pentagon, na sinema zao za vita na shujaa yule wa chini ndiyo anakuwa shujaa; hiyo ni kitu ya watu wasio na muhimu, kwa maneno mengine watu wa chini. Hakuna njia ingine wanayoona ambayo wanaweza kujipatia jina na wapate heshima bila kuwa shujaa, na wanathani wakivaa hiyo sare watakuwa mashujaa. Ni mbaya, kwa kweli, kwasababu watu wengi leo ni mamluki; wanalipwa kufanya wanachpfanya. Hawahitaji propaganda mingi; ata propaganda kirahisi, wataenda waue wanaoambiwa waue. Na bado wata kuwa na kiburi kwa kuifnya kwasababu ni ya nchi ma hiyo ndiyo inakupatia heshima. Huzuni, sindio? Ni ya huzuni vile hii yote ni rahisi. Rahisi sana.

Sithani kuna kikundi yoyote kwa nchi yoyote ata wale wanaoitwa waasi, tunajua CIA, sisi sote tunajua CIA imehusiana kutengeneza mingi ya hizi vikundi, ambazo sasa ni wagaidi. Na kuna maarifa mingi kuhusu utengenezaji wa hizi vikundi na vile zinazofadhiliwa. Kweli ni, ni rahisi sana kwa watu wa nguvu, ama wasiye na hisia kuchukua nguvu ya mataifa, na namaanisha kila mtu bila kukosa, na watafanya watu wawafuate alafu wanaenda kufanya wanachotaka kufanya na tunafuata kama kondoo na tunaenda nayo kwa propaganda kirahisi. Na kwa mwendo kuzimu yote inatokea na watu wa kawaida huwa ndiyo wanataabika, watu wa kawaida. Lakini mtu huewa anafaidi vizuri sana na hawa ndiyo unafaa kuangalia.

Wasiye na hisia huwa wanafaulu na kama wamezaliwa kwa mafamilia zinazowafaa zaidi. Pia wanaweza kutambua, mara moja, wengine wao. Hiyo ndiyo maana wengi wa hawa waongozi wa wakuu ata wa dunia wako na mingi inayowaleta pamoja. Wanajua uongo zote wanazofanya na ninavyosema wanafurahia maisha kabisa na wakiendelea kufaulu, wanaendelea kujazwa na kiburi. Kwasababu wanaangalia waathirika wao na wale wanaowapatia heshima na kuendelea kama wajinga. Wanapoendelea kufaulu, wale wanaoowapatia heshima wanakuwa wajinga zaidi. Ni Kitu hiyo. Huzuni, sindio?

Kurudi kwa kweli ya dunia kwa enzi tofauti, kwa enzi za kitambo kwa watu wengi kwa dini tofauti walizokuwa, unapata ninavyosema, kulikuwa na faraja kwa kitu sawa na ya wazazi wako na mababu wako, uendelezi kwa maneno mengine, ilikupatia faraja ai hii ndiyo ilikuwa mpango wa kiasili. Alafu ulipoenda kwa mwendo za mageuzo(alchemy) kwa umri la kati na Kabbala na kuendelea yote yamechanganyawa kwake, machunguzo za mapema ya kwa makemikali na fizikia, kuendelea. Kupata ya maarifa, kupata ya maarifa kwa pole alafu kwa maoni ya “Cartesian”(1600-1700) ambapo watu walifundishwa, wale waliokuwa na elimu, minavyosema maoni ya enzi ya“Cartesian”(1600-1700) kila kitu ilifanywa kwa mpango wa hisabati.

Leo na mapinduzi yaliyokuja na teknolojia, kompyuta na pamoja na mageuz ya yanayoishi, unapata ati maoni yetu imebadilika tena, hadi tunathani chochote kinachotoka kwa hizi sayansi ni sawa. Ukirudi kwa enzi cha mapinduzi ya kiwanda, kwa mfano, maoni ya kila mtu ilibadilika pia, ati viwanda zilikuwa zinaenda kutuokoa na kutupatia sote maisha bora kwa kutoa mashine nyingi kubwa na injini. Iliharibu mwendo wa eneo za mashamba, ambapo walikuwa wanapanda walichohitaji kupanda, walitengeneza yaote waliyohitaji kutengeneza, kila kitu iliharibiwa na hiyo. Ata mavazi walizishona kwa mji zao ndogo, vile gari za moshi zilikuja yote yaliharibiwa na nidhaa zilizotengenezwa kutoka nje na nchi zingine zililetwa kwa mlango yako. Tena pia, kama bado ulikuwa na kazi ya kufanya na ulikuwa na kazi ya aina yoyote ungezoea haraka sana, na ata pengine ungebariki mfumo mpya tena. Kwa hinyo mashine ndiyo zilikuwa muhimu.

