MZUNGMUZO WA ALAN WATT

“MAENDELEO YA MAFUNDISHO”

Julai 20, 2014

Maneno yametoka kwa Alan Watt.

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu

 

Hamjambo, mimi ni Alan Watt na hii ni Cutting Through The Matrix kwa Julai 20, 2014. Ni kitu moj a kuhisi uchoshi... Watu wanahisi uchoshi ata saa zile wanafanya kazi, kwasababu kazi huwa ni mara mingi pahali pa uchoshi, si ndio. Lakini tunapata tumechoka ta na burudani, burudani mingi ambayo inatolewa kila saa ili tujijaze nayo. Katika brudani leo saha ndio tunapata mabadiliko kwa tabia yetu. Vile watu wengi wanafanya. Ni rahisi sana, tumbili anaona, tumbili anafanya. Nimeongea mara mingi kuhusu sanaa ya kuelekeza utamaduni, unaweza sema ama utamaduni inayoongozwa ambayo sote tumezoea kutoka siku za kitmabo hadi kwa hadithi za wagriki na vitu kama hizo hadi kwa michezo za ukiristo za siku hizo na inaenda kwa sikuu za kutaalimika ambapo drama ziliongezeka hadi leo.

Tunathani tunaona chaguo na fikra zaidi lakini kwa kweli zinachaguliwa kwa makini wale wanaoamua unachoenda kuangalia na kuona na kuamini na kunakala pia. Lakini kwa hizi vitu zote za kupitisha muda wetu nazo watu kidogo wanajua umuhimu wa makamati zinazochagua kitachoonyeshwa na ambaye haitaonyeshwa kwa umma, na uhariri nzito unaoenda kwa sinema zote zote kuhakikisha sisi sote tunalingana, ajenda zinazorudiwa zinasukumwa kwa uso yetu, njia inayofaa kufikiria, mada sawa za kuongea kuhusu, jina ambazo hatufai kutumia na vitu kama hizo. Na tunafunzwa kila saa na wabora wetu unaweza sema.

Kwa hivyo hiyo ilinifanya nifikirie jioni leo juu ya nitachoongea kuhusu na nikafikiria kwasababu jii ni mbinu ya nguvu inayoyumiwa kwetu tunaweza kwa historia za nyuma. Kwa nini tusirudi nyuma ata kwa enzi zilizopita na tupitie hiyo hadi kwa enzi za wakristo na zile mabazo wakristo wa kitambo walichukua kutoka enzi awali ya wagiki na waromu zilizokuwa na wakaingiza kwa utamaduni yao na kuendelea, na vile hiyo iliendelea chini katika maenzi kwa mapinduzi hadi kwa mabadiliko yaliyokuja njiani.

Huwa kuna pingano hii ama ile kwa maenzi zote hadi leo katika kinachoitwa saa zingine kanisa na serikali. Inaweza kuwa makanisa mingi na serikali haijalishi. Serikali kwa mara mingi huwa iko na ajenda yake, lakini kwa wakati moja ililibidi isikize kanisa kwa wingi kuhusu adabu na kuendelea. Lakini jamii inapoendelea kuwa ya kidunia, watu wanakuwa wakanamungu zaidi. Na inuko la sayansi, sasa tuko na sayansi kanisa na serikali na tuko na hizi chaguo tatu

Sayansi imefadhiliwa na imekuzwa vizuri na ufadhili, imechukua kutoka misingi mingi zingine zinazotengeneza ubinadamu yenyewe. Na tusiwahi tupa dini na makanisa nje ya dirisha kwasababu ninavyosema, katika maenzi, ata mbele ya ukristo, kulikuwa na dini za kiserkali zilizopatia watu aina ya ubinadamu. Hiyo ndiyo ilikuwa sababu kuu mingi zao zilikuwa. Kwasababu watu wanahitaji kitu sawa ili wasalimike na wasiuane na waibiane, waharibiane na kuendelea. Kwa hivyo unahitaji kitu sawa ya kufuata duniani inayomantiki.

Hata kwa makabila ambazo hazina dini tata ulipata vitu sawa kufanya na tabia na vile ya kuwa. Huwa kuna mkusanyiko msingi inayoshikilia vitu, ata kwa kabila ndogo. Ama ninavyosema wangekuwa na wapenzi wengi na ngono zaidi, watoto hawangekuwa na wazazi wa kuwachunga, na umaskini ungepanda na kuendelea. Walikuwa na kanuni rahisi za kujaribu kuzuia vitu kama hizi kufanyika. Kwa hivyo familia ilikuzwa kama msingi wa nguvu ambayo ilikuwa lazima ipatiwe heshima kubwa kwa saa zote. Kwasababu kama si familia kuchungana wenyewe, unakuwa na mfumo wa ustawi ambapo serikali inachukua hizo kazi na familia inawekwa nyuma na serikali ndiyo inakuwa sauti kuu.

Wagriki wa kitambo, kwa mfano, wanafilosofia waliongea kuhusu kutotulia wa binadamu, ati kulikuwa na kitu ndani yake, hii roho ndani ya binadamu ilimfanya asitulie, asitosheke na alichojua ama alichoambiwa ama alivyokuwa, kutotulia wa kila saa. Bila shaka unaweza gawanya hiyo kwa vituo vya maisha, kazi, malipo na kuendelea, zinazoongezea ama rudisha chini mashida tofauti. Kwa hivyo inapendelea kuona ati huwa tumekuwa na hii kutotulia ndani yetu. Lakini kwa wakati moja bila shaka kwa enzi za kitambo uliruhusiwa maoni kuhusu ni nini ulichokuwa unatafuta kwa hivyo madini zilikuwa zinangojea kwa kando kufanyika, na vile zilizotokea na kulikuwa na vitu mpya kwake. Na hiyo ndiyo ilikuwa kifungu ya kila kitu, dini mpya za aina ya mapinduzi. Na watu hawazioni hivyo wanathani; wanathani ziko hivo na hazibadiliki. Lakini hakujakuwa na moja iliyoanza bila kubadilisha dhana zake ilivyoendelea.

Wgriki pia waliongea juu ya tofauti katika serikali na dini ama maisha ya kiroho ya umma. Aristotle alisema hiyo, KWA MIFUMO AMBAZO HAZIJATIMIZWA KUNA TOFAUTI KATIKA MWANANCHI MZURI NA MTU MZURI. Alisema TOFAUTI HUU UNGEPOTEA KWA NCHI BORA KAMA ILIIFANYIA KAZI; TOFAUTI ZINGEPOTEA na wanachoita fadhila na uaminifu kwanchi kwa wenyewe zingelingana. Huwa kumekuwa na mapambano katika serikali na watu ama dini kwa enzi zote. Kuna aina mbili ya utabia, moja ni ya taifa ambapo uko na kituo, umezaliwa mwananchi katika tabaka na kuendelea, kituo chako cha maish. Na hiyo ni wajibu umeyowekelea kufuata hiyo kituo, kama Uhindu wa India amabapo si mingi inayobadilika. Alafu serikali pia inataka ufuate wajibu zake, kuwa mwananchi na kuendelea wa taifa. Na hiyo inapambama mara mingi na utabia wa inayoitwa neema na ukamiliko wa dini, unaona, na dini zote zinafuata aina fulani wa ukamiliko wa kimwenyewe – zinginni za kijamii zaidi na hazikubali utofauti – lakini kwa ujumla hiyo ndiyo imekuwa hii kitu ndani ya kila mtu inayowasukuma mbele, inawafanya waulize maswali, roho unaweza kuiita, hii roho isiyokaa pahali moja inayokufanya uulize kila kitu na uiingilie vitu pia ina shida, ninavyosema, na serikali. Kwasababu wazi kutafuta ukamiliko inamaanisha mabadiliko. Alafu serikali iko na fikra zake za mabadiliko, saha kwa siku hizi ambapo inataka kutuongoza sote tuwe wananchi wazuri, watiifu.

Shida yetu pia tukiangalia nyuma ni watu wengi wako na ujuaji mdogo wa majina. Wanathani ati wagnostiki wote walikuwa sawa, kwa mfano, ugnostiki na wale walikokuwa wanatafuta ukamiliko katika njia fulani. Na bila shaka ungekuwa na vikundi za wagnosti wa kijamii, unaeza sema, waliyeishi pamoja, zilikubaliana na kanuni za jamii yao alafu zikaenda kuwa sehemu ya mfumo. Vitu ambazo hazishindi zikitafuta ukamiliko zitakwama na mara mingi kwa kikundi madhubuti na tuli ta kama zilianza kama za upinduzi.

Kuna kingine pia, sheria ya asili, tena, na mingi ya hizi mwendo za kiroho ama dini na ile ya serikali pia. Wote wanasukumia mabadiliko fulani, kutotulivu wa binadamu mwenyewe, na kuendelea., ukosefu wa haki na hizo zinazoendelea kila saa. Lazima huwe tukumbuke hakuna ukamiliko, ningesema, kwa waongozi, saha kwa mfumo wa uchumi, mara mingi wako sawa. Hawana hisia zaidi. Wako hapa kupata mali na pesa mingi na utangazaji, wanapenda utangazaji. Mara mingi wako sawa. Na wanaweza fanya pamoja kujibora, kama kundi ama kitu chochote. Wako nguvu mingi wakishakuwa wadosi,juu ya serikali pia. Kwa hivyo unapata vitu mingi tofauti kwa mapambano katika historia hadi leo, wote wakishindana.

Unapata ati sheria ya asili inaangaliwa kwa msingi kama kanuni za tabia na zimeshika kila mtu, na fikira ndivyo unafikia hii kanuni, fikira, ambayo haikuji katika uvumbuzi, ni fikra tu peke yake, sheria ya asili. Sheria ya warumi ilikuwa aina ya fikra ama sheria ya asili. Na Taifa za ukristo zilichukuwa, saha Marekani, kwa hivyo katiba yao ilichukuwa kutoka aina ya serikali kufanya na sheria ya Roma. Walithanii ati hiyo ilkuwa aina bora, na chaguzi ndiyo ilikuwa kitu ya kidemokrasia peke. Bado ni kweli kwa sehemu kubwa ya dunia. Ata uchaguzi zikiwa za uongo, kama umoja wa kisovyeti walikuwa na Politburo A,B,C,D, chagua moja wao. Ni sawa leo. Haijalishi ni chama gani unayochagua, wote wako na majukwaa sawa: ustawi, jobs, huduma za afya, elimu na hizi vitu zote. Zote ni sawa kwa hivyo wote wao sawa. Lakini hao wenyewe wako chini ya uongozi wa mashirika kubwa za nguvu, shirika za kibinafsi, vikiundi kubwa, shirika za kimataifa na kuendelea, zinawasukuma kila saa, zinaweka kwa nguvu na kuwafadhili, alafu bila shaka kuna malipo ya kuwekwa kwa nguvu.

Lakini kwa sheria ya Roma ninavyosema, ulipata ilikuwa kawaida ati sheria gani lazima ilingane, kanuni imeyokubaliwa ya tabia ambapo serikali ingechukulia. Kwa hivyo aina ya sheria unayo leo, ambayo huwa haifanyi kwa kamili pia. Huwa imeharibika na ya upendeleo na kuendelea; kuna mengi kwake. Hautawai pata ukamiliko ya kweli. Hiyo iko tu katika roho ya binadamu, si kwa vitendo vya binadamu, inapokuja kwa mapambano na sheria ya asili. Sheria ya asili pia ni kumbuka ya usalama. Kila mtu lazima asalimike. Na kama chaguo zako za usalama ziko kidogo, zilivyo leo kwasababu sote tumekimbizwa kwa mfumo sawa, lazima tutafute kitu inayoitwa pesa, na hiyo unairudisha kwa kodi. Kabla ya hizi kodi kuja saha kodi za mapato na za urithi na kuendelea, ingewezekana kuishi nje ya mfumo wa pesa kwa mali kama uliwachwa peke yako. Na haijalishi ulivyoishi, afadhalli uliishi vile ulivyotaka kuishi. Ilikuwa imekutosha na uliifurahia. Leo hiyo imeenda na umelazimishwa kwa mfumo kawaida, ninaiita ya ulingano.

Utapata pia ati kwa umri la kati si safi vile vitabu zetu konde za historia, saha za leo, zingetaka uamini. Hakuna pingano kwake ati kumekuwa na mapambano katika mfalme ama malkia, himaya. Ungepata mapadri, na Vatican yenyewe. Katika umri la kati haikufaa ati wawe na umoja kabisa. Kulikuwa na mkubaliano ati kungekuwa na nguvu tofauti zikifanya pamoja na saa zngine wakipambana na wenyewe, lakini ninavyosema, haikuwa zuri kama wanavyosema leo. Lakini kulikuwa na awali wa vitendo na fikra kwa zote, kila saa, kwa muda fulani, ambayo ilileta pengine kwa watu wengi, kwa muda kidogo walichoita, uzuri kubwa. Vita kidogo wangezokuwa nazo na dini moja ndiyo bora. Lakini tawi kingine cha dini kikitokea , sehemu yake ya mapinduzi, umerudi kwa mapambano na vita tena. Na kwa vita zote, na vita mingi huwa hazifanywi kwasababu ya fikra fulani. Ni za pesa, na tena wasiye na ubinadamu wanaingia, wananusa faulu na udosi yao kwa pande moja ama ingine.

Watakatifu tofauti waliandika kuhusu hizi shida. Na mtakatifu Thomas, ukiangalia maandishi zake, alichukua kutoka aristotle na ukristo akatoka na awali, kuhusu awali ya vitendo ya sheria la asili na tabia ya kukamilika, hiyo ndiyo ilikuwa fikra ya ukristo kwa hizo siku, kukamilika. Kwa hivyo alijaribu kutengeneza awali ya hiyo pia, vile vya kuishi kwa hizi sheria katika hii dunia ya kimwili. Fikra za mpango, umoja na awali zinaonyesha kwa wingi katika maandishi zake na kwa sehemu pia kwasababu zilikuwa zinahitajika sana katika muda huo wa mapambano, upinduzi na kuendelea.

Pia, kuna upande mwingine wa hii yote na hiyo ni upande wa duni iliyofungwa, ambapo utengenezo wa binadamu kwa usomi, uliishi kwa mfumo iliyofungwa, ambayo ni dunia imeyokamilika unaweza sema. Na unaweza hisi salama kwasababu swali zako zote na shida zinajibiwa kwako. Hii ndiyo ninafikiria, ni jibu gani ninafaa kufikia? Na lazima ilingane na ulichopatiwa ulingane nayo. Kwa hivyo ni mfumo iliyofungwa. Kisehemu tunarudi kwa leo na mfumo iliyofungwa ambapo tunaambiwa na mbinu sayansi kile ambacho tuamini, tufikirie nini, na lazima unakili maon za mabingwa kila saa, usifikirie peke yako. Na hizi eneo tofauti za mbinu ya sayansi. Namaanisha viwanda za tabia na utamaduni pia, wote ni sehemu yake. Elimu na kuendelea, zote niza kukufunza na wote wanafundisha aina ya ulingano, ya kidunia(universal=university) njia ya fikra, tabia kuelewa na vitendo inayolingana na dunia yote.

Sasa hii fikra ya awali ya asili, serkali, dini ya asili ikitendwa, asili inaweza sema, kwa kuishi kwa dunia ya kimwili. Na dini ilivunjika baada ya muda; iliteguka kwa wakati wa marekebisho ambapo kiprotestanti zilikuja mbele, ikauliza na ikashumbila kila kitu kilichokuwa. Kama vile mbeleni kikomunisti ilifanya. Na hati fikra ya ... fikra sawa na ile tunayojua kama vinyume za Hegel(Hegelian Dialectic) inaanza kufanya. Inakaa kama kitu ya kawaida, hii, kwa mapinduzi zote , ni ati unapata hoja alafu kinyume chake na uamuzi inatoka kwake. Inafanyika tena na tena. Na hiyo ndiyo ilikuwa mafundisho yote ya aina zingine za Ukomunisti, Umaksi na Utrotsky, ati wale vijana ambao wangechukua kutoka kwao wangekuwa wapinduzi kushinda hao. Utapata ati ata kwa umri wa agano ambapo Waebrania ama dini yao mpya ya wayahudi walitokea, wangepiga mawe nabii waliyozeeka. Kwa hivyo wapinduzi wazee walipigwa mawe, hawakuhitajika, hawakuwa waradikali kutosha kwa wale wapya; ni kitu ya kawaida kwa mapinduzi zote, kwa enzi zote.

Kwa hivyo wakati wa marekebisho, unaweza sema, kwa fomu zake zote za marekebisho, ilishambulia utengano wa maisha ya kidunia na ya kidini.

Watawi walifaa kutoka nje ya monasteri zao na wasista pia, bila kuwachilia changamoto cha ukamiliko lakini kuifikia kwa maisha ya kawaida ya kidunia. Kwa maneno mengine leta hiyo kitu ya kiroho nje kwa wazi na uifanye kama utendaji kwa maisha katika dunia ya asili. Hiyo ilikuwa kitu moja kuhusu Uprotestanti, ilivyotoka mara ya kwanza; ilikuwa pingano dhidi ya kuhalalisha tabia, ambayo mfumo wa umri la kati ulikuwa nayo. Na ilikuwa dai thabiti wa neema juu ya sheria, sehemu huu wa kiroho ungekuwa msingi wa mabadiliko za mbeleni.

Ilisaidia kuharibu msingi wa kitambo wa mpango wa kijamii na mpango wa kisiasa na aina ya mfumo wa mfumo la umri wa kati. Si kabisa, si pamoja kwa dunia la magharibi, lakini ilifaulu kwa sehemu; ilisababisha upinduzi. Hii ilitengeneza kwa asili shida, na mapambano juu ya vile ya kuongozwa na vile ya kujiongoza na vile ya kusalimika kama jamii bila kila mtu kuenda kufanya chake ambapo kila kitu ingeharibika. Unapata ati wanafilosofia wengine walitokea bila shaka, ambao wanawekwa juu leo kama Hobbes ama uamuzi wa Rastian ambayo iliamua, ilisema ati serikali inafaa kutawala dini na ili iwekwe pahli pake; hiyo ndiyo walitokea nayo kwa msingi. Na ingewachwa kama ingeendelea kwa njia ambayo haina athari kwa jamii. Hiyo ndiyo imefanyika leo kwa serikali ya kidunia. Wanakuruhusu uwe na dini yako bora tu usijaribu kutawala mfumo wote na dini yako fulani na unafanya vitu vya hisani na hizo. Hiyo imekubaliwa leo. Kwa hivyo hiyo sehemu ilishindia unaweza sema.

Sehemu ingine ya fundisho za Hobbes, unaweza sema, ni ati watu wanafaa kuamini na kuomba kile ambacho serikali imeamua wanafaa kuamua ma kuomba. Ningeiita hii ulingano wa kisiasa, uongozo wa tabia na kiwanda cha utamaduni, na tena wanasayansi wengi wa akili na athari ya lugha kwa akili na hizo zote. Vitu zote ambazo wanatugonga nazo kila saa ya vile kujifanya, vile ya kuitika kwa mada zingine, kuendelea. Kile ambacho serikali imeamua leo ndiyo mzuri na nini ndiyo sasa mbaya, mara mingi waki geuza kilichokuwa mzuri na mbaya. Unaweza pata ati pande ya roho ama kanisa kubwa inachukua nguvu alafu uko na mapambano tena. Kwasababu wale hapo juu, wale ambao wametangazwa kuwa watakatifu wa huo wakati kwa hiyo dini fulani, wanafaa kuongoza na kutawala koti zote pia, na uamuzi wa koti. Na unabaki na aina kikomo na uwekaji chini wa fikira ama uchunguzi wa fikira na hiyo dini. Na waliijaribu kwa nchi zingine na ikakufa kwasababu watu walichoka nayo.

Hata kwa eneo mingi za wapuritani(Puritans) wa dunia ambapo walitawala na walitosheka na haya mafunzo, mzito, mafunzo mzito ambapo kanunu zilikuwa mbeleni na zikachongwa kwa mawe unaweza sema, na hakuna nafasi ya fikira huru ama machunguzi, ama kufanya na watu tofauti. Utapata ati kwa kiwango za kwanza wa kipuritani, tena hisia ya mapinduzi kabla isimamishwe. Ukisoma maandishi zingine za majadiliano za Putney-- zilikuwa zinapendelea sana kusoma shuleni kusoma kitambo. Waliingia kwa hizi shida, maandishi ngapi na maneno wapuritani wa mapema ambao waliamini kwa kweli ati walikuwa nguvu ya mapinduzi ya huo wakati, roho ya machunguzi waliita, na waliamini kulikuwa na zaidi ya kujua na kujionyesha kila saa ukifuata maadili ya ukristo, na pia waliichanganya na maadili ya uyahudi ambayo tena ni kali zaidi. Kwa hivyo kulikuwa na mapambano ndani yake na lafu kwa muda sehemu ya sheria ya vitu, pande ya kisheria ya vitu ilishindia na vitu zikakomeshwa.

Mapemani moja wao alisema, alisema, nathani ilikuwa moja wa waongozi wa wapuritani ... John Robinson ilikuwa. Nimeshawishiwa alisema kwa mahiji walikokuwa wanatoka kuenda Marekani na kuendelea, mungu bado ako na mingi ya kutuonyesha kutoka kwa maneno yake, alisema, bado mingi kutuonyesha. Kwa hivyo ilikuwa imemalizwa, kilichokuwa kwa maandiko, kulikuwa na zaidi kuonyeshwa ulipoendelea kuzisomea na ungetenda kwake katika ulivyoishi na kuendelea. Kwa hivyo waliamini kuwa mkristo mzuri ni kuifanyia kazi kila saa, kama bahari ama asili yenyewe, ati vitu zilikuwa zinasonga kila saa, haziko tu, zilikuwa zinasukuma mbele kila saa. Kweli lazima itafutwe na itafutwe milele. Na ata ulipopata kweli mpya ilitupa ile ya kitambo kwasababu haikuwa imekamilika, ulichoelewa haikuwa kamili, ingebidi uchukue hiyo kweli mpya na kamilko zake mpya unaweza sema, ama maelewo zilizoifikisha kwa kamiliko bora.

Utapata bila shaka kwa mapinduzi zote ati vijana, saha, ndiyo wanachukua hizi fikra za mapinduzi kutoka kwa wanafilosofia tofauti ama yoyote itayokuwa kwa huo wakati, wanaosukuma njia mpya. Kwasababu hawaoni eneo za kijivu. Hawajaishi maisha kwa kitu moja. Hawajakuwa na juu na chini zao katika shida za maisha. Hao pia ni wazuri kuchagua kuenda kwa jeshi pia, kwa sababu ya vita... Huyu ndiyo adui, ni watu wabaya sana, enda uwaue. Na watafanya hivyo bila kujua juu ya hawa watu wanaoenda kuua, na nini iliwaleta kwa pahali ambapo lazima wauliwe. Kwa hivyo watachukua miendo mpya hivyo. Hawakui watulivu na wanaoelewa hadi waongeze miaka na wawe wwenye busara.

Lakini kweli ni mbeleni kwa mwendo wa kipuritani ilifaa ufikirie kila saa kuhusu utafutaji wa kweli kwa maisha, maelewo zote tofauti za maisha na sheria la asili ambayo ilishikana na, walichoona kama sheria la mungu na kuja za hizi kamiliko zote tofauti za kweli. Ilikuwa kwa dini bila shaka, ndipo fikra la maendelezo hadi kwa kamiliko usioisha ilitokea, ninavyosema, kwa karne la 17 na 18 kuendelea, sayansi ikachukua, ati binadamu angekamilika kwa kuelewa binadamu na vile binadamu ako na anafanya na sayansi ikakuja kuwa kwa sehemu ya utawalaji juu ya jamii katika sayansi za jamii na matabia mpya ambazo zingeingizwa kwasababu ya madai ama matokeo yao.

Kwa muda mrefu sasa utapata ati katika elimu, elimu ya viwangogezi, elimu zimezoruhusiwa ambazo tuko nayo, fikira huru kwa kweli si tarajio hata. Haihasimamishwi, fikra huru. Unapata madigrii na kuendelea na kulingana na fikra iliyowekwa mbeleni, fikra na manadaharia zaidi ya vitu zingine; unalingana. Lakini nini ndiye athari za kisiasa ya hizi fikira za mabadiliko? Na imechukuliwa ati vitu za thamani sana maishani hazitakaa. Unaona hiyo ni kitu moja wanaypsukuma huko nje, badiliko ni kawaida, badilko ya kila saa na itabisi wakue na waendelee kwa njia ambayo haiwezi haijulikani, kwasababu ya maendelezo kutumia mbinu za sayansi, na mapenyo. Hiii inasababisha kwa wingi... Tena, ni kinyume cha mtu wa umri la kati amabapo mfumo wake ulikuwa umefungwa, ilikuwa rahisi sana, walihisi salama, na haikubidii wawe na wasiwasi mingi kuhusu kitu chochote ukiiangalia kwa njia ya kiroho; alifanyiwa yote.

Shida huwa zinatokea na wafautaji na waongozi. Wafuataji mara mingi muda ukishapita baada mwongozi kufa, watapanga tena wanachoamini na waibadilishe kulingana na kusababisha umoja na wailazimishe kwa watu wengine pia pahali fulani kama wanaweza pata nguvu ya kufanya hivyo. Alafu inawacha kuendelea na mara mingi inachukiwa, kwasababu inabadilika kila saa si kwa faida ya umma. Historia imejaa na vitu kama hizi ikiiangalia vizuri.

Lakini utapata dhana yenye ati uzoefu wa kweli wa kidemokrasia ikowemo na, sema, mashirika za hiari na shirika za kidini pia na kila kitu zinazoamini zote kwa mazungmuzo wazi na makubaliano katika mazungmuzo na kuendelea, na kukosa wa uaminifu wa mashirika zinazobidi na nguvu zake. Utapata ati na mashirika za huru kwa kweli, wamekosa uaminifu wa mashirika, ambayo tena iko kwa mapamabano na serikali. Serikali inataka nyinyi moja mkuwe sawa. Kwa hivyo taifa ya kidemokrasia inavyoitwa leo ni mfano wa mkutano wa demokrasia ya kidini. Na hiyo ndiyo inaweza kuwa peke, mfano wa kitu, fikra ambayo serikali yenyewe haitawai ruhusu ifanyike.

Marekani walikuja jaribu na kwa zalisho ya mwisho unaweza sema, ama sehemu ya zalisho ya mwisho, hii zalisho isiyoisha kuhusu kile ambacho ukristo ulifaa kuwa, ati hakuna dini moja ambaye ingetawala serikali na kungekuwa dini tofauti lakini zingekubaliana kuhusu vitu zingine za kufanya. Lakini ilitengeneza aina uhuru ndani yake; haukuwa unafai kuchukia mtu kwasababu walikuwa tofauti kwako kidini ama kisiasa.

Utapata ati wanafilosofia wengine moja wao, Thomas Hobbes kwa mfano, alikuwa na athari kubwa kwa wengi wa vijana wa siku zake kuhusu alichoongelea, kuhusu binadamu mwenywe na hii roho isiyotulia ndani yake ambayo ilkuwa inatafuta vitu kila saa, bila kuhisi salama kabisa na wasiwasi. Na kutoka kwa hiyo maoni ilikubali na wapuritani(Puritans) ambao walikubali na hiyo sehemu yake. Lakini Hobbes aliendelea kusema ati ilikuwa kitu ya ubaya, hii hamu, roho isiyo tulia ndani yake. Bila shaka aliweka fikira zake mingi kwa Leviathan, kama utawai isoma. Utapata ati alikuwa amekosea kwa vitu mingi pia. Yeye kusomea wadadu na kundelea, jamii za wadudu... haiwezi kulinganishwa na binadamu. Hiyo ilikuwa kitu kubwa ya kismesoni pia(Masonic). Ata mbeleni, ata jamii ya kifalme, ambayo ilikuwa shirika la kimesoni pia, utapata ati mradi wao wa kwanza – baada ya kujianzisha, hiyo ni kwa wazi, kwasababu walikuwa ata kabla ya hiyo – ilikuwa kutengeneza mzinga wa kioo kusoma manyuki, kila kitu kwa pahali pake unaweza sema, tabaka zote zikifanya inavyofaa kwa tabaka na kuendelea. Kwa hivyo hiyo ilikuwa kitu ya kawaida, kawaida sana.

Lakini utapata ati Hobbes alikuwa amekosea vitu mingi pia. Alithani ati hii uoga wa kila kitu, uoga wa kifo na umaskini na vitu zingine zote, ambazo zimekuwa hapo tangu mwanzo wa pesa na wale wanaoitawala na wanaamua pesa nini na wanaweka nguvu yao kwa kutumia pesa za kila mtu mwingine. Alisema tai uoga ambayo ubunifu inaleta, inanfanya akose utulivu. Alithani yote ilikuwa kwasababu ya uoga na inaendelezwa na uoga na hamu ya nguvu, ati utafutaji wa nguvu ni kitu ambayo kila mtu ako nayo, ambayo si kweli. Wale wasiye na hisia bila shaka wako na hiyo ndani yao lakini watu wengi wako na hisia. Lakini Thomas Hobbes aliamini ati binadamu hangeweza kuhisi salama hai kila kitu ingekuwa kwa mikono zake. Alithani ati vurugu na vita zilikuwa kwa sababu ya kutotulivu wa kila mtu, badala ya kuangalia wale ambao walitumia vikundi, tunavyoiita leo, kitumia kikundi. Na ati huu kutotulivu wa ubunifu ndiyo ilikuwa kitu isiyoisha kwa binadamu peke. Kwasababu alisema ati binadamu alikuwa mbinafsi na huruma yake, hamu na tamma hazikuwa kwa wingi kama wanyama wengine tu. Kwa hivyo alihisi ati unahitaji nguvu ya uendelezo juu ya umma kwa njia ya kiimla, ungesema.

Hii ilikuwa fikra ya kujirudia, si tu na yeye lakini na wengine ukiendelea kwa maenzi, na mbele yake pia, ati ubaya wa binadamu haiishi, kila mtu ni mbaya. Utapata hiyo kwa agano la kale na hadithi zake pia na kuendelea na ata kwa hadithi mingi za wagiriki wa kitambo pia ambapo watu wanaweza jaribiwa kufanya kitu mbayo lakini kwa faida yao. Lakini Hobbes aliamini ati hizi uoga, saha zile za kifo, ambzo zinatumiwa vizuri na maserikal, nyinyi wote mnaenda kubomuliwa, lazima tuchukue haki zenu zote. Aliamini ati hiyo ndiyo ingekuwa mwisho wa huo kutotulivu, haki na uhuru zenu zikishachukuliwa, unaweza sema na zikapatiwa kwa Leviathan, dubwani mkubwa, huu mfumo ambayo unaweza sema ati tuko ndani yake ukiiangalia vizuri.

Waandishi hadithi wazuri wengi walielewa hii pia. Utapata ati Mandugu wa Karazmov(The Brothers of Karazmov), kwa wale ambao waimeisoma dondoa moja inasema: Tutawashawishi, mchunguzi mkuu akasema, Ati watakuwa huru peke wakati watatuwachia uhuru wao na watatuangukia. Na tutakuwa sawa ama tutakuwa tunadanganya? Wataamini ati tuko sawa kwasababu watakumbuka tishio za utumwa na machafuko ambao huru huu ulileta.

Anaendelea kusema,

Uhuru, fikira huru, na sayansi itawaongoza kwa sihida na iwalete kwa ajabu na ajabu ambazo haziwezi kutatuliwa hadi wengne wao, wale wakali na waasi watajiharibu, wengine, waasi lakini wanyonge, wataharibiana wenyewe, saa zile wengine, wanyonge na bila furaha wata tambaa kwa miguu zetu na walie “Ndiyo, mlikuwa sawa, nyinyi wenyewe ndiyo mnaelewa hii ajabu, na tunarudi kwenyu, tukoe kutoka kwwetu!”

Hiyo ni ya kweli sana kwasababu, wanasayansi wa jamii hapo juu, wale wanaofanyia serikali – kwa kweli juu ya maserikali, na shirika za fikiria kubwa ambazo zina zaidi kusema kuhusu vile mnatawalwa kushunda serikali zenyewe – zimekuwa zikikuza kwa muda mrefu, ati nyinyi wote, nyinyi wote hamna uwezo wa kutawala maisha zenu. Kwa hivyo chini ya huu udanganyifu wa usoshalisti wanayoleta kutmia GIRFEC huko Scotland, na majina zingine za hii programu kwa nchi zingune, fikra ati serikali lazima itawale kutoka unapolzaliwa hadi kifo na iongoze huyo mtoto hadi akue na katika maisha yake yote na kila saa waku rekebisha njiani ukiwa na mafikira fulani, ama ukiulize swali zzingine, dadisi sana pengene kwa eneo zingine, ambazo sasa ni hazikubaliwi, na utarekebishwa katika maisha yako yote. Hapo ndipo wanabinadamu(Humanists) wametuleta leo.

Hobbes hakuwa amekosea kusema ati masayansi mapya, uelewa wa binadamu mwenyewe saha, ingepatia nguvu zaida kwa misingi za nguvu na wale waliotaka nguvu juu ya wengine. Karl Marx pia alidondoa kwa Thomas Hobbes alisema, Thomas Hobbes ni baba yetu sote. Kwasababu yeye, tena, alithani ati kuelewa na kutumia mbinu za sayansi na hisabati na kuendelea ingeonyesha aili ya binadamu ni nini. Na kwa kutumia fizikia na vitu zingine wangeweza kutawala kila mtu kwa serikali iliyo kamili, ambayo ingekuwa pahali pabaya sana kuwa. Kama kila mtu angekuwa sawa tungekuwa kama chapisho za sisi wenyewe. Na kwa sehemu hiyo inatiiwa moyo, fikra ya kuchapisha binadamu kwa mabinadamu wanaofaa, fikra ya Huxley kwa Dunia Mpya Jasiri(Brave New World).

Hobbes pia alijaribu kutumia fizikia, walichothani ilikuwa sayansi mpya, fizikia hadi siasa, Na wengi walikuja baada yake na fikra sawa, unaweza sema, na maoni tofauti kuhusu huu sayansi mpya wa fizikia. Walijaribu walichothani ni kweli kwa kutumia hisabati, saha. Unaweza rudi nyuma kwa siku za Plato, aliongea juu ya hisbati pia. Wagriki walikuwa wamehusiana sana na hisabati na jiometri na kuendelea kujaribu kuchunguza zile vitu ambazo hazigeuki kwa hii dunia mabyo kila kitu inakaa ni kama inageuka. Zile vitu ambazo ziligeuka , Plato alikuwa anaiita dunia ya kuwa alafu ya kupita. Lakini katika hisabati huna kuna isiyobadilika. 2 na 2 ni 4 hajailishi wanavyojaribu kuibadilisha leo na fikra mpya zinazotolewa na kuendelea. Lakini vitu huwa zinapita, hiyo ndiyo siri yake; vitu mingi zingine zinapita na zinabadilka. Tunazaliwa, tunakua, tunakuwa vijana na kuendelea alafu unazeeka na vitu zinabadilika nawe, mwili inaanza kuharibika na kifo, unaoza.

Wagriki, kwa mashule zingine, Socrates aliongea juu ya dunia tatu tofauti kwa hii dunia, kuwepo tatu ama mifumo ya hii dunia. Moja ambayo Plato aliongelea ilikuwa dunia ya maarifa, dunia ya pili kwasababu ya asili yake haikuweza kujulikana, inaweza tu kuwa mada ya maoni, uaminifu ama kuthani alivyoiita. Utapata ati mbeleni wale ambao walihusiana na fizikia walithani ati wangeweza kutoa tofauti ya vitu, lakini hawakufikiria ati asili ya maarifa ama sayansi iligeuzwa, ata walipokuwa wanaifanya kwa enzi za kitambo. Plato alithani ati kujua ilikuwa tofauti na maoni ama kuamini, si kwa kuwa kwa kile tunachoita kweli kweli lakini wa kuwa bila kosa, Bila kosa ndiye kifungu. Binadamu kila saa huwa anatafuta zisizo na kosa, kitu iliyokamilika. Na kwa bahati mabaya hiyo fikra ya kukamilika ama bila kosa, ukamiliko, ukamiliko kabisa wa binadamu ni kitu ya kutisha. Kwasababu ingemanisha ati ingefanyiwa kwa kila mtu, hatimaye na tungekuwa kama ma mashine. Hakungekuwa na mapingano na kumbuka, kutoka mapingano unakuwa na badiliko mzuri pia; fikra inatoka kwa kupingana juu ya vitu. Na tumejaa na mafikra. Binadamu anafaa kuwa na fikra kila saa. Haimaanishi uzifuate zote, lakini uangalie uwezekano zote tofauti, na pia inakusaidia kujua ambapo hizi wezekano zingeenda., mazuri ama mabaya.

Lakini wakitambo walichokuwa wanazungmuzia ilikuwa uwezekano. Walijaribu kutumia hisabatu kwa mashule zingine za kisiri kwa kila kitu maishani, hadi kwa siku za Bertrand Russell. Aliongea juu ya mantiki kamili ilikuwa hisabati. Aliamini hii kwa kweli. Utapata ati Hobbes pia. Hobbes hakuingilia hisabati. Aliona kitabu iliyofunguliwa kuhusu fomyula ya Euclid nathani ilikuwa, alipokuwa kwa miaka zake za kati, alishangazwa na vile hii fomyula ilifanya na akawa kama mbadili kwa dini mpya, na alijaribu kutumia hisabati kwa kila kitu hadi alipokufa; alitumia maisha yake kujaribu kutafuta kweli akitumia hisabati.

Lakini kwa kwa karne ya 21 wanafizikia wa mapema walikuwa wapinduzi. Ni tofauti naleo kuhusu fomyula zisizo badilika na masheria kuhusu fizikia. Hizo siku kulikuwa na maparadoksia mingi kwa fizikia na fikra na maoni. Descartes pia aliongea kuhusu hiyo. Alikuwa kwa hisia za binadamu na alisema ati, zinatudanganya kabisa kuhusu asilii ya dunia kando yetu. Hiyo ni kweli kisehemu. Macho zako hazioni unacho... ama haufasiri unachoona kwa kweli. Tunafanya tunayoweza tukitunia macho na maneva na kundelea., na yanaandaliwa tena kama televisheni kwa chandulua. Lakini mara mingi imejazwa na tunachotaka kuona, tunachofikiria kwa wakati huo, hiyo hailingani na tunachoona, inaweza kuipotosha pia. Na hiyo inaonekana vizuri unapofika kwa eneo la uhalifu na uko na mashahidi ishrini wote na hadithi tofauti kuhusu walichoona.

Kwa hivyo sayansi ya leo, wanasema maoni yetu ya dunia si kamili kisehemu. Tena, wote wako kwa fikra sawa ya kipinduzi iliyoanza na dini, ama ilijionyesha ikitumia dini, kukamilisha kila kitu. Na Descartes alisema ati filosofia ya kwanza ya kikateshian(Cartesian) hivyo ndivyo aliita, filosofia ya kwanza ni muhimu sana kwa msingi ya fizikia ya “Cartesian”. Filosofia sote kuhusu hilo eneo lazima ziwe wa msingi ya kweli kamili, kweli isiyo na kosa, kile kitu kingine kutoka hapo zimekosea. Hiyo inalingana na fizikia wa leo.

Aliamini ati kila pendekezo tofauti wa sayansi lazima ieleweke na ionekane kufuata kutoka pendekezo iliyopita ambayo imeeleweka vizuri,inachukua zoezi na kujali ili tjue saa zile tunaona waziwazi, na kujifunza kujua tofauti ya hizi fikra na maeleweko zisizo waziwazi ndiye muhimu wa kwanza katika mafunzo ya sayansi. Lakini tunapojua tofauti, tunafaa tu kuwa waaminifu kwake kuepuka makosa. Kosa inatokea kwasababu inatuingiza ili tupate majibu mapya kwa maswali saa zile hatuna uelewo waziwazi inayohitajika.

Lakini sayansi ya leo, ukiangalia sayansi ya leo kwa mfano, unawza ona.. Vile hi akaunti yake imekosea vibaya na vile Descartes alishindwa kuelewa kitu ambacho yeye kama mfizikia alichokuwa akifanya. Kwa Descartes sayansi ilikuwa karibu na imeshikana pamoja na filosofia... kwa huo wakati. Lakini vile huu ssayansi mpya uliendelea, ilijikata kutoka filosofia. Ilikuw lazima filosofia iwachwe nyuma ili sayansi ya leo ije kwake.

Kwasababu ilkuwa kwa zoezi ndipo wanafilosofia walikuwa na maoni tofauti wangekuja pamoja kwa ugunduzi wa kisyansi. Magunduzi kwa sayansi inayohusu macho yaligunduliwa pamoja na wanasayansi waliokuwa wa kikateshian(Cartesian) na kinewton lakini haikujalisha kwa zoezi. Kwa hivyo sayansi ilijikata kutoka kwa filosofia hadi mwanasayansi akaja kuangalia mfilosofia na huruma wa ukarimu lakini usioweza kufafanuliwa, na mtu yoyote alipozungmuzia metafizikia ilikumbusha hadithi ya kipofu aliyekuwa kwa chumba kisicho na taa akitafuta paka nyeusi isiyo hapo. Kwa hivyo unaweza ona vile masaynasi zinavyoitwa, zimebadilka zikiendelea, kutoka dini alafu filosofia alafu kwa wanchoita leo masayansi za kweli zilizosafi. Lakini haziwai kuwa safi ata leo kusema kweli. Nathani hauwezi... bila shaka hauwezi, ukiangalia kando yako leo ona tofauti ya sayansi kwa njia ingine kutoka kwa siasa na mwongozo wa siasa na utamaduni ma na nji tunayoongozwa tuende. Bila shaka zimeshikana pamoja.

Kitu kingine ambacho ni muhimu sana ni fikra ya badiliko kwa kweli. Tukisema ati pendekezo wa sayansi wa leo ni kweli, hapo hatumaanishi tena ati iko waziwazi ama inaweza onwa na kila mtu ama ati inaridhisha kielimi; tunamaansiha ati tarajio lake imedokezwa kwa hiyo fanyiko. Kweli inakuwa utabiri usiokosea na isiyo kweli utabiri uliyokosea. Hiyo inamaansiha ati tukipata kweli wa kisayansi kutuia njia ambaye Descartes alisema kama chanzo cha kosa: kwa kupita ushahidi wetu kwa madai ambayo ijayo peke inaweza kukubali ama kukataa.

Na kwa hivyo ni kweli vitu kwa sayansi zinachukuliwa kama kweli ya mungu, ili itupwe mbeleni. Na watu wengi, kumbuka, njiani. Wamepata digrii zao wakifuata maelezo fulani ambazo zilikuwa za uongo kwa huo muda. Shida na sayansi ni ati imekuwa ya utaalamu kwa muda mrefu sana, unaweza sema kwa eneo tofauti zake zilikuwa zimefungwa. Lakini sahi kuna nguvu za zinafikia eneo zote kwa hivyo kuna mawasiliano; kwasababu magunduzi kwa eneo moja zina athari kwa zingine. Kwa hivyo mwanasayansi wa kweli atatupa fikra zake za kitambo alizoshiikilia kama kweli, ili alete kitu mpya inayolingana na data mpya ama magunduzi kutoka pengine kuhusu eneo anachochunguza. Kwa hivyo haijalishi ako na vifaa ngapa na kuendelea, gunduzi mpya zinatokea zinazoweza tupa mingi ya ambayo iliyokuja mbeleni na ikaaminiwa kuwa kweli. Na huyo ni mwanasayansi wa kweli.

Leo wanasayansi kwa bahati mbaya wamechukua njia inayohusiana kwa wingi na siasa. Tunapata mashirika makubwa zinazokabiliana na ongezeko la joto duniani, zinazofadhiliwa vizuri sana, wanaishi kwa mafadhili, wanasayansi; wanategemea mafadhili. Wananusa upepo, inapoenda ambapo pesa za fadhili zinatoka, na wanaingia kuwa malaya kwa sababu za mtu mwingine. Lakini wote wanafaida vizuri kutoka kwake kifedha na heshima, hadi hawataki kukubali kweli ati hao ni mamalaya. Ni ya huzuni kusema lakini ni kweli. Hawawezi kuitwa wanasayansi wa kweli wakishahusiana na funzo mpya, funzo ya kidini, imeyofanywa kutumia fikra, fikra ya mtu. Kwasababu imechukua kutoka ubinadamu(Humanism), kuna watu wengi sana, tutawarudisha chini aje na kuendelea? Hiyo inamaansiha ati serikali lazima, na serikali ya dunia lazima ichukue wajibu zaidi na zaidi za mtu. Bila shaka, mtu anakuwa adui. Usiwai sahau mtu anakuwa adui. Nyinyi wote mnahatia juu ya kitu, hivyo ndiyo wale wameoamua ni wabora wenu wamesema.

Blake, alipokuwa anaongea juu ya wanasayansi, ilisema wanyekevu kwa mungu lakini wakiburi kwa binadamu. Na hivyo ndivyo wanasayansi wamekuwa kwa muda mref sana, ati angekubali vitu zingine ambazo hakuweza kujua kutoka kwa hali ya muumba, mungu, angekubali hiyo inaweza kuwa, lakini kila kitu kwa dunia ilikuwa bila maisha kwasababu yeye alikuwa mwanasayansi unaona.

Na licha ya uasi wake wa hakika na kuwa bila kosa... Unapata tai watu wanasema leo, sayansi wa leo inatufundisha, kile ambacho kanisa ilikuwa inatufundisha. Funzo wa yae yasiyo na kosa. Tunafunzwa kutii wanasayansi na kuwaamini, ata wanapowekwa nje kwa sababu za kisiasa, tunanakili wanachosema.

Tazamo la watu wa kawaida kwa madai za sayansi imeelezwa vizuri kwa Hillaire Belloc... kwa wale ambao wameisoma... oh tusiwai kuwa na shaka kwa kile ambacho hakuna anaye hakika nayo.

Hii ni njia ya kipinduzi ya kuangalia maarifa yenyewe. Hauwezi kuwa na maarifa kamili kwa kitu chochote. Wewe ni bidhaa wa wakati wako tu.

Kumbuka, hii yote ilianza na fikra za kidini na metafizikia. Na kwa historia vitu zinabadilika lakini kulikuwa na muda za utulivu ambapo watu walielewa pahali pao kwa vitu na vile walihusina na vitu kwa dunia, kwa iliwafanya wahisi salama zaidi kwa njia zingine na utamaduni moja. Kwa dunia ya ukristo saha kulikuwa na utamaduni moja. Lakini hiyo iliharibiwa na ikaenda kwa mageuzi katika wakati wa upinduzi wa kiwanda na vitu zikabadilka na mwanzo wa sayansi na mabingwa wakiingia na hiyo yote. Ilitutupa kwa aina ya macahafuko, zilizotupeleka kwa mazoezi makubwa, mazoezi kama za Unazi na Ukomunisti na vitu kama hizi, umoja ambazo bado zinaendelea pahali pengine. Waliita hii ujenzi tena wa jamii, kupanga tena jamii na mageuzi, tukio kuu.

Nje ikatokea pia fikra ya demokrasia na aina ya demokrasia iliyochukua kutoka sheria ya kingereza ya kitambo, sheria iliyojulikana na kila mtu. Na kuna tofauti zingine katika hiyo na sheria la marekani, kwa hakika, kuhusu demokrasia lakini wako na mtazamo wa msingi sawa walichukua kutoka wapuritani katika miaka 30 zilizopita ama ta pengine kutoka Vita la Dunia la pili katika serikali ya fujo zaidi kwa bahati mbaya. Kwa hivyo inafaa kuwa chombo kutumikia jamii. Leo inaongozwa na mabingwa, na wanashinda wakituambia mabingwa wanaiongoza yote na tunafaa kufanya wanavyosema. Jumuia na maadili za jumuia kwa kweli zinafaa kuwa huru, lakini jukumu la serikali na nguvu yake inafaa kutumikia uhuru na saa hii inaiharibu, ama inaitawala katika uharibu wa maadili za kitambo; hiyo ni ya msingi.

Kwa hivyo fikra zote kuu, ni kama njia ya kuenda kuzimu imesakifuwa na nia mzuri, zinaenda kuwa misingi ambazo kwanaza zinakubaliwa na zinafanya inavyotakikana na uwezo wao wote, alafu zinakoma zikiwa misingi zinazopoteza mwunganisho wao na watu wa kawaida. Hiyo ndiyo naendea. Lakini unapata marekani kwa mfano, kuna watu wengi walioandika kuhusu hii fikira ya ujamhuri wa demokrasia na vile watu walikuwa na haki, haki , haki. Hiyo ilikuwa mpya, nchi yoyote kunadika chini haki zilikuwa nini. Uingerezani ilikuwa ya mdomo zaidi, ambayo inaweza kubadilishwa kila wakati na watetezi na maana zake kulingana na muda mnayoishi. Lakini marekani walijaribu kuiweka kwa maandishi, ambayo ingekuwa na ingetumiwa wotw ambao watu bado wangeikumbuka na wakumbuke zilikuwa nini. Walikuwa wanajua pia ati serikali mara mingi inapoteza roho yake ya kipinduzi na uzuri wake na inakuwa yembamba kwa fikira yake alafu inakoma inapozeeka. Hiyo imefanyika pia bila shaka.

Na hizi fikra zote za wafilosofia zilizoungana kwa kweli ati taifa, maserikali haziamini ati binadamu ako na uwezo wa kujitawala, ambayo ndiyo hali bora ya kuwa aina ya kujitawala ambapo unaweza kuamua iliyo mzuri na mbaya. Hauingi kwa mapambano na watu wengine alafu utatize maisha zao, wale kando yako, kwasababu ya unachoamini. Lakini unaweza kuwa na tofauti wa maoni na unaikubali hivyo bila kupigana. Kwa hivyo serkali inaaminii ati binadamu hata wai kuwa na mfumo a maelewano kwa hivyo wanataka kutugeuza sote kijenii. Na hiyo ndiyo wamekuwa wakifanya kwa muda sasa. Hawaezi uliza wenye hiari, kiasili, kwasababu hakuna ataye kuja mbele. Kwa hivyo inafanywa kwa njia mbazo ata haujui inafanyika. Hiyo ndiyo sehemu ya huzuni yake.

Imekuwa gumu zaidi kwa mtazamo wake hii kitu tangu Vita za Dunia hadi leo, wanapolaumu umma kwa shida zote duniani. Huwa hawalaumu wanajasiriamali wanaotaka vita na wanafaida kutoka kwake na kutoka wale wasio na hisia waliosaidia kupanga hizi vita. Kwa hivyo ni hali ya huzuni tunayojipata, na ati unaweza kuwa wafilosofia wengi unavyotaka wakitoa mafikra mpya ama ata wakirudia za kitambo na wakizirekebisha kulingana na wakati unayoishi, lakini serikali itoke kwa mgongo ya watu hauwezi kuwa na uhuru wa kweli ya aina yoyote. Tumekoma saa hii. Tuko na kikomo kwa kile tunachoweza sema, fanya, fikiria na kuendelea wanpojidnganyisha ati wanapatia wachache fulani, wachache waliokubaliwa, haki, kwa kweli wanachukua haki za kila mtu mwingine kwa wakati huo huo. Na hiyo ndiyo kitu muhimu kuona, si wanachodai wanafanya lakini wanachofanya kwa kweli, ambapo kila mtu ako na kikoma kwa kile anachoweza sema ama kufanya.

Hakujawai kuwa na jamii iliyofuatiliwa kama wa leo. Kila mtu, haijalishi wewe ni nani ata kama unalingana kamili kwa mafunzo yako, bado unafuatiliwa na mazungmuzo zako za kila siku kwa simu na kompyuta na kila kingine unachofanya. Umefundishwa kuweka habari yako yote kwa matovuti tofauti na hiyo ni kitu mzuri. Umefundishwa hiyo ni kitu mzuri, kitu ya kawaida kufanya, na imekata shida zote za madikteta zikawa ndogo, ndogo sana; hawana mingi iliyobaki. Kwasababu kwa mfumo wa kiimla kila mtu lazima atabirike, na wanafanya hiyo kwa kurekebisha kontua lako, kila saa na hatimaye utakuwa na mabisho kwa mlango yako unapobadilisha tabia yako. Wanataka kujua kwa nini. Kma hawawezi kujua kutoka kwako kwa wewe kujitolea kuweka vitu kwa mtandao wako ukisema kwa nini, wanataka kujua kwa nini unabadilika?Ni nini unafikiria katika muda huu na hule uliokuwa ukienda kwa hii clabu ama chochote? Ni nini unafikiria kuhusu saa hii? Inaweza kuwa hatari, unaona. HII ndiyo inafanyika kwa nchi za kiimla. Na leo nchi ya kiimla iko na faida ya kuwa na nguvu ya ajabu kila mahali karibu juu ya sisi sote inapokuja kwa kupata habari na ujajusi wa watu. Ujajusi ni ujajusi, hakuna njia mzuri ya kuiweka.

Demokrasia ya Marekani na Uingereza walipokuwa wanaiita, kama tunaweza iita hivyo, ilikuwa...

Kazi ya serikali ni kutumikia jumuia na kusaidia kuifanya jumuia kwa kutoa mvurugano na mahodhi ambazo zinazuia maisha ya kawaida. Lakini lazima tupambane na ulemavu wa matakwa- na hiyo ndiyo inafanyika serikali ikiwa na nguvu- ambayo mara mingi ni juu ya watu kuwa na tafsiri ya kitambo kuhusu uhuru.Uhuru ilivyokuwa inatambuliwa, inahitaji nguvu, kwa kiasi. Unahitaji nguvu ya kuwachwa peke yako. Lakini tukifikiria kama kitu ya kuwachwa tu peke yako hapo uhuru na nguvu zinafikiriwa kama vinyume na nguvu kama ubaya inayohitajika.

Marekani...Roger Williams na waliomfuata waliona ati serikali ilikuwa chombo cha nguvu, na walitaka kuendeleza uhuru wa vituo vya msukumo na kukua kwa kutumia nguvu kwa sababu iliyokuwa na kikomo na kuiweka pahali pake ilipofaa na kwa umbali. Nguvu ilikuja kufikiriwa kama kitu iliyohitajika lakini kitu ya ubaya, si kuhusiana na maisha rembo ya uhuru kwa makanisa na chuo vikuu. Kwa muda wanachama wao walikuja kupatia mungu asante ati hawakuwa kama watu wengine, ata hawa wanajeshi na wanasiasa. Bila shaka wanajeshi na wanasiasa waliwafanyia kazi chafu lakini kwao ilikuwa kazi chafu, na kuwepo wake ilikuwa moja wa vitu ambazo ni bora usione kwasababu ilikuwa ya ubaya.

Kwa hivyo nyuma ya hii yote huwa kuwa nguvu za uhodhi pia na zile chafu. Nguvu haiwezi kuwa bila hizi vitu. Uvumiivu wa jamii ni, ni digrii gani ya nguvu chafu unayoweza kuishi nayo? Hapo ndiyo inafika. Na jibu za hizi zote zilikuja kwa Vita Baridi(Cold War) na jadili zote zilizoendelea, katika pande zote za Vita Baridi kwa vile ya kutawala jamii zijayo. Na wamekuwa wakiifanya kwa muda mrefu sana, hii ubadilisho wa binadamu, kila binadamu mwenyewe, kutengeneza ulingano inayoanza na jamii, wakitumia hisia za kisaikolojia na kuendelea., mafunzo na pia mageuzo ya kijenii kwa chakula, maji na chanjo pia, ambazo zinaathiri zaidi kushinda kingamaradhi zako na masayansi kuu zinazoziendea.

Kwa hivyo jibu ya mavurugano kwa dunia ni kugeuza dunia yenyewe, kuwa mtumishi mtiifu. Unarudi kwa fikra ya Hobbes na wadudu wakiisha kwa amani. Wadudu hawawezi kuisaidia kwasababu hiyo ndivyo wameumbwa; hawana fikira kwa kichwa na chaguo la zuri na mbaya. Hawana hiyo. Hao ni watumiishi kamili unaweza sema. Wale wanaofanya leo kwa pande za juu kwa jamii wako na huo mtazamo sawa wa dunia, hiyo ndiyo jamii wanayotaka kuleta, ambapo nyinyi wote mnatabirika kwasababu mmefanywa kijenii kuwa hivyo.

Najaribu vitu vingi kwa kitu iliyokuja kwa akili yangu leo usiku. Lakini natuamaini upate kitu kwa ninachosema na uelewe inavyotumika leo, vile vitu zinakuwa, vile zimekuwa na wale wanaohusiana bila shaka, vile wamekuja kwa hii njia kufikiria wanavyofikiria, wale wanaotaka kukutawala na kukupatia ujuaji kwa vile sisi tunafikiria. Sote tunafikiria vitu vingine visawa, kuhusu mada zingine. Na pia tuko na endesha za kiasili fulani, ambazo sisi sote tuko nazo na hizi pia zinaathari tabia yetu na kuendelea.

Lakini ambao hawata tumia uliza maswali wako peke, wanaweza kuichukua na na wakuongoze kwa njia inayofaa ya kufikiria ama kuo hii kitu, lakini pia wanaweza kutumia endesha za kiasili pia. Mbinu iliyokamilika vizuri sana leo na ongezesho wa ungono katika kiwanada cha utamaduni na ata mafunzo ya shule pia. Ili uwe bidhaa wa kwa wakati unayotoka shule na vyo vikuu, wa mafunzo zote kutoka masayansi tofauti na vile zimeletwa kukuathiri. Hawatoi wafikiria kwa uhuru. Hao si wafikiria kwa uhuru hata. Wako na umoja zaidi kwa fikra zao na matazamo na wanavyofikiria kushinda wanayopenda kukubali. Na hawa watu unafaa kuanza kuwaogopa kwasababu wako na misingi za nguvu na bila shaka wanafikiria ati wako na haki ya kufanya wanavyotaka na binadamu... kila saa kwa uzuri ya kila mtu, kumbuka kwa uzuri ya wote, kumaanisha amani kamili kwasabau hakuna anayeweza kufikiria kwa wenyewe, isipokuwa waliyo na uhuru huko juu, Wanaume Pori walivyoitwa na Charles Golton Darwin wa tabaka lake.

Hata hivyo, natumaini upate kitu kwa hii na kutoka Hamish na mimi hapa Ontario, Canada, ni usiku mzuri na mungu ama miungu wako aende nawe.

(Imeandikwa na Leon)