Katika Hasara la cha Kufanya?

Cheza Mchezo wa Kujipata”

Maneno yametoka kwa Alan Watt

Mei 4, 2014

WWW.CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

www.alanwattsentientsentinel.eu

Hamjambo, mimi ni Alan Watt na hi ni Cutting Through The Matrix kwa Mei 4,2014. Huwa si tayarishi mazungmuzo kwasababu haifai iwe lazima tutayarishe mazungmuzo. Fikra yote ya kua wewe ni unaweza kuongea saa zile unayotaka na uwache vitu zikukujie. Kwasababu hapo ndiyo ubunifu unatoka, unaona. Kama unarudia vitu ambazo zimewekwa hapo na vijana wakubwa ili urudie, hapo haufikiri mwenyewe.

Dakika kidogo nilikuwa nafikiria juu ya hali ya hewa kwasababu hapa Canada pahali niko, Ontario tumekuwa na miezi sita ya majira ya baridi, na bado inaendelea kwa sehemu kwasababu hatuoni jua mara mingi siku hizi na ilienda kwa mvua. Nilijua itaenda kutoka theluji hadi kwa mvua kwasababu hii ndiyo ajenda na mafukizo ya ndege na kugeuza hali ya hewa wanavyoiita hapo juu na kuendelea. Nakumbuka nikisoma miaka zilizopita vile – kutoka kwa tovut za wageuza hali ya hewa na makutano kubwa yaliyokuwa yakiendelea kuhusu miaka itayochukua kuweka vitu za kuziba jua kwa ama kuirudisha chini. Na inapendelea pia, wamefaulu kwasababu walipoianza NASA iliweka nakala kuhusu kurudisha jua chini. Unaweza kuiangalia mwenyewe kutoka NASA na vile inavyongezeka kila mwaka. Ni kwasababu ya vitu walizoweka kwa hewa ambazo zinafukizwa na ndege.

Tunaishi kwa mazingira iliyotawalwa kabisa leo kwa kwa wale ambao hawajui. Wingi wa dunia yenu ni hivyo. Imetawalwa vizuri sana mbeleni ambapo na tunachoambiwa hapa chini, tunaishi kwa mwanzo wa umri la kati kulingana na pali wako kwa kweli leo. Kwa kweli. Sahau vitabu za sayansi zimezotolewa na mazungmuzo zinazowekwa kwa televisheni kuhusu kitu ya sahi wanayochunguza. Kitu chochote wanachokuambia wanachunguza ilifanywa miaka zilizopita na wameenda kwa vitu zingine. Kwa hivyo tunachoambiwa LEO NI YA KIZAMANI.

Hiyo ilinifanya nifikirie kuhusu hii mvua yote tunayopata na vile hiyo bila shaka iliyozungmziwa kwa Vita ya Dunia ya Pili na baada. Na miradi kubwa ya “Pentagon” zilifanywa, Canada ilihusiana na hii sana, nq njia za kuleta maadui chini kwa mataifa tofauti wakitumia bakteria, virusi na mageuzo ya hali ya hewa. Ambapo ungeweza kuleta ukame na kuwacha watu na njaa kwasababu mimea na wanyama wote wangekufa., ungeweza kuwaletea mafuriko na uwe na athari sawa. Kwa hivyo tunaona hii yote ikiendelea wakati ambapo hawa wavulana wakubwa wako na soko ya mbeleni na wanatupa vyakula vyenu vyote kwa hisa la soko la dunia na kuna soko la mbeleni na wanaweza weka dau kwa mizao ambazo zitafaulu na zile zitaanguka. Si kwa makosa ati hiyo ilitoka walipoendelea kugeuza hali ya hewa kwasababu wavulana wakubwa walijua nani atapata ukame, nani atapata mafuriko kwasababu imefanywa hivyo. Ni hali ya hewa imeyopangwa ambayo tunayo. Ni rahisi tu hivyo.

Hiyo ilinileta kwa fikra ingine ya Arthur C Clarke, Arthur C Clarke yule mtu wa sayansi za uongo alikuwa ndani na wavulana wakubwa bila shaka, na alikuwa mtawalaji mwenyewe. Si ajabu kwa wavulana wakubwa kuajiri watu wanaofikiria mbele, watu ambao wako kwa masayansi ambazo hazijatolewa ambao wangetoa fikira na malinganisho pia kwa hadithi zao, kuhusu wanachofanya kwa kweli na kuendelea. Lakini ukiingia misemo tofauti ambayo alisema kuhusu watawalaji kutawala na sayansi mbeleni na kuendelea unaanza kuelewa. Lakini alisema pia ati sayansi za juu, alichomaanisha sayansi za juu za siri, zingekaa, madhara yao, kwa watu wa kawaida na aliwaita watu wa nyuma na hivyo ndiyo wanakutambua, hakuwa anaongea juu ya miaka elfu iliyopita, alisema, ingekaa kama uchawi kwa umma kwasababu hawangezifikiria ni kama zimetengenezwa na binadamu. Ni rahisi, sindio, kuhila watu.

Na hauwezi fikiria sayansi zote za akili na nidhamu zote tofauti wanavyoziita ama mafundisho inayohusiana na misingi kubwa za fikra wanaofanyia maserikali na kuendelea na viwanda za juu zinazotawala kila kitu kwa kweli, kuhakikisha umewekwa kwa sanduku ndogo na wakufunze uwe na sifa yako kubwa na uamini ati unajua kila kitu inayotakikana kujua. Imerembeshwa sindio?

Na hawa ndiyo watu unakutana nao kila siku. Unakutana nao kila siku na hiyo aangalio yao, tabasamu lakini nyusi ziko chini ama zimeinuliwa. Vile ulivyoona kwa Dunia Mpya(Brave New World) aina ya sinema ambapo mtu wa nyuma anavyoitwa, mtu aliyekuwa na ubinadamu kwake, mapenzi na huruma na kuendelea, aliongea na hawa watu waliotengenezwa ambapo waliundwa na werevu wao na kile walichoweza kuelewa na maarifa waliyopatiwa iliundwa na wale waliokuwa juu yao (A+). Na haikuwasumbua ati kila kitu walichojua na utamaduni wao wote walipatiwa. Kwasababu walihisi vizuri kidogo, unaona na kuendelea na walikuwa na madawa za Soma, saha tena kwa wa chini... Kwasababu ugawanyo wa kazi ilienda chini njia yote, nani anaenda kufanya kazi chafu, na kuendelea na madawa za Soma mingi. Kwa maneno nyingine, kuwapatia furaha. Tuko ndani yake leo kwa wale ambao hawajui bado. Imeshafanywa.

Na hatua ijayo ni kukufunza uamini jinsia mingi wanazotengeneza. Haina kitu chochote kufanya na tunajali juu ya hawa watu hata. Yote ni ya kukuzoesha kwa fikira ati hakuna kinachoweza kusemwa kama kawaida, ili walete mbele watu waliochapishwa wapya mbeleni na hiyo ndiyo wanafanyia bila shaka. Na hawa watu wanafanya kwa vizazi, si lazima waifanye yote kwa mara moja. Hapo ndiyo unaanguka kwasababu unathani kama binadamu wa kiasili anavyofikiria, lazima niifanye saa hizi. Hapana, hawa watu wanafanya kwa vizazi. Ilichukua vizazi kukuchukua kutoka jamii ya familia hadi kwa utoaji mimba, mama mzazi moja na wapenzi wengi na hizi vitu za leo. Haikuchukua muda mrefu kwa kweli. Lakini wewe ungekosa tuli kama ungekuwa unaipanga. Si hawa wavulana. Wanajua aje, kutoka uzoefu wa zamani kwa historia, inachukua muda mgani kufunza umma ili wakubali hatua ijayo na ile ijayo na ile ijayo. Ni rahisi sana. Rahisi sana.

Na dunia ni pahali pazee sana sana na maarifa huwa haisahauliwi, watu na makosa huwa zinarekebishwa wakati ijayo wanapoipitia na hapo ndiyo uhitaji wa huu mwendo wa hatua kwa hatua unatoka. Wakikosa hatua moja inaweza enda vibaya kwa hivyo ni lazima wapitie hii mwendo na wanajua hii vizuri. Hiyo ndiyo maana inachukua muda.