Alafu tunapata vita za Napoleon, na Napoleon alielewa kulikuwa na badiliko katika staratejika za jeshi kushus watu wa miguu na mizinga kubwa walizokuwa nazo akati huo, walikuwa wanaendelea kuwa bora kwa vitu, kuua watu, ata kama bado alitumia shambulio na shambulio za watu wa miguu. Lakini hakuna kilichobadilika kwa jeshi hadi Vita ya Dunia ya Pili. Nchi zingine bado zilikuwa na zinatumia shambulio za watu wa miguu dhidi ya bunduki za mashine na kila kitu ilikuwa vifo za aina kubwa sana. Inawachukua muda mrefu kubadilika kwa maoni mapya ya vitu . Watu wangekuja kama Vita ya Dunia ya Kwanza na wangekufa kwa maelfu. Lakini huo mfumo ilikuwa imekwaa kabisa katika akili ya majenerali wa kitambo wangekuwa na kikundi kingine baada ya waliyekufa, alafu kingine na kingine na iliendelea kwa miaka vifo zikiongezeka.

Kuna hadithi mzuri kuhusu Vita ya Dunia ya Pili, ni sinema inaitwa Oh Vita wa Urembo Namna Gani! (Oh what a lovely war). Imefanya kwa nji ya mchezo, Vita ya Dunia la Kwanza, kuna pointi mingi nzuri kwake. Wanapitia mingi ya wimbo za kitambo zilizotumiwa na kiwanda cha propganda kwa huo muda, ili waifanye ikae furaha, walipokuonyesha tishio yake. Na hakuna kimechobadilika, unaona. Sasa bila shaka tuliona bunduki kubwa, na namaanisha zikipigwa, zikipiga risasi kipmo ya gari kwa viwanja za vita ya kwanza na pili. Alafu makombora yakaja alafu kutoka hapo ilikuwa enzi ya makombora na makombora zinazoweza fika bara zingine. Alafu kwa progarmu ya Vita Nyota(Star Wars) kwa enzi ya Reagan na teknolojia(laser technology) iliyoweza kupiga kitu yoyote kutoka kwa hewa mara moja. Na tumepita hhiyo leo hadi tuko pahali amabpo virusi na bakteria zinatengenezwa, inaongozwa kutoka idara ya usalama inayoongozwa tena na jeshi kubwa la kiwanda/fedha. Kwa hivyo faida na kuwa mdosi zaidi huwa nii muhimu kushinda maendelezo wa binadamu kwa enzi zote. Hadi vile pesa itawacha kuwa, nathani huwa itakuwa hivi. Hakuna amabye ataibadilisha. Wenye nguvu ambao wanaoimiliki hawataibadilisha na wapatiae nguvu yao. Haitafanyika.

Kwa hivyo kizazi baada ya kizazi tumefunzwa kushindana ili tufike juu kwa njia yoyote. Wasiye na hisia wanafaulu. Wanatambuana huko juu. Wanafanya pamoja. Na wanaishi vizuri sana kwa gharama ya kila mtu, pamoja na vifo za watu duniani. Lakini hawa watu ambao wanaajiri wasiye na hisia wengine kwa chuo vikuu wanataka kufika juu pia, Paul Ehrlich na hawa watu wanaoongea kila saa kuhusu kuwa na watu wengi sana kwa dunia- hii inarudi nyuma kwa Thomas Malthus, wengi wao sana, na hakuna rasilimali zinazotosha, tutasalimika je, kwasababu sisi ndiye mabinadamu wakuu na hao ndiyo wa chini? Haiishi... Elewa ninachosema, utu wako wote, kila kitu inazunguka kwa enzi uliyozaliwa. Kama ni mageuzo, inayoenda ka maisha yako; yote ni uchawi. Ama kaman “Cartesian”(1600-1700), yote ni hisabati, elewa tu hisabati na utaelewa kila kitu na utakuwa na nguvu juu ya kila kitu. Alafu unaenda enzi ya leo ambayo ni mageuzo ya binadamu. Ni rahisi kufanya sasa, kuongoza vile virusi na bakteria zinakuwa, rahisi na haraka sana. Wanachukua bakteria zisizo na athari alafu wanazifanya ziwe wauaji kamili, kwa idara ya usalama. Na siongei kutoka kwa kichwa yangu kuna maarifa mingi kuhusu hii. Hii ndiyo tunaita ustaarabu, na tunaiita maendeleo. Maendeleo... Nani anafafanua maendeleo? Wale wanayoingoza na ni wenye mfumo yote. Hao

Kwa eneo la uchunguzi wa teknolojia ya kibiolojia, unapata ati kuna viumbe tofauti zimezogeuzwa kutoka Vita ya Dunia la Pili na kuendelea; tunaweza zifuatilia hadi huko nyuma na ata kupita hapo. Unapata ziko kwa vikundi tofauti kwa wale wanaopendelea vikundi tofauti vya viumbe na ugonjwa. Unaweza pata viemelea,virusi na bakteria. Zinaweza zaa. Zinaongezeka. Zinaweza fukizwa kwa eneo kubwa kubwa na mandege, na ata chini kutoka makontena. Rahisi sana kufanya. Zingine zinaongezeka harak sana makontena zinaweza kuifanya ata bakuli za kioo kwa fikira. Mtu akikanyaga bakuli ya kioo kutoka kwa ndege na hivyo, ita enea kwa dunia yote kwa muda mdogo. Kwasababu zimetengenezwa kufanya hivyo.

Kwa sheria ya dunia kunafaa kuwa sheria kuhusu hii yote, lakini hakuna yoyote tunajua hiyo. Hakuna dhibiti, kwasababu maserikali huwa zinadanganya kwa wanacho angalia kama adui ama marafiki ambayo wanaweza adui mbeleni, ambao ni wapinzani wowote wa mashirika zao mbeleni. Tunajua kuna makao makuu zinazojulikana vizurii kushinda zingine kwa kuweka hizi silaha, na kila taifa iko nazo, kila nchi. Hawajazitumia kwa wingi, lakini zimetumiwa nyumani lakini si kwa wingi kwa uoga wa kuenda mwelekeo zisizofaa na kurudi nyumbani na kuua watu zaidi. Tena chini ya makubaliano ya mataifa wanafaa kuwa na tibu zake, tibu inayofanya, kwasababu kila saa wanageuza virusi ama yoyote lazima wawe na tibu ya hiyo pia. Saa zingine inaweza chukua muda kufikia. Saa zngine ni haraka kwa sababu wako mbele sana leo wanajua wanachofanya, kutenegeza hizi silaha za vifo kubwa. Lakini pia wanaweza tumia kitu inayoweza kuisimamisha pali iko, wanatumaini. Lakini hakuna kinachofanya kamili ikiwachwa peke yake, unavyojua vizuri. Hakuna.

Kwa hivyo tuko kwa enzi ya mageuzo ya biolojia ya viumbe, inayokuwa keli ya dunia kwa kila mtu. Kila mtu anathani atapata maisha ndefu. Watu kwa viwango za chini wanaangukia hizi vitu. Watakupatia? Ambapo kwa muda moja wanaongea juu ya kurudisha chini nambari ya umma kwa wingi ili watoto wao huko juu wanaeza enda kwa ijayo na rasilimali inayowatosha kwa muda mrefu, mrefu sana kushinda nyinyi wote mkiitumia. Fikira mbili tena. Ajab, sio?

Hiyo ilinifanya nifikirie juu ya ripoti kwa kamati ya matumizi kwa nyumba ya wawakilishi; nathani ilikuwa 1986. Ilisema, Idara ya Usalama ati teknolojia ya kugeuza biolojia zilikuwa zimeanza kuwa katika chaguo za silaha kwa jeshi. Na walikuwa wanachapisha kwa wingi zaidi kushinda kabla, ya wanayoita viumbe ndogo za kijadi, alafu teknolojia ingetengeneza aina mpya zao ambazo hazijawai kuonwa kwa asili, hazikuishi kwa asili.

Sasa kuna hizi viumbe za kila kabila. Kila kabila na aina yake... kwa hivyo kama kikundi moja haipendi ingine zinaweza fanya, ambayo wamefanya tayari, machunguzi kwa watu tofauti kufanya na muundo wa jeni zao na kuendelea duniani, zote zimejumuishwa na wanatafuta jeni iliyo kwa watu wengi wa hiyo kabila na wanatengeneza ugonjwa wa kuishambulia. Katika mzuko wa SARS miaka kidogo zilizopita, wanachina wengine walikuwa wanalalamika wanamagaharibi wameitolea kitu, kwasababu ilikuwa inafikia watu fulani wa hiyo chanzo kutoka China.

Hata hivyo hii ndiyo walisema kutoka kwa idara ya usalama katika 1986:

            Mandeleo katika teknolojia ya biolojia inakubalia silaha mingi za vita. Hizi ajenti zinasimamia huu uwezo mpya wa kugeuza, kuendelea na kuzalisha idadi kubwa ya kifaa ama viumbe zilizoangaliwa kama bila umuhimi kwa jeshi kwasababu ya mashida kama upatikanaji, utulivu,ufanisi na uzalishaji.

Alafu iliendelea kuhusu sumu amabazo zilikuwa kwa idai ndogo. Waliendelea na hiyo:

            Sumu zenye nguvu ambazo hadi sasa zilikuwa zinapatikana kwa idadi ndogo na zilitolewa kutoka idadi mingi ya vifaa vya biolojia, zinaweza kutengenezwa kwa idadi ya viwanda(Alan: Idadi ya viwanda, hiyo ni kufanya mataifa, unaona) baada ya wakati mdogo wa maendeleo. Hii mwendo

            ni ya kutambua jeni, alafu kuipeleka kwa kiumbe ndogo ambacho kinakuwa na uwezo wa kuizaa. Zile zinazotokea hapo zinaweza pandwa vyovyote, kwa wingi ambayo ilikuwa kwa kidogo peke inapatikana kwa bei ndogo.

Kwa hivyo uwezo kubwa wa kuua inawezekana kwa bei ndogo. Uchumi tena. Na wakisema bei ndogo, niamini, wavulana wakubwa wanaoongoza hizi viwanda vyote na zinazalisha hizi vitu zinatengeneza pesa. Na waliongea juu ya ajenti zimezotengenezwa pia. Ikaendelea na:

            Maendeleo kubwa kwa mageuzo ya jeni imeleta uwezo wa kunyonya rasilimali za asili haraka kwa sababu ya vita, kwa njia ambazo ata hazikufikiriwa miaka 10 na 15 zilizopita.

Kulikuwa na ripoti iliyotoka kwa mwaka sawa, Douglas J Feith ambaye alikuwa naibu katibu wa usalama wa Marekani...

            ... karibu haiwezekani kujipinga dhidi ya huu uwezo mpya wa kutengeneza silaha za biolojia.

Alisema...

            Inawezekana sasa kutenegeza ajenti za silaha za biolojia kwa mahitaji ya jeshi. Teknolojia inayoifanya madawa za kubuni ziwezekane inafanya pia vita ya biolijia ya kubuni iwezekane. Inakuwa kitu rahisi kuzalisha ajenti mpya lakini shida kutengeneza tibu. Ajenti mpya zinaweza kutengenezwa kwa masaa – tibu zinachukua miaka. Kuchunguza ukubwa wa tibu ya shida inachukuwa miaka na mamilioni za vitegauchumi, sasa bila faulu, kuendeleza njia za kupambana na ajenti ya biolojia inje ya kiwanja cha vita ya biolojia, virusi ya ukimwi. Kitegauchumi kama hiyo inapita na mbali rasilimali za kazi ya usalama kwa vita vya biolojia

Kurudi kwa enzi tofauti na tunavyoangalia vitu , enzi ya viwanda, enzi ya “Cartesian” enzi ya mageuzo. Ifikirie. Sasa ni enzi makompyuta na mageuzo ya jeni, na vile killa mtu amesisimka. Nyinyi wote mmefunzwa kusisimka kwa enzi unayoishi. Ni ya karibuni, lazima iwe bora. Lakini angalia tunachosoma hapa. Tunaongea juu ya vita ya biolojia... kuua mamilioni a watu. Na mara mingi wanasema, wanasema, na siamini yoyote ya hiyo, ati hawana tibu; bila shaka hawatawapatia nyinyi wote tibu yoyote.

Angalia ubunifu wote wa binadamu na tunachoweza fanya peke ni kulipa watu, wasiye na hisia dhahiri, pesa mingi kufanya maisha yao yote wakiendeleza ugonjwa za kuua. Na unathani unaishi kwa jamii iliyo timamu? Bila shaka si timamu. Imeharibika sana. Na inaongozwa na watu wasiye na hisia ambao wamefaulu huku juu. Sasa kumbuka, nyingi ya hizi sumu na elementi za vita ya biolojia zote zinatengenezwa wavulana sawa, makampuni sawa, mashirika sawa, ambazo ati zinasaidia kulisha dunia. Kwa maneno mengine, lisha hazina za mashirika zinazomiliki mbegu zao na kemikali zinazoenda nazo. Unaona.

Kulikuwa na makala pia, ilikuwa kwa taarifa rasmi ya habari ya masayansi wa atomu(The Bulletin of Atomic Scientists), 1983 na Robert L Sinsheimer ambaye ni mwanafizikia wa biolojia na alikuwa waziri mkuu kwa chuo kikuu cha California kwa Santa Cruz, alisema...

            Njia za kawaida za kutoa chanjo ziko karibu sana kwa mbinu zake na uzalishaji wa ajenti za vita vya biolojia kwa hivyo zinapatia nafasi za ubadilisho.

Zimeshikana zote. Kabisa.

Alafu kulikuwa na Richard Goldstein aliyekuwa profesa wa biolojia za viumbe ndogo ndogo kwa Harvard alifupisha yote na alisema...

            Chini ya bendera ya usalama idara ya usalama inakubalisha kufanya na magonjwa za juu za dunia zinazozalisha zimezogeuzwa na zina virusi zaidi, kutengeneza chanjo za usalama kwa jeshi zao dhidi ya hizi ajenti, na hivyo pia maendelezo bza mifumo za kusambaa chini ya idara ya usalama, lazima iwe na uwezo wa kujipinga dhidi ya hizi mifumo. Chini ya hii uongo kitu ambaye idara ya usalama inabaki nayo ni mfumo wa biolojia mpya, kiumbe cha virusi, tibu dhidi yake na mfumo wa kusambaa. Unavyoweza ona kutoka hii hapo ni laini konde sana, kama kuna yoyote, katika mfumo wa usalama kama huu, zinakubaliwa na mikataba na mfumo yoyote kukera iliyokataliwa.

Zimeshikana kabisa.

Sasa tukirudi kwa fikira mbili, uwezo wa kuwa na fikra mbili vinyume kwa kichwa yako wakati sawa. Mashirika kubwa wanataka kulisha dunia kwasababu wanatupenda sote. Hizi mashirika sawa zinafadhili programu za kurudisha nambari ya watu chini. Hizi mashirika sawa ni sehemu ya kiwanda cha idara ya usalama, kiwanda cha jeshi. Kweli? Unaweza weka hiyo yote kwa kichwa yako kwa wakati moja? Fikra tatu?

Lakini unaambiwa na unafunzwa kukubali hizi vitu zote kama zinatoka kwa midomo ya mabingwa, ati uko salama , kila kitu ni sawa, usijali. Unawezaje endelea na maisha yako ukiamini hizo aina tofauti za vitu sawa bila kuufa? Hila ni usiziamni zote. Unajua uongo ni nini na unajua kweli ni nini. Na kwa kuangalia dunia ilivyo, hivyo peke ndiyo inaweza kubadilishwa. Na wacha kukubali na wengine na vikundi zimezotengenezwa pia... usikuwe baadhi ya fikra ya kikundi. Unajua huwa kuna malengo ya kuenda na vikundi... hii ndiyo sababu tuko hapa, hii ndiyo tunaamini, na ukisema chochote ambaye haiko kwa laini na malengo yao, wanakufukuza.

Lazima uwe mtu wako kubadilisha hii, kubadilisha kitu yoyote. Watu wao... Na nani anajua hiyo itachukua muda mgani, kwa hii mwendo kwasababu sote tumefunzwa tusiulize chochote.Wasiye na hisia wanawafunza kuwa wajinga sana, kuwaweka wajinga, na wanawaambia usijali, watu wakuu maalum wanaongoza dunia, usijali rudi kulala na mchezo. Hivyo ndiyo iko. Wasiye na hisia wamekutengeneza, kweli yako na vitu zote zinazofanya kukupatia dunia yako, wanazimiliki zote, kuwafanya nyinyi wafanyikazi bora na wajinga zaidi ili wawatumie. Kwa faida yao. Na saa zile hawakuhitaji watakuua bila kufikiria.

Kitu ambacho tuko kwake leo ni ya kutatiza sana. Kwasababu mbinu iliyokuja pamoja na kompyuta, enzi ambayo tuko na mageuzo ya jeni, ninavyosema, hii ni ya enzi yetu leo, lazima iwe sawa kwasababu iko hapa. Imeendelea na tunafikiria kama makomyuta, si kama watu. Si kama binadamu.

Nimesema mara mingi ati sisi, umma, kwa enzi zote wanafanyia kuelekea kwa pingu zao kwasababu tunakubali vitu izilivyo letwa kwetu tangu tuzaliwe. Lakini ninavyosema uwezo isiyoisha ya akili kufanya vitu za ajabu, kuwa binadamu kwa kweli, inasimamishwa katika mwaka wa mapema sana, wnegine wakikupatia cha ya kufuata kulingana na wale huko juu ambao ni madubwana wa huu mfumo. Na tunaichukua yote ilivyo, ninavysosema lazima iwe kawaida kwasababu iko.

Lazima iwe kawaida kama wanataka kutugeuza sote kibiolojia, karibuni, kama bado hawaijaifanya tayari. Nina hakika wameshaifanya. Lakini karibuni itakuwa lazima pia, kama unataka kuzaa na wameongea juu ya hii tangu 1930, ati lazima uwe na leseni ya kuzaa na utakatazwa kwa njia ingine yoyote, kuhakikisha unalingana kijeni na yule wanayetaka kuweka naye. Inafanyika tayari sasa, ambapo wanatoa majeni fulani na wanazifulua na zingine kwa mwendo za mbolea. Ya nani? Ya nani? Na tunathani yote ni kwasababu kwa sababu saa hii, tumeendea, sisi si “Cartesian”(1600-1700) hatuko kwa mageuzo(alchemy) siku hizi, unajua, hatuko kwa dunia sawasawa, lazima iwe sawa. Kila watu kwa kila enzi wanadanganywa kuamini ati lazima iwe asili kilicho kwa enzi wanayoishi, na wale wanoitawala. Ni rahisi kufanya si ndio?

Natumaini unaweza kunisamehe kwa kuongea tu usiku wa leo. Nilikuwa nafikiria nitaongea juu ya nini na ikanikujia kabla hii mzungmuzo. Natumaini utakumbuka pia, unaweza kunisaidia kusalimika hapa kwa kutuma pesa kidogo kila mara kwasababu ni ghali kufanya ninachofanya. Ni ya ajabu kwangu pia, ati ninaskiza programu zingine ata zile zinazojulikana kabisa na maneno ninazotumia ambazo huwa natoa saa zingine, nilizianza kitambo, zinatumiwa na hawa watu lakini hawakusemi wewe. Ni aibu kwa kweli, kwasababu ingesaidia wengine kidogo pengine watume pesa kidogo kunisaidia. Lakini tena hiyo ndiyo ubatili wa asili ya binadamu. Nathani ati watu hawataki kusema wanapotoa maarifa. Na mara mingi wengi wao ni wazembe sana kuitafuta wenyewe.

Lakini kama unaweza kunisaidia naweza kuendelea na kwa matarajio ni walete zaidi, zaidi kabisa, mbeleni. Bado nafikiria kama niende muda kamili nikifanya hii na niamini inaenda haraka ukiifanya muda kamili. Sitaki kuenda tu kwa kusoma habari ya dunia kwasababu hiyo ni propganada, haijalishi unaisomea upande gani na hauta pata kweli kuhusu kitu chochote siku hizi. Hivyo tu ndiyo iko. Na wakati sawa kama habari inapointi pahali angalia ile mkono ingine kwasababu mara mingi ni vitu vibaya ndiyo zinafanywa kuhusu mfuko yako mbeleni ama vile ulaji wa protini kuu zinaenda chini kwa takataka yoyote wanayotaka ule kwa hii enzi ama karibuni. Inafanyika tayari na nakala zinazotoka, vile hizi vitu niz mzuri sana.

Lakini niamini, wale hapo juu wako na sababu ya faida kwa akili kwanza, kama wanaweza kutoka na vitu nimezokuwa nikisema hapa usiku leo ni aina ya wazimu. Wazimu ambayo inawaongoza. Ile msemo, umajua, mtu ni nini kama apate dunia yote na apoteze roho yake? Haisemeki kwa aiye na hisia kwasababu anaipenda hapa, anataka kuishi milele. Atahakikisha tai kodi zakko zinafanya kazi kuhakisha ati, kwa matajio, ata fikiria, ishi milele, angalau apate ugani wa maisha. Hatapata ugonjwa za kummaliza pia. Kama wale wakuu unaoona leo kwa miaka za 80 na 90 wakienda kwa mikutano za dunia na wakipatiana mihadhara, hawana magonjwa za miaka. Kwasababu hawakupata chanjo zozote ulizopata kwasababu uliambiwa zitakusaidia. Na hawakuli chakula unazokula [ia.

Kweli ya duni si picha rembo. Bado uko na watu wazuri wanaoishi kando yako. Lakini tena watu kama hao si wewrvu sana. Na wameogopa vitu zilizo nje ya kwaida yao. Wameogopa habari mbaya, saha kama hawajui vile ya kuchukua habari mbaya, kuibadilisha iwe kitu bora. Hii mfumo iliyo kila mahali, mfumo dhahania inawaogopesha. Ili waanze kuamani ati wale ambao wako juu yao, mwanga wao, ni wabaya ina. aogopesha sana. Ni kama umeambiwa mungu wako ni shetani. Ni kitu sawa. Dunia yako yote ulivyoona kila kitu itaanguka mara moja. Kwa hivyo usigonge watu na habari mbaya kama hawawezi kuichukua. Usiwaangushe. Usilazimishe habari kwa watu ambao hawataki kuisikia. Wamekuambia. Sitaki kuisikia. Wanaimaanisha. Si kila mtu ata ana uwezo wa kuangalia nje ya mfumo waliyo ndani kutoka wazaliwe. Si kila mtu anaweza kuifanya.

Kwa hivyo kumbuka, nitumie pesa kidogo. Enda kwa cuttingthroughthematrix.com tovuti, kila mtu huwa anafanya hivyo, ata wale wanaojulikana, wengi wao wa habari na ujisaidie, ni bure isipokuwa nailipia. Na ni kwasababu ya usaisdizi wako peke na inaendelea kuwa kidogo na kidogo... kifedha si watu wanaozisoma. Kwasababu najua watu wengi ambao wamewekwa nje ya kazi sasa na hawana pesa yoyote, na wengi wao wananiandikia na wananiambia. Kwasababu najua watu wengi ambao fikra yao ya kuwa bila pesa ni tofauti na yangu. Bado wako na simu zao na maprogramu na hizo zote na kama hawawezi nunua zimezotokea wanahisi maskini. Sina hizo programu mpya ata, sina simu pia. (Anacheka) Lakini natoa hii maarifa nikitumaini itafanya mazuri kidogo mbeleni. Na kila kitu inaanza, inaanza kwa kweli na moto moja ama mshumaa ndogo.

Kutoka Hamish na mimi hapa Ontario, Canada, ni usiku mzuri na mungu ama miungu wako aende nawe.

(Imeandikwa na Leon)