Ukioana jamii imepindushwa juu chini, kutoka kwa mfumo wake wa thamani, kila kitu hadi karibuni 1960 na kuendelea mbele, upinduzi ulitokea boompf, yote yalifanywa. Ilipangwa hivyo, iliingizwa na ikapangwa na ilipangwa vizuri pia ikafadhiliwa hadi leo – imevunjika. Lakini watu wanathani ni ya kawaida.

Kitu chochote inaweza fanywa iwe kawaida kwa umma vile Orwell alivyowaita. Ukiipatia muda na mafunzo mazuri na video maalum zinazo ukweli nusu ili usipate picha yote na wakupeleke kwa uamuzi wanayotaka. Ongeza hisia kidogo na na uzoefu binafsi na huyo ni wewe, mmeenda watu. Ni rahisi kufanya. Alafu wanatumia kiwanda cha burudani kuweka hisia hapo na kukuonyesha vitu ili wakulete kwa maoni wanayotaka. Rahisi sana kufanya. Unaweza kufanya mtu yoyote ahisi hatia, ambaye ajafanya kitu yoyote, virahisi sana na hizi mbinu. Na hata adui wako wanaotaka kukufanyia vibaya wanaweza tumia hizi mbinu ili wakufanye uwahisie huruma wanapo kufunyia vibaya. Ni ya ajabu. Na inafanya vizuri sana.

Hiyo ndiyo maana ukona historia iliyokubaliwa. Hata unaavyona leo, ambapo hakuna mtu anayetaka kukufanyia vibaya isipokuwa adui ambayo serikali inakuambia inayo. Kwa muda mmoja ilikuwa waarabu ,kulingana na Bush mdogo walikuchukia. Haukujua wallikuchukia , lakini alikuambia wanakuchukia unaona. Lakini kabla umekuwa na rais wengi na maziri wakuu – ambao wanahusiana, kwasababu wote ni wa benki kubwa sawa wanaowaambiwa kile cha kusema kwa umma ili uwatayarishe kwa vita ijayo. Huwa hatuambiwi kweli ya vita kwa muda huo. Na saa zingine baadaye, haijalishi kama sababu za kweli zinatokea kama kuchukua mafuta ama madini na vitu kama hizo, unaona, mashirika kubwa za kibinafsi. Na haijalishi baada kazi imeshafanywa. Haijalishi. Hivyo ndiyo dunia inatawalwa kwa kweli.

Unapatiwa saa hii kwa njia iliyopangwa, njia rahisi sana, ni hivyo na wanavyombo vya habari. Wanabaki na hawa watu, kwa misha yao yote kama wanaweza kwasababu kwa hivyo, unajua, mungu anajua mamilioni ya watu wangapi wamekua na kizazi moja ama mbili wakiwatazama kutoka utotoni na baba hawezi kukudanganya, anawezaje? Na wakupatia maoni ya leo iliyokubaliwa, unaona, ambapo kila kitu ni furaha na wanakupatia hadithi ndogo ndogo kuhusu jamii zinazoishi vijiini na vitu kama hizo ambazo hazina maana na mara mingi haziendani na ukweli. Haijalishi. Ukweli haijalishi ikikuja kwa kutengeneza yale yaliyo, kwa utawalaji,unaona. Watu wanapitia maisha yao bila kufikiria, ni uchumi ni muda wa tatizo na lazima tukuje pamoja. Hawajui ati hakuna kinachofanyika kwa ukubwa bila mipango kubwa, mikutano kubwa na mbinu na mpango wa kuileta yote ifanyike, kurudi nyuma na mbele kwa urasimu tofauti zilizogawanywa, hadi waimekamilisha kabla waiingize ata. Hakuna kinachofanyika kighafla. Kama si hivyo wangepoteza nguvu yao hapo juu, Wameogopa kupoteza nguvu hapo juu. Kwa hivyo kila kitu inapangwa juu chini.

Kama ile kitu ya biashara huru, iliyoisha na mkataba wa biashara huria kwa Amerika ya kaskazini(North American Free Trade Agreement) na kwa muda sawa Shirika la Biashara Duniani(World Trade Organization) yote imewekwa na shirika moja ambayo ni ya binafsi na misingi kubwa nyuma yao kwa dunia yote kutawala uchumi ya dunia kwa ajili yao, kwa wale ambao ni wenye yote. Na tumewekwa nje ya picha kabisa, Nyuma kwa miaka za 1980 walijua walipoingiza China kwa maktaba za biashara huria walikuwa wanaenda kupatia kazi yote kwa China na walikuwa wanaenda kupeleka viwanda vyote nje ya nchi. Walijua watakupatia uchumi ya huduma. Uchumi ya huduma ni kama kuweka mbwa kwa bahari itasairi hadi ichoke alafu itazama. Wanauchumi waliongea juu ta hii kwa miaka za 1970 kwa Britain walipoongea juu ya EU mara ya kwanza, oh tukiwahi ingia kwa umoja wa Ulaya, kama to tutawahi... Yote yalipangwa hivyo kitambo sana. Lakini tukiwahi tutakuwa na uchumi wa huduma. Na waliieleza pia. Kwa hivyo hakuna kitu mpya chini ya jua. Hakuna habari yoyote kuhusu kwa kwa nini tuko hii fujo.

Kwasababu taifa zinazotengeneza ndiyo zinazosalimika. Lazima utengenezee vitu. Kila kitu kingine kinatoka kwa utengenezaji unaona. Kuingiza bidhaa kutoka kwa nchi zingine sio, hiyo ni huduma. Unainunua alafu unaienea na watu wa kati wanapata pesa zote si mtengenezaji na kuendelea na hata maduka saa zingine. Ni watu wa kati ndiyo wanaifanya yote na wanaamuriwa na na wavulana wa benki wenyewe, wako na vikundi vikubwa zinazonunua vitu kwa wingi na kuendelea. Alafu wanapata idara za serikali kwa mifuko kuhakikisha wanaweka bei za bidhaa zinazotoka nje na kuendelea. Yote inafanywa juu ya kichwa yetu. Inawekwa nje ya vyombo vya habari, kwasababu haufai kuwa na wasiwasi juu ya vitu kama hizi.

Sasa kwa wale wanaothani wanapata habari yote kwasababu kuna stesheni mingi za habari... lakini wanapata habari yao kutoka pahali moja, chanzo mbili za habari kwa dunia yote. Kwa hivyo tukona habari iliyotawalwa, iliyokubaliwa unaona. Na ukiona habari yote unayopata ni juu ya nchi zingine huko. Hiyo ni mzuri kwasababu inatoa akili yako kwa kinachofanyika kwenu. Hawataki mjue kinachofanyika kwenu. Bila shaka, ukiona tangu sheria la uchunguzi wa Levenson ilipita kwa Britain – yote ya watu wa habari na ulikuwa na ile ya Finkelstein iliyofanywa kwa Australia kwa muda sawa – hizi ni mataifa za jamii(Commonwealth) kumbuka, Britain na jamii. Canada ilikuwa lazima waifanye pia kwasababu kwa kweli hakuna mwanahabari aliye na uhuru ama kitu yoyote. Kulikuwa na uhuru kidogo mbeleni. Bosi wao wote ni sehemu wa jamii ya dunia lakini wanahabari wengine waipatiwa ruhusa kusema maoni yao juu ya watu wengine na wanasiasa na mikataba zilizokuwa zikiendelea. Hawawezi kufanya hivyo leo. Ndiyo maana unapata, ni kama umoja wa Kisovyeti, yote yalitoka juu. Na tunajua hivyo ndiyo inafanyika kwa taifa za dunia ya kwanza. Inatoka juu, imekubaliwa na saha ya vitu ambazo ziko upande mwingine wa bahari. Haimaanishi kitu kwetu. Haimaanishi kitu. Kwasababu sisi wote tunafaa kuwa na wasiwasi juu ya kitu inafanyika hapa, watu, maisha yako.Unaona. Yote ni ya kukupoteza kutoka wakati ujao na kwa duka zote zinazofungika katika Marekani na Canada na kila mahali pengine, zinaishiwa na biashara kwasababu uchumi inaanguka.

Unaipata kwa chanzo mingi. Mimi naipata. Kwasababu watu wengi wanaongea na mimi na napata picha mzuri kuhusu kinachofanyika katika Ulaya, Uingereza, Canada, Australia, Marekani na kuendelea. Kwasababu wananiambia kinachofanyika na naweza amua mwenyewe na haijafichika kinachoendelea. Tunapelekwa chini... kwa sababu wa muda mrefu, ni kitu ya muda. Nimesoma maripoti kutoka kikundi kinachojaribu kuhesabu kitachofanyika mbeleni kuhusu jeshi, NATO, Uingereza na kuendelea. Walisema wataharibu mataifa. Watakuwa na vurugu na maandamano na watu ambao hawana kazi kwa hii mwendo wote wa kukupeleka wanapotaka uende. Wakotayari kwa vurugu marekani, hao ndiyo wenye polisi a kijeshi kabisa duniani. Na hiyo ndiyo maana wanajaribu kukuficha na vitu zinazofanyika huko nje, lakini wakotayari kukuweka chini nyumbani.

Kitu ni hii yote ni pande ya ajenda, stratijiki ya muda ili wakulete kwa viji kubwa za nchi alafu ziende kwa mifumo ya taifa. Na wale wanaoongoza hizi viji watakua watawalaji wa mashirika kubwa, na utawalajii wa teknolojia chini wao wanaoamuru umma. Inapendelea. Ningependa kupata maarifa yote na kila kitu kuihusu lakini hawazichapishi kwa umma. Vitu wanavyofanya kwa jeshi hawazichapishi kwa umma, ama ata jeshi wa kawaida, hao hawafaikujua pia. Unapata tu kidogo kuhusu maandamano,vurugu na kukosa kazi na vile ya kuwadhibiti tukipitia hizi mwendo hadi 2050 na pengine kupita kwa hizi nchi viji. Hawatakuambia kitachofanyika kwa wale wasio kwa hizi viji, wale kidogo wameobaki kwa ajili ya nchi na mataifa.

Lakini saa hii bila shaka wako na vitu zingine za kuangusha na rasilimali za kuchukua kwa mashirika duniani, hiyo ndiyo maana ya vita zinazoendelea. Hiyo ndiyo maana wanakusukuma kwa, oh Ukraine na Urusi na vitu kama hizo. Russia inaongozwa na watu wanayeongozwa Marekani. Hao ndiyo wanaongoza Urusi. Watu sawa ambao walipata mabillioni usiku moja ambapo walipatiwa pesa yote ya watu, kumbuka ukuta zilipoenda chini na mara moja hakukuwa na mataifa za kikomunisti zilizopangwa miaka mbeleni bila shaka na nani atachukua hisa na wakawa wanabilioni mara moja.

Hivyo pia katika Ukraine, taifa za Kisovyeti za kitambo, watu wa umati , hawa watu, kwa kweli, wanatoka familia moja na wanaongoza kila kitu huku. Kwa hivyo lazima wawe na makubaliano kwa binamu wao wanaoongoza Marekani, ili wapange vile ijayo itaenda, unaona. Imeshapangwa lakini lazima warekebishe kila kitu na nani anapata nini na kuendelea. Lakini wamekuwa wakizunguka Urusi kuta vita wa baridi(Cold War) iliisha, na wamekuwa wakiizunguka na makombora zinazoongezeka katika taifa zilizokuwa kwa mkubaliano wa Warsaw, wale waliowakubali waiingie. Kiasili kama ungekuwa umezungukwa ni hizi kombora zote haungefurahia sana. Wachana na uanzisho na upinduzi wa rangi na mamilioni magharibi inatuma kuanzisha maandamano, kudai vitu zitazofurahisha mashirika zinazolipa wanaoandamana pesa nyingi. Kwasababu ndiyo wanalipwa kuandamana, wanafunzwa na kuendelea. Lakini tena hiyo ni kitu kingine.

Lakini nyumbani, ukiona hakuna kinachofanyika nyumbani. Nyumbani, hapana, hapana wanashinda wakipointi huko, vita ijayo ama athari ijayo, unaona, kukutisha ili ufunge uso yako, unaona. Funga uso yako na uskie waongozi, oh, wakilawama huko mahali. Na hiyo inachukua muda wako. Baada ya kusema nini inafanyika hapa? Nini inafanyika hapa? Isipokuwa kusimama wa uchumi, nini inafanyika hapa? Na inaenda wapi kutoka hapa?, unaona. Hakuna anayeuliza swali muhimu. Kwasababu tunafaa kuenda chini, unaona. Tunafaa kuenda chini.

Si kwasababu wavulana wakubwa wanapoteza nguvu. Usiwahi kuamini kwa sekundi moja. Hawa wavulana wote wana misingi za fikira zinazopanga ijayo kuhakikisha wanatekeleza kila hatua ya wakati ujao na utawalaji; Itakuwa tofauti kabisa kwa nyinyi wote hapo chini kwa hatua ijayo. Ni kikundi sawa inayoiongoza yote. Hajui vile tumetawalwa na masayansi kabisa. Haujui. Hakuni maoni kwa kichwa yako ambayo haujapatiwa. Kama Alphas na Betas na kundelea kwa dunia mpya(Brave New World) hakuna fikra ambayo haijakubaliwa uwe nayo. Kitu ni unathani ni maoni yako. Na kwasababu umekwama kwa hii njia ya kufikiria, fikra ya foleni – imepangwa hivyo, ni mbinu ya kisayansi, rahisi kufanya-- hauwezi kufikiria nje ya sanduku.

Kwa hivyo kitu unayofanya ni kuruka kwa wale wanaoongea juu yake, bila kuuliza kitu ambacho wanasema na kwa nini wanaisema ama nani ako nyuma yake. Fikra ambayo naleta ni kujaribu kukufanya ufikirie kwako na uulize maswali yanayofaa kwako. Hiyo ndiyo muhimu. Hauna watu wakikubaliana pamoja. Haihitajiki ata kusema kitu kwa mtu. Unaweza ona... ninaweza ona nikienda kwa kikundi ndogo, sikiza tu wanachoongelea kama kuna kitu ya maana kusema kwao. Na kama hakuna sitasema. Kwa nini ujisumbue? Kwa nini uwasumbue?

Kwasababu wewe ni kama yule mtu wa nyuma kwa Dunia Mpya Jasiri(Brave New World) ukiongea nao. Anajaribu kuwaambia juu ya ubinadamu na maisha na mapenzi na hii yote na uzuri na watu wanaomskiza wanamskiza vizuri. Kwasababu wanathani wako mbele sana wanajua yote na huyu ni wa nyuma. Si kitu ya kawaida kuwa na mtu wa nyuma anakuambia anakuambia juu ya mapenzi na uzuri, lakini wako na wapenzi tofauti kila usiku, kwa sheria, na kila kitu wanajua imekubaliwa na wakuu wao, na wamwfurahi na hii maisha ambayo haikubadilika, kutoka Alphas kuenda chini. Wamefurahi nayo unaoana. Hiyo ndiyo kawaida yao. Hauwezi kuwaambia kitu chochote, angalia hii kwa njia ingine, pande yoyote ya mfumo wao. Haiwezekani kuwafikia. Na hiyo ndiyo unapitia na watu wengi unaona.

Nimekuwa nikiambia watu, nimefanya hivyo tangu mwanzo, usijimalize ukijaribu kuambia watu ambao hawataki kukusikia. Wengi wao hawawezi kukusikia, mafunzo imekamilika. Hawaijui. Wale ambao wako karibu nao, marafiki, watakua na maoni kama zao, ili wathani wako kawaida. Hivyo ndiyo unagongesha fikra zako kwa watu wengine ili uthani uko kawaida. Unathani mimi ni kawaida, naamini hii na hii? Oh ndio, ndio. Na nyingi ya mazungmuzo yao ni kuhusu televisheni na sinema na habari, ambazo wamekubaliwa kusema, na wanafanya hivyo. Na kwa hivyo hiyo ni hao kawaida unaona.

Hawajiulizi, nini ilifanya waamini kitu wanayeamini ni kawaida na kwa nini wanaikubali. Wanathani wanaendelea unaona. Jamii inaendelea, hivyo tu, inafanyika hivyo tu. Amini wewe mimi, kama ingekuwa nje ya mipango ya watawalaji haingetoka chini ya sakafu. Kitu yoyote ya mabadiliko imetoka juu. Haijalishi ni vikundi gani ulithani zinazisukuma kutoka chini, wote wamelipwa na mashirika kubwa, vikundi vya mbele zinazoajiri maelfu ya jeshiza shirika zisizo za serikali, zinazosongesha kwa mabadiliko zinazotakikana hapo juu.

Hila ni kukufanya uthani ni mabadiliko zako. Oh, ndio, tunataka hiyo. Lakini kuna ukweli zingine za binadamu ambazo haujui. Si mafunzo peke. Shirika za fikira zimekuwa zikiendelea maisha yetu yote na kabla ya hiyo, zikitusoma kwa historia yote na wanaleta maprofesa wa juu kuongea kwa mikutano za dunia na kuendelea, kujua vile tulikuwa kitambo na kama tunabadilika. Bila shaka Plato alisema, Fomyula, yote iko kwa fomyula. Kilichofanya kitambo ukiileta, kwa njia iliyofaa kama ilitumiwa kabla itafanya kwa umma tena. Unaona na ni kweli. Ni kweli.

Itafanya kwa utamaduni yoyote pia, hiyo ni kiitu ingine waligundua hapo 1800. Na kwa mara moja ata nguvu za upinduzi za sema Mesoni(Freemasonry), kama ile ya Scotland, ambayo haikuwa ya scotland. Lakini Albert Pike alisema. Alisema “tuikuwa tunayarisha propaganda yetu moja ya mwanamme na moja ya mwanamme.” Alisema, “tumepata wanawake wanataka, mahitaji, tamaa zao, uwezo wa kibuni na kuendelea, ni hivyo kwa utamaduni zote.Kwa hivyo ile inayofanya magharibini itafanya kwa dunia yote. Unaona hiyo ikifanyika leo. Tumesomwa juu chini, kila mahali. Hiyo ndiyo maana anaisema pia. Anasema tunaweza kuleta madaliko na mwanamke, yeye ndiyo anaskiza mabingwa haraka sana na kubadilisha tabia yake kulingana na mabingwa. Hiyo ndiyo maana mingi ya magazeti kwa hii enzi ni ya wanawake, unaona. Bingwa anasema hivi na hivi na ndiyo hao wanaenda. Tumesomwa juu chini.

Bila shaka wanajua juu ya wanaume pia, na wakiendelea kuwafanya wanyonge, wakiendelea kuwapa michezo ili waishi maisha ya kwa kiwanja iliyo kwa runinga ambayo hawawezi hata kukimbia kwasababu hawatapata hewa, wamenona sana. Kila kitu inatawalwa kabisa. Kabisa. Kila kitu watoto wanaona kwa runinga imejaa na ujumbe na maprogramu. Yote. Na imekuwa hivyo si kitu ya juzi.

Kwa hivyo kuna kitu kingine ninataka kusema juu ya binadamu. Si ati hawawezi kukuelewa peke. Sa ati hawataki kukuelewa ama kukusikia peke. Unaelewa wanakasirika ukiharibu kawaida yao. Ukifika hatua ambayo unaharibu kawaida wanaweza kukupindukia vibaya sana, vitu ambazo wanataka kuamini

inayowafanya wawe na wanayothani ni akili timamu, ukiharibu hiyo watakupindukia, vibaya pia. Kwa hivyo kuwa chonjo na unacho fanya.

Usipatie mtu kama haitaki, na kama anaitaka pengine atataka kidogo peke, kwa hivyo simama hapo na uende zako. Na kuna kitu ingine lazima uelewe juu ya binadamu, mafunzo ya imekamilika. Ukijaribu kuwaabia juu ya mabaya yanayoendelea, rushwa na siasa na biashara na kuendelea na iko kwa uso yako leo. Lakini ukiipointi yote, unaona, kile unachojaribu kufanya ni kupatiana hisia yako, kwao. Na kinachokusikitisha ni hawahisi chochote. Na ukiwaonyesha kwa nini vita zote zilianza na kuendelea hadi leo, hauwezi kuwafanya wahisi hivyo. Kwasababu ndiyo hii siri moja. Unaona watu zaidi hawajali. Ni kwa kweli rahisi hivyo watu. Hiyo ndiyo maana hawahisi chochote. Hawajali. Hao hawauliwi, saa hii. Kwa njia moja, wanafurahia inafanyikia mtu mwingine. Hiyo inaamanisha jeshi yenu haiwaui, bado.

Wacha kufikiria utabadilisha dunia kutuputa maarifa hapo nje na watu watajibu kwake. Kitu ya kwanza watu wanaothani wame – nachukia hii jina-- wameamka. Nikama kuzaliwa tena, nilizaliwa 9/11 watasema. Nitasema, unamaanisha nini umezaliwa kwa 9/11? kuzaliwa tena... kama uzoefu wa kuzaliwa tena. Hiyo ni kujibu kwa vitu zinazoweza kuwa kufanyikia. Hiyo ni jibu. Watu wengi hawaanzi kufikiria vitu hadi zianze kuwafanyikia, kwa mifuko kukosa kazi ama kitu kama hiyo. Wengine wanaendelea kama kawaida. Hawajali. Hawataki kujua.... Usiniambie hiyo.... Wanataka kufurahi. Wamefunzwa kuwa sifa kubwa kwao. Wamefunzwa kama vile mabingwa wote wa hapo 1940,1950 kwa mashirika kubwa za fikira, wangefunzwa kwa mashule na kiwanada cha utamaduni na kuendelea, kujali juu ya hao peke yao. Watakata uchungu, uchungu yote, ya akili, yoyote uchungu ni mbaya, unaona. Watafuta furaha, na hiyo ndiyo wanafanya wengi wao. Na wanapofanya hivyo wanabaki watoto.

Wanafunzwa kufurahi kila saa ni kama ni kawaida. Ambayo si kawaida. Hiyo yote ilitoka kwa shule ya Freud iliyofaa kubadilisha dunia. Ni mwendo wa kisiasa watu, shule ya Freud kwa wale ambao hawajui. Angalia washirika wake kulikuwa na sababu ata ilianzwa. Walileta fikra, unafanya kwa mfumo, una ufa kwa mshinikizo kwa mfumo ambayo ni wazimu. Unafanya kazi ambayo unachukia. Umekwama. Lazima ulipie nyumba na vitu vingine na unachukia unachofanya kila siku. Kwasababu haina maana. Kupitisha karatasi kwa ofisi si kitu ya maana. Si kitu ya kiasili. Maofisi si asili. Hata hivyo, viji si asili. Hiyo yote inajulikana na wanasayansi. Lakini tupatie zawadi ndogo, unaona, na unakwama hapo. Wingi wa hiyo pesa inarudi kwa kulipia kila kitu na kodi pia. Lakini umefunzwa una heshima kwasababu unafanya kazi.

Alafu unaufa. Nini inafanyika ukiufa? Wanakupeleka kwa daktari. Na hao wanafanya nini? Kitu wanchofanya leo ni, hawakai chini waseme “wacha tujaribu kugundua shida ni nini.” Hawasemi hivo siku hizi; wanajua haifanyi,unaona. Kwa hivyo kitu anafanya nini anakuweka kwa madawa inayodhibiti sehemu za akili yako. Utapitia tu maisha … ili urudi kwa kazi. Na hiyo ndiyo watakuambia, hizi ndiyo maswali watakuuliza, wote wanauliza maswali sawa. Unafanya nini saa hii? Nafanya kazi tena. Oh ndio hiyo ni mzuri, Na nini unafanya kwa muda wako wa uhuru? Naenda kwa duka, nanunua vitu. Alafu watasema, Unafanya ngono?Oh ndio nafanya ngono; naenda kwa masherehe. Na hiyo ndiyo kawaida yao mpya. Si kuwa na wasi ya vitu zilizokufanya ufe, shida hazijaenda, ni tu hisia yako imerudishwa chini na una furaha kwa hizo madawa hadi hauzigundui uluivyozijua. Hiyo ndiyo jibu yake, unaona.

Wavulana wakubwa waliongea juu ya hiyo. Hapo ndiyo walitoa fikra ya Soma kwa ma 1930 ndani ya Dunia Mpya ya Jasisri(Brave New World) ya Huxley. Walikuwa wanaenda kutumia mashirika ya madawa. Walisema itafika wakati kila mtu atawa kwa madawa. Na wanaweza kutengeneza ugonjwa ambazo haziko kwa watoto, wanaweza kuwaanzisha mapema kwa madawa hadi iwe kawaida. Yote imefanyika kwa maisha yako na hata hauijui. Lakini sitakuuliza uwe na hisia yoyote kwasababu najua wengi wenu hamtajali. Hauwezi fanya watu wajali. Niko sawa Jack. Sijali juu ya mtu mwingine. Nakandamiza yasiyo mzuri. Na natafuta furaha. Ndiyo hiyo, hapo. Hivyo ndiyo inaenda. Hivyo ndiyo wanafanya, watu.

Kitu kingine utaona ni watu unajua hata pengine wa familia, watakusikiza hadi pahali na wakufungie tena. Kwasababu ukienda haraka watajifunga kutoka kwako. Lakini utaona kwa watu unaojua, wanaoona televisheni kila saa na hivyo ndiyo wanajifunza vitu. Hawajui wanajifunza vitu wakiona televisheni na uongo yake yote pia, hawajui wanajifunza vitu. Lakini wanajifunza kama vile Jacques Ellul alisema ,watu wanajifunza vitu zikiingia kwa akili yao. Umma wanaingiza maarifa kidogo kidogo kutoka hapa na pale alafu inakaa mahali kwa ubongo yao. Lakini hawajaifikiria. Wamechuku tu hayo maoni.

Na utawaskia wakisema, dunia iko na watu wengi.Yote yanatoka kwa televisheni, unaona, unaona, video na David Suzuki, vitu kama hizo. Kweli ambayo dunia ya magharibi, zinazoitwa taifa za kwanza, umma yao imekuwa ikienda chini kwa miaka na miaka na miaka kwasababu watu hawakui na watoto wengi, unaona. Lakini wanacho ni kwa watu wanaotoka nchi zingine – Uingereza ni mfano mzuri – wanarudisha nambari ya watu juu na watu wanaotoka nje, inayojaza jukumu ya kutoa imara hisia ya kitaifa. Ukitoa watu wa hiyo nchi hakutakuwa na watu wa taifa, itawa utamaduni nyingi, unaona. Kwa hivyo ni rahisi kwa wavulana wakubwa kutawala. Hiyo ikishafanywa nyinyi ni wa utamaduni nyingi. Hamna mila ama kiburi ya historia yenu. Wewe si wa hapo, haukutoka hapo kwa hivyo haijalishi. Hiyo inaenda nje ya dirisha kwa kizazi cha pili na hiyo imefanywa.

Lakini kweli ni, ninavyosema umma za nyumbani zimekuwa zikirudi chini. Lakini una dunia inayokaa ni kama kuna watu wengi, kwasababu watu nje wote wanajaza viji kubwa. Wanaambiwa waende huko, unaona, amabayo haikufaa kuleta mamilioni wa watu kutoka nje. Lakini kama umma ingekaa bila watu wa nje ungeona manyumba mingi zisizo na watu kwa viji, kwasababu umma za nyumba zinarudi chini. Hawazalishi,unaona. Kila kitu imepangwa hivyo. Hakuna kinachofanyika kwa peke yake. Lazima ikubaliwe, inajadiliwa sana mara mingi na wakuu wa viwanda,benki na kuendelea, wanaipanga wataambia wanasiasa wanafanye nini na walete ni na kuendelea. Hivyo ndiyo inafanyika.Hakuna kinachofanyika hivyo tu.

Kwa hivyo unaongea na watu, ninavyosema wanafungika, hawataki kukusikia. Na wanathani wanajua kila kitu kwasababu televisheni inawaambia hivyo. Wanathani wanaishi kwa taifa bora duniani na vile Bertrand Russell alisema WATAIAMINI KWASABABU SERIKALI INAWAAMBIA HIVYO. Na watasema yote haijalishi taifa gani, watasema vitu sawa kwako. Ni mbinu sawa ya kisayansi, unaona. Marudio kwa keli inafanya; ni ajabu sindio?

Kwa hivyo watu hawana akili zao. Wanaweza kuwa watu wazuri sana. Utawapata kwa kazi zote watu wazuri sana amabao hawawezi kufikiria nje ya kazi yao ama kiputo ambayo wako ndani lakini bado ni wazuri kwako. Na kwao wako wazuri, unaona, vitu zinakaa nikama zinaendelea tu. Hata kama inaharibika bado inaendelea kisehemu. Tunatawalwa juu chini ni ngumu kuamini.

Watu wengi ninavyosema hawataki kujua. Mafunzo yao kwa mfumo huu imekamilika. Wanaweza enda nyumbani usiku waone michezo na vitu kwa televisheni, wakunywe pombe alafu wapotee jioni yote, alafu washerehe kwa wikendi, wafanye ngono na wathani wanafika wanafika mahali. Alafu warudi kazi kutoka Jumatatu hadi Ijumaa. Hiyo ni maisha yao na wanatahni ni kawaida kwasababu kila mtu mwingine anaifanya pia.

Lakini usijaribu kutoboa hiyo kiputo yao. Kwasababu utapata masaini, watakupa masaini hawataki iharibiwe. Na watakasirika nawe ukijaribu hata kushika hiyo kiputo yao wacha ata kuitoboa. Hawajali. Watu zaidi hawajali. Ni rahisi tu hivyo. Na wamefanya zoezi kwa hizi vitu. Maelfu ya maelfu ya mazoezi na bado zinaendelea kwa saikolojia, tabia ya watu kwa hizi hali. Hizi hali zote mara mingi sana. Watu wengi hawajali kama hakuna kinachowafanyikia. Kama wako na hiyo kiputo yao na marafiki ambao wanaweza kuongea nao kwa kompyuta na vitu kama hizo kama kibuni. Hiyo ndiyo kibuni yao. Ukiwaambia wengi wa marafiki wao hawako, ni makompyuta zinazoongozwa na majeshi na pentagon, kuendelea, haiwajalishi. Haiwajalishi hata kkidogo. Hawajali.

Na hiyo ndiyo maana kwa kiwango mingi George Orwell alisema, wafanyakazi hawahesabiki. Alikuwa na mingi kwa hiyo kitabu yake, 1984. Alitaka kuiita Mtu wa Mwisho, kumaanisha mtu wa mwisho ambaye angeweza kufikiria na kuuliza maswali. Lakini Mchapisha wake ndiyo aliyeitaka kuiita 1984 kwasababu alikuwa anaenda kuichapisha kwa 1948, aligueza tu nambari. Lakini kwa kiwango mingi lakuwa anakuambia vitu mingi. Lakini wafanyikazi hawahesabiki. Kumaanisha wafanyikazi hawana nguvu ya kisiasa.

Usiwai angukia upuzi ya mrengo wa kushoto, kwasababu kila mtu anayeongoza mrengo wa kushoto na shirika zote za mrengo wa kushoto zimelipwa na zimewekwa na misingi kubwa, wanabilioni na wanatrillioni kwa dunia , hao ndiyo wanaweka na hao ndiyo wanawaongoza. Kwa hivyo wafanyikazi hawahesabiki, hawana nguvu. Yote ni juu ya nguvu. Na kwa juu ya piramidi pesa ni nguvu. Usiwahi kusahau hiyo. Uweza wa kutengeneza na kupatiana pesa na kuamua ni ya thamani gani leo ama kesho, nguvu kubwa sana. Na hiyo ndiyo maana kila kitu, kila kitu kitu kinaanguka chini ya kwa laini chini ya hiyo, kwasababu wote wanatumia pesa. Hivyo ndiyo dunia iko kwa kweli.

Lakini vile nasema, Orwell alijaribu kusema juu ya wafanyikazi, wafanyikazi hawahesabiki. Akona hiyo katika hiyo kitabu kwa pahali tofauti na kwa aina ya sinema pia. Wafanyikazi hawahesabiki. Wafanyikazi walijazwa na burudani kwa 1984. Muziki zote ziliandikwa mashine. Umesikiza mziki wa leo watu? Wakikurudisha chini kwa hii kiwango, chini alafu ikafika kwa rap hadi hauhitaji vyombo vya muziki, alafu iko wapi leo, umeme. Unaweza kununua hizo programu, ata si lazima ujue kuzitengeneza na kuendelea. Na mashine na kuendelea, ata walitoa kiwanda cha sinema za uchi sana, sana kuwaweka kama sungura. Kama wanaendelea hivyo wanashinda. Fahari pia iko hapo, alinichagua ile usiku kwasababu ananipenda, mimi ni bora kushinda wengine na kuendelea. Tabia rahisi ya walao nyama. Kwa hivyoo silika zako zinatumiwa kukuharibu. Na hata haujui zinatumiwa dhdi yako kwasababu unathani unashinda. Yote ni saikolojia.

Vita kubwa kwa zote ni vita ya akili watu. Hapo ndiyo yote inafikia, vita ya akili yako. Na nyinyi mnathani mmewapata, unatahani wewe ni mwenye akili yako. Utakuwa na maoni za nguvu kuhusu vitu ambazo haujawai chunguza. Ajabu, sindio? Kwa hivyo kuwa chonjo na maarifa yote yanayotoka kwa chanzo tofauti ata wale wanaosema wanaongea kwa binafsi yako. Kuweni chonjo watu. Wavulana wakubwa hawakosi kitu. Kitu chochote. Hawa ni watu wanao na njaa ya nguvu duniani kubwa, hawakosi kitu. Wanaogopa kukosa vitu. Angalia maisha za familiabya wale walioanzisha marekani, wale wakubwa. Angalia tabia yao, ata vile walikuwa wakihesabu macenti na kuendelea na adabu ya kimwenyewe, lakini walitawala kila kitu kilichokuwa kando yao, walipokuwa wakiiongeza waliyotawala. Iaangalie, isome, isome yote. Hiyo ni kama unajali.

Hiyo ndiyo inayokuonyesha, hawataangalia kitu chochote. Inachukua juhudi. Juhudi inakuja kama kitu inakuchochea. Walikuwa wanaiita roho, inakuchochea uitafute. Na kumbuka pia leo kila mtu amefundishwa kufikiria kidogo, kidogo... Nipatie jibu ya haraka. Unaskia hiyo kila saa. Npatie jibu ya haraka. Nimekuwa kwa stesheni za redio mingi sana na naelewa vile akili za watu zinafikiria, vile watu wa kawaida wanafikiria. Lakini utaulizwa maswali ambazo zitakaa rahisi na kwasababu wamefunzwa na redio ya kuongea maisha yao yote katika dunia hivyo pia, redio ya mazungmuzo, watauliza vitu wakikosa kujua wanachouliza ni kitu ya maana sana ambayo itachukua jibu refu na saa zingine elimu ili uwafikishe kwa kiwango ambayo unaweza kuwapatia jibu inayofaa na ambayo wataelewa. Ukiwapatia tu hivo bila kuwapitisha kwa hiyo mwendo hawataielewa. Unaeza waambia vitu za ajabu sana lakini wataenda kwa swali ijayo ni kama hawajaskia ulichowaambia, kwasababu haimaanishi kitu kwao.. Hawajui, hawajui wamechokuuliza. Napata hiyo kila saa. Na hiyo ndiyo kitu ngumu kwangu, kujadili cha kuwaambia na nini nisiwaambie. Hivyo ndivyo iko.

Ninavyosema tumeeleweka vizuri. Sisi sote tumeskia kuhusu NSA na shirika kubwa zingine zinazochukua data yako. Wanakujua, kontua wa utu wako, kabisa. Wako na maisha yako yote. Wako na shule yako; wako na kila kitu juu yako. Kila kitu. Kila kitu ambacho iko. Na wanaiweka kwa wewe wa komyuta – Nimepitia ile maandishi mara mingi kutoka Pentagon inayosema wako na kila tu kwa mchezo wa kompyuta na wanafanya mazoezi na kila mtu kwa huyo mtu. Kila mmoja wenye amekuwa na zoezi amabazo wamemfanyia na kontua ya utu wako. Wanaweza tabiri utavyofanya kila hali inayoweza fikiriwa na hizo zoezi ziko kamili na maonyesho yao. Na watu bado wanathani wako na uhuru. Wanathani hao ni watu wanajiamulia vitu. Kama mmejulikana vizuri hivyo ungeukuwa ukibadilisha tabia yako kiradikali, kiradikali sana. Lakini hawafanyi hivyo.

Kuna faraja kwa usawa, sindio? Kila kitu ni sawa, mimi ni sawa. Kuna faraja hapo. Ni kama kuwa ma huzuni, watu wengine wananpenda kuwa kwa huzuni. Isipokuwa tahadhari wanayopata. Wanapenda kuwa kwa hiyo nafasi ya kujihurumia. Hadi wanakuwa wanawatawaliwa. Na namaanisha hiyo, inaweza kuwa hivyo kujihurumia. Na wanaitambua. Ikiendelea kufanyika wanaendelea kuitambua, na wanaweza enda kwa dunia yao ya huruma na huzuni na wapate madawa ama zingine. Lakini kuna mingi inayaofanyikia watu na unayofikiria ama unaambiwa, kwa nini?

Ninavyosema vita ni ya akili yako kwasababu mtu mwingine anataka kuitawala. Kama hauiongozi mtu mwingine ataiongoza. Jaribio kubwa ambayo watu wanayo leo ni kufuata hii kikundi ama ingine kwasababu unaona, hivyo ndiyo binadamu wako. Kutoka saa hii hadi enzi zilizopita. Uko kwa kikundi gani? Unaamini nini? Oh mimi nafuata huyu na huyu, Alafu watakunakilia kila kitu mwongozi anayesema. Inayomaanisha mwongozi ameongoza njia yao ya kufikiria si wenyewe, wanainakili yote.

Kwa enzi zilizopita na kwa historia yote kuliwa na watu waliojitoa kwa jamii. Hata Misri, walikaa nje hawakutaka kuwa kwa hii kikundi ama ile, unaona ama moja wa mapadri ama mapadri waliyefanya walichofanya. Hawa ndio watu kidogo waliyefikiria peke yao. Walitosheka wakaenda. Hizo siku haikuwa mbaya hivyo kwasababu haukuwa na ndege zikikupiga picha kila mahali unapoenda. Ungepotea. Vile watu wakuja kwa Marekani ya mapema wangeweza kupotea pia. Walipoleta Ustaarabu, wanasheria na kanisa na ndani wakaja watu wa viji, oh wacha tupange vitu na kitu unachojua tena ni ukona polisi na idara ya sensa. Kabla ya hiyo ungepotea ungeenda kwa msitu na upote. Ungeishi maisha yako kama ungetaka na usione mtu mwingine tena. Kama ulitaka.

Saa hii ukona pasipoti na blah -blah-blah kwa dunia yote. Uangalifu kabisa. Kwa jamii iliyoangaliwa kabisa, kimataifa, duniani, kila mtu lazima aweze kutabiriwa ili nguvu ibaki. Kila mtu... Hiyo inamaanisha kila amoeba ndogo ambayo iko. Hiyo ni sisi wote, watu. Kwa hivyo kwa enzi zilizopita, ninavyosema, hata kawa umri la kati, watu wangeenda. Na saa zingine watu wangekuja kuongea nao, utapata hati India kwa mfano, mtu fulani kwa pango pahali na pia enzi zilizopita Ugriki pia. Wangewauliza maswali kwasababu saa zingine kitu ambayo hawa watu wangesema ingekuwa ya maana, kwasababu ilikuwa nje ya sanduku. Walikuwa wanafikiria wenyewe. Hakuwa wanapata ndiyo hii habari ya umma leo, hii ndiyo wanaenda kunakili na kuongea kuhusu. Kwa hivyo wangewauliza maswali na ilikuwa sihiri sana. Saa zingine wangewaletea chakula na hiyo iliwasaidia kuishi. Na kama watu wangekuwa wanakuja wengi sana angeenda pahali pengine na angejaribu kupotea kwa muda tena.

Utulivu wa akili. Vitu ambazo watu wangefanya kupata utulivu wa akili na upweke kama huo eh? Hauwezi kuipata leo... kanuni, sheria na hizo. Lakini hiyo ndivyo waliojitoa kwa jamii walifanya. Kitu ya kwanza watu wangewauliza ni. Unaamini nini, uko kwa kikundi gani, hii ama hile? Na huyo mtu ange-, kama yeye ni mwerevu, ambapo wengi wao walikuwa hivyo kwasababu walisalimika, kama si hivyo kikundi ingemuua. Lakini wangesema, ili wawe kidiplomasia na jibu yao kwa kikundi. Hautaki kukosea mtu ambaye ako kwa kikundi tayari, unaona. Hivyo ndiyo kikundi itajibu, itakuwa mbaya kama ungewaambia saha ukitoboa kiputo yao, unaona. Lakini watu kidogo wanataka hiyo.

Bila shaka, nakumabaka oh, miaka mingoi zilizopita zilipokuwa mdogo nikisoma kitabu juu ya Canada. Ilikuwa inahusu moja wa Inuits ama maeskimo wanavyoitwa na dunia- kaskazini Canada aliyehitaji operesheni wakampeleka Toronto. Ilikuwa lazima wamtuli na madawa muda yote aliyokuwa Toronto kwasababu maisha yake alikua kwa theluji na barafu kwa wingi wa miaka . Hakukuwa na miti mingi pia. Lakini kelele ambayo watu walikuwa nayo na maredio na kila kitu. Kwasababu dunia yake ilikuwa ni ya kimya na sauti uliyeskia ni ya watu wengine uliyoongea nao ama upepo ukipita na theluji na kuendelea ama mnyama wa kila mara. Hiyo ndiyo ilikuwa kawaida yake. Hivyo ndiyo alifikiria na akahisi furaha. Hapo ndiyo alihisi furaha kwa mazingira yake. Miti, walimpeleka kuona miti, kwa msitu, zilimtisha. Zilimtisha kabisa kwasababu alihisi ana nafasi yoyote. Hakuwa amezoea miti alipotoka, alijua hazingemfanyia kila kitu lakini zilimtisha bado. Ilikuwa nje ya kile alichoelewa na alichojua, unaona. Zilimtisha.

Utapata hati kwa masomo, zoezi za sosholojia wamezofanya, mara kwa mara tena, na watu tofauti. Na niamini kila taifa, kila watu kwa hii dunia ameeleweka vizuri. Hiyo ndiyo mara mingi adui ya watu wengine wanafanya wanasoma, soma, soma, na saa zingine tukona adui moja. Lakini unapata, wanapata ati wachina wamefurahi zaidi saa zile wanagusana mabega kwa mitaa. Wanapenda umati. Hawana faraja kama hawako kwa hiyo, kwa kitu isiyo kawaida kwao. Kitu ya upeke si kawaida kwao. Kwa hivyo ni afadhali kwa wawe kwa wenyewe. Inapendelea lakini zoezi tofauti ambazo zimefanywa kwa watu tofauti mara kwa mara kwa mara. Badiliko yoyote kwa utamaduni, watawalaji wanataka kujua kwa nini. Kwasababu lazima ikubaliwe nao ama haifanyiki.

Ni hivyo na watu wa maarifa. Kwa mataifa za dunia za kwanza tumejazwa na habari tangu tuzaliwe. Habari si kweli watu. Ni habari tu. Ni data. Inaweza kuwa uongo. Inaweza kuwa uongo kabisa. Bila shaka, watu wengi, maisha zao zimepitiwa kwa uongo zaidi kushinnda kweli. Na hata uongo ni silaha pia, inakupa kawaida mpya na kuendelea na vitu, oh hiyo ni mbaya ilifanyikia ule mtu, mbona walifanyia huyo mtu hivyo na hiyo yote. Na unapatiwa hisia ya hatia, ambayo hata haukupitia, lakini unaikubali bado. Inafanywa kisayansi. Imekamilika.

Wamefanya machunguzi, huwa wanafanya hizi uchunguzi baada hizi vitu zimeshatoka na wameshaweka kawaida mpya ndani yake, kuona inavyofanyia watu. Imefanya vizuri kwao? Maoni zao zinabadilika?... na uongo. Lakini ukiuliza hawa watu, unajua ulivyopata hizi fikra? Oh, hapana nathani tu ni mzuri. Kwa hivyo maoni yao mabayo si maon yao. Imeimgizwa kwao. Uoshaji wa ubongo bora kabisa ni kama haujui umeoshwa akili. Hivyo ndiyo wanasema kwa watu ambao wameoshwa ubongo, hawajui wamefanywa hivyo. Hii ni uoshaji ubongo umeokamilika.

Kwa hivyo fikiria. Nani ni mwenye ubongo, akili yako? Nani ni mwenyewe? Watu wengi, ukiwaambia hizi vitu zote, hawataki kujua. Hawataki hata kujua kama mtu mwingine ndiye mwenyewe. Ama ata kidogo yake, unajua kuigawanya. Hawataki kujua. Inawatolea faraja. Tena tabia ya wale wanajifikiria peke yao, kata isiyo hisi vizuri... ikatae – oh, sitaki kujua hiyo, oh hiyo ni mbaya inanifanya nihisi vibaya- na tafuta furaha. Hiyo ndiyo maana kwa masherehe na vitu unaweza kukaa kusimama na hiyi yote- inategemea umeenda kwa sherehe la tabaka gani kwasababu ukienda kwa sherehe za tabaka za juu na unasimama unapochanganya na kila mtu ukinywa kinywaji chako. Lakini mada huwa ni sawa, ni zisizo na maana za furaha. Lakini si za maana kwasababu ni mada za kuzificha, pazia la moshi, unaona mada ndogo ndogo za furaha, kwasababu watu wanataku tu kufurahi. Alafu wanataka kuwa wanyonyaji wazuri, wakipimana, unaona, kwa jinsia na hiyo yote, nani anataka kuwa na nani na blah, blah, blah. Tabia ya wanyonyaji. Lakini hawataki kitu ya maana. Kama wote wako kwa furaha na wanatabasamu hawataki kusikia kitu chochote... oh hiyo inatuleta chini. Hivyo ndiyo watu wengi wako

Na ndiyo kosa pia, kujua vitu haifai kukuharibu. Inafaa kukupata uhuru zaidi. Uhuru kwa akilli yako. Imemaanisha hivyo kwa dini za kitambo. Imemaanisha kitu sawa. Haikupi uhuru kimwili, kwasababu uko kwa mfumo sawa na kila mtu. Lakini afadhali unajua kinachofanyika na akili yako ni yako. Na kuna raha ya kuwa na uwezo wa kufikiria mwenyewe. Haimaanisha uende uanze kuhubiria kila mtu, unaona. Kitu ambayo unaweza na hakika nayo peke ni kujibadlisha wewe mwenyewe. Hiyo peke. Na hata hivyo unaweza kuwa na vita kujibadilisha, vita kubwa. Ifikirie. Kwasababu kama unatka kweli, lazima uende uitafute na ufanye kazi. Hiyo ata pengine itachukua nidhamu ya kimwenyewe.

Na usirukie tu tovuti za njama kwasababu haujui nani alizitengeneza kwa mwanzo. Wavulana wakubwa hawakosi kitu chochote. Kama wanataka kutawala kila kitu na hata wanakupa shirika zenu zote zisizo za serikali kwa mrengo wenu wa kushoto na kulia na kuendelea, blah-blah-blah-blah, usiwai fikiri wanaweza kukosa inayoitwa vibaya mwendo wa wazalendo, usitahni waliikosa. Tena ni uko kwa kikundi gani? Uko kwa kikundi gani? Alafu lazima useme jibu ya kidiplomasia.

Ukisema, nafikiria kwa mwenyewe, oh mtu wa busara,eh mm-hmm. Pengine wamesema kitu kweli mara ya kwanza kwa maisha yao bila kujua. Pengine wewe ni mtu wa busara. Kwa hivyo fikiria kwa mwenyewe. Kwa hivyo fikiria kwa mwenyewe. Na usitishike juu ya kila kitu. Ni ya uchoshi, kwasababu ukiendelea kujua, hakuna itayokushangaza kuhusu hatua ijayo na ile ijayo na ile ijayo na mipango tofauti zinazoendelea kwa muda sawa. Na usithani ubongo wako ndogo inaweza wekana na yote. Usijaribu. Hiyo itakuufa. Hauwezi kutafauta mikutano za dunia kila siku na upate, oh elfu mbili ya shirika zisizo za serikali katika dunia zikikutana hiyo siku kwa vitu tofauti, kama unaweza pata hiyo habari. Hauwezi wekana na hayo yote. Kubali ati watawalaji wakubwa hapo juu hawakosi kitu. Wako na pesa na nguvu yote kwa dunia. Na wako na hizi shirika zisizo za serikali zikifanya chini ya utawalaji wa urasimu, wote wakifanya kila siku pamoja na shirika za fikra na kuendelea na wavulana wakubwa wa pesa. Usisahau mfumo wa piramidi.

Usiwache ikutishe. Haikuanza kwa maisha yako, watu. Usithani hiyo pia. Si kama leo ulipata hiyo kidonda kutoka kitu. Lazima niizibe, inabidi. Hii kidonda ilianza kitambo sana. Nyuma kwa ma 1800s, enda kwa historia historia ya waliyoita masomo ya mwendo, walipoleta mabingwa wapya wa tabia kutafuta njia za kufanya wafanyikazi wafanye na biidi na haraka zaidi bila kuongeza walicholipwa. Na tokea hapo. Hivyo ndivyo sayansi zingine ziliendelea, unaona. Kwa hivyo usitishike kwa vitu. Usiruke tu kwa vikundi na useme, oh nafuata hii, nafuta ile. Fikiria mwenyewe. Hakuna kwa kweli kitu kingine isipokuwa kufikiria kwa mwenyewe.

Na kama watu wametosha wanafikiria wenyewe pengine siku moja, nani anajua wakati vitu zinaweza badilika polepole. Hiyo ndiyo maana nilipenda Orwell pia, alikuwa anasema kweli alipoiweka kwa 1984. Alisema alipokuwa anateswa na O'Brien anasema WAFANYIKAZI WATAFANYA KITU AMA NENO LITATOKA KITU KAMA HIYO. Na O'Brien akasema, OH HIYO NI HAFIFU, WAFANYIKAZI HAWAHESABIKI, alafu akasema, PENGINE KWA MIAKA ELFU. Hivi ndiyo wavulana wakubwa wanaangalia vitu, kitu inaweza kuwa hatari kwa miaka elfu? Bila shaka kwa siku yetu hawapangii mtu kuwa na ubongo isiyokubaliwa kufikiria juu ya miaka elfu. Wacha aina ya binadamu ambao watakuwa isipokuwa hao na uwezo wa kuishi maisha refu, watakuwa na hiyo. Wako nayo saa hii kwa wale waliochaguliwa. Lakini hawapangi kuwa na yule mtu mzee na mwanamke mzee bado. Watatengeneza waliochapishwa kamili, kama Dunia mpya ya jasiri(Brave New World) kuwahudumia vizuri Na wale wa kitamabo wataenda kwa furaha, wakithani ni kawaida. Kwasababu hivyo ndiyo unaileta kwa umma, kidogo kwa kidogo hadi waikubali. Oh, lazima iwe hivi, ndiyo.Ni hivyo unaona.

Ninavyosema, nilianza na hali ya hewa nikaendelea. Lakini kweli ni, watu wengi hawajui hali ya hewa imetawalwa kabisa saa hii. Hiyo ndiyo unaweza ona. Unaweza ona hali ya hewa. Unaweza ona mafukizo. Unaweza ona yanayofanyika baada na mvua na kuendelea, na upepo wanayokupatia siku hizi. Na mbeleni, cheza na chanzo cha chakula ya dunia na wavulana wakubwa wanajua nai anaenda kuwa na mafuriko na nani zao za nani zitamea, ili waingie kwa zao na wazigawanye na wahakikishe bei zinaenda juu pahali zinazofaa. Hivyo ndiyo imekamilika. Hiyo ndiyo unaona.

Unaweza kufikiria vitu ambazo hauomi? Vita ya teknolojia. Inakufanyika kila saa. Kumbuka Brezinski alichosema? HATIMAYE HII INAWEZA ENDA KATIKA BARA YOTE NA ITAWALE AKILI ZA WATU. Unatahni haifanyiki? Angalia tu vile watu wengi hawawezi kulala. Kurukwa na usingizi inaenea. Kwa nini? Tumejua kwa zoezi zimezofanya ati, mitandao zisizo za waya kwa mfano inaharibu vile unalala. Mita zinazifanya pia. Wanajua hii uko juu. Unathani wanaiweka tu kwasababu infanya kazi rahisi kwao? Usiwe wa upuzi. Wavulana wakiandika juu ya kuleta vita ya teknolojia kwa umma yote, kila taifa kwa bara zote wanaimaanisha. Wanaimaanisha watu. Na kama wanaimaansiha wanaifanya. Serikali inaweza kuwa peke kama inaweka inachofanyia umma siri. Kama si hivyo ingebidi umma ifanye kitu juu ya yake. Na wanajua hiyo. Wamekuwa wakiijua.

Kwa hivyo umewekwa kwa ndoto. Na kwa wale wanaotaka kukaa hapo kuna chaguzi. Unaweza enda kwa …. kuna chagua la uwezo wa ndoto unaoweza kuenda leo, kutoroka. Ziko mingi uko nje. Baki ukijaza kichwa yako na na dta isyo ya maana, Ama unaweza ona ngono yote unayotaka, michezo na dramas na kuendelea. Ama unaweza jaribu kutoroka ukijaribu kutafuta roho, roho, roho, roho, unajua, inayoweza kuitoroka yote. Kwasababu unajua ndani yako kimwili hauwezi kuitoroka, kwa hivyo umebaki na kitu inayoitwa roho. Ukona watu wakipata pesa na kuuza vitabu wakirudia vitabu za kitambo. Kwasababu zinatakikana na watu wengi na zinauza vizuri. Kutoroka. Watu wakithani wametosheka wanajaribu kutoroka kwa akili. Na wavulana wakubwa wanawapatia njia za kufanya hivyo, wafunza wakonuko nje kama vile haujawai ona.

Hiyo ndiyo maana Carroll Quigley aliongea juu ya mwisho wa enzi na mwisho wa Ustaarabu. Vitu zote zinafanyika na hiyo ni moja yao, hiyo ni moja ya zile zinafanyika. Inaitwa dini ya kudumu. Huwa wanatumia hiyo mfumo kwa mwisho, wanaikuza, wakiangusha jamii tofauti. Na watu wanajaribu kutoroka hivyo.

Ni wakati watu waanze kuita vitu zilivyo, vile ziko. Wacha kuongea inavyofaa, ambayo sababu yake ni kukunyamazisha kwa uoga. Kwa jamii ya uhuru mtoto yayote anafaa kuwa na uwezo wa kuja na kuuliza swali yoyote imeyokuja kwa akilii yake. Kitu yoyote. Na kama serikali watamchukua kwasababu hakubaliwi kuuliza hiyo swali ma kitu kingine kuna kitu mbaya. Ako karibu sana na nyumbani, bila shaka haijui kwa nini ama nani anatawala. Nini ndiyo hatua ya kwanza kwa kutawala jamii, ni kuwasimamisha kwa kubadilisha kitu, ni kukukataza ata kuuliza maswali kwasababu imekatazwa na sheria.

Anagalia Kuipata Vizuri kwa Kila Mtoto (GIRFEC) kwa Scotland, wako na mifumo sawa katika dunia leo. Wanaoangalia watoto kutoka serikali kwa kila mtoto kutoka utoto wao, kutoka ya miaka ya mwezi kidogo kuendelea. Unafikiria nini juu ya hii Johnny? Oh unajua.... Ni bora ni kuweke pahali ya mabadilisho, Johnny, hatuwezi kukuwacha uulize swali kama hizo. Ama hii mada ama hii hapa. Kile kitachokuwa, unaona, lazima uirekebishe... umoja, jamii ya moja.. mwananchi aliyekubaliwa ajaye. Hivyo ni rahisi kukutawala. Na maserikali wananpenda vitu ziwe rahisi kwao.

Kutoka Hamish na mimi hapa Ontario,Canada, ni usji mzuri na mungu au miungu wako aende nawe.

Vitabu za Alan Watt ziko kwa CUTTINGTHROUGHTHEMATRIX.COM

(Imeandikwa na Leon